aiseee paradise mko vizuri sana mungu awabariki kwa huduma ya uimbaji nafurahi kuona kwaya Ina waasisi km kaka ipyana mwakihaba namuona producer Fredi kameta bila kumsahau sollolist Yuki vzr sana amenikosha tuimbe duniani mpaka mbinguni nimewapenda kwa uimbaji wenu yaani mmetulia mungu awabariki
Intro 0:00-2:59
Interview 2:59-3:35
Shituka 3:35-10:00
Malaika 10:00-18:20
Mbona Umenyamaza 18:20-21:20
hongereni sana watumishi wa Mungu kwa kazi nzuri ya utumishi Mungu awakumbuke
THE BEST SONG NDO WAMEIKATA NDIO NINI SASA? ''mbona Umenyamaza? '' Harmony , intrumental combination imesimamama kuliko zilizotangulia, very Cool.
Kwa kweli i love you guys kazi nzuri sana Mungu awabariki yote
Aisee .....mambo moto kwa Yesu. ..barikiwa sana
I love this song
Love you guys you sing beautiful keep it up may Lord bless you
Be blessed
paladaise mko vizuri mungu awabarki sana
mnaimba vinzuri sana mzidi kukaa kwenye maombi zaidi mungu azidi kuwatumia kwa viwango vingine
nawapenda bule ndugu zangu
saaaana Dada Salome
tunaomba utume nanyimbo zingine kaka nimewapenda sana
aiseee paradise mko vizuri sana mungu awabariki kwa huduma ya uimbaji nafurahi kuona kwaya Ina waasisi km kaka ipyana mwakihaba namuona producer Fredi kameta bila kumsahau sollolist Yuki vzr sana amenikosha tuimbe duniani mpaka mbinguni nimewapenda kwa uimbaji wenu yaani mmetulia mungu awabariki
RUTH YOHANA unataka wimbo gani mwingine?
Barikiwa Sana'a zaidi nyenyekeen chini ya mkono was mungu
Hongera kwa utume
Mungu awabariki
Ninabarikiwa sana na hawa Waimbaji wa Paradise Moravian, Mbeya
paradise tupen nyimbo zingine nyingi basi jaman tunazihitaji
Wow!! That is my boys and girls, you have done a great work.(CONGLATE)
mpo vzr
jamani miss u sana kwaya yangu paradise
Nimewakumbu Paradaise
natamani kwenda mbinguni nikiwa na sikiliza wimbo huu mko juu
hamjawai kuniangusha Paradise kwaya
Mungu wa mbiguni awabariki kwa uinjilishaji wenu mwema jueni mnamkopesha mungu atawalipa
fanuel elias amena brother
mungu wa mbinguni awabariki sana
Mungu yu pamoja nanyi
nazipenda kazi za paradise mkoo juu yuhai.Tumain na wengine
Saaaaaanaaaàa
paradise mpo vzr sana tunazitafuta kazi zenu madukan lkn hazipatikani kwann?
Estar Tuji uko mkoa gani ambao hauzipati kazi za paradise choir?
Usalama wadunia tunaomba muipost tafadhali jamani
masumbuko taabu shidaa
paradise Ruanda Moravian wako vizuri mbaya
Kaka kwani hawa Rwanda ile kuelekea tunduma au Ni ipi
Jamani kifo hiki ...moyo umeniuma kumuona kaka Israeli, na dada yangu kipenzi Ester castory wa kwaya ya uinjilisti forest jamani , wapumzike kwa amani
Mungu mwema
Mungu awabariki sana huwa sichoki kusikiliza nyimbo zenu
Mungu Ni mwema
Kwa kweli i love you guys kazi nzuri sana Mungu awabariki yote
Mungu awabariki