Tofauti ya Mwanamke na Mwanaume

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 33

  • @faustinkamugisha8747
    @faustinkamugisha8747  4 ปีที่แล้ว +7

    Nawashukuru watazamaji kwa maneno yenu ya kutia moyo, shukrani na ushauri wenu. Nawaomba mwendelee "ku-subscribe."

    • @raymondruta2521
      @raymondruta2521 4 ปีที่แล้ว +1

      Amina Fr

    • @nenolako8522
      @nenolako8522 4 ปีที่แล้ว +2

      Amina.
      Father, umekuwa role model wa watu wengi.
      Na kumbe unahitaji sala na maombi ya watu wengi ili uendele kudumu katika kazi yako ya kuwa mwalimu wa watu wa MUNGU. Maana kila unalofundisha linamfaa mtu
      MUNGU akubariki sana

    • @amiryluzilo7747
      @amiryluzilo7747 3 ปีที่แล้ว +1

      Fr tunaomba mahubiri uwe unarusha live ktk tv ili waendelee kufurahia mahubiri yako maana ukiyasikia huez kulala

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 3 ปีที่แล้ว +1

      Unasitahili kabisa

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 3 ปีที่แล้ว

      Tuko pamoja baba paroko,asante kwa mafundisho yako

  • @augustinacornel3543
    @augustinacornel3543 2 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana kukusliza my spiritual father maana mahubiri yako yamenifundisha na bdo yanazid kufundisha jins ya kuishi vizr katika jamii be blessed father Kamugisha

  • @zedianagasper9475
    @zedianagasper9475 4 ปีที่แล้ว +1

    Daah nakupenda sana we padre ubarikiwe mpaka ushangae MUNGU AKUINUE KWA VIWANGO VINGINE

  • @deborhamwamakusa6121
    @deborhamwamakusa6121 4 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe Sana Padre kamugisha

  • @Denis_prudence
    @Denis_prudence 3 ปีที่แล้ว

    Big up sana My spiritual father....mungu akubariki sanaaaaa.....Ningekufahamu mapema kabla sijachukua maamuz mengine ningekua padri na mm

  • @Yesuniwokovu
    @Yesuniwokovu 3 ปีที่แล้ว

    Tumsifu Yesu Kristo father Kamgisha nashukuru kwani tunapokea huo ni unabii

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 5 ปีที่แล้ว +3

    TYK father Kamugisha wewe U nabii wa kizazi Hiki

  • @zedianagasper9475
    @zedianagasper9475 4 ปีที่แล้ว +1

    Natamani hata nikuone macho macho

  • @odranslayo3298
    @odranslayo3298 3 ปีที่แล้ว

    Unanibariki sana fadha

  • @dapinitiative2451
    @dapinitiative2451 5 ปีที่แล้ว +1

    Waao hapo nadhan ni kabalenge😀 Hongera sanaa jamani ....

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 3 ปีที่แล้ว

    Asante Mtumishi wewe umekoka kweli

  • @juliethkiiza2791
    @juliethkiiza2791 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana kwa Mafundusho

  • @Denis_prudence
    @Denis_prudence 3 ปีที่แล้ว

    Naomba namba yako mtumishi wa mungu @Faustine kamugisha

  • @ceciliamhumba7349
    @ceciliamhumba7349 5 ปีที่แล้ว +1

    👏👏👏
    Asante Sana Baba!

  • @firibatiferisiani4660
    @firibatiferisiani4660 5 ปีที่แล้ว

    Baba Asante kwa mafundisho mazuri sana wakora waitu

  • @aminarumanyika628
    @aminarumanyika628 4 ปีที่แล้ว

    Amen baba ubarikiwe

  • @pancrasmalamla9799
    @pancrasmalamla9799 5 ปีที่แล้ว +1

    Ukipata nafasi ya Kusali na Padree Kamugisha hakika utajengeka kiimani na utafurahi

  • @felisterligwa
    @felisterligwa 5 ปีที่แล้ว +1

    Maneno mazuri,asante baba

  • @judithkatabaro65
    @judithkatabaro65 5 ปีที่แล้ว

    Unanibariki sana baba

  • @jovenaryjovenary8428
    @jovenaryjovenary8428 5 ปีที่แล้ว +2

    Boona bana

    • @alexanderisack9819
      @alexanderisack9819 3 ปีที่แล้ว

      Asante Sana father kamugisha Mungu azidi kuweka unabii juu yko

  • @thadeiminja1855
    @thadeiminja1855 5 ปีที่แล้ว +1

    Maneno mazuri

  • @bahatibahati3602
    @bahatibahati3602 5 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe baba

  • @kamboarheritage461
    @kamboarheritage461 5 ปีที่แล้ว

    Leo vigeregere kesho isiwe kelele..

  • @jovenaryjovenary8428
    @jovenaryjovenary8428 5 ปีที่แล้ว

    Ongea usaidiwe

  • @idajaribu126
    @idajaribu126 5 ปีที่แล้ว +1

    🤔🔥🔥🔥🙏