Father it's good to see you preaching online. Your sermons inspired me as a young man every time I listened to you in the Catholic University of Eastern Africa Chapel between the year 2001 and 2005. Mungu akubariki Father.🙏
Tunashukuru mungu kwa wema wake kwa kile alichokipanda ndani ya mtumishi huyu F,Kamgisha na aendelee kuwa dawa ya maisha yetu ya liroho, sifa na utukufu wa mungu utawale.
Asante PADRE Kamugisha hongera kwa mafundisho yako yanatupa nuru ya kuelewa hata kama kuna ugumu wa uelewa Mungu abariki utume wako .Tummsifu yesu kristu/...
Mungu Aendelee kukubariki, Kuna utukufu ndani yako, Wewe ni umetumwa na bwana wetu Yesu, Natafakari Siku ile ya Matawi, lile somo lisemalo : Kanileteeni Mwanopunda asiyepandwa mtamkuta nje ya nyumba: wewe ni yule Mwana Punda Yesu aliamua akutumie ili kutufikia sisi, Barikiwa baba.
Fr. Kamugisha Mungu amekuita kua mfuasi wake kweli nimefurahia szna mahubiyáko laiti ningekua kwenye Parokia yako unao Unaopako wa kiroho T SYK;_ Padri Kamugisha
Padre umenifrahisha sn sababu nasikia, japo Sina uhakika Kwamba watu wa bukoba wanapenda Sana sifa 😆😆😆😆😆🤣 jamani tujilekebishe watu wote wenye hizo tabia za kujikweza.
Haya yanatakiwa kusikilizwa tena na tena. Hongera sana Baba Padre. Mungu Yu Nawe. Ni Mubyazi GM
Fr.Kamgisha endelea na kazi yako nzuri, mimi ninamshukuru Mungu kwa kufanyika faraja kwenye maisha yangu
Mungu ni Mwema nyakati zote, Kweli Mungu ni Mungu tuu.
Following from Kenya.God bless you father.
Baba ubarikiwe sana nafarijika sana na mafundisho yako yamenijenga kwa kias kikubwa.
Nabarikiwa sana kwa mahubiri yako baba, Mungu akubariki sana katika utume wako
Ubarikiwe sanaaaa mtumishi wa MUNGU
Somo limenitia moyo sana fr. Nami nilimuuguza mtu miezi mi3 mwisho wa siku kaondoka bila kuaga
Mtazamaji Mungu akubariki. Ukimuomba asinyamaze. Usisahau ku-subscribe na ku-share
Father it's good to see you preaching online. Your sermons inspired me as a young man every time I listened to you in the Catholic University of Eastern Africa Chapel between the year 2001 and 2005. Mungu akubariki Father.🙏
Amina
Father asante sana. May the Lord GOD continue to strengthen you to keep doing his GREAT WORK.
Amina Amina Fr.
Ubarikiwe sana Fr hakika TMCS Arusha tunakuhitaji sana, ukipata kutembelea huku jitahidi ututembelee
Tunashukuru mungu kwa wema wake kwa kile alichokipanda ndani ya mtumishi huyu F,Kamgisha na aendelee kuwa dawa ya maisha yetu ya liroho, sifa na utukufu wa mungu utawale.
Mafunzi mazuri sana Mtumishi wa Mungu!!Keep it up!
Naona kitu kikubwa zaidi ndani ya huyu mzee wa Kiroho..unafanya vizuri sana
Nakupenda bure padri kamugisha mm si mromani lakini kuna dhahabu ndani yako mungu akutie nguvu ktk wito wako ulioitiwa
Well-done Rev. Fr. Dr. Kamugisha!
Chalom padre mimi niko mukristu Wa Burundi tunawomba mtutembeley nasi wakristu Wa paroisse saint Jean poul. Buterere chalom
T.Y.K am very happy for the work of FR KAMGISHA it has make my faith may the LORD keep on using him
Nabarikiwa sana na mahubiri yako.
God is everything 👋➕🙏👭open eyes
Barikiwa sana Mwalimu wangu Dr. Fr.. Kamugisha
May the Almight be with you as we lestin your teaching.
Let as all ask God to open our eyes
⁰⁰0⁰⁰⁰⁰⁰⁰⁰⁰⁰⁰00000000
Amina. Ubarikiwe padre.
Be blessed Fr Kamugisha
I'm watching from Nairobi Kenya I'm blessed Fr. Dkt may you be blessed and please visit us here st. Michael langata
Fr. Dr. Kamugisha unafanya kazi kubwa sana. Mungu akubarilki sana. Hapa naona ni Katika Kigango cha Kalagala
Asante PADRE Kamugisha hongera kwa mafundisho yako yanatupa nuru ya kuelewa hata kama kuna ugumu wa uelewa Mungu abariki utume wako .Tummsifu yesu kristu/...
Somo limenoga kwakwel, Mwenyezi Mungu akubariki Sanaa, karibu Mwanza
Nimewapenda wazee Embazibwa kigambo wanaonekna wameelewa somo kurko wakina mama
Amina sana father ubarikiwe tumekimis uku dareslm tegeta salsala karibu sana
Ubarikiwe Father,mahubiri yako mazuri Sana.
Kweli kabisa Padre! Miji2 imesaidiwa Leo hii yamegeuka Ku,2angamiza,yakasahau mpaka Leo Leo yaloazima kwenda kufunga kichwani.
asante sana kwa neno la Mungu wenye masikio wamesikia.
Aminaaaa
Ahsante kwa habari njema. Nawezaje pata vitabu vyako
Nimepata ujumbe. Asante kwa mafundisho.
Ahsante sana kwa maubir mazr,, nilikuona kkkt Kijitonyama nakupenda sana
Kweli Mungu akupiganie umalize safari vizuri!
Amen FR KAMUGISHA
Amina baba
Asanteee
Be blessed Father
Safi Fr. Ubarikiwe
Nimtu mzima hongera sana baba yetu waroho mafundisho yako nayapenda
Mtumishi mungu akubariki kwa utume wako.Amein
Ahsante father nimefarijka kwa mahubiri yako ubarikiwe
Mtumishi wa mungubarikiwa Sana SoMo lako limeniingia
Baba Padre Kamgisha Ubarikiwe kwa kazi unayoifanya
More videos Fr..thankx alot
Fr. Kamugisha, we studied together at CUEA early in 2000. Am happy to see you here. May you be blessed father.
Im proud of you fr kamgisha may the almigh GOD be with you
Nakuelewa Padri Mungu akubariki
Safi,padri amebadilisha mtazamo wa kuhubiri(ndani ya katoliki)
Nakuunga mkono ubarkiwe sana kwa kuliona hilo muombee sana Padre huduma yake isonge mbele zaidi
Nabarikiwa sana mahubiri yako karibu Arusha
Mungu Aendelee kukubariki, Kuna utukufu ndani yako, Wewe ni umetumwa na bwana wetu Yesu, Natafakari Siku ile ya Matawi, lile somo lisemalo : Kanileteeni Mwanopunda asiyepandwa mtamkuta nje ya nyumba: wewe ni yule Mwana Punda Yesu aliamua akutumie ili kutufikia sisi, Barikiwa baba.
Asante Padri kwa Homilia nzuri...
Asante baba,nikupataje mm nikufatilie vpind vyako
Nabarikiwa mnoooo na mahubiri yako baba
Love you so much
Mungu akutie nguvu padri
Wow, the truth has to be aired out, thank you Fr. Kamgisha, God bless you
0
Tumsifu yesu kiristu baba badri tunakushkru sana kwa ujumbe mzuri sana tunamba mwenyez mung akupe maisha marefu Amina
Baba padre uko vizuri
Asante baba
Yani mahubili yalikuw mazur padre wtu hongr kwakutuhubilia neno la mungu tumeliew mpka hapo sisi ni watu wazima
Fr. Kamugisha Mungu amekuita kua mfuasi wake kweli nimefurahia szna mahubiyáko laiti ningekua kwenye Parokia yako unao Unaopako wa kiroho T SYK;_ Padri Kamugisha
Nabarikiwa sana
Well done Fr Kamugisha!
Amina.Father.
Asante sana BABA
Baba padre umegusa penyewe..karibu Dar uje uutuhubil
I love u father krb moshi
Baba asante kwa neno
Ameen
😀😀 Amina 🙏
Upo vzr father kaza but
Amen
Ameeeeeeeeen
Fadher ua unanikosha sana. Mungu akupe afya njema.
Kanisa liko bukoba
Wankwata tata
Ameni.
Bwana akupake mafuta mabichi kila leo ulijenge kanisa la Mungu
Tumsifu yesu kristo
🙏🙏🙏
Aksante baba naliona kanisa la kalagala
Nimegifunza kitu padre asante
Barikiwa Mt. Wa Bw. Yesu
Kwakweli father unanifanyaga nisikilize audio zako kwasababu ya maubiri yako licha yakuwa mm ni mchungaji ongera mtumishi wa Mungu
Wakati wa Upadrisho nilikuwapo....
Ni kweli kutazama si kuona
tupe macho
Kama yesu ➕👋🙏👭💜
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
Wewe ni mtuuuu mzimaaa🙏🏿🙏🏿😂😂
Naomba kuuliza hilo kanisa lako FR liko wapi, yaani mkoa gani na wilaya ipi, asante sana kwa mafundisho.
Huyo ni Padre wa Romani Yuko Bukoba
Liko mkoa wa Kagera wilaya ya Missenyi kata Minziro
Kamugisha
Padre umenifrahisha sn sababu nasikia, japo Sina uhakika Kwamba watu wa bukoba wanapenda Sana sifa 😆😆😆😆😆🤣 jamani tujilekebishe watu wote wenye hizo tabia za kujikweza.
Amina
Hongera paroko ni kweli unaemsaidia anakugeuka
Mungu akupe maono zaidi na hongera kwa kukubali kumtumikia Mungu katika mazingira hayo
Somo zuri sana
Peter simion
Tata wakola ekigambo twakiulila
mbona waumini ni mama watu wazima na watoto???
Amen
Barikiwa Father Kamugisha.Nakuelewaga saana
Amina
Wakati wa Upadrisho nilikuwapo....
Well done Fr Faustin for your wonderful understanding of the gospel. Keep it up father.
Amina
Amina
Amina
Amina