Faustin Kamugisha
Faustin Kamugisha
  • 380
  • 1 969 019
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: SHUGHULIKA
Kazi ni hazina. Kazi huleta heshima. Kazi huleta pesa.
มุมมอง: 4 210

วีดีโอ

Rev. Dr. Faustin Kamugisha: MKESHA
มุมมอง 776วันที่ผ่านมา
Karibuni kwenye mkesha wa hija kwa mtakatifu Yohane Maria Muzeeyi tarehe 1/2/2025. Hija ni tarehe 2/2/2025 siku ya Jumapili.
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: UTAFUNGULIWA
มุมมอง 6K14 วันที่ผ่านมา
Mwaka huu 2025 ni mwaka wa Jubilei. Ni mwaka wa kufunguliwa. Mungu akufungue
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: MKONO ULIOPOOZA
มุมมอง 1.2K14 วันที่ผ่านมา
Mkono ni chombo cha huduma. Upendo una mikono kuwasaidia wengine. Mkono usioinuliwa katika sala, umepooza. Mkono wa birika umepooza.
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: SHAURI JEMA
มุมมอง 3.2K21 วันที่ผ่านมา
Neno la ushauri ni bora kuliko maneno elfu ya sifa. Ushauri mzuri una sifa nyingi: maneno machache, uwezekano, nia njema na wakati muafaka.
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: KANISA NI HOSPITALI
มุมมอง 2.9K21 วันที่ผ่านมา
Kanisa sio jumba la makumbusho la watakatifu, kanisa ni hospitali. Kuna Daktari, wagonjwa, magonjwa, duka la dawa za bure. Kuna uponyaji wa kiroho.
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: UREJESHO
มุมมอง 1.3K21 วันที่ผ่านมา
Mwaka 2025 ni mwaka wa Jubilei Kuu. Muombe Mungu uwe mwaka wa urejesho. Waliokuhudumia uwahudumie. Kilichokubeba ukibebe.
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: UNAPOINULIWA WAINUE WENGINE
มุมมอง 1.8K21 วันที่ผ่านมา
Unahudumiwa kuhudumiwa. Unabarikiwa kubariki. Unafarijiwa kufariji.
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: MATATIZO YANAPOZIDI UKOMBOZI UNAKUWA KARIBU SANA
มุมมอง 1.5K21 วันที่ผ่านมา
Usikate tamaa, matatizo yanapozidi yanakuwa yanafikia mwisho. Ndege inapokaribia kutua inakumbana mitikisiko hapo jua mnakaribia kutua.
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: UKIBADILI UNACHOKIONA UNABADILI UNACHOKIZALISHA
มุมมอง 1.1K21 วันที่ผ่านมา
Ili kubadili unachokiona kama njia ya kubadili unachokizalisha jiulize maswali matatu: Unaona nini? Unawaza nini? Unanuia nini?
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: MPENDWA
มุมมอง 3K28 วันที่ผ่านมา
Mungu Baba alimwita Bwana Yesu Kristu, MPENDWA. Kwa Mungu wewe ni mpendwa. Kinachokutambulisha ni zaidi ya kazi, sifa, mali bali kuwa wewe ni MPENDWA.
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: KUSAMEHE NI KUTAKASA KUMBUKUMBU
มุมมอง 1.6Kหลายเดือนก่อน
Mtazamo chanya ni msaada mkubwa katika kutakasa kumbukumbu. Usililie waliokuacha pigania ulio nao.
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: MAISHA NI MUDA
มุมมอง 23Kหลายเดือนก่อน
Ujumbe wa kufunga mwaka na kuanza mwaka mpya. Muda ni matumizi. Muda ni fursa. Muda ni msafiri akienda harudi tena.
Rev. Faustin Kamugisha: ANA MWANAMKE WA KUTIA MOYO WENYE HUZUNI
มุมมอง 1.3Kหลายเดือนก่อน
Ana alimfariji Mama wa Yesu baada ya kuambiwa na Simeoni kuwa uchungu ulio kama upanga utachoma moyo wake. Maneno ya kufariji hayo yakufariji na wewe.
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: GHARAMA
มุมมอง 8Kหลายเดือนก่อน
Mambo mengi katika maisha yana gharama. Kuwa mfuasi wa Yesu Kristo kuna gharama. Ni zipi?
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: ISIWE KAMA KAWAIDA TENA - Ujumbe wa Krismasi
มุมมอง 4.4Kหลายเดือนก่อน
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: ISIWE KAMA KAWAIDA TENA - Ujumbe wa Krismasi
NENO LINAUMBA: Rev. Dr. Faustin Kamugisha ( Hija Nyakijoga 2010)
มุมมอง 1.7Kหลายเดือนก่อน
NENO LINAUMBA: Rev. Dr. Faustin Kamugisha ( Hija Nyakijoga 2010)
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: JE, UNA FURAHA?
มุมมอง 629หลายเดือนก่อน
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: JE, UNA FURAHA?
HARAKA YA NINI! Rev. Dr. Faustin Kamugisha
มุมมอง 5Kหลายเดือนก่อน
HARAKA YA NINI! Rev. Dr. Faustin Kamugisha
Pade Dkt Kamugisha : "SIMAMA" Usiposimama dunia itaendelea kuwa mbaya
มุมมอง 1.4Kหลายเดือนก่อน
Pade Dkt Kamugisha : "SIMAMA" Usiposimama dunia itaendelea kuwa mbaya
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: JE, UNA FURAHA?
มุมมอง 1.4Kหลายเดือนก่อน
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: JE, UNA FURAHA?
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: MATATIZO NI ALAMA YA MKATO SIO NUKTA
มุมมอง 1.1Kหลายเดือนก่อน
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: MATATIZO NI ALAMA YA MKATO SIO NUKTA
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: FAIDA KWAKE, FAIDA KWETU
มุมมอง 3.8Kหลายเดือนก่อน
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: FAIDA KWAKE, FAIDA KWETU
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: KWA NINI BIKIRA MARIA ALIKINGIWA DHAMBI YA ASILI
มุมมอง 1.1K2 หลายเดือนก่อน
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: KWA NINI BIKIRA MARIA ALIKINGIWA DHAMBI YA ASILI
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: ALICHOKUPA MUNGU NI MTEGO
มุมมอง 1.3K2 หลายเดือนก่อน
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: ALICHOKUPA MUNGU NI MTEGO
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: LEO VIGELEGELE KESHO ISIWE KELELE ( Audio)
มุมมอง 5002 หลายเดือนก่อน
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: LEO VIGELEGELE KESHO ISIWE KELELE ( Audio)
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: USIACHE KUTUMIA NENO ASANTE
มุมมอง 1.9K2 หลายเดือนก่อน
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: USIACHE KUTUMIA NENO ASANTE
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: AINA NNE ZA SUBIRA
มุมมอง 1.8K2 หลายเดือนก่อน
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: AINA NNE ZA SUBIRA
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: LEO VIGELELE, KESHO ISIWE KELELE, mafundisho ya ndoa
มุมมอง 1.6K2 หลายเดือนก่อน
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: LEO VIGELELE, KESHO ISIWE KELELE, mafundisho ya ndoa
Padre Dkt Faustine Kamugisha : Unatazamaje.?
มุมมอง 1.7K2 หลายเดือนก่อน
Padre Dkt Faustine Kamugisha : Unatazamaje.?

ความคิดเห็น

  • @renathaburchard5554
    @renathaburchard5554 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shughulika mtafute Mungu anapatikana ukimtaka utampata

  • @ReginaKulwa-zp7wp
    @ReginaKulwa-zp7wp 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amina baba.

  • @LyimoMhagama
    @LyimoMhagama 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ameen

  • @buberwafidelis2024
    @buberwafidelis2024 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen Ngoja nishughulike nitayaona matokeo

  • @berthaelias
    @berthaelias 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤

  • @kennedyowino6438
    @kennedyowino6438 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen

  • @verynicemonyo8671
    @verynicemonyo8671 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu akubariki. Kichwa huyu dokta

  • @remigiusrwechungula7047
    @remigiusrwechungula7047 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    The genius magician🫲🫲🫲🫲

  • @KarimAthumani-vj4pf
    @KarimAthumani-vj4pf 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nakupenda sana Padre

  • @josephnyabera2819
    @josephnyabera2819 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mafundisho bora!!

  • @estermgata9617
    @estermgata9617 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Fr. Kamugisha Asante sana, na Mungu azidi kukubariki. Maana umefungua sana mawazo yetu. Yaani hilo na SALA NA KAZI NA KAZI NA SALA. Maana siku hizi tunaweka mkazo mno maombi ya miujiza bila kujishughulisha

  • @user-ih7zg8sf9h
    @user-ih7zg8sf9h 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    AMINA Kwa upendo na mafundisho mazuri

  • @LivingLivaa
    @LivingLivaa 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Barikiwa

  • @agathamburu8910
    @agathamburu8910 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kazi ya Mungu umeifanya Fr.Asante sana kutoka Kenya

  • @mutabilwadennis416
    @mutabilwadennis416 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Fr Kamugisha apewe ulinzi,hii ni hazina ya taifa

  • @justinealistides5146
    @justinealistides5146 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ubarikiwe sana Fr.

  • @harunngailo2678
    @harunngailo2678 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hongera baba Kwa kazi nzuri

  • @mosesnkoimo4981
    @mosesnkoimo4981 วันที่ผ่านมา

    Heko Baba nimebarikiwa sana

  • @PeterCletus-n5w
    @PeterCletus-n5w วันที่ผ่านมา

    Huyu baba kweli anafany kazi ya mungu kufundisha watu wa mataifa yote ulimwenguni

  • @babajolene1494
    @babajolene1494 วันที่ผ่านมา

    Asante sana mheshimiwa Dr

  • @shubiblessus3535
    @shubiblessus3535 วันที่ผ่านมา

    PhD yako ndani ya Ukatoliki ina unganishwa na uhalisia. Kimsingi unatufikia kila mahali tulipo. Be blessed everlastingly

  • @shubiblessus3535
    @shubiblessus3535 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki mtumishi milele na milele!

  • @manyakuulaompondelo4419
    @manyakuulaompondelo4419 วันที่ผ่านมา

    Nilikuwepo katika Misa hii nikiwa frateri mwanafunzi wa Falsafa: Ntungamo Seminari. ASANTE SANA KWA MAFUNDISHO MAZURI BABA.

  • @luhende04
    @luhende04 วันที่ผ่านมา

    Fr kamugisha siku Moja nitafunga safari kuja nisali Misa huko daaah be blessed

    • @EmanuelMuhuko
      @EmanuelMuhuko 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      hongera ikiwezekana uandike vitabu vingi vya homilia na mafundisho

    • @CelinaPaschal
      @CelinaPaschal 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ubarikiwe sana Baba Paroko wetu

  • @ThadeiAndrea
    @ThadeiAndrea วันที่ผ่านมา

    Amina baba paloko

  • @ElizabethChamkaga-p9r
    @ElizabethChamkaga-p9r 3 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana baba❤❤❤❤❤

  • @AnnaMinja-zp7ti
    @AnnaMinja-zp7ti 3 วันที่ผ่านมา

    Mwalimu wangu social ethics 2011

  • @VictoriaNdunge-u8e
    @VictoriaNdunge-u8e 4 วันที่ผ่านมา

    🎉for❤d

  • @JoachimNjiani
    @JoachimNjiani 5 วันที่ผ่านมา

    Amina!! Yaani unanikosha moyo. Naweza kusikiliza hii hata mara 10 bila kuchoka!!

  • @ezamomaponde8766
    @ezamomaponde8766 6 วันที่ผ่านมา

    Baba Mungu akuongezee nguvu KWENYE UTUME WAKO.

  • @modesterclement3062
    @modesterclement3062 6 วันที่ผ่านมา

    Baba Mungu akutunze jamn sina cha kusema zaidi ya kukuombea

  • @edithavalelian256
    @edithavalelian256 8 วันที่ผ่านมา

    Asante kwa mualiko Fr. Tunawatakieni kila la kheri ktk kusherekea ❤❤

  • @DeniceAlon
    @DeniceAlon 9 วันที่ผ่านมา

    Aminaa 🙏🙏🙏🙏

  • @Antelius-ew6it
    @Antelius-ew6it 9 วันที่ผ่านมา

    Asante padre Kamugisha

  • @Antelius-ew6it
    @Antelius-ew6it 9 วันที่ผ่านมา

    Milele amina🙏

  • @francismigongwa4146
    @francismigongwa4146 9 วันที่ผ่านมา

    Utume mwema Baba

  • @revocatuskatto7293
    @revocatuskatto7293 9 วันที่ผ่านมา

    🙏

  • @BizimunguCasimir-wi1mt
    @BizimunguCasimir-wi1mt 10 วันที่ผ่านมา

    Milele Amina

  • @paulinemakhaso1009
    @paulinemakhaso1009 11 วันที่ผ่านมา

    So many years ago you preached at cuea and you touched my life. God bless you Fr. Kamugisha

  • @niriacatering172
    @niriacatering172 11 วันที่ผ่านมา

    Shukrani sana

  • @RwechunguraMali
    @RwechunguraMali 11 วันที่ผ่านมา

    Ni sahihi kabisa Kamugisha na Bagonza ni mfano halisia katika mahubiri Yao kufundisha kwa mifano na uhalisia wa maisha yetu ya kila siku na utamaduni.

  • @MushiVicent
    @MushiVicent 12 วันที่ผ่านมา

    PADRI KUNA WANAOKOPA BENKI NA HAPOHAPO WANA BABU WA KIGANGA WAKIMTUMAINIA AWASAIDIE HAO VIP?

  • @BelinaRwebugisa
    @BelinaRwebugisa 12 วันที่ผ่านมา

    AMINA Baba

  • @JovinaDaud
    @JovinaDaud 12 วันที่ผ่านมา

    Asante Sana baba

  • @InnoLyimo
    @InnoLyimo 12 วันที่ผ่านมา

    Asante sana kwa mafundisho mazuri ubarikiwe

  • @MaryOkumu-u4c
    @MaryOkumu-u4c 13 วันที่ผ่านมา

    Asante sana mungu

  • @syliviamrosso8655
    @syliviamrosso8655 13 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 14 วันที่ผ่านมา

    🤔Mungu atusaidie kutoka kwenye magereza tuliyonayo peke yetu hatuwezi

    • @FriminMosha
      @FriminMosha 12 วันที่ผ่านมา

      Mahubiri haya yanatundisha mengi waamini wakatoliki tutoke katika magereza tuliyo nayo tusali sana ili magereza yetu yafunguliwe Tupate kuwa huru.

  • @irakazaeriekim4753
    @irakazaeriekim4753 14 วันที่ผ่านมา

    Amen 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @deogratiasrweyongeza7154
    @deogratiasrweyongeza7154 14 วันที่ผ่านมา

    Kwa yule aliyeuliza swali kuhusu salaam za Fr. Kamugisha kwa waumini wake, jibu ni kama lifuatavyo. Fr. Kamugisha ni Paroko wa Parokia ya Minziro, Jimbo Katoliki Bukoba. Parokia hii ni eneo la mpakani mwa Tanzania na Uganda. Kwa hiyo, waumini wake kwa makabila ni mchanganyiko wa Wahaya na Waganda hata kama ni raia wa Tanzania. Kwa hiyo waumini hawa wanaongea lugha ya kiganda (Luganda) na kihaya (Luhaya). Kama mchungaji mwena anayewajua kondoo wake, ni vizuri kuwasalimia kwa lugha zao. KARUMUNA NA KANYANYAZI Hii ni lugha ya Kihaya. Katika lugha ya Kihaya, mdogo wako na mkubwa wako wa jinsia yako anaitwa "MURUMUNA". mdogo na mkubwa wako wa jinsia tofauti anaitwa MUNYANYA. Kwa hiyo, kwa Fr. Kamugisha ambaye ni mwanaume, KARUMUNA NA KANYANYAZI maana yake ni "KAKA ZANGU NA DADA ZANGU" katika Kristo. Mwanamke, kwa mfano Sista, akisema KARUMUNA NA KANYANYAZI anamanisha "DADA ZANGU NA KAKA ZANGU" katika Kristo. Hapo utaona kwamba kwa KARUMUNA NA KANYANYAZI ni (Kaka zangu na Dada zangu) au (Dada zangu na Kaka zangu) kulingana na jinsia ya mtu anayetamka maneno hayo. KATONDA MULUNGI na OBUNDE BOONA. Hii ni lugha ya Kiganda (Luganda) maana yake ni kama ifuatavyo. KATONDA MULUNGI (Mungu ni Mwema); OBUNDE BOONA (Kila Wakati). Hii ni salamu inayojulikana sana Tanzania kama: Mungu ni Mwema (Kila Wakati) na Kila Wakati (Mungu ni Mwema). Kwa lugha ya Kihaya ni kama: KATONDA MURUNGI (Mungu ni Mwema) na BULIKANYA (Kila Wakati). Vilevile inaweza kuwa: KATONDA MURUNGI (Mungu ni Mwema) na OBWIRE BWOONA (Kila Wakati). Samahani kwa maelezo marefu.