Padre Dkt Faustin M Kamugisha - Hatupangi Kushindwa, Tunashindwa Kupanga Morning
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ย. 2019
- Padre Dkt Faustin M Kamugisha - Hatupangi Kushindwa, Tunashindwa Kupanga Morning
#ChapeoLaWokovu #ElionaKimaro
Subscribe to Africha Entertainment: bit.ly/AfichaSubs
The Best Of African Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music, kikuyu gospel music, taarab music, bongo movie, bongo movies, tanzania movies, kanumba movie, steven kanumba, swahili gospel music, kikuyu, mugithi, mugithi mix - เพลง
Hongera sana fr.wetu kwa kipaji cha kuhubiri Mungu akutunze baba Kamugisha
Asante sana kwa Neno jema Baba🙏🏿
Baba nilikuwaga sija kufatilia mahubili na mafundisho yako kiukweli umenibadili kiloho Mungu akupe maisha malefu
Daima hutachoka kusikiliza mahubiri ya Padre Kamugisha.
Mungu azidi kukubarki baba.
Barikiwa Baba
Asanteee padre
Pastor unanibariki Sana,,sikosi kukutazama kupitia Upendo TV,,barikiwa kweli na pastor Kimaro😍
Ma padre mnaweza sana!
Nimefulahi sana na huu usemi ya kwamba" Hatupangi kushindwa, Tunashindwa kupanga! Be Blessed father.
Unachokikosa kwenye yai kitafute kwenye kuku😘🙏
Sijachokaga kusikiliza mahubiri yako father Faustini,mungu azidi kukulinda
Hata sikumbuki nimesikiliza mahubiri haya mara ngapi. Nimepoteza hesabu. Kila nikisikiliza naona kama ni mahubiri mapya
Who is still receive blessings here 24/12/2020
Barikiwa Padre kwa mafunzo mema. Watching from California.
Barikiwa Sana padre
Watching from netherlands God bless you father.
Mungu nimwema fatha ninsima muno waitu
Father prayer for me to get healings in the name of Jesus christ,
Tunabarikiwa na mafunzo yako ubarikiwe baba
Haya mahubiri huwa yanaishi wakati wote. Ubarikiwe sana Padri Kamugisha.
Ongera sana padre.Daktari FAUSTINE kwa mafunzo makuu......mungu akubariki mno.....nasikiliza kutoka mjini Nairobi,kenya
ni dokta wa binadamu au wa usomi?
@@Tafutou dokta wa usomi, PhD
Ameen!
Asante kwa neno lenye ujumbe mzito, kwa kweli kupanga ni jambo la msingi sana
Father kamgisha mnanibariki sana Mungu akutumie kadiri awezavyo ili tuweze kuoka
Axante padri kwa mahubir yako no mazuri
Amen🙏🙏
Wakora fadha kamugisha washaga abakuubiri ebijumi
Intelligent priest. May you be blessed
You prolly dont care but does any of you know of a tool to log back into an instagram account..?
I was dumb lost the account password. I would love any assistance you can offer me.
@Tatum Zaiden instablaster :)
Mahubiri matamu sn,Mungu anijalie mafundisho haya yaishi moyoni mwangu
Maneno mazuri yakutia moyo!!
Ahsante sana baba
Asante kwa mafundisho yako Mtumishi.
Amina mtumishi
Nakukubali sana sana ningeomba arudi tena maana mahubili yake niya mafundisho yaani Mungu hambariki
Amina sana fr kamgisha nakupenda mno
sooo much blessed watching from nairobi kenya,be blessed padre faustina
Dr.Kimaro Mungu akutunze kwa mashirikiano mazuri na watumishi wa Mungu wa madhehebu mengine.
From Nairobi kenya
Mafunzo mema , nabarikiwa kweli
Padre napendaga mafundisho ya mifano mifano nami napokea kwa uchangamfu sana. Hongera saaaaaana Padre.
Ubarikiwe Baba
Sifa nautukufu kwako
God bless you father be protect Am blessed am blessed so much ,
A worth point,to buy now future time!
Tunabarikiwa sana
Amen🙏
Utubariki eee MUNGU
God strengthen of ft to countiue in is mission.
Amina watumishi wa Mungu
Amen and amen 🙏🙌👏
Amina
Napenda Sana mahubili yako Baba mtumishi nikitumiwa kwenye whtsap ntashukuru sana
Mungu. Akubariki Mtumishi Wa Mungu
Amina mtumishi wa Mungu, kipawa ambacho Mwenyezi Mungu amekupatia unakitendea haki. Be blessed father.
Amen Mtumishi
Amen
Mapadre husoma sana
Father Kamugisha na Father Kimaro ni habari nyingine kabisa, yaani naisikiliza hii sijui mara ya ngapi na wala sichoki ............... nimewasikiliza wengi ila naona wanaiba maneno ya watu wengine halafu wanayatafsiri kiswahili na kufundishia kama yao haswa yule alishafariki alisifiwa sana nikamsikiliza nikaona mbona maneno haya si yake, nisha yasikia, nikachefukwa kabisa lakini hapa nimefika kwakweli inanipa moyo sana kuzidi kuendelea anaejua kanisa liko wapi tafadhali nipe anuani nikawaone rasmi.
Aminaaaaaaa
This Fr is the best,,I always listen to his teaching for he is practical and lively 👏👏👏
Nikweli
Naomba namba ya fr kamugisha
Ponga. Poit
Vitabu vya father navipata aje 0659590712
Ĺ
Mungu akubalik sana padr kamgisha tunafalijika sana kupitia mafundisho yako neno msamaha ni mtihani
Naezapataje number ya padre naenda kualika kwetu kenya
Amen
Kweli ni wajibu wetu kupanga namna ya kufikia malengo
Amen