UFUGAJI KUKU UNAOWASHANGAZA WENGI, NI MRAHISI NA UNALIPA MARA DUFU KWA MFUGAJI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.พ. 2021
  • Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa.
    Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo katika nyanja zote!
    Kutoka Ilemela - Mwanza, Tanzania mpaka ulipo, TUNAKUFIKIA!
    Star TV Brightens Your Day !

ความคิดเห็น • 18

  • @user-rf7it4us5m
    @user-rf7it4us5m ปีที่แล้ว

    mitandaoni unapatikanaje

  • @user-ls2uj3fl1o
    @user-ls2uj3fl1o 28 วันที่ผ่านมา

    Mimi nahitaji kuchi

  • @samsonjosephat5928
    @samsonjosephat5928 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji, huulizi alianza vipi

  • @rubenmsimbe934
    @rubenmsimbe934 2 ปีที่แล้ว +1

    anasema eti ufugaji usio na gharama,eneo la ekari moja unafugia kuku alafu unasema ufugaji usio na gharama kwa ajili ya kukatakata madumu ya maji ambayo hata ukienda kwa mangi anakupa tu bureee,muwe siriazi na mnachofundisha,kama hamjasoma uchumi basi tafuteni wachumi wawasaidia kujua mambo msiyoyajua.

  • @tituskamani4712
    @tituskamani4712 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii ni ajira kamili

  • @zephaniaenosy7246
    @zephaniaenosy7246 10 หลายเดือนก่อน

    Nimependa hii najaribu kutasimini ni mtaji wa shingapi ili nifikie malengo

  • @akeem1221
    @akeem1221 2 ปีที่แล้ว

    Huyu mfugaji anahitaji mabadiliko mengi ili kuimarisha ufugaji wake.

  • @williammaina2110
    @williammaina2110 2 ปีที่แล้ว

    Mwapatikana nchi gani

  • @barakalema7274
    @barakalema7274 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndugu vipi kwa ufugaji nusu huria hawatagi shambani??

    • @petermaniche1009
      @petermaniche1009 2 ปีที่แล้ว

      Wanataga... Na ndizo hasara za nusuhuria.. Coz mayai yanaweza potea... Ila kwa kienyeji sio hasara ila utakuja ona vifaranga

  • @kusekwamakelemo6612
    @kusekwamakelemo6612 3 ปีที่แล้ว +1

    Naona mazingira mazuri sana ila kuku wachache sana why?!!

  • @eshajarsoshambaro2674
    @eshajarsoshambaro2674 3 ปีที่แล้ว

    Niko na kuchi Nani atakae

    • @awadh8871
      @awadh8871 3 ปีที่แล้ว

      Upo wapi
      weka na mawasiliano yako

    • @akeem1221
      @akeem1221 2 ปีที่แล้ว

      Esha Mie nakutaka wewe nikulete Mombasa tufuge pamoja kuchi.

    • @fatumayusuph872
      @fatumayusuph872 2 ปีที่แล้ว

      Unapatikani

    • @fatumayusuph872
      @fatumayusuph872 2 ปีที่แล้ว

      Unapatikana wap

    • @hussenmzaganya1081
      @hussenmzaganya1081 ปีที่แล้ว

      weka mawasiliano