ULEAJI WA VIFARANGA WA KIENYEJI KWA NJIA YA KISASA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Uleaji Bora wa Vifaranga wa kienyeji
    Wafugaji wa kuku wa kienyeji, wengi hulifanikisha zoezi la ukusanyaji wa vifaranga wengi wa kienyeji kwa njia rahisi.
    Changamoto kubwa kwao ni uleaji wa bora wa vifaranga.
    Kwenye video hii tutajifunza Uleaji wa vifaranga wa kienyeji kwa njia ya kisasa.
    kwa sababu bila kuwa na elimu ya ufugaji wa kuku vifo vingi hutokea na Wafugaji hukata tamaa.
    Ili Kujifunza zaidi tafadhali tazama video hii
    • NJIA YA KUPATA KUKU WE...

ความคิดเห็น • 282

  • @tulibahesyaraphael4181
    @tulibahesyaraphael4181 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa video hii.
    Kuku wangu wameumwa ugonjwa wa kuvimba macho na wanapoteza kabisa jicho sijawahi kuuona huu ugonjwa sijui ni kitugani.

  • @MakoyeJames-f9g
    @MakoyeJames-f9g ปีที่แล้ว

    Nimejifunza vingi Sana kwa hili, ama kweli huwez kufa masikini ukifuga kuku,.kikubwa ni malez na mazingira mazuri ya ufugaji"
    Hongera Sana mwalimu tu pamoja

  • @farajasallah2338
    @farajasallah2338 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa elimu nzuri imenisaidia sana nilikuwa nashindwa kabisa kulea vifaranga

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 ปีที่แล้ว +1

      Asante kwa kufatilia changamkia fursa. Utajifunza mengi, pia saidia kushea

  • @ramaaman9173
    @ramaaman9173 4 ปีที่แล้ว +2

    Vizurisana nimojayamaendeleo kwasababu wengiwetu hatujui tunajifanyiatuu mishowasiku tunasema Mimi sinamkono wa ufugaji,so it's very important to know that . God bless you.

  • @emanuelimollelkilusu5206
    @emanuelimollelkilusu5206 4 ปีที่แล้ว +1

    Hakika nimejifunza jambo NA kufurahia somo ni zuri sana. Ubarikiwe..

  • @kemboikosgei7132
    @kemboikosgei7132 หลายเดือนก่อน

    I like it I love it

  • @BerinaKamalu-qv5ln
    @BerinaKamalu-qv5ln ปีที่แล้ว

    Asante Sana somo lako linaereweka maana tunafuga bira elimu mwisho wa siku kukuwakufa wengi sana

  • @papaabalem3734
    @papaabalem3734 4 ปีที่แล้ว +1

    pongezi kwa kazi nzuri,mimi napenda sana ufugaji wa kuku,naendelea kupata mafunzo

  • @SalumuNgevewaongezeweawooooo
    @SalumuNgevewaongezeweawooooo 5 วันที่ผ่านมา

    Mm nmewaelewa sana asante

  • @apolinalismgimba1885
    @apolinalismgimba1885 5 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa elimu nzuri

  • @apolinalismgimba1885
    @apolinalismgimba1885 5 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa elimu nzuri

  • @seraphinamzurikwao3714
    @seraphinamzurikwao3714 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa elimu nzuri mnoo

  • @makyeintiro1023
    @makyeintiro1023 3 ปีที่แล้ว +2

    Mafunzo ni mazuri sana na yanaeleweka, tunashukuru sana

  • @witnessmallya5114
    @witnessmallya5114 2 หลายเดือนก่อน

    Thanks be blessed

  • @lafermeeden1244
    @lafermeeden1244 4 ปีที่แล้ว +6

    Aksanti sana ndugu kwa hii video.
    Mimi naitwa Tim kutoka Congo DR. Napenda nipate njia yakuwasiliana nawe zaidi juu nipate mafunzo kamili. Tutawalisiana namna gani ?

  • @gospelfiretv9667
    @gospelfiretv9667 4 ปีที่แล้ว +6

    Ahsante sana napenda sana kaka Mungu akubariki sana

  • @ruthamba6293
    @ruthamba6293 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante kwa fundisho zuri

  • @mohamedallysalim-pl7mo
    @mohamedallysalim-pl7mo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Vizuri sana

  • @luganoalbert5483
    @luganoalbert5483 3 ปีที่แล้ว

    Daa asante kwa Elimu mimi napoteza sana Vifaranga Lakini sikati tamaaa Pia nimegundua Baadha ya mapungufu niliyonayo

  • @fatimakayanda715
    @fatimakayanda715 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana kwa Elimu nzuri.

  • @Irene-bz6zz
    @Irene-bz6zz ปีที่แล้ว

    Asante Kwa somo, naomba mfululizo wa chanjo

  • @salumkhatib211
    @salumkhatib211 3 ปีที่แล้ว

    ahsante kwa somo zuri
    mm nmeanza kufuga kuku aina ya kuchi ila jogoo wng ameanza kuonesha dalili ya miguu Kuuma naomba ushauri nfanyeje

  • @basilmwalongo6149
    @basilmwalongo6149 2 ปีที่แล้ว

    SoMo zuri Sana kiongozi nahitaji kujifunza zaidi ya hapo

  • @felixwangila8281
    @felixwangila8281 4 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sana mungu awape nguvu

  • @angelmashauri6961
    @angelmashauri6961 4 ปีที่แล้ว +1

    Wow! Vifaranga wanavutia sana...napenda sana kufuga kuku. Ahsante kwa kutupatia elimu ya uleaji bora wa vifaranga.

  • @benwaangetich3618
    @benwaangetich3618 ปีที่แล้ว

    thank you so much

  • @dianakafura2113
    @dianakafura2113 4 ปีที่แล้ว

    Asanteee sana kwa video kaka barikiwa

  • @omaribrahim2677
    @omaribrahim2677 4 ปีที่แล้ว +1

    Nashukuru kwa mafunzo yako, yanatufaa sana

  • @estherkaidza1618
    @estherkaidza1618 3 ปีที่แล้ว

    Kazi njema,naomba kuuliza Holi Banda liko juu kiasi Hani naona vifaranga wanazunguka vizuri,nielezeni

  • @deograciasmringa3771
    @deograciasmringa3771 4 ปีที่แล้ว

    Hii ni nzuri sana

  • @gracemurondoro3869
    @gracemurondoro3869 5 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa elimu

  • @biirazuhura6435
    @biirazuhura6435 4 ปีที่แล้ว

    Asanti sana papa tunashukuru. Naitwa Biira zuhura kutoka uganda kampala jee naweza nikafanyisha maggots mubadili ya samaki

  • @mercykimaro9382
    @mercykimaro9382 3 ปีที่แล้ว

    Nashukuru San kwa SoMo nina vifaranga vina wiki 2 baadh vinakunya damu naomba nielekezwe dawa

  • @marykowuoche2332
    @marykowuoche2332 4 ปีที่แล้ว +2

    Good program and educative

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 ปีที่แล้ว

      Thanks

    • @valentinobobby8173
      @valentinobobby8173 3 ปีที่แล้ว

      i guess Im kinda randomly asking but do anyone know a good website to stream newly released movies online?

  • @faustinelucas7235
    @faustinelucas7235 9 หลายเดือนก่อน

    Mko vzr sanaaa.

  • @OswardNdisa
    @OswardNdisa 2 หลายเดือนก่อน

    Nice work

  • @nasibuissa4757
    @nasibuissa4757 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimepend sana somolako japokua sjaanza kufuga ila napenda nifanye hyo kutokana na somo lako asant

  • @faustinelucas7235
    @faustinelucas7235 9 หลายเดือนก่อน

    Mko vzr sanaaa.

  • @larissahope3140
    @larissahope3140 4 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza mengi nashukuru

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 4 ปีที่แล้ว

    Thanks nimeipenda sana

  • @alphonceshayo1726
    @alphonceshayo1726 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante!!;

  • @josephmwikya9722
    @josephmwikya9722 4 ปีที่แล้ว

    I like it. Nimesoma mengi

  • @rasulikiambo-ex2ew
    @rasulikiambo-ex2ew 4 หลายเดือนก่อน

    Kazi njema

  • @robertlesarai5127
    @robertlesarai5127 4 ปีที่แล้ว +1

    Very educative

  • @mwamvuaally7850
    @mwamvuaally7850 4 ปีที่แล้ว +1

    Naomba uniunganishe katka group

  • @wilckstenyaboke7829
    @wilckstenyaboke7829 4 ปีที่แล้ว

    Habari ndugu mimi naitwa wilckster nyaboke kutoka kisii count ningependa nipate mafunxo zaidi

  • @Majidshevolongochi
    @Majidshevolongochi 3 หลายเดือนก่อน

    mafunzo yako ni mazuri

  • @salimmdegera6470
    @salimmdegera6470 2 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda

  • @marthatomasi8559
    @marthatomasi8559 3 ปีที่แล้ว

    Asante vifaranga jana vifarsnga vilikuwa havina ngubu kwenye miguu alafu vinajitupatupa nini asnte

  • @albertmangera2269
    @albertmangera2269 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana

  • @sittasayenda2119
    @sittasayenda2119 3 ปีที่แล้ว

    Good newsd

  • @ahmedmohd4644
    @ahmedmohd4644 3 ปีที่แล้ว

    saf san mung akubark kak

  • @mayanimkombelwa3053
    @mayanimkombelwa3053 2 ปีที่แล้ว

    asante bado nahanza

  • @neemabariki4237
    @neemabariki4237 3 ปีที่แล้ว

    Nawafatilia mwanzo mwisho nawaeleza sana

  • @alfoncehinjo6197
    @alfoncehinjo6197 8 หลายเดือนก่อน

    Mko vizur sana, hata kama ni video ya muda mrefu kwangu.
    But nina swali moja, umesema kuwa siku ya 6 na ya 13 tuwape vitamin pekeyake so swali langu ni kwamba tutawapa bila ya chakula?

  • @chalosaid8162
    @chalosaid8162 3 ปีที่แล้ว

    Ukinyang'anya vifaranga, kuku aliyetotoa hasumbui?

  • @eliengeramghase333
    @eliengeramghase333 4 ปีที่แล้ว

    Good

  • @ashrathswaibu3990
    @ashrathswaibu3990 ปีที่แล้ว

    Shukran kwa somo,nina swali,v ipi nikiwapa dawa za kienyeji kama majan ya muembe,mpapai na alovera,nakuwa sijawakinga na magonjwa? au mpaka dawa za dukani?

  • @clauskihwele5811
    @clauskihwele5811 3 ปีที่แล้ว +1

    Pia mtufunze na mtuonyeshe mabanda bora ya kuku Wa kienyeji kwasababu tumezoea kiwaachia

  • @luqmankassim6102
    @luqmankassim6102 4 ปีที่แล้ว

    Mm napenda sana ufugaji wa kuku lakini sijapata mafunzo yoyote ile naomba msaada wenu

  • @omaryjuma4676
    @omaryjuma4676 7 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa Mimi kuku wangu sikuwai kuwapa chanjo yoyote na wemefikisha miezi miwili wapo mia na hamsin vip naweza kuwapa chanjo

  • @Mwambi-f7f
    @Mwambi-f7f ปีที่แล้ว

    Asante kwamaelezo Ila ninaulizo kwamba kukuwaasili na pondeuse tunaweza kuwaweka pamoja?

  • @مكتومالدرعي
    @مكتومالدرعي 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani asanteni sijaaza kufuga ila ninajiandaa kufuga nilikua sijui kama kuna mfululizo wa dawa

  • @akidasalim3859
    @akidasalim3859 4 ปีที่แล้ว

    Nmependa

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimependa sana hiyo, naomba nisaidie kwa vifaranga 300, inatkiwa banda lindaliwe la bei gan??

  • @MadeniKipande-tp9bc
    @MadeniKipande-tp9bc ปีที่แล้ว

    Naomba muomyeshe mfano wa kuku/kifaranga chenye ugonjwa husika tukionee

  • @winfridamwamban1078
    @winfridamwamban1078 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa somo zuri na fusa

  • @abdallasalim324
    @abdallasalim324 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante kw kuteilimisha ndg, ,je hivyo vifaranga vya kuku hao wa kienyeji natakiwa kuwatoa nje wakiwa na miezi mingapi? Kw ufugaji wa (nusu ulia) kw kuwapa chakula, na kujitafutia chakula wenyew

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 ปีที่แล้ว

      Wiki 6 mpaka 8.

    • @yasinjuma1445
      @yasinjuma1445 4 ปีที่แล้ว

      Shukrani kwa darasa mkuu,vifaranga vinatakiwa kula kwa masaa mangapi?

  • @martinmuhada4263
    @martinmuhada4263 3 ปีที่แล้ว

    Somo zuri

  • @khamismbarouk8242
    @khamismbarouk8242 3 ปีที่แล้ว

    Vuzuri snaa

  • @josphatheneriko
    @josphatheneriko ปีที่แล้ว

    Ukitandaza magazeti chini sianahifadhi kinyesi cha hao vifaranga ety?

  • @alfoncehinjo6197
    @alfoncehinjo6197 8 หลายเดือนก่อน

    Ma vipi katik chanjo ya ndui no option ya kuchoma kwenye mabawa yake?

  • @attokilwiye3088
    @attokilwiye3088 4 ปีที่แล้ว

    Kipindi kizuri sana, nimejielimisha sana

  • @georgemhando2844
    @georgemhando2844 2 ปีที่แล้ว

    Natambua juhudi zenu katika kutuelimisha kwa madarada mbalimbali juu ya ufugaji wa kuku mkwa njia zilizo bora asanteni.

  • @christsbellpodcast4809
    @christsbellpodcast4809 4 ปีที่แล้ว

    asante, naomba orodha ya madaywa hayo kwa Kiengereza asante

  • @felixwangila8281
    @felixwangila8281 4 ปีที่แล้ว

    Mafunzo Mazuri Sana Naendelea kuwafuatilia

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 4 ปีที่แล้ว

    somo zuri sn

  • @calvinloth1219
    @calvinloth1219 3 ปีที่แล้ว

    Samahani.. unaweza ukaziandiika hizo suggested antiobotics ??

  • @onegamba2029
    @onegamba2029 ปีที่แล้ว

    Muna patikana wapi dar ?

  • @BashiruDauda-e1n
    @BashiruDauda-e1n ปีที่แล้ว

    Naweza kupataje vigaranga kwako

  • @LukeOtieno-j6t
    @LukeOtieno-j6t หลายเดือนก่อน

    Nataka kuanza nataka kuona video Yako zingine

  • @neemajoseph2860
    @neemajoseph2860 ปีที่แล้ว

    Mm naitaji kujengewa banda mko wapi

  • @leahsilayo5126
    @leahsilayo5126 3 ปีที่แล้ว

    Habar nauhitaj wa vifaranga 100,wa kienyej bei gan

  • @bijaytamang234
    @bijaytamang234 2 ปีที่แล้ว

    Hi🙏🇳🇵🇳🇵🇳🇵🇳🇵🇳🇵🇳🇵

  • @annahnzuki2008
    @annahnzuki2008 3 ปีที่แล้ว

    unaeza changanya changalawe na chakula ya kuku?

  • @paulmganga5880
    @paulmganga5880 4 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nimfugaji mdo sana ktk ufugaji natumia njia ya kutotoleshea vifaranga kuku hutaga na kutotoa lakini changaoto ninayoipata vifaranga vinapo fikisha mwezi huanza kushusha mabawa nakusinzia mwisho wake ni vifo je nifanyeje ili kutatua ugonjwa huu

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  4 ปีที่แล้ว

      Kama unafata utaratibu wa chanjo, yanabaki ni magonjwa ya bakteria ambayo chanzo kikubwa ni uchafu

    • @paulmganga5880
      @paulmganga5880 4 ปีที่แล้ว

      @@changamkiafursa Asante kwani katika usafi najitahidi sana, na chanjo inahitaji kuwapa vifaranga vya umri wa mda gani kuanzia vilipo totolewa

  • @benardmulenga5371
    @benardmulenga5371 4 ปีที่แล้ว +1

    nipo Zambia nataka kuanza kufuga kuku how can I start?

  • @EstherMasaka-pc3wc
    @EstherMasaka-pc3wc 6 หลายเดือนก่อน

    Asant

  • @prettyh7509
    @prettyh7509 2 ปีที่แล้ว

    Mi nauliza kroiler wanauwezo wa kutotoa na je ni chakula gani naweza kuwapa vifaranga wangu baada ya miezi miwil

  • @FAZO10-uc1hh
    @FAZO10-uc1hh 4 หลายเดือนก่อน

    Mniunganishe kwenye group

  • @emmanuelanania9833
    @emmanuelanania9833 2 ปีที่แล้ว

    Vzr mnoo

  • @stellamshani639
    @stellamshani639 3 ปีที่แล้ว

    Nimevipenda Sana vifaa vya kulishia chakula vinapatikana wapi?.

  • @anneakinyi4916
    @anneakinyi4916 3 ปีที่แล้ว

    Hawa kuku wakiwa wengi hivi unauza au?

  • @lightnessmbwambo791
    @lightnessmbwambo791 2 ปีที่แล้ว

    Me ndo nataka kuanza kufuga kuku mnanisaidiaje??

  • @marryluyagaza7490
    @marryluyagaza7490 3 ปีที่แล้ว

    Je joto halipotei huko chini ya nyavu?

  • @tumainirichard6298
    @tumainirichard6298 3 ปีที่แล้ว

    Samahani naomba kujua, je utaratibu wa kuwalea vifaranga wa kienyeji naweza kuutumia kuwalea vifaranga wa kuku chotara?

  • @nasramohamud1126
    @nasramohamud1126 ปีที่แล้ว

    Nazihitaji kuku unapatikana wapi

  • @janethjoel6513
    @janethjoel6513 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimechelewa cku mbili nawezaje kupata mafunzo jaman nisaidie

  • @arhakhhamad6872
    @arhakhhamad6872 หลายเดือนก่อน

    naitaji uniunge kwenye group

  • @amadymaextro4311
    @amadymaextro4311 4 ปีที่แล้ว +1

    Dawa mnazo taja mngekua mnaonesha kimaandishi