Creep wanakula hadi tunapowaachisha na mama kunyonya tuu. Weaner/Starter kuanzia siku 35 Grower kuanzia siku mwezi wa 3 akifikisha mpaka mwezi 5-6. Finisher 6-7 kwenda sokoni Samahani nilirekodi nikasahau kuweka sawa hiyo taarifa
@@mulapfarm9664 japo sijui kwanini nakubali tu ila sikubaliani yaani KOUDJUS mfano 20/15 ni ile ile zinatofautiana tu mchangano kwa kiasi ndio hapo pananishinda kujui hapa ni starter na hapa ni grower
Wewe ni mentor Wang u.
Nice work 🎉
Naomba address ya hiyo kampuni ya vichanganyio vya chakula
Niulize ukichanganya pumba yamuchele napumba ya mihindi na bunga yangazi hauwezi pata chakula bora???nipeni jibu plz
Mnapatikana Wapi !,
Kibaha
@@mulapfarm9664 Vema mngetia Hata namba za simu au Hanuani kamili !
Mm aliyangu ningum ila.nafuga.kwa hali yangu na weza kuchanganya nini nanini nipate chakula.bora
mm kaka unamix maelezo sana creep hawatumii kwa miezi 3
Creep wanakula hadi tunapowaachisha na mama kunyonya tuu.
Weaner/Starter kuanzia siku 35
Grower kuanzia siku mwezi wa 3 akifikisha mpaka mwezi 5-6.
Finisher 6-7 kwenda sokoni
Samahani nilirekodi nikasahau kuweka sawa hiyo taarifa
@@mulapfarm9664 japo sijui kwanini nakubali tu ila sikubaliani yaani KOUDJUS mfano 20/15 ni ile ile zinatofautiana tu mchangano kwa kiasi ndio hapo pananishinda kujui hapa ni starter na hapa ni grower
Jike wa kupandwa chotara bei gani
@@MartinLugwisha-qe7qs tupigie kwa biashara
Je unaweza kulisha chakula cha dukani peke yake bila pumba na ukapata faida?
@@franklinisaya4796 Piga mahesabu ya biashara nzima ndio utapata faida
@mulapfarm9664 na ndio ninachotaka kufanya asnt kwa ushauri
Mifuko mitatu ya kilo ngapi
Wapi jamani na wakuchinja unauza
kwenye fomula ya Koudjus hakuna mchango wa soya
Hauweki soya kabisa
Soya ipo kwenye concentrate
Naomba namba zenu, na jinsi ya kupata
@@amanirighton8148 tucheki kwa manunuzi 0659770886
Naitaji Namba yako please
@@IvanKamatete 0659770886