ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

MAMA MZAZI WA MCH. DKT ELIONA KIMARO AKIELEZEA MAISHA YA MWANAE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 เม.ย. 2023

ความคิดเห็น • 188

  • @lucymambaly-zp7ql
    @lucymambaly-zp7ql ปีที่แล้ว +15

    Hakika Mungu anastahili kutukuzwa Kwa ajili ya Mchg. Eliona. Hakika Mama wewe ni Mzabibu Mwema. Umeongea vema na unajua kujieleza vizuri kama mwanao. Baada ya Dhiki faraja. Hakuna aliyemtegemea Mungu akaaibika. Tena Mungu huwainua wanyonge kutoka jaani na kuwaketisha na Wakuu. Hongera sana Mama. "KICHA ULETARAMO MAE"

  • @jescabulaya900
    @jescabulaya900 ปีที่แล้ว +8

    Waooow mama ! Nani Kama mama jamani! So inspiring! Ama kwa Hakika ukimtumikia Mungu , Baba atakuheshimu

  • @dorisassey8142
    @dorisassey8142 ปีที่แล้ว +10

    Hongera sana mama umenifanya nilie machozi .nimekumbuka soma la mchungaji from bitter to better. Ubarikiwe mama

  • @josephinembuguni198
    @josephinembuguni198 ปีที่แล้ว +8

    Amen 🙏. Nimefarijika sana na maneno ya Mama wa Mchungaji. Mungu Azidi kukutunza Mama pamoja na Dr. Eliona. Kwa kweli Amekuwa baraka si kwako tuu bali hata na sisi wa madhehebu mengine. Barikiwa sana Mama

  • @rhodamwafongo6660
    @rhodamwafongo6660 ปีที่แล้ว +6

    Jamani nimefurahi kumuona mzaa chema wetu ,mama Mungu azidi kukutunza uzidi kuona baraka za Mungu kwa mwanao wajukuu hata vitukuu !!

  • @christinangondi4212
    @christinangondi4212 ปีที่แล้ว +4

    Rev. E. Kimaro alitengwa na MUNGU tangu tumboni mwa mamake, Kibali cha MUNGU kiko juu yake, Be Blessed Reverend

  • @DominicMengi-cx7vs
    @DominicMengi-cx7vs ปีที่แล้ว +9

    Mungu akutunze sana Mama. Mungu akumbuke sadaka zako akupe umri mkubwa.

  • @gee_gm
    @gee_gm ปีที่แล้ว +12

    Baraka zako ndizo zimemuweka alipo Leo!
    Hili linatufundisha kuwakumbuka wazazi wetu ili tubarikiwe.
    MUNGU akutunze sana mama!

  • @gladnesskamana8706
    @gladnesskamana8706 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aendelee kukuinua Mtumishi wa Bwana, kwa hayo uliyofanya kwa wazazi, hakika bado kuna mahali Mungu atakufikisha. Endelea kubarikiwa. Mungu pia ampe maisha marefu mama yetu, nawapenda.

  • @JUBRANBULAYHl-yb4ke
    @JUBRANBULAYHl-yb4ke หลายเดือนก่อน

    Mama yangu, haki yako bado haijakamilika, Mungu akipenda mpaka uitimize haki yako☝🏻☝🏻🤲🤲☝🏻☝🏻

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 ปีที่แล้ว +6

    Ameni hongera mama kwa marezi mazuri nafurahi uwepo wake na huduma yake

  • @janesekimweri1620
    @janesekimweri1620 ปีที่แล้ว +2

    Waooooo, so inspiring, kweli MUNGU humtoa mtu chini na kumpandisha juu

  • @stansiauisso5441
    @stansiauisso5441 ปีที่แล้ว +4

    Chamecha mae mama Shayo mwimbaji mzuri sana kwaya ya tumaini Kondeni Matala pongezi sana jirani yetu Mungu azidi kukutunza mama

    • @annamosha968
      @annamosha968 ปีที่แล้ว

      Wow👏👏👏👏👏

  • @halimasanga3830
    @halimasanga3830 ปีที่แล้ว +9

    Jamaani!!! Mama anaongea vizuriiii!!! Mungu akujalie mama uishi miaka mingi na uwe Na uzimaaa.

  • @ZeldaMariki-jd1gy
    @ZeldaMariki-jd1gy ปีที่แล้ว +4

    Yaani huyu mama anaongea kiswahili kilichonyooka ile mbaya.. yuko vizuri. Ni mwalimu au???

  • @shuca
    @shuca ปีที่แล้ว +7

    Ameeeeeen, Mama Kimaro uzidi kubarikiwa na familia yote.

  • @allexjohnmurra1551
    @allexjohnmurra1551 ปีที่แล้ว +1

    Hapa ndo tunapoona ule msemo wa Mwakasege Christopher ..ukimtumikia Mungu huzeeki

  • @irinechalo6079
    @irinechalo6079 ปีที่แล้ว +5

    Mungu ambariki Sana mama yetu shayo mungu akupe maisha marefu

  • @massawemrlowprice3949
    @massawemrlowprice3949 ปีที่แล้ว +40

    Walioangalia hadi mwisho gonga like kwangu

  • @rumb5876
    @rumb5876 ปีที่แล้ว +10

    ❤ UBARIKIWE MAMA MZAZI WA MCHUNGAJI

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 ปีที่แล้ว +1

    🥲🥲mpk machozi yamenitoka kwa furaha ya mama anavyompa Baraka mchungaji wetu Eliona Kimaro, mama Mungu akutunze 🙏🙏

  • @abigailbateyunga8187
    @abigailbateyunga8187 ปีที่แล้ว +4

    Asante Mama yetu Kwa baraka zako Wafilipi 1:6, Kumb.28:1-14 ziwe zake na Kumb. 28:15-68 ikawe ya maadui zake.❤ Amina.

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 ปีที่แล้ว +1

    Umefanana na mwanao. Hongera sana mama kwa uzao ulio barikiwa. Mungu azidi kukubariki mama yetu. Hata sisi waumini tunampenda sanaaa❤❤❤❤

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 ปีที่แล้ว +5

    NIMEFURAHI MNOOO kusikia ushuhuda wa Mama MZAZI wa Dr ELIONA KIMARO, mchj Kiongozi, kkkt KIJITONYAMA. MUNGU akupe MAISHA marefu Mama na UZAO wako wote. Umebarikiwa SANA kwa kweli.

  • @LiznaLymo-ej4xg
    @LiznaLymo-ej4xg ปีที่แล้ว

    Chamecha mae. Mungu azidi kukubariki mama. Hakika mama wa umri wako kufanya interview nzuri hivi ni neema iliyopitiliza. Nimejifunza mengi sana kuhusu baraka za wazazi.

  • @annamulungu2876
    @annamulungu2876 ปีที่แล้ว +1

    Nimelia sana.
    Kumbe ametoka mbali huyu mchungaji jamani!
    Mungu azidi kumuinua kwa utukufu wa Mungu ❤

  • @rubenkategere3348
    @rubenkategere3348 ปีที่แล้ว +1

    Kweliiiii mmefanana sanaaaaa Mama na mtoto hata lafudhi yenu wachaga oG hongera sanaaaaa Mama kwa kumzaa
    Eliona Kimaro mchungaji wa faida kwa watanzania mi niko dayosisi ya kasikazini magharibi DKMG ila namfatilia sanaaaaa mchungaji wetu kipenziii Eliona kwenye mitandao yetu 🙏🏼

  • @ancytarimo1103
    @ancytarimo1103 ปีที่แล้ว +2

    Hakika Baraka za mama zina nguvu sana hapo ndipo nguvu za Eliona zilipojikita. Asante baba

  • @kagemlolutinwa3316
    @kagemlolutinwa3316 ปีที่แล้ว

    Wow Hongera sana Balasi. Mungu akubariki sana sana. Mama she is proud of you. UMEBARIKIWA MCHUNGAJI.

  • @Udindigwa
    @Udindigwa ปีที่แล้ว +2

    Amina Mama Yetu Wa Nguvu Ubarikiwe SANA Mungu Asimame Nanyi Imekuwa Ni Nuru Katika Taifa letu la Tanzania na hata Nje Ya Tanzania Mungu Asimame Nanyi Anamuchango Mkubwa SANA

  • @mamyluhizo3173
    @mamyluhizo3173 ปีที่แล้ว

    Bwana YESU na mimi nipe kibali mbele zako katika uzao wangu atokee mmja kuweza kukutumikia na mm niitwe mama wa Mtumish wa MUNGU in JESUS name.

  • @filorammbaga5710
    @filorammbaga5710 ปีที่แล้ว +1

    Hyuy ni Yusufu wa hiyo familia Mungu amuinue zaidi na zaidi.

  • @elizabethshao2845
    @elizabethshao2845 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu akazidi kubariki uzao wa tumbo lako mama angu pamoja familia nzima wa Rev. Eliona Kimaro. Mbarikiwe sana

  • @salmatanza8133
    @salmatanza8133 ปีที่แล้ว +5

    Nimefurah Sana kumuona mama kimaro kimaro amefanyika Baraka kwa wengi mimi nikiwa sehemu Mungu awape umri mrefu

  • @lucianagodson437
    @lucianagodson437 ปีที่แล้ว +3

    Na watoto wako wooooote na uzao wakoo wooooote uzidi kubarikiwa zaidi na zaidi sana kupitia jina la Mwenyezi Mungu

  • @graceshayo2280
    @graceshayo2280 ปีที่แล้ว

    Mch eliona Mungu akubariki kumfurahisha mzazi na mzazi azidi kufurahi ndipo baraka zako zitaongezeka

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 8 หลายเดือนก่อน

    Jmn kupata mzazi kama huyu nibaraka tosha😭😭😭😭 Machozi ya furaha sanaa, Baba Eliona Kimaro uinuliwe zaidi ❤❤

  • @ochangekibanga6191
    @ochangekibanga6191 ปีที่แล้ว

    Mama mzaa chema Asante kwa ushuhuda huu..Mchungaji Kimaro amekula baraka sana kwa watu wengi. Mungu ampe maisha marefu.azidi kuinua huduma yake aliyomuitia.Ameeeen

  • @magdalenachissanga9564
    @magdalenachissanga9564 ปีที่แล้ว +2

    Jaman mama Mungu amesikia maombi yako mama kwa Mch Kimaro amekuwa Baraka kwa watu wengi nw kwa mataifa yote

  • @lilianrichard7264
    @lilianrichard7264 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukufanya baraka Kwa wengi mchungaji kimaro tujifunze wazazi kuwaombea watoto baraka na kuona vipawa vyaa🙏🙏🙏

  • @aisiamkonyi4977
    @aisiamkonyi4977 ปีที่แล้ว +2

    Mama hukumpa hela ila ulompa baraka kubwa sana mchngj na tunaiona,Mungu akutunze mama na Mchungaji pia

  • @lynalyna3968
    @lynalyna3968 ปีที่แล้ว +1

    Uwiiii ndomn baba unasema tuanze kufanya kz nyumbani,bibi Asante kwa kutuzalia mchungaji mwema

  • @erickasenga2594
    @erickasenga2594 ปีที่แล้ว

    Tulicho jufunza kwenye hii interview apatae baraka za mama basi amepata kibali cha mungu. Tuwatunze wazazi wetu baraka zao ni silaha kubwa sana katika harakati za kutafuta

  • @beatricepallangyo2821
    @beatricepallangyo2821 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana Mama.
    Mchungaji Kimaro amekuwa Baraka kwa wengi na naamini Baraka zimeanzia kwako Mama.
    Tunamwombea sana Mchungaji wetu Dr. Kimaro.
    Mama Ubarikiwe sana!!!

  • @sarahwawuda5164
    @sarahwawuda5164 ปีที่แล้ว

    Wow ushuhuda wa nguvu mama mzaa chema Mungu akubariki.
    Hongera sana mchungaji kimaro.

  • @happinessmosala2217
    @happinessmosala2217 ปีที่แล้ว +4

    Mama umebarikiwa sana.Mungu apewe sifa

  • @nkarizikim6970
    @nkarizikim6970 10 หลายเดือนก่อน

    Great Testimony from Mame.yetu!! Ubarikiwe daima Mama!! Kama maandiko yana vyosema luka 11:27 Heri tumbo lilomzaa Mch. Eliona!! Maana mwanao anatubariki sana !

  • @emiliananjau6393
    @emiliananjau6393 ปีที่แล้ว

    Hatasisi wa madhehebu mengine tunabarikiwa sana na mchungaji Eliona Kimaro.
    Barikiwa sana mama kwa malezi yako.
    Zaidisana ashukuriwe Mungu wetu wa mbinguni.

  • @gideons5265
    @gideons5265 ปีที่แล้ว +4

    Anafanana na mama yake sana hadi jinsi anavyo ongea Mch Eliona ni kama mama yake

  • @jeniphasilayo5513
    @jeniphasilayo5513 ปีที่แล้ว

    ni kweli alitufundisha sunday school Matala wakati huo tunasali kwenye madarasa ya shule ya msingi MAWENI , MAMA NAMI NAOMBA BARAKA ZA HAYO MAJANI YA KAHAWA😘😘😘

  • @rezegerezege691
    @rezegerezege691 ปีที่แล้ว +4

    Bibi yangu kipenz Mungu Akulinde siku zote.

  • @kapiriisavictoria4175
    @kapiriisavictoria4175 ปีที่แล้ว

    Amen Amen 🙏, mama asante kwa kumbariki Mchungaji, EEEH MUNGU Bariki Sala za mama Mchungaji na Mchungaji Eliona, pia sala zetu tunazomuombea Mchungaji na wachungaji wote ulimwenguni.

  • @bonifasmmbando9918
    @bonifasmmbando9918 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli wazazi ni Mungu wa pili duniani, akikubariki unabarikiwa

  • @a.p.monlinetv3561
    @a.p.monlinetv3561 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi Mungu akujaliye umri mrefu Mama etu akuondoshee na baraa mbali mbali

  • @ciciandjojo7701
    @ciciandjojo7701 ปีที่แล้ว

    Tunamuombea sana zaidi. Mungu aendelee kumuonekabia. Akapandisgwe juu zaidi kila iitwapo leo 🤲barikiwa sana mama na uzao wako 🙏

  • @lizzyshoo8084
    @lizzyshoo8084 ปีที่แล้ว

    Ee Mungu mkumbuke Nathaniel wangu aje kuwa kama Eliona Kimaro akupende wewe kwa moyo wake wote na kukutumikia . Amen

  • @tutindagamtalege1295
    @tutindagamtalege1295 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mama kwa uzao uliobarikiwa,Mungu akutunze na amtunze mch Eliona kimaro

  • @mamaedskitchen8509
    @mamaedskitchen8509 ปีที่แล้ว

    Wow..this is deep😢...Mungu aendelee kumbariki Mchungaji Eliona

  • @graceandrew6718
    @graceandrew6718 ปีที่แล้ว

    Ameen Ameen mama, tunamuombea pia mchungaji Dr.Eliona Kimaro kwa makubwa anayo yafanya. Naomba hii clip imfikie yule mchungaji Hananja, shetani alitaka kumtumia kuaribu sifa ya mtu lakini kashindwa kwa jina la Yesu.

  • @faithkhangatsi2187
    @faithkhangatsi2187 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutunze sana Mama Mtumishi I tap the grace 🙏 ❤

  • @anethsanga4259
    @anethsanga4259 ปีที่แล้ว

    Hakika Mungu ni mkuu amuinuaye mnyonge kutoka mavumbini na kuketi na wakuu.Ubarikiwe tumbo lililozaa mbarikiwa.Kweli hatima ya mtu IPO mikononi mwa Mungu na yeye ndo aijuaye kesho ya mtu

  • @mikalijesmart3546
    @mikalijesmart3546 ปีที่แล้ว +1

    Wonderful,Amen Mama mzaa Pastor

  • @leahdaniel1117
    @leahdaniel1117 ปีที่แล้ว +4

    Siku zote Baraka huanzia kwa wazazi wako MUNGU Ni mwema Sana

  • @RachaelMsokwa-om3zz
    @RachaelMsokwa-om3zz ปีที่แล้ว

    Mungu aendelee kuifunika hii family kwa utukufu mwingi ili uwe ushuhuda kwa wengi.baraka za mungu hazina majuto

  • @adellahchipanyanga5107
    @adellahchipanyanga5107 ปีที่แล้ว

    Mama mwenye hofu ya mungu mungu akubariki mama kwa kumwonyesha mtto wako njia ilio njema mungu kwanza nayote tutazidishiwa barikiwa bibi yetu

  • @kiuremvamba5596
    @kiuremvamba5596 ปีที่แล้ว

    Amen mama Mungu atukumbushe kuwatunza wazazi Wetu. From bitter to better. Hakika Nitakwenda

  • @marymrema4290
    @marymrema4290 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli acheni Mungu aitwe Mungu, chotaramwo mae mtia moyo uzidishiwe miaka mingi mingi ubarikiwe sana sana

  • @zawaeli3357
    @zawaeli3357 ปีที่แล้ว

    Mama nakupenda kweli ndio maana hata Mungu Baba aliweka kitu chema tumboni mwako hata unavyoongea nikweli kabisa sababu unaongea ukweli

  • @joycemsirikale5985
    @joycemsirikale5985 ปีที่แล้ว

    Mungu akutunze mama, mbegu njema uliyoipanda imefanyika baraka kwa dunia nzima, Mungu akupe miaka mingi uzidi kuona matendo makuu ya baraka anayoyatenda mwanao kwa maaada wa Mungu anayemtumikia

  • @deokessy6596
    @deokessy6596 ปีที่แล้ว +3

    Mama nimekupenda....

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 ปีที่แล้ว

    Amen mama nasi tunayashuhudia Mungu amtangulie azidi kuwa baraka kwetu ❤

  • @filorammbaga5710
    @filorammbaga5710 ปีที่แล้ว +1

    Pole mama Mungu amekulipa haki yako.

  • @rubenkategere3348
    @rubenkategere3348 ปีที่แล้ว

    Mama yetu kipenziii aliye tuzalia mchungaji wetu kipenziii mhe. Dkt Eliona Kimaro mchungaji wetu wa Kanisa la Kinjili la Kilutheri KKKT DMP Mwenyezi Mungu awalinde Mama na mwanae 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @neemam5042
    @neemam5042 ปีที่แล้ว +3

    😢😢
    Amen, asante sana Mama

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 18 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki mama

  • @gloriankini3616
    @gloriankini3616 ปีที่แล้ว

    Mungu ambariki mama na kila aliyefanyika daraja kuhakikisha Mchungaji Eliona yupo alipo leo

  • @enockshayo9688
    @enockshayo9688 ปีที่แล้ว

    Neno la Mungu ni ndio na ni amina Zaburi ,112:1-3.

  • @dariajohn216
    @dariajohn216 6 หลายเดือนก่อน

    Yani jamani mama kanitoa machozi uzidi kubarikiwa sana Mchungaji

  • @annastaziaramadhani2666
    @annastaziaramadhani2666 ปีที่แล้ว

    Huyu mchungaji atakuwa mkubwa zaidi ya hapa halipo kwanza anapendwa na Mungu pia na wanadamu, Mungu akutunze baba

  • @godlistenjoseph5499
    @godlistenjoseph5499 ปีที่แล้ว

    Mama hongera sana kwa maombi mazuri ya mafundisho Mchungaji Kimaro ataendelea kuwa baraka.

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 ปีที่แล้ว

    Mungu amtunze kwa ajili ya dunia. Tunakupenda pia mama na mchg wetu

  • @seydinekyiwera
    @seydinekyiwera ปีที่แล้ว

    Hongera sana mama mdogo wangu Mungu aendelee kuwainua.

  • @user-nm1zc7qz1i
    @user-nm1zc7qz1i 5 หลายเดือนก่อน

    God's blessing makes rich and adds no sorrow

  • @petronilatlatlaa1420
    @petronilatlatlaa1420 ปีที่แล้ว +4

    This is blessing ❤

    • @yasintakifyasi-kp9hh
      @yasintakifyasi-kp9hh ปีที่แล้ว

      kweli mungu abariki na kutanua huduma yake eliona amefanyika jeshi la fanilia na kunguru wakuleta mkate nyumbani

  • @boscoafikile4737
    @boscoafikile4737 ปีที่แล้ว

    Amina mama Mungu azidi kuwatunza , umetoa ushuhuda mzuri sana .

  • @priscamavindi4082
    @priscamavindi4082 ปีที่แล้ว

    Mama aliye ndani ya Yesu hata anapoongea unauona utukufu wa Mungu
    Barikiwa mama kwa malezi bora umemlea na kumtunza vema kuhani wa Mungu

  • @shau78
    @shau78 ปีที่แล้ว

    I am super moved. Yesi asante

  • @rehemailomov9648
    @rehemailomov9648 ปีที่แล้ว

    Hongera mama umetuzaliya mtoto mzuri Wote tunamuombeya

  • @nuruurio8319
    @nuruurio8319 ปีที่แล้ว +2

    Nimeshangaa bibi yangu katoka wapi huku hakika duniani wawiliwawili siyo kwa kufanana huku

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 ปีที่แล้ว +1

    Kwenye familia huwa anatokeaga mmoja wa tofauti.

  • @elionoramtei4410
    @elionoramtei4410 ปีที่แล้ว

    Hakika imekua historia ya Baraka sana nimeskiliza nikilia tu,huyu Mungu anaeinua wanyonge toka mavumbini na kuwaketisha na wakuu aikumbuke na nyumba ya Baba yangu

  • @defencedominic550
    @defencedominic550 ปีที่แล้ว

    Ameen Mungu
    akutunzwe na akupe afya njema na akutunzwe mama

  • @filorammbaga5710
    @filorammbaga5710 ปีที่แล้ว +1

    He kumbe na baba alikuwepo !
    Pole mama una haki ya kuwa.mama.

  • @marymessay4257
    @marymessay4257 ปีที่แล้ว +1

    Amen mama ubarikiwe kuzaa mtumishi

    • @nicomwaibale3315
      @nicomwaibale3315 ปีที่แล้ว

      Nimeipenda sana hii video ushuhuda wa mama, lakini masikitiko yangu ni mtengeneza video hajatuonyesha nyumba na makazi ya huyo mama aliyojengewa na Mch. Dkt Eliona

  • @claudiamartin9607
    @claudiamartin9607 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu tenda na kwangu

  • @vickyshayo7880
    @vickyshayo7880 ปีที่แล้ว +1

    Hiki kipawa cha Eliona amekipata kwa mama yake ona anavyoa jua kuongea kuongea Mungu aendelee kumwinua

  • @jenifamtweve2524
    @jenifamtweve2524 ปีที่แล้ว +2

    Asande mama mzaa chema Mungu akubaliki sana akupe miaka mingi yakuishi duniani

  • @mesiamatheo2230
    @mesiamatheo2230 ปีที่แล้ว +3

    Kwa baraka hizi za mama shetani atapitia wapi?...

  • @graceshayo2280
    @graceshayo2280 ปีที่แล้ว

    Mithali 23:25. Na wafurahi baba yako na mama yako na AFURAHI ALIYEKUZAA, sbb umefurahisha wazazi Mungu amekufurahisha mch eliona uzidi kubarikiwa na pia umebariki wengi hata ambao sio ndugu zako

  • @NeemaMassawe-lt5lr
    @NeemaMassawe-lt5lr ปีที่แล้ว +1

    Lyangoyo😊😊Mungu wa mbinguni aibariki siku aliyozaliwa ...