EXCLUSIVE: WALIOMKATAA LYDIA KWASABABU YA ULEMAVU WAKE WATALAANIWA, ROSE MUHANDO AFANYE NAMNA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 21

  • @malkiarosemuhando3310
    @malkiarosemuhando3310 21 วันที่ผ่านมา +1

    Ngoja uone umezidi nimekaa kimya but umekazana kunitafuta Nimechoka

    • @zonemedia_tz
      @zonemedia_tz  21 วันที่ผ่านมา +1

      Mama Rose Muhando ebu iangalie kwanza Interview sio unasema kwamba utanishtaki sasa mtu ata akitoa maoni yake mazur bado unakataa? how inakuwaje hii kama kwenye io interview huyo mtu amekuzungumzia kwa mema kabisa ya kumpendeza Mungu na binti alivyotumia nyimbo zako kuziimbia Mashup bado unakasirika Dah inanishangaza hata hii

    • @WiselightOfficial
      @WiselightOfficial 21 วันที่ผ่านมา

      Sio rose muhando huyu anaejibu hapa ​@@zonemedia_tz

    • @AdonisSifa
      @AdonisSifa 21 วันที่ผ่านมา

      ​@@zonemedia_tzhii sio account ya Rose ni fake

  • @Moviearenatz
    @Moviearenatz 21 วันที่ผ่านมา +1

    Hapa roze,unakulupuka nimetazama video yote ajakuzungumzia kwa mabaya usiwaonee vijana.wanazungumzwa wakina #diamond tena kwa ubaya usizeeke vibaya tena kemea pepo

    • @Madina-uw6ce
      @Madina-uw6ce 21 วันที่ผ่านมา

      Weeeh kwa utaishi bila kuzeeka

  • @malkiarosemuhando3310
    @malkiarosemuhando3310 21 วันที่ผ่านมา +1

    Unajuwa nitakushitaki ,maana unanihusisha na vitu nisivyo ijuwa Endelea

    • @zonemedia_tz
      @zonemedia_tz  21 วันที่ผ่านมา

      Mama Rose Muhando ebu iangalie kwanza Interview sio unasema kwamba utanishtaki sasa mtu ata akitoa maoni yake mazur bado unakataa? how inakuwaje hii kama kwenye io interview huyo mtu amekuzungumzia kwa mema kabisa ya kumpendeza Mungu na binti alivyotumia nyimbo zako kuziimbia Mashup bado unakasirika Dah inanishangaza hata hii

    • @Benny318m
      @Benny318m 21 วันที่ผ่านมา

      Mamangu, malkia wetu wa injiri hajakuhusisha kwa ubaya nimesikiliza mpaka mwisho ameomba tu umsapoti kwa namna yoyote ile binti yako LIDYA hata kwa kumshika mkono wewe mwenyewe au kumpa connection na watu watakao mshika mkono mama etu watanzania tunakupenda❤❤❤❤❤

    • @BethuelofficialTz
      @BethuelofficialTz 21 วันที่ผ่านมา +1

      Anayejibu sio rose Muhando jaman, rose ana account moja Tu na sio hii inayotumika humu
      don't u understand ?

    • @Benny318m
      @Benny318m 21 วันที่ผ่านมา

      @@BethuelofficialTz kweli bhana sio yeye

  • @fadmedia2024
    @fadmedia2024 21 วันที่ผ่านมา

    Cjaona shida kwenye ubunifu wa content dhidi yako,mfatilie mchambuzi utaelewa vizuri

  • @malkiarosemuhando3310
    @malkiarosemuhando3310 21 วันที่ผ่านมา +2

    Unajuwa nitakushitaki ,maana unanihusisha na vitu nisivyo ijuwa Endelea

    • @Moviearenatz
      @Moviearenatz 21 วันที่ผ่านมา

      Tena unatakiwa tushukulu hata hizi media zinazokuongelea maana ulisha potea

    • @Kellytanzania
      @Kellytanzania 21 วันที่ผ่านมา +1

      Kwenye hizi content za huyu LYIDIA sijaona kibaya kilichosemwa juu yako.ukiamua kwenda mahakamani nenda ila hii media Bado ipo safe

    • @mr.tongenyama
      @mr.tongenyama 21 วันที่ผ่านมา +1

      Acha kukurupuka Malkia sikiliza kilichozungumzwa, mnawaza kuongelewa vibaya muda wote mkisifiwa bado ni ubaya... hatuwezi kuacha kuongea ikiwa Bado tunaishi iwe mazuri tutasifia na mabaya tutakemea 🤔

    • @WiselightOfficial
      @WiselightOfficial 21 วันที่ผ่านมา

      Sio account ya rose hii ​@@mr.tongenyama

    • @WiselightOfficial
      @WiselightOfficial 21 วันที่ผ่านมา

      ​@@Moviearenatzrose hajapotea wewe ndiyye huna muda wa kumsikiliza rose yupo sana lakin pia hiyu anayejibu sio account halali ya rose muhando please mpuuzieni huyu