❤❤❤ this song to me is a testimony of Rose Muhando hit song "NIBEBE" after years we are all here to testify that Elohim has "carried us" more grace Mommy ❤❤❤❤
really love this woman of God. See how God is taking you to higher places , dining with queens and kings. I prophesy over this song, it's gonna take you to a bigger place than never before. I love this hit. It's a hit.ay the Lord bring money on the table for you mom.
This woman made me fall in love with kiSwahili after I listened to Utamu WaYesu album. Slowly I'm still learning the language. Sisi ni wamoja Africa.🇿🇼🇿🇼🇿🇼🇿🇼
I really thank God for Rose Muhando, God has restored her life, she's the rose muhando we used to know 15yrs ago, The Queen of Gospel music Africa 🌍. May God Bless you Rose Muhando ❤️
Walijua hatafikaaa nyieee usichezee na Nguvu za Mungu kama akipanga kumuinuwaa mtu Mwanadamu hata apingee Mungu ndo kila kitu Nakupenda Sana Mama yangu Rose Muhando Mungu akupiganie Kila hatua ya uimbaji wako kipawa unacho Mama 🔥🔥🔥🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Na mimi kutoka Burundi 🇧🇮nafika. Nyimbo nzuri sana❤,Mama Rose ubarikiwe sana🎉🎉 «umewakomesha»!† kubita,kubita(lugha yetu kirundi🇧🇮) Wapenzi wa Mama Rose kama mimi muweke 👍 hapa 👇👇👇👇
Sikiriza muke wake,mimi ninaitwa Muhire Theoneste,ninayenda kukuendeka sana!I don't know kiswahilu very well but holly spirit multiply those words in you,and you understand well what I write now,Thank you so much!
Nilikuwa nasubiri kwa hamu nyimbo yoyote ya kwenye album ya amefanya itoke,nashukuru umeanza na hii Rose na isubiri kwa hamu video ya nyumbani naipenda sana nyimbo hiyo
Genz wote wa Kenya naomba like ya Rose please😂❤❤❤❤❤
Nilifutwa kwa kz ya 6k nkapata job ya 36k and above, Mungu alijua kuwakomesha like tukisonga....Glory to God
Amen
❤❤❤ nimependa huu wimbo mungu akuzidishe mama
Wow yesu endelea kunibeba na kukomesha madui zangu, watching from Spain
From hit to hit weuh ,,,,, 😅😅😅 kama unampenda rose muhando piga like moja kubwa sana hapa
Simba wa muziki lots of love from Kenya dada rose a great msgs to our enemies may their plans perish
Kazi nzuri 🎉🎉mama pepea.
😂😂😂😂eti mama pepea
Kasolomoni wetu pia ni 🔥
bigapu
😂😂😂😂😂@@Soulfulworshipwithprudence
Umenibebaa Yesu tam kweli. Congratulations Rose
Huyu mama ni kiboko star always piga like tukisonga
Kutoka kenya wapi likes za mamaa🎉🎉kabisa Amewakomesha❤
Hii n Moto kama pasiiiiii lets share huyu nde queen wetu wa gospel ❤❤❤
Safii amewakomeshaa❤❤❤❤🔥
KAMA MUNGU AMEWAKOMESHA ADUI ZAKO GONGA LIKE LOVE ROSE
Umenibeba kweli yesu.....!!! Angusha likes kama yesu amekubeba
Like kwake rose
❤❤❤ this song to me is a testimony of Rose Muhando hit song "NIBEBE" after years we are all here to testify that Elohim has "carried us" more grace Mommy ❤❤❤❤
Arrrrrrrrrrr ngoma ndo hii🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Wakenya mpooo!!! Twende nalooo lazima iende viro kama kawa💪
Umewakomesha maadui zangu Mungu wangu. Asante dada Rose Muhando kwa wimbo mzuri..
Amen mama umewakomesho wote.awana nafasi hii imeenda.barikiwa mama.
really love this woman of God. See how God is taking you to higher places , dining with queens and kings. I prophesy over this song, it's gonna take you to a bigger place than never before. I love this hit. It's a hit.ay the Lord bring money on the table for you mom.
Tunaanguka nayo hii team kenya 🇰🇪 say Amen 🙏
Amen
This song motivates me be blessed quin of Gospel❤
From Kenya am ohangla gospel rhumba wakwanza hapa nipewe likes mukinifuata youtube 😅😅😅😅😅 malikia apewe likes 🎉🎉🎉
hello
@@KennedyPasape hello
Unajua kuomba subscriber🇰🇪 ❤
@@carolynewekola153 yes dear nipee tu naomba
@@professor1992 lazima
The energy in this woman of God amazes me, it's 💥💯
Rose Muhando to the world...nipewe likes za first comment....twende naloooo🔥🔥
🎉🎉kabisaa
Nilijua tu utakuwa hapa mbele ya kila mtu😂😅😅
Rose to the world ❤
Rose to the maximum ministering
Muhando to the world❤❤i support that fully#TRM❤
Wow that's great congratulations our spiritual mother my favorite songs forever more blessings 🙏
Umewakomesha wote....the biggest bang nice song rose muhando
This woman made me fall in love with kiSwahili after I listened to Utamu WaYesu album. Slowly I'm still learning the language. Sisi ni wamoja Africa.🇿🇼🇿🇼🇿🇼🇿🇼
Kwa kweli sikuachaga kuwa mshabiki wako kwa kweli wamekomeshwa na wataendelea kukomesha,the Queen is back watch out
I really thank God for Rose Muhando, God has restored her life, she's the rose muhando we used to know 15yrs ago,
The Queen of Gospel music Africa 🌍. May God Bless you Rose Muhando ❤️
kama Mungu amewanyoosha adui zako gonga like
Wangu bado wana viherehere but najua soon watakoma😂😂😂😂😂😂
@@gloriaamase9764 😂😂ameeen. Mungu anajua kuwakomesha.
Ni kwel kbsaaa jmn
Wangu wamekomeshwa Hadi wamefunikwa mablanket
@@sharonmueni3620 halleluya
Rose u r my best gospel artist n I love every song cz the message is clear n understandable.kudos mama Africa
Ubarikiwe sana dada Rose. Uko juu sana sanaaaa🔥🔥🔥🔥🔥
Walijua hatafikaaa nyieee usichezee na Nguvu za Mungu kama akipanga kumuinuwaa mtu Mwanadamu hata apingee Mungu ndo kila kitu Nakupenda Sana Mama yangu Rose Muhando Mungu akupiganie Kila hatua ya uimbaji wako kipawa unacho Mama 🔥🔥🔥🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
The only Ugandan blessed here any Ugandan here? Shout Amen🕺🕺
I like hyo verse ya UMENIBEBA ❤❤❤
Malkia katika ubora wakeeeee! Neema na rehema vizidi kuwa fungu lako mummy🔥🔥🔥💯
Natazama huu wimbo nikiwa hapa Kenya wanibariki kwa nyimbo zako mtumishi wa mungu malkia.... Na wakone kabisa
Legend Rose Muhando Good job
Hulluhya Yesu umenipeba Mimi congratulations 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼 Malika wa mungu
The old Rose Muhando is now back 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯🔥💯💯💯💯
Amen Mama yangu rose muhando safii sana ata mm namshkuru Mungu amewakomeshaa😅❤❤❤❤❤🔥
Wacha ni anguke nayo 🇰🇪🇰🇪umewakomesha 🔥🔥🔥 more fire,,,, God bless you mummy 🎉🎉🎉
Wow,from glory to another.Yesu amenibeba na shimo walionichimbia wametumbukia wenyewe
Watching from Saudi Arabia. No retreat, no surrender to devil Queen Rose. Stay blessed forever Mama 🙏💕❤🌹👑
Mama rose nko na kipawa ya kumsifu mungu lakni ni pesa tu nikutafute penye uko niimbe na ww but najitaidi saana kumomba mungu anisaidiye
Mungu mpe huyu mtumishi wako ujana zaidi n nguvu za kukutumikia,,,umewakomesha Eeh Baba🔥🔥🔥❤️
Malkia rose nakuoenda xana🇰🇪tuka nawewe🙏🙏🙏
Waoooo from Kenya ad this song is my testimony afta my parents died pple said i will die like mum but who is God he is doing wonders
Ni kweli mungu amekutoa mbali rose muhando na anaendelea kubeba wewe ajakuwajilia .tupatie likes kwa wingi ,manake wimbo zake anafuraisha kila mtu❤❤❤
Mama Rose ...unatoa nyimbo eti Mungu anakomesha watu....Maanake hujui Mungu pia wewe🙏🙏🙏🙏
Moto kama pasi ! Mungu azidi kukuinua viwango vya juu zaidi
Much love from Rwanda 🇷🇼❤🔥
My favourite song...woow thanks to God.
My all time 🎉🎉🎉🎉🎉congratulations mama Africa ❤
Queen of gospel arises again in full force
Asante yesu ume nibeeba nakubenda mama rose 🙌🙌🙌🙌
My Sister Rose Muhando una jaza sana Watu ata kwenye mukutano ubarikiwe kuja ata tena Bujumbura 🇧🇮 andaha concert tunakusubiria kwa amu sana 🙏👌
Na mimi kutoka Burundi 🇧🇮nafika.
Nyimbo nzuri sana❤,Mama Rose ubarikiwe sana🎉🎉
«umewakomesha»!† kubita,kubita(lugha yetu kirundi🇧🇮)
Wapenzi wa Mama Rose kama mimi muweke 👍 hapa
👇👇👇👇
Mwana ku mugongo!
Gira kwizera!
Burundi tumejisikiya kwenye hiyi nyimbo
Amen Kubwa KABISA MAMA YANGU Mzazi
Mungu Akujaliye Neema piya Mungu Atupe Mwisho Mzuri kuliko Mwanzo
Am blessed alot ubarikiwe sana mama yangu wa kiroho ,,wamekomeshwa na bado watakomeshwa zaidi na mungu
Tuanguke nayoo! 🔥🔥🔥🔥🔥🔥Umewakomesha!! 🔥🔥Malkia naye nguvu za kila siku ni zake!☝️💪
Anavocheza Sasa the energy is amazing haloo
Wow...am blessed 😊
Madam you are so blessed with a nice voice.
Glory be to God.
Wakome kabisa wapi wakenya na tz likes hapa kwa wingi
Ongezo ya likes kutoka burundi
@@NClaude-qk3gb karibu🙏
You are my Hero,so inspiring song..Congratulations 👏👏👏
Wow malkia katika ubora wake,much ❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤❤❤ Mama Rose is beautiful 😍
Daaaaaah!!! Mama yangu Rose Muhandooooo😭😭😭😭😭, unajua sanaaaa
Uganda we love u❤ ur songs are a blessing to some of us ❤
Beautiful as usual 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sikiriza muke wake,mimi ninaitwa Muhire Theoneste,ninayenda kukuendeka sana!I don't know kiswahilu very well but holly spirit multiply those words in you,and you understand well what I write now,Thank you so much!
The mother carrying a special grace.
Rose umekomboa wengi zidi kungaa mamii🔆🔆🔆🔆🔆
My mum never disappoint 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
💯
@@DirectortristanKevin_POKOTTV uko hapa pia🤗🤗🤗😂
@@mradiboymtotowamilka 🤗🤗🤗🤗Kila mahali msee
This woman is really graced, she keeps on rejuvenating herself. 🙌
Hii iko moto kaa stima bana❤❤🎉🎉🎉😊😊😊
🔥wimbo wa shukran🔥 ujue Mama miaka ya nyuma aliimba NiBeBe nibembeleze nibebe....leo amemshukuru Mungu kwani amembeba....
Malkia kama malkia🎉🎉🎉kweli wamekoma kabisa💪💪💯💯💯💯
Weuh moto kama pasi🔥🔥🔥
Umewakomesha kabisa Yesu
I salute madam kwa kazi mzuri. Mimi kama mkenya nakutambua kwa kazi yako . mbele Iko sawa
Amen
Amen
Umewakomesha,nyimbo nzuri,barikiwa sana mama Rose
Rose your the chosen one...your blessed and highly favoured by God....❤❤❤❤❤❤❤❤❤glory be to God
Kweli Mungu anajua kukomesha madui na kuwanyamazisha ❤❤❤ great song🙏🙏
Nimeona Baba yangu Umewakomesha🎉🎉🎉🎉🎉
Aaamen,tupande nayoooo
All Glory to God.
Amen...hakika Bwana Mungu wangu umewakomesha watesi wangu
Mungu azidi kukuinua da Rose❤❤❤❤🎉🎉🎉
Mungu ndiye Muweza yote, na kwake kuna furaha...
More blessing mama Rose mhando
Our gospel queen has done it again, kweli amewakomesha🎉🎉🎉🎉🎉
Listening from Ethiopia umenibeba❤❤❤
Congratulations our Queen 🎉🎉 keep shinning much love from 🇰🇪🇰🇪
Mimi hata sisemi kitu juu aibu iko juu ya maadui zangu na mezani kwa wakuu niko kwa saana ❤❤❤❤
Nilikuwa nasubiri kwa hamu nyimbo yoyote ya kwenye album ya amefanya itoke,nashukuru umeanza na hii Rose na isubiri kwa hamu video ya nyumbani naipenda sana nyimbo hiyo
Wow God bless you mama for the wonderful song Umewakomesha that strengthens my soul I love you mum👤👤👤👤👤👤👤👤👤👤👤👤
Daaah aiseee rose ni moto wa kuotea mbali anajua sana
❤❤❤❤❤❤❤❤ mom hapa ndio wajue tangu mwanzo Mungu hakuruhusu adui zake washinde mbele zake, ndivyo kwa walirithi wake wa Mungu Acha tulisifu ukuu wake💫🙌
Amewakomesha 🔥 🔥! What a wonderful song 🎵!!! WatchingfromUSA 🇺🇸 🇺🇸 🇺🇸 🇺🇸 🇺🇸 🇺🇸
Thanks God for answering my prayers by giving muhando a come back ❤❤❤❤
Wow wow wow!!ni moto🔥🔥🔥🔥🔥🔥barikiwa sana mama