Mungu azidi kubariki kaziyake kupitia wewe maman ROSEmuhando mashabiki tunashukuru kwamwimbo mtamu mkono wamungu uzidi kuwa kwa upande wako maman ubarikiwe
Wakenya nawaonea wivu Sana kwasababu mnajitambuwa siyo wanafiki mkimpenda mtu mnamuonyesha akianguka mko nae kumuinuwa ss W TZ asili yetu unafiki tu tunawapenda watu wakiwa juu akishuka tuu tunaanza kumsema Hakika I love you Kenya mm Nick wa TZ
@@malkiarosemuhando3310Sina hekima ya kukushauri kulingana na mapito yako makuu hadi sasa,lakini binafsi nakupenda mno...naamini ipo siku nitakuona na nitarudia kukuambia hili,Mungu akuinue kiwango ambacho kipo nje ya uwezo wetu wa ufahamu
ni kweli wakiamua ku show love wana show love haswaa mibongo sjui tunakwama wapi Unakuta mkenya anaomba like za wakenya wenzake kwa nyimbo zetu na wanajaa ila bongo ku show love kwa ngoma za kenya ni bichwa ngum balaa
Nashukuru kwa wimbo huu, ni wa baraka Sana...Sasa turudi hata nyumbani mwa Bwana Mungu, tumetamani ya dunia na hayatusaidii. Righteousness ,peace and joy is the Holy Ghost, that is the Kingdom of God...Hakika godliness with contentment is a great gain...Vinginevyo, ahsante sana Mungu kwa nyumbani kwetu. Wasaidie wengine, waexperience uzuri wa nyumbani kwao, Yale uliyowakusudia tangia mwanzo.
God bless you too much, kwa kweli nimebarikiwa na wimbo huu, mtumishi wa Mungu Rose mwando ubarikiwe Sana pia Mungu akupeleke viwango vya juu zaidi naite Steven kutokea South Africa 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Eeeish am feeling this song 🎵 wow ❤❤❤kenya 🇰🇪we respect you mama Rose this song os powerful.this song is also for us Kenyans we should remember where our country came from for sure.good job
Kutoka nikizaliwa nilipata u moto mama yetu,,na bado hujapoteza ladha,,napenda ngoma zako,,maanake huuongozwa na Roho,Rose.... Nakupenda sana mum kutoka Kenya✨✨✨
Hata kama walituahidi kuwa ni Bottom Up na sasa enyewe pesa wanachukua kutoka chini,,, tupo nyumbani na twashukuru. Sent your thanksgiving to the future, to the next week, to the next month, to the coming new year 🕛 2025. Thank you GOD. Congratulations and be blessed Rose Muhando ❤🤲🤲
Aki this is so true. Many times we are ungrateful and looking at some problems in our countries and homes thinking other people are enjoying. But so many refugees are suffering and losing loved ones, so many street people. Mungu nisaidie niwe na shukrani nikiwa nyumbani🙌🏾🥹. Malkia❤️
Kwl mungu njomana anakulinda san hataka kwavita unazo zipitiya ila iposiku zitaisha asante kwakutukumbusha kama nyumbani ninyumbani tuu asante san pia mimi ni mufanzi wako san naishi burundi
Love you rise... You've spoken my heart my dear. Having decided to do Ministry... Nyumbani..... This is divine confirmation to my choice!!! Thanks dear!!
Rosemuhando you are the best from kenya we love you;i will tell my daughter to follow your steps i want her to be a singerlike you ofgospel and i hope you sing worship songs too i would like to hear you sing worship; please do even one you can do a collabo with rehema simkufwe or agape band
Kali sana. Nyumbani kuzuri jamani. Mama Rose hii ni Kali . Nimejipata nyumbani kwa kupitia mapito magumu mijini miezi chache imepita . Nyumbani nilipata upendo na amani. Nashukuru Mungu kwa yote ❤❤❤❤ Nashukuru Mungu nina nyumbani 🙏
Mama jitume kabisa Raha yangu ni kuona ukifanikiwa.
If this comment is genuine,,only God knows
@@charitymungote8769😂😂😂
Na kueneza injili pia😀
nivo tii
wewe tu ndio umebaki kubadilika unachokozana kila pahali na mungu hapendi kelele
Huyu ndio rose muhando wa gospel mungu akulinde mum tunakupenda sana sisi wakenya.kama unakubali like hapa.
Tangu pastor akutumie ujumbe umetoa wimbo bora zaidi shukran🇰🇪🇰🇪
❤❤❤❤❤❤❤
Pamela kabisa amechang
asante kwa kutii mtumishi wa mungu
Kweli kabisa dada waimbaji wote wangekuwa wanyenyekevu kama rose wangekuwa mbali sana ❤
❤❤❤❤❤
Mungu azidi kubariki kaziyake kupitia wewe maman ROSEmuhando mashabiki tunashukuru kwamwimbo mtamu mkono wamungu uzidi kuwa kwa upande wako maman ubarikiwe
Wakenya nawaonea wivu Sana kwasababu mnajitambuwa siyo wanafiki mkimpenda mtu mnamuonyesha akianguka mko nae kumuinuwa ss W TZ asili yetu unafiki tu tunawapenda watu wakiwa juu akishuka tuu tunaanza kumsema Hakika I love you Kenya mm Nick wa TZ
Umenitoa machozi mwana wa Mungu,ukweli Sisi TZ MBINGUNI sijui !!!!
@@malkiarosemuhando3310Sina hekima ya kukushauri kulingana na mapito yako makuu hadi sasa,lakini binafsi nakupenda mno...naamini ipo siku nitakuona na nitarudia kukuambia hili,Mungu akuinue kiwango ambacho kipo nje ya uwezo wetu wa ufahamu
Nenda ukaishi kenya. Kaka
ni kweli wakiamua ku show love wana show love haswaa mibongo sjui tunakwama wapi Unakuta mkenya anaomba like za wakenya wenzake kwa nyimbo zetu na wanajaa ila bongo ku show love kwa ngoma za kenya ni bichwa ngum balaa
Mama rose ako sawa kabisa napenda nyimbo zake sana ❤️🥰 anajua kuruka hata amenishinda 😂😂😂😂😂😂😂 na mimi ni mdogo 😂😂😂😂😂
Wakenya mko wapi jameni,gonga like juu tuko nyumbani❤❤❤,much ❤️❤️❤️ malkia wa gospel 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hiyo sio gospel
East West home is the best
Amen so blessing song, 🙏🙏🙏 much love ❤️❤️ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
After uwe Hai Israel Mbonyi' leo tufurahie kua nyumbani🎉❤ More 🔥🔥🔥🔥 🇰🇪🇰🇪🇰🇪my mama land,wakenya mko wapi hands up 🙌🙌
❤❤❤❤❤❤❤❤
Huyu ndio rose muhando sasa.....kama unakubali weka ✅️✅️
Mlio gulf pia huu wimbo n wenu,,furaha Iko nyumbani...we pray for you mlejee mkiwa salama🙏🙏🙏much love from Kenya🇰🇪
What a song 🔥🔥🔥.... Gratitude, yaani jifunza kushukuru
Wakenya hoiyee... We're supporting her hii nyota ya rose lazima izidi kung'aaa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kama unaamini Rose Muhando ndo queen of gospel industry weka like tukisonga
Hiyo siyo gospel
Kabisaa
@@peterkitsao9429kwahyo ni sindimba au😏😏😏
Wakenya mko wapi tuipeleke viral hii Ni nomaa🔥🔥🔥Rose Muhando ni Simba wa muziki Africa❤❤🇰🇪🇰🇪
❤❤❤❤❤❤❤
Msisahau kunipitia mimi mkenya mwenzenu please 🎉
Tupo hapa.. tayari kuipeleka ni 🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤❤❤
Afrique tu Mike kalambayi , Moïse mbiye , lord mbongo , dena mwana , donat mwanza
I love the way God works in her go mama go Raha yangu ni kuona kasi ya mungu inasonga mbele be blessed mama
Rose ni Rose tu, huwezi kumlinganisha na msanii yeyote kwakweli.Watakuja na kuondoka but Rose is the top.Thank's for this message.
Kweli✅💯💯🤝
❤❤❤naona wakenya tuu haya jamani nyumbani TANZANIA🇹🇿🥰
Tanzania tupo ila hatujionyeshi ila tuko tumejaaa
Tuko hapa 🇹🇿🇹🇿💚
@@NechLovekabisa
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Tunamzingatia sana Dada yetu
Kenya tuwekeni like za mama yetu❤
Mam rose mungu azidi kukutumikia,,wimbo Wenye ujumbe wa matumaini,tunakaza mwendo,Kenya hooyeeee!!!
TANZANIA tuna rose muhando tu.hakuna rose mwingine huyu ni moto😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
Tumebarikiwa tanzania kwa kwel na tumpende zaidi❤❤❤
Bamia kisamvu...😅 Ama kwa hakika hakuna kama Rose
Huyu ndio Rose Muhanndo wa zamani sasa, ubarikiwe Sana na mungu azidi kuinua tena kwa kusiliza kile ambacho uliambiwa, from KENYA
First Kenya 🇰🇪 fan please LIKES za mama malkia 😢🥹😭❤️❤️❤️
❤❤❤❤
Smiling all the way kenya❤ 🇰🇪🇰🇪
Huyu ndo Rose Muhando tunayemjua.HONGERA KWA KAZI NZURI MAMA YETU
Nashukuru kwa wimbo huu, ni wa baraka Sana...Sasa turudi hata nyumbani mwa Bwana Mungu, tumetamani ya dunia na hayatusaidii. Righteousness ,peace and joy is the Holy Ghost, that is the Kingdom of God...Hakika godliness with contentment is a great gain...Vinginevyo, ahsante sana Mungu kwa nyumbani kwetu. Wasaidie wengine, waexperience uzuri wa nyumbani kwao, Yale uliyowakusudia tangia mwanzo.
God bless you too much, kwa kweli nimebarikiwa na wimbo huu, mtumishi wa Mungu Rose mwando ubarikiwe Sana pia Mungu akupeleke viwango vya juu zaidi naite Steven kutokea South Africa 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Hapo sasa mama rose muhando,,,umerudi kwa system
It reminds me nyimbo zako za kitambo bado ukiwa na kitimutimu kwaya . As a Kenyan you have been a great blessing since long time ago
Eeeish am feeling this song 🎵 wow ❤❤❤kenya 🇰🇪we respect you mama Rose this song os powerful.this song is also for us Kenyans we should remember where our country came from for sure.good job
Amen, nyumbani kuzuri haijilishi kunakaa vipi! Much love from 🇰🇪🇰🇪
😂❤❤❤❤❤
I real love this lady...she is a strong woman....keep shining rose muhando❤may Lord protect you always 🙏 much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wimbo mzuri san na nimeuskia kwa wakati muafaka kabisa❤
Mungu akutnze my best gospel singer of all the time
Wow tushukuru tuko na mahali panaitwa nyumbani,Mungu wakumbuke wale hawana kwao wala hawajui waishi wapi, much love from Kenya
❤❤❤❤❤❤❤❤
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪This woman of God never disappoint,, representing My kenya 🇰🇪🇰🇪Land nyumbani❤❤
Powerful.
Thank you LORD Niko nyumbani
Amen..Asante Yesu kwa yote unanitendea..Usifiwe milele Mungu wangu..Asante Yesu Asante Yesu..Amin
Nimebarikiwa sana nawimbo huu dada rose MUNGU azidi kukuongoza ktk njia yakweli
As kenyans we're very proud of our own Rose Muhando❤
Woooooow Rose Muhando thanks alot Kwa kurudi Kwa injili ya ukweli 👏👏👏
Siwezi pita bila kuona wimbo wa rose,,haki mungu akubariki
May God continue uplifting you Rose. ..
Kutoka nikizaliwa nilipata u moto mama yetu,,na bado hujapoteza ladha,,napenda ngoma zako,,maanake huuongozwa na Roho,Rose.... Nakupenda sana mum kutoka Kenya✨✨✨
As a Kenyan rose will always best among all na si tafadhali
Wimbo mzuri sanaa ❤Mwenyezi Mungu nakushukuru kwa nyumbani
The best song with a message ❤
🇰🇪 Kenya 🇰🇪 Kenya 🇰🇪 is where you belong Malkia 🎉🎉🎉see our support ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
I've learnt something new that I dint knew from this song love you mom❤❤
So Amazing!! MUNGU azid kukupa mafunuo zaidi na zaid MTUMISHI wa MUNGU!! Na maisha marefu yenye furaha na Aman na Afya tele!!❤❤❤❤🎉🎉🎉AMINA
Nyumbani is the best place to be, wengine tuko ulaya zaidi ya miaka kumi Hila there's no place like home... I miss home😢, be blessed mama Rose
Huku twasema "Kenya ni home" , we love our home country and thats why we fight for it. Kenyans give me 1k likes
Wauh I feel blessed with the song message may God continue uplifting this woman she is a vessel of God
Hongera kwa kazi nzuri nakupenda sana mama wa watoto wengi from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤❤❤❤❤❤❤
Mama malikia amekam the right time.itachezwa hii festival season mpaka kieleweke.kenya ooooye shabikia malikia 🎉
Hata kama walituahidi kuwa ni Bottom Up na sasa enyewe pesa wanachukua kutoka chini,,, tupo nyumbani na twashukuru. Sent your thanksgiving to the future, to the next week, to the next month, to the coming new year 🕛 2025. Thank you GOD.
Congratulations and be blessed Rose Muhando ❤🤲🤲
Wow! Another new one from the queen of gospel ❤❤❤❤❤
Malkia kama malkia❤
Kazi nzuri sana
Kenya tunakupenda sanaa
Aki this is so true. Many times we are ungrateful and looking at some problems in our countries and homes thinking other people are enjoying. But so many refugees are suffering and losing loved ones, so many street people.
Mungu nisaidie niwe na shukrani nikiwa nyumbani🙌🏾🥹.
Malkia❤️
Kazi noma sana. Tunashukuru Mungu kwa sababu ya wimbo mkali sana
I don't know why I am shedding tears 😢, thank you Rose you really make me feel comfortable 🥰
Amina nashukuru Mungu Kwa sababu naishi nyumbani kwetu kuzuri wimbo mzuri
Kwl mungu njomana anakulinda san hataka kwavita unazo zipitiya ila iposiku zitaisha asante kwakutukumbusha kama nyumbani ninyumbani tuu asante san pia mimi ni mufanzi wako san naishi burundi
Naona wakenya dio tumejaa hku wapi likes zetu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏
I hope Kenyans get this message thank GOD mko nyumbani Kenya 🇰🇪
❤❤❤❤❤
Hivo ndio nmeiskiza nashukuru kuwa nyumbani 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤❤❤❤❤
Love you rise... You've spoken my heart my dear. Having decided to do Ministry... Nyumbani.....
This is divine confirmation to my choice!!! Thanks dear!!
Kenyans 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪in the house
We feel proud to see our singer Is being entertaining even you Kenyans
❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤ East, West home is the best. Thank you Mama Rose for this beautiful song.
Wakamba wenzangu mko wapp❤❤❤❤
😊amazing song 👏 mummy reminds them home is the best 👌
Kweli tunapaswa kuheshimu nyumbani, MUNGU akutunze mama Yetu Rose muhando, watanzania tunakupenda sn sn sn sn sn sn sn jamaniiii
Our very own has reminded us to go home no matter what...EAST WEST HOME IS THE BEST❤❤
Ooh my Rose muhando, mungu akujalie neema🇨🇩🇨🇩🇨🇩
❤❤blessed
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Rosemuhando you are the best from kenya we love you;i will tell my daughter to follow your steps i want her to be a singerlike you ofgospel
and i hope you sing worship songs too i would like to hear you sing worship;
please do even one you can do a collabo with rehema simkufwe or agape band
Nyimbo zuri sana Mungu wa mbinguni azidi kukuinua viwango vya juu sana 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🇰🇪
❤❤😂❤❤❤❤❤
Thank you God
Rose may God uplift u higher-up
May the Lord God almighty protect and bless you mama Rose in Jesus name 💟❤️❤️❤️❤️❤️
Thank you very much mom Rose for this beautiful melody. Yes we must be proud of our home even if everything is not going well. God bless you mom.
Auiiiiii mambo yako huku❤Malkia Rose muhando..wakenyaa tuko wapi..❤
Continue shinning mommie, what amazing song be blessed mummy from Kenya I love you Soo much ❤
Nimependa hii wimbo iko na Roho wa mungu emerundi kwa mungu kweli
Napenda vile Rose Huwa aforce kuimba. It just comes naturally. A talent indeed❤
Ime nikujia kwa wakati wake. Asante mama Rose 🙏
Amen amen!! kazi nzuri watumwa wa Kristo, Mungu awabariki sana
Nimepitia comment section nikapata wakenya ndio wamemiminika kwa wingi ❤❤❤ Tunakupenda simba jike Malkia Rose God bless you 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
❤❤❤❤❤
Hii ni kali 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 more grace Rose.
Kali sana. Nyumbani kuzuri jamani. Mama Rose hii ni Kali . Nimejipata nyumbani kwa kupitia mapito magumu mijini miezi chache imepita . Nyumbani nilipata upendo na amani. Nashukuru Mungu kwa yote ❤❤❤❤
Nashukuru Mungu nina nyumbani 🙏
Your songs imenipea matumaini maishani ningekua nimekata tamaa kwa hii maisha kitambo.
This is the Muhando we used to have, she is back.
🎉❤❤❤❤
Sasa huyu ndiye yule Rose Muhando alofanya wengi wamjue na kupokea Yesu Kristo.
as kenyan we love you rose muhando and Tanzania family together .this song is very nice and interesting
Nahisi hii yatulenga sisi wakenya kwanza hapo ikianza tu😢😢 Asante kwa wimbo mzuri.
Hata Tanzania
Wakwamza toka kenya nakupenda sana mama
Wakenya tumejaza comment section
@AliceZawadi-c3b tunaipwnda kazi ya rose
Asanteni sanaaaaaaaa❤❤❤
@@malkiarosemuhando3310 Mungu wa mbinguni akuzidishie mama uzidi kuguza mioyo ya watu kupitia kwa nyimbo
@@malkiarosemuhando3310nice song I love it
Thank you so much for this masterpiece
Woooooooooow🔥🔥🔥mamaa hii ni kali sana,Nyumbani ni kwema
Congratulations Rose🎉🎉🎉.Nyimbo nzuri sana hii💯✅
Wettin dey like the song but ain't understanding.proud of Africa ❤
It's says be grateful to God you are at home #africa
Kwa sasa huyu ni Rose wangu ninayemjua..... niko nyumbani
Kenya 🇰🇪🇰🇪 ni home and home 🏘️ is🇰🇪 Kenya . Sawa?
Haya nipeeni likes za home 😂😂😂❤❤
Ubarikiwe sana wewe Dada nyimbo imenibariki sana mungu akutunze maisha matakatifu muda wote