LIVE: MAOMBI YA KUONDOA SHAMBULIO LA KIROHO // USIKU WA MANANE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 มี.ค. 2024
  • Mathayo 13:25
    lakini watu walipolala, akaja adui yake akapanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake.
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

ความคิดเห็น • 134

  • @nonveroniquejohn
    @nonveroniquejohn 3 หลายเดือนก่อน +3

    Na aga ili tatizo mume wangu amefunguliwa kutoka mahali pa baya alipo fungwaga toka zamani kwa jina la yesu namrisha nnguvu za giza kuachilia maisha ya mume wangu

  • @lightouma477
    @lightouma477 3 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba mungu anisamehe dhambi zangu zote,anifanye kuwa kiumbe kipya,nimepoteza kiu ya maombi,siwezi hata kusoma neno,nikianza kuomba napatwa na usingizi mkubwa sana,namsii mungu anirejeshe upy baba

  • @musamustapher402
    @musamustapher402 29 วันที่ผ่านมา

    Mungu wangu nataka roho zote za uharibifu zitoweke kwa jina yesu katka maisha yangu

  • @user-ei8cu4df3j
    @user-ei8cu4df3j 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ondoka ugonjwa wa miguu yangu kwa damu ya yesu ondoka ndani yangu

  • @user-ju4mi1qx5b
    @user-ju4mi1qx5b 2 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu kwa mtumishi wako unae mtumia toka nilipo Jiunganisha kwenye madhabahu hii hakika nimeona nimefunguliwa bwana mtunze na mbaliki

  • @monicamireni1205
    @monicamireni1205 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba mponye mdogo wangu tumbo na madhambulizivyotevya nguvu za Giza ktk jina la Yesu

  • @kissamwamunyange1018
    @kissamwamunyange1018 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu ninakuomba kupitia kwenye ulimwengu roho ndoto ya kuwa uchi ikakome na katika jina la YESU. Mambo ya aibu yasiyokee kwangu. Ninatamka sasa. Ameen🙏

  • @annaymakala4508
    @annaymakala4508 3 หลายเดือนก่อน

    Roho yamaombi nakusoma neno irudi kwa jina la YesuKristo wa Nazareth Naomba uvuvio wa Roho mtakatifu

  • @monicamireni1205
    @monicamireni1205 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba mponye baba yangu mpe amani na furaha ktk jina la Yesu

  • @judithmutio-mp6sn
    @judithmutio-mp6sn 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba mtoto wangu akatembee kwa jina la yesu Pepo inaoniandama ikatoweke milele na milele namini

  • @user-eb3fh7vf1h
    @user-eb3fh7vf1h 3 หลายเดือนก่อน

    Hlv ikauke kwenye familia yetu kwa damu ya Yesu mkristu kufarakana kwa ndoa kila roho ya uharibifu

  • @irenekomu3924
    @irenekomu3924 3 หลายเดือนก่อน

    Changamoto ya madeni na magonjwa katika mfumo WA kizazi, changamoto katika ndoa yangu viondoke ndani yangu Kwa Jina la Yesu

  • @Fatmasafe-jz8ij
    @Fatmasafe-jz8ij หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu aniponye mashambulio yate yafamily yangu yote nguvu za giza

  • @AnnaShega-ev2xh
    @AnnaShega-ev2xh 7 วันที่ผ่านมา

    Naomba Mungu nifungulie milango ya ndoa,pesa ktk biasha yangu

  • @AaAa-ue5di
    @AaAa-ue5di หลายเดือนก่อน

    Naomba Kwa jina la yesu ukaniponye Mimi Amina 😭😭

  • @monicamireni1205
    @monicamireni1205 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba ponya uchumi wa nyumba yangu ktk jina la Yesu

  • @janethpeter
    @janethpeter 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba Mungu anifungulie milango ya kazi na ndoa katika maisha yangu, aniondolee Roho ya kukataliwa na ndoto za uzinzi😢😢

  • @ScolastikaNathan
    @ScolastikaNathan 3 หลายเดือนก่อน

    Ee mungu wangu naomba uniongezee katika maisha yangu magumu yote yaondoke katika maisha yangu

  • @ScolastikaNathan
    @ScolastikaNathan 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba hii roho yakukatariwa katika mahusiano iondoke kwa jina la yesu

  • @monicamireni1205
    @monicamireni1205 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba moyo wa ibada kwenye nyumba yanngu ktk jina la Yesu

  • @monicamireni1205
    @monicamireni1205 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba niondolee ivimbe kwenye mwili wanga na uniponye mguu wa kulia

  • @user-ld1uj2gz4z
    @user-ld1uj2gz4z หลายเดือนก่อน

    Mungu aniponye magonjwa ya moyo na reins kwa jina la Yesu

  • @user-xc8ec5uc5e
    @user-xc8ec5uc5e 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu anifungue na roho za magojwa yanayonitesa aniumbe upya anifungulie ufahamu nilijue neno lake na kumtumikia yeye

  • @monicamireni1205
    @monicamireni1205 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba niponye maunivu ya mifupa, ktk kina la yesu

  • @maqueen-rs6in
    @maqueen-rs6in 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu najiunganisha na maombi haya nikutanishwe na mtu sahihi kuanzia leo, kucheleeeshwa hakupo tena

  • @musamustapher402
    @musamustapher402 29 วันที่ผ่านมา

    Amina mtumishi nimepokea uponyaji na nimefunguliwa,❤

  • @janelulambo3957
    @janelulambo3957 3 หลายเดือนก่อน

    Changamoto kwenye ndoa ndoto mbaya,naota watoto wangu wanaruka naungo nawachawi mago jwa,kwenye familia ya ,kausha dhambi kwenye familia yangu,mkono wangu ulipigwa nashot,nanikatamkiwasauti inaniambia umesha kufa tayari,yesu miponye naunivushe kwenye hiki kipindi minacho pitia

  • @AnneOpondo-ie4ej
    @AnneOpondo-ie4ej 3 หลายเดือนก่อน

    Nafungua anga yangu ya maombi na malango yangu ya ndoto naamini nafunguliwa Kwa jina la yesu kristo

  • @nonveroniquejohn
    @nonveroniquejohn 3 หลายเดือนก่อน

    Ufungulifu wa mbingu una tembea ndani ya maisha yangu na familia yangu

  • @user-ly3sv6gr5t
    @user-ly3sv6gr5t 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi Noelah Munyakazi naku omba Mungu wangu uni linde na ndoto mbaya ulinde na watoto wangu,funguwa maicha yangu na uchumi wangu kwa jina lako

  • @bumimwamasage5463
    @bumimwamasage5463 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu naomba uponye hatma ya mwanangu na uniponye miguu

  • @nonveroniquejohn
    @nonveroniquejohn 3 หลายเดือนก่อน

    Namrisha nguvu za za adui kuachilia maisha ya wanangu izi nibara kutoka kwa mungu sikiliza chetani una masiko mm sio wa kwako na familia yangu siyako sio wewe ulie niumba na ndo maana auna mamlaka ya kufagna lolote juu yangu na familia yangu na gnumba yangu pia

  • @judithmutio-mp6sn
    @judithmutio-mp6sn 3 หลายเดือนก่อน

    Ndoto mbaya mtoto wangu akatembee kwa jina la yesu,,,,, Pepo inaoniandama ikatoweke milele na milele namini

  • @condradanyoni6556
    @condradanyoni6556 3 หลายเดือนก่อน

    Nimaombi juu ya uchumi na furaha na upendo kwenye maisha yangu

  • @rosemarynorman1308
    @rosemarynorman1308 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu naomba ukailinde ndoa yangu dhidi ya ndugu.

  • @marymaria6544
    @marymaria6544 3 หลายเดือนก่อน

    Sylvia asante bwana yesu Kwa kuwa umeniona Aki adui ameshindwa Hana uwezo Tena Kwangu alivyo kuwa amepanga kuniuwa sifi Kwa Jina la yesu mwana Wa mungu Alie Hai🙏🙏, ♥️

  • @condradanyoni6556
    @condradanyoni6556 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Mungu aliyetuumba kwa kibali cha maisha yetu

  • @hellleinpaul1262
    @hellleinpaul1262 3 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu nisaidie nipone kichwa na mgongo

  • @happyalexander9580
    @happyalexander9580 3 หลายเดือนก่อน

    Kesi ya mdogo wangu ashinde aondokewe na roho ya kuchukiwa na nataka niwe na biashara yangu

  • @KinyaLebanon
    @KinyaLebanon 3 หลายเดือนก่อน

    Pepo la magonjwa lishindwe in JESUS NAME 🙏

  • @ClementinaUrassa
    @ClementinaUrassa 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba Mungu aniponye na mashambulizi yote ya nguvu za giza

  • @amirikitururu9494
    @amirikitururu9494 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba nguvu za kiroho mungu anilinde mashambulizi ya kiroho anipe macho ya kiroho

  • @RatphaNyererenizdiwenawa-uz9te
    @RatphaNyererenizdiwenawa-uz9te 3 หลายเดือนก่อน

    nakaka kupona magojwa yote yanayotutesa mimi na mume wangu mavojwa yasiyoeleweka nayaaga kwajina la yesu

  • @edithaabel7858
    @edithaabel7858 3 หลายเดือนก่อน

    Bwana naomba nisamehe dhambi zangu na uniokoe🤲🙏

  • @ZakinaMakokha-fe1sq
    @ZakinaMakokha-fe1sq 3 หลายเดือนก่อน

    Asante bwana yesu kwa kunisaidia

  • @winifridanicodemo3192
    @winifridanicodemo3192 3 หลายเดือนก่อน

    Uzito uliowekwa kwenye hatua za uchumi wangu liondoke kws jina la yesu,

  • @sibilinascola8287
    @sibilinascola8287 3 หลายเดือนก่อน

    Ndoto mbaya inayonisonga ucku na kupatwa kukaushwa kwa kinywa na kutaman maji litoke kwa jina la yesu

  • @rebeccabrown5135
    @rebeccabrown5135 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asanti Mungu

  • @hidayababu9477
    @hidayababu9477 หลายเดือนก่อน

    Nakataa ndoto mbaya,umasikini,kukosa wateja kwenye biashara zangu,ugonjwa wa ganzi, jini mahaba atoke ndani yng,ninakataa roho ya kurudishwa nyuma kwa jina la yesu

  • @lisakuingwa7337
    @lisakuingwa7337 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kisukariiiii , ganzi kwa mikono na miguu , kufifia kuona kwa machoo, unene wa kupitilizaaaaaa bwanaaaa niponyeeeeee

  • @zynahcannty
    @zynahcannty 3 หลายเดือนก่อน

    Mdogo Wangu kuumwa macho,tumbo na mama yngiu kichwa

  • @anethmallya7556
    @anethmallya7556 3 หลายเดือนก่อน

    Neema ya Bwana inisaidie 🙏

  • @sibilinascola8287
    @sibilinascola8287 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba nipone bega linaloniuma
    Wale waabiahaji wa maisha yangu wapgwe adi kufa wale walioshikilia maisha yangu na biashara yangu moto wa roho mtakatfu ukapate kuwaunguza wt waliofanya mateso kwangu,

  • @maqueen-rs6in
    @maqueen-rs6in 3 หลายเดือนก่อน

    Kumpata mweza wa maisha yangu ,naenda kukutanishwa na e leo, nitapata cm yake leo

  • @maqueen-rs6in
    @maqueen-rs6in 3 หลายเดือนก่อน

    Kila neno mbaya walio nalifua kwa damu ya Yesu

  • @sallie2505
    @sallie2505 3 หลายเดือนก่อน +1

    Damu yesu ikazidi kutamalaki maishani mwangu kwa kina la yesu Kristu

  • @jamilanjeri2173
    @jamilanjeri2173 3 หลายเดือนก่อน

    Baba fungua kijana wangu Elijah popote alipo, arudi nyumbani kwa Jina la yesu

  • @winifridanicodemo3192
    @winifridanicodemo3192 3 หลายเดือนก่อน

    Uzito wa kiuchumi liondoke kwa jina la yesu

  • @AtuganileMwambambale-uy6up
    @AtuganileMwambambale-uy6up 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba uniondolee ndoto mbaya

  • @lisakuingwa7337
    @lisakuingwa7337 3 หลายเดือนก่อน

    Kusumbuliwaa ndotoniiu kuona majokaaaa, kuzinishwaa ndotoni, kukosa amani adui anaweka mawazo machafuuuuu, nimesimamishwa kaziniii , afyaa , ukamee wa kiuchumiiiii,

  • @AaAa-ue5di
    @AaAa-ue5di หลายเดือนก่อน

    Asante yesu 👏👏👏

  • @marymaria6544
    @marymaria6544 3 หลายเดือนก่อน

    Sylvia asante yesu Kwa ukombozi

  • @NaumiBaya
    @NaumiBaya 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu wangu kwa jina Lako yesu kristo ukaniponye.

  • @dorahanono2512
    @dorahanono2512 3 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah. Thank you Lord

  • @user-ev9os3yv3u
    @user-ev9os3yv3u 3 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu ❤

  • @SifaSaidozai
    @SifaSaidozai 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni saidiye baba exame yangu yote

  • @SuzyMarroch
    @SuzyMarroch 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu

  • @perisriziki1592
    @perisriziki1592 3 หลายเดือนก่อน

    Spiritual attacks ziondoke in jesus 🙏 🙌

  • @sallie2505
    @sallie2505 3 หลายเดือนก่อน +1

    Maumivu ya mguu wa kulia upande wa kulia yakakome daima

  • @user-yc5ej5ck4j
    @user-yc5ej5ck4j 3 หลายเดือนก่อน

    Kila maneno mabaya yaliitamkwa juu yangu na juu ya watoto wangu na juu ya ndugu zangu nayafuta kwa damu ya yesu amen

  • @JulianaZachary
    @JulianaZachary 3 หลายเดือนก่อน

    Yesu ondoa zuiyo kwenye uchumi wangu,kwenye ndoa yangu ndoto mbaya ziondoke magonjwa kwa watoto wangu yaondoke kwa jina la yesu

  • @MarieMakiwa
    @MarieMakiwa 3 หลายเดือนก่อน

    Ndoto mbaya zihondoke kwa Jina la yesu

  • @martinehussein7261
    @martinehussein7261 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu niweke mbali na ndoto mbaya funguwa maisha yangu na uchumi wangu linda watoto wangu mahali walipo linda mume wangu na mufunguliye milango ya kazi amen

  • @francoisealimasi3999
    @francoisealimasi3999 2 หลายเดือนก่อน

    Amen mchungaji,

  • @RatphaNyererenizdiwenawa-uz9te
    @RatphaNyererenizdiwenawa-uz9te 3 หลายเดือนก่อน

    nimebalikiwa sana

  • @hildamwasimba9100
    @hildamwasimba9100 3 หลายเดือนก่อน

    Miguu kuuma na kuwaka moto nafangasi yaondoke haya maumivu yayukekwadamu ya yesu

  • @morinebarongo2282
    @morinebarongo2282 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen

  • @elizabethkiseki3470
    @elizabethkiseki3470 3 หลายเดือนก่อน

    Thank you Jesus

  • @RatphaNyererenizdiwenawa-uz9te
    @RatphaNyererenizdiwenawa-uz9te 3 หลายเดือนก่อน

    nikalipwe pesa zangu zote kuptia yesu

  • @GabinKamwanggabin
    @GabinKamwanggabin 3 หลายเดือนก่อน

    Amen amen

  • @lilianmoraa4690
    @lilianmoraa4690 24 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @ZakinaMakokha-fe1sq
    @ZakinaMakokha-fe1sq 3 หลายเดือนก่อน

    Ongoza atua zangu zote Uongoze family yangu

  • @bithwangi1008
    @bithwangi1008 3 หลายเดือนก่อน

    Ndio bwana asante

  • @frankstarstz470
    @frankstarstz470 3 หลายเดือนก่อน

    Naanga changamoto vizuizi na umaskini kwenyemaisha yangu kwajina layesu...

  • @user-yl4ef5nz8o
    @user-yl4ef5nz8o 3 หลายเดือนก่อน

    Mjukuu wangu lango lake la elimu likafunguke aweze kuelewa anachofundishwa akafanye vizuri kwenye masomo yake kwa damu ya Yesu

  • @Marianamariana181
    @Marianamariana181 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Ahsante roho wa mungu kwa Ibada hii napokea ukombozi na kila kilicho changu nakifufua kupitia Jina la yesu kristo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @AsiaH-jf5fo
    @AsiaH-jf5fo 3 หลายเดือนก่อน

    Nakataaaaa kwajinalayesù

  • @MarieMakiwa
    @MarieMakiwa 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @rebeccabrown5135
    @rebeccabrown5135 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏🙏❤❤❤

  • @HAPPYOSCAR-nj5xq
    @HAPPYOSCAR-nj5xq 3 หลายเดือนก่อน

    Nisaidie eee Bwana nikapone Katika sga"
    HMbifio

  • @lamekmakoye4109
    @lamekmakoye4109 3 หลายเดือนก่อน

    Ameeen

  • @user-er5lx9il2w
    @user-er5lx9il2w 2 หลายเดือนก่อน

    Changamoto niliyo nayo kifua cha kikulisi asuma mume wng kichwa kisichopona kurejesha uchumi wangu kurejesha kiroho changu, huduma yangu mtoto wangu Jemsi apone kifafa ,

  • @cleverambangile3675
    @cleverambangile3675 3 หลายเดือนก่อน

    Amina Amina ❤❤

  • @happyalexander9580
    @happyalexander9580 3 หลายเดือนก่อน

    Ugonjwa nilio nao na ugonjwa wa mama yangu wa miguu na umaskini kukataliwa kazini kuchukiwa bila sababu

  • @user-ev9os3yv3u
    @user-ev9os3yv3u 3 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu nimevuka uchungumzito na huzuni uliokaribia kunipa mauti

  • @liveoakstudio7258
    @liveoakstudio7258 3 หลายเดือนก่อน

    Ndoto mbaya ziondoke

  • @AsiaH-jf5fo
    @AsiaH-jf5fo 3 หลายเดือนก่อน

    Pepo lauzinifu little kwajina layesu

  • @AsiaH-jf5fo
    @AsiaH-jf5fo 3 หลายเดือนก่อน

    Rohoyapumu naombaiondoke katikajinalayedu

  • @RatphaNyererenizdiwenawa-uz9te
    @RatphaNyererenizdiwenawa-uz9te 3 หลายเดือนก่อน

    mume wangu apone

  • @AsiaH-jf5fo
    @AsiaH-jf5fo 3 หลายเดือนก่อน

    Pepo laumasikini nalikataa kwajina layesu