ASKOFU GWAJIMA NA MCH MAGEMBE MPAMBANO MATHABAHUNI KUHUSU MAVAZI VUNJA UKIMYA TV📺 & Apostle Tall

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 50

  • @MjumbeAgano
    @MjumbeAgano 5 วันที่ผ่านมา +5

    Waambie hao wanaozini na wazinzi wengi wasiomjua Yesu.
    Wokovu wa kihuni. Kuvaa mavazi ya ukahaba.

  • @OSWARDMJWAUKI
    @OSWARDMJWAUKI 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Amen baba.

    • @VunjaUkimyatv
      @VunjaUkimyatv  4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ameeen 🙏

  • @HappynessmafuruMafuru
    @HappynessmafuruMafuru วันที่ผ่านมา +2

    Kweli baba wanavaa vitaiti viabana mungu alinionyesha wanaovaa suruali mbingu hawaingii

    • @VunjaUkimyatv
      @VunjaUkimyatv  20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ahahaha Umeenda Hii😂

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Achatyuu Mungu atusaidie

  • @McTall-pd5wv
    @McTall-pd5wv 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ameeen 🙏

  • @danieljonathan6619
    @danieljonathan6619 วันที่ผ่านมา +1

    exactly 👏

    • @VunjaUkimyatv
      @VunjaUkimyatv  20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ameeen 🙏

  • @yustchuwa6957
    @yustchuwa6957 วันที่ผ่านมา +2

    Tania ya wachungaji wanadai Mungu haangali mavazi ndio maana makanisa ya kimpetekoste yanarusu ila katoliki wanakataza

    • @VunjaUkimyatv
      @VunjaUkimyatv  20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ahahaha sawa😂

  • @kilimanjarotv255
    @kilimanjarotv255 4 วันที่ผ่านมา +4

    Maandiko yako wazi kuhusu mavazi someni timotheo maelekezo yote wanawake na wanaume wavaaje sijui kwanini wachungaji hawafundishi kitabu hicho kukemea kuhusu mavazi

    • @drgeraldcubwa481
      @drgeraldcubwa481 3 วันที่ผ่านมา +3

      Wanatakiwa wajue kwa nini wanatakiwa kuvaa mavazi ya kujistili.mwanaume ameumbika kutamani wanawake .na tamaa yake Iko kwenye macho!! Moyo wa mwanaume unawazo ngono zaidi ya mara nane kwa siku .Ziko sehemu za mwili za mwanamke mwanaume akiziona lazima atamani .sehemu hizo ni pamoja na mapaja,makalio,matiti nk .Kwa hiyo sehemu hizi lazima zifunikwe Ili kuwalinda wanaume.cha ajabu wanawake wanalalamika kuibiwa wanaume wakati wenyewe wanavaa vibaya huko mitaani na makanisani.😂😂😂😂😂

    • @VunjaUkimyatv
      @VunjaUkimyatv  3 วันที่ผ่านมา

      Ahahaha Naona Muna Vunja Ukimya,,,,

  • @kilimanjarotv255
    @kilimanjarotv255 4 วันที่ผ่านมา +3

    Someni Timotheo 1 mlango 2 mstari 8 mpk 15 maelekezo yote MUNGU alishatoa kwa TIMOTHEO kuhusu mavazi

    • @VunjaUkimyatv
      @VunjaUkimyatv  3 วันที่ผ่านมา

      Ameeen 🙏

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hakika mimi nilielekezwa Rohon alie Okoka Anatakiwa Asimamajee

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Tuvae Kwa Kujistiri Maereni Chukizo nilielekezwa Nilipo gundua Ni Uumbaji Wa MUNGU aipaswi kuongezea Kumsahihisha

  • @WinfridahBitare-k1h
    @WinfridahBitare-k1h 6 วันที่ผ่านมา +2

    Amen ❤

  • @vanjemanirkiza3684
    @vanjemanirkiza3684 วันที่ผ่านมา +1

    💯💯💯🗣️🗣️🔥🔥🔥

    • @VunjaUkimyatv
      @VunjaUkimyatv  20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ameeen 🙏

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli kbs

    • @VunjaUkimyatv
      @VunjaUkimyatv  20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ameeen 🙏

  • @ferofero-m5z
    @ferofero-m5z 5 วันที่ผ่านมา +2

    Amen

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Gwajima hujui kuwa unahubiri hapo hivyo watu hao unawajengea kiburi Cha kujihesabia haki wasimwamini yesu kwakuwa umewaona ni Bora inamaanisha viongozi wao wanajua kufundisha kuliko wewe

    • @VunjaUkimyatv
      @VunjaUkimyatv  4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kuna Namna Nyingi Yaku Fundisha Nae Nazani Ndio Kufundisha Kwake,,,,

  • @ernestbutagalala
    @ernestbutagalala 4 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂 mwenye sikio na asikie

    • @VunjaUkimyatv
      @VunjaUkimyatv  4 วันที่ผ่านมา

      Ahahaha Ameeen 😅

  • @AmbweneMwakyundu
    @AmbweneMwakyundu วันที่ผ่านมา +1

    😂😂

    • @VunjaUkimyatv
      @VunjaUkimyatv  20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂

  • @vanjemanirkiza3684
    @vanjemanirkiza3684 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂😂❤❤

    • @VunjaUkimyatv
      @VunjaUkimyatv  20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ahahaha Hatar 😂😅

  • @leonardlameck7486
    @leonardlameck7486 5 วันที่ผ่านมา +3

    Si mponywe Sasa kwa mahubiri haya,muachane na mavazi hayo ya kikahaba

    • @VunjaUkimyatv
      @VunjaUkimyatv  5 วันที่ผ่านมา

      Ahahaha Ameeen 🙏

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Haswaaaqq Ameen Ameen

  • @frankmwamlimainjili2071
    @frankmwamlimainjili2071 วันที่ผ่านมา +1

    😅😅😅magembe

    • @VunjaUkimyatv
      @VunjaUkimyatv  20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hatari sana😂

  • @petterezekeri
    @petterezekeri 6 วันที่ผ่านมา +2

    Ameee

  • @yustchuwa6957
    @yustchuwa6957 วันที่ผ่านมา +1

    Kueni makin wachungaji Kwa waamini wenu

    • @VunjaUkimyatv
      @VunjaUkimyatv  20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ameen🙏

  • @PhimoniMwakalili
    @PhimoniMwakalili 4 วันที่ผ่านมา +3

    mbona hamuwasemi wanaosuka nywele

    • @goodluckkamaghe3871
      @goodluckkamaghe3871 3 วันที่ผ่านมา +1

      Roho afumbue macho tulielewe neno kusuka huwezi linganisha na mavazi mafupi na yanayobana kusuka hakuna madhara kwa mtazamo wangu

    • @VunjaUkimyatv
      @VunjaUkimyatv  3 วันที่ผ่านมา

      Atupe Nae SoMo Lakusuka Tuone😅😂

    • @jipsonmwampagatwa
      @jipsonmwampagatwa 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@VunjaUkimyatvsomo la kusuka lipo mbona

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      No Madhara Aipaswiii chukizoo​@@goodluckkamaghe3871