MGOMO wa KARIAKOO, WAFANYABIASHARA WAFUNGUKA "KODI IMEKUWA KUBWA SANA, BIDHAA ZIMEPANDA BEI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 46

  • @isamony58
    @isamony58 6 หลายเดือนก่อน +6

    Chalamiya anajifanya mkali ajuwi kama wezake wanaumiya asilete ujingaa hapo mishavu ilee

  • @AbrahBuraheze
    @AbrahBuraheze 5 หลายเดือนก่อน

    pameanza kuchangamka sasa baada ya muarabu kushika bandariii😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 6 หลายเดือนก่อน +1

    Basi selikali iwe inatutafutia mitaji itupatie alafu kodi wanapandixhe wanavyo taka nyoko xana nyoooooooo😢😢😢😢

  • @AlbanKavishe
    @AlbanKavishe 6 หลายเดือนก่อน +2

    Chalamila usitumie mabavu hayajengi, wasikilizeni wafanyabiashara wana hoja.

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 6 หลายเดือนก่อน +1

    Funga maduka uzieni inje basi sindio charamila amesema owote tuwe machinga tusilipe Kodi chalamila alifauluje kukali au

  • @alitomitre4191
    @alitomitre4191 6 หลายเดือนก่อน

    We legeza macho tu 😂😂😂

  • @oyay2821
    @oyay2821 6 หลายเดือนก่อน +1

    African winter is spreading in East Africa

  • @noeljacob9644
    @noeljacob9644 6 หลายเดือนก่อน +2

    Tuliwambia msiiuze bandari mkatuona wapuuza sasa pambaneni na hizo kodi

  • @RamadhaniMadanga-ne7jk
    @RamadhaniMadanga-ne7jk 6 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani Tanzania hii bado sana

  • @dismashaule1631
    @dismashaule1631 6 หลายเดือนก่อน

    Aiseeee nchi ya kwetu lakin wanafaidika viongozi ndo mana kina Chalamila ni kupiga porojo tu

  • @kelvinsanga1517
    @kelvinsanga1517 6 หลายเดือนก่อน

    Duuuuuuuuuu Aya maisha noma sana

  • @RajabuKitalambo-q2u
    @RajabuKitalambo-q2u 6 หลายเดือนก่อน

    Ata ikinyesha mvua c mnasema anaupiga mwingi

  • @DjamalDjazir
    @DjamalDjazir 6 หลายเดือนก่อน

    Umeongea fact sana kaka

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 6 หลายเดือนก่อน

    Kwaza huyu mama nchi hii imemshinda SI ajiuzulu apate heshima kuliko kung,Ang,Ania vtu ambavyo haviwez

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 6 หลายเดือนก่อน +4

    Yule mashavu analeta mzaha kwenye masuala sensitive

    • @fauzishabani2622
      @fauzishabani2622 6 หลายเดือนก่อน

      Biashara ni ngumu chungu naniTamu wakati mwingine

  • @geofreykasinda1895
    @geofreykasinda1895 6 หลายเดือนก่อน

    Wanainchi wanalipa Kodi alafu majizi yanaiba mabilioni ya walipa Kodi, na serikari inabariki wezi na inawalinda , Kodi itumike ipasavyo kumechoka na lipoti za CIG Kila siku wizi na serikari haipiki atua

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 6 หลายเดือนก่อน

    Kazi ya chawa kusifia viongozi hawa angalii nani anae teswa na hawa viongoz

  • @JonathanMatembo
    @JonathanMatembo 6 หลายเดือนก่อน

    Mnaangaika kumtafuta mchawi,adui namba moja wa watanzania woote ni chama chakavu cha CCM na family zao,bola ukimwi kuliko CCM kuwepo Tanzania,bandari imeuzwa watanzania tutateseka sana.

  • @imallya6513
    @imallya6513 6 หลายเดือนก่อน

    Vilevile wageni kuwa hutu kufungua maduka kila kama sisi wazawa na kufanya biashar kama sisi wazawa inatuondoa wazawa kweny mfumo kabisaa hakuna ushindan

  • @nomoboy152
    @nomoboy152 6 หลายเดือนก่อน

    Ety chanzo Cha mgomo ni vyama vya siasa 😂😂😂 ila Tanzania

  • @AbrahBuraheze
    @AbrahBuraheze 5 หลายเดือนก่อน

    sasa kwa nin kachalamila kanakuwa kakali kasisikile wafanya biashara kakatatuwa hiyo changamoto baadala ya kufoka foka

  • @coolsinare8824
    @coolsinare8824 6 หลายเดือนก่อน

    ila aisee serikali inabidi ifanye jambo kodi haziwezi kuwa hivi..nchi inaanguka hii nainaonekana viongozi hamjali kabisaaaa

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 6 หลายเดือนก่อน

    Mama amesema bandarini kunatakiwa kuongezeka kodi

  • @babuummary7723
    @babuummary7723 6 หลายเดือนก่อน

    Serikali ijiangalie sana

  • @coolsinare8824
    @coolsinare8824 6 หลายเดือนก่อน

    sina maana yakupigia chama chochote kifua ila CCM aisee mnaharibu mbayaaaa huo mgomo ni jambo dogo sana kulinganisha na kero nyingiiiii zilizo kwa wananchi..acheni kudharau wa Tanzania kwani watawafanya nini..ishini kwenye ilani yenu ya chama..

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 6 หลายเดือนก่อน

    🙏🏽🥺

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 6 หลายเดือนก่อน

    Chawa huyo mama achane na machawa aongeye na vijana jeshishi wasomi wafutwe machinga na jina Hilo lisisikike unapangaje watu balala? Wajengeye masolo siyo kuweka chini

  • @AbsalumSanga
    @AbsalumSanga 6 หลายเดือนก่อน

    Maisha magumu sana

  • @mussakasela1937
    @mussakasela1937 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 mtanyoka nyoko nyie,

  • @oswardmsigwa5728
    @oswardmsigwa5728 6 หลายเดือนก่อน

    Hii ndo serikali mnayosema ya mitano tena

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 6 หลายเดือนก่อน +4

    Hili Jiji aje makonda huyu mlevi chalamila haliwezi kelele nyingi

  • @BarakerZeonlist
    @BarakerZeonlist 6 หลายเดือนก่อน

    kashauza bandari

  • @SogoroAdam
    @SogoroAdam 6 หลายเดือนก่อน

    Bunge la mchongo Kila sku maamuzi wanayo amua yanakuwa sum Kwa raia

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 6 หลายเดือนก่อน

    Mbona wakat wa makonda sjaskia wafanya biashara kugoma

  • @MaurusMpinga
    @MaurusMpinga 6 หลายเดือนก่อน

    Watu wanachoka

  • @joowzeyboyjoowzee4474
    @joowzeyboyjoowzee4474 6 หลายเดือนก่อน +1

    So sad

  • @JonathanMatembo
    @JonathanMatembo 6 หลายเดือนก่อน

    Bandari imeuzwa mtakoma

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 6 หลายเดือนก่อน

    Kura zenu hoooooeee

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 6 หลายเดือนก่อน +2

    Waarabu wameongeza kodi bandarini mara mia tujitahid tuwaondoe. Vinginevyo watataliza

    • @zully756
      @zully756 6 หลายเดือนก่อน

      Tatizo jamaa zako wananunua magari ya kifahari kwa kodi zetu

    • @RenatusMatungwa
      @RenatusMatungwa 6 หลายเดือนก่อน

      Wakati watu wanapiga kelele kuhusu kubinafsishwa hiyo bandari mliwaita wachochezi tulieni dawa iwaingie