Waziri Mahmoud Th. KOMBO, hongera sana sana kwa kazi nzuri unayofanya, wewe ni Waziri wa watu na sote tunakupenda sana. Mwenyezi Mungu akupe afya njema na akubariki na kazi hiyo nzuri unayofanya.👍🤲🤲🤲
Asalaam aleykum mashaallah.Niko Hargeysa hongereni sana ni Mtanzania pia..Na watoto wangu wote wanazungumza kiswahili vizuri sana na mke wangu pia ninemfundisha na alikuwa Tanzania kwa miaka sita amejua kiswahili vizuri
Kwa nn diaspora anatoka ughaibuni kwa kurudishwa[deportation] akifika Tanzania anafungwa...wakati yeye hata lengo ni kurudisha nyumbani.the case should be considered for those who had gone overseas for economic opportunities.
MaaaashaAllah Kipindi hichi natumai kitanisaidia kuelezea tatizo LA DHULMA ya Kijana wa shemeji yangu ambae ADHULUMIKA HAKI YA BABAKE MZAZI ZANZIBAR SABABU TU YA UTAMBULISHO. Si vyema kuweka hizo habari hapa lakini ningepata direct contact ya Mh Thabit Kombo nitamueleza kwa urefu.
Watu wanahitaji urai pacha kama wenzetu wengine wa East African,kitu gani kinachofanya muwakoseshe haki hio,hadhi maalumu haina maana yoyote ni geresha tu.
Wana diaspora tupo wengi dunia mzima kila pembe ya dunia tupo wapemba ndio usiseme sisi wengine tupo Belgium tuna wake na watt mimi mwenyewe nina watt 4 na bado ndio kwanza na zaaa huu ndio urithi wetu
Waziri Mahmoud Th. KOMBO, hongera sana sana kwa kazi nzuri unayofanya, wewe ni Waziri wa watu na sote tunakupenda sana. Mwenyezi Mungu akupe afya njema na akubariki na kazi hiyo nzuri unayofanya.👍🤲🤲🤲
Tr
tanzania tunahitaji viongozi kama hawa hongera sana muheshimiwa yaani nakuona upo na furaha sana kukutana na mzanzibar mwenzio
Hongera sana Mhe.Balozi Mahmoud Thabit Kombo kwa ucheshi wako uko vizuri sana
Asalaam aleykum mashaallah.Niko Hargeysa hongereni sana ni Mtanzania pia..Na watoto wangu wote wanazungumza kiswahili vizuri sana na mke wangu pia ninemfundisha na alikuwa Tanzania kwa miaka sita amejua kiswahili vizuri
Naikumbuka Hargesa nilipo kua nakwenda Busaso
Safi sana
Hongera sana mheshimiwa
Hongera waziri uraia pacha ni muhimu
Nimekuelewa sana Waziri
Masha'Allah. Baraka'Allahu fiikum. Seedi. Allah akupe umri mrefu na afya njema insha'Allah.🙏👍
Asante ustadh mahmoud , greetings from kibokoni unguja,
Hongera.kwa.wazanzibar.wote.na.hii.ndio.asili.ytu.ni.utafutajimna.biashara..zanzibar.kwanzaa
Nimependa sana hii
Hongera sana napenda familia kubwa mimi
Ndugu yangu Allah akuzidishie afya njema ww na familia yako
Mpemba mwezako wa kiuyu nakuja ukouko Mogadishu kukutembelaea
Safi somchezo mashallah
nduhu yangu jitahidi watoto wapate pass za tz. pls pls
Yanini paspot ya Tanzania
@@ibrahimsheha215 Shekhe wangu inamana sana ila ukiwa na neema huijui umuhimu wake mpk ikutoke
Passport za kisomali zina nguvu kiasi hata wakitaka kwenda nchi za nje kujiripua ni rahisi
Wewe achaa unaweza kulinganisha passport ya Tz na somali acha basii
Niseme tu Allah amekupa kipaji cha kuongoza na InshaAllah iko siku utaiyongoza zanzibar
Kwa nn diaspora anatoka ughaibuni kwa kurudishwa[deportation] akifika Tanzania anafungwa...wakati yeye hata lengo ni kurudisha nyumbani.the case should be considered for those who had gone overseas for economic opportunities.
MaaaashaAllah Kipindi hichi natumai kitanisaidia kuelezea tatizo LA DHULMA ya Kijana wa shemeji yangu ambae ADHULUMIKA HAKI YA BABAKE MZAZI ZANZIBAR SABABU TU YA UTAMBULISHO. Si vyema kuweka hizo habari hapa lakini ningepata direct contact ya Mh Thabit Kombo nitamueleza kwa urefu.
Bora hao wasomali kuliko watu wa unguja
"Rabsha"au MAUWAJI KWA MAKUSUDI KULINDA UTAWALA WA CCM
Leta watoto nyumbani Tz
Hakuna Hagi maalum, watu wote ni sawa na kuwa na HAKI sawa.
Abdulkhaliq❤
Tulihania wakati wa komandoo
Hakuna Hagi maalum, watu wote ni sawa na kuwa na HAKI sawa.Tanzania man sheria mbaya,watu wanaruhusiwa kuwa na Uraia pacha kama mataifa yaloyoendelea.
Jamaa anaongea kama sheikh abuu iddi muhammad iddi
Okay
So kwa wapemba ni sheriya ya Mungu aliyo waekea waisllam au Waumini wa Dini ya kiisllam
Watu wanahitaji urai pacha kama wenzetu wengine wa East African,kitu gani kinachofanya muwakoseshe haki hio,hadhi maalumu haina maana yoyote ni geresha tu.
Wana diaspora tupo wengi dunia mzima kila pembe ya dunia tupo wapemba ndio usiseme sisi wengine tupo Belgium tuna wake na watt mimi mwenyewe nina watt 4 na bado ndio kwanza na zaaa huu ndio urithi wetu
Kuoa wake wanne siyo upemba bali ni Uislamu kwa mwenye sifa ya Uadilifu
Ni jumla ya ule ubaguzi wao walozoea ndio maana akasema wapemba ila hatujali muache tu
Kuna kuhamia kwa mapenzi au kutaka mwenyewe,na kuhamia kukimbia mauwaji au mateso.
Tumekuzoea kukuona mara kwa ila siku hizi umekua adimu sana muheshmiwa hongera sana bado tunakupenda sana
He is among the worse foreign afairs minister this country has experienced!
Kutokana na mazingira magumu,wengi walioko nje wanawasaidia watu wao nje ya miamala ya kisheria
Wewe kwenu unguja pangeni uzazi wapemba wanajitambua
Sisi tunata uraiya pacha
Hadhi maalum kwa wanaotaka sisi tunataka uraia pacha ili tupate fursa ya kuchukuwa passpoti za kigeni
Yote hayo wanataka watu wajiandikishe kama diaspora wacheze na data kwenye uchaguzi
Nawapongeza sana kwa maongezi lakini wengine tume choka kuishi hapa somali tunahitaji pospot ya Tanzania na watoto wetu
th-cam.com/video/HcVZ7kMNZK4/w-d-xo.html Afrika & Faransa
Mh jecha mchokozi
KATIBA MPYA ni mihimu, katiba ya Ccm haiwakilishi wananchi.
Waziri una akili sana
Mheshimiwa hii wizara umefit sana,sio kama yule😅😅
wap Somalia😂😂
Huyo ni mpemba mjanja sio wa unguja kazi yenu fitna