Baba Mwanamziki, Mtoto Mwanamziki, Hongera Sana Elizabeth Nicas Chuma. Ushauri, Kwa kuwa umeonesha uwezo mzuri wa karama Yako, utumike kwa faida ya kanisa kamwe kiburi kisijiinue kwako. Enenda vema kama Baba (Nicas), popote anakuwa jinsi alivyo. Udumu daima katika uwezo wako na Mwenyezi wa Mungu akutangulie.
Hongera Sana Saidi ya Sana 🎉🎉🎉Kwa winbo murua Kwa funzo kubwa kwetu waumini wakatoliki.mungu wetu awaape afya ya roho Na mwili wa kumwaabudu true siku sote.. 👏👏👏
Tunazidi washukuru fans wote wa Pro Studios, We are grateful to all Pro Studios andPro Studio Choir Fans ;you people give is the strength to keep moving. Tuishi kwa amani katika familia zetu na tupendane. Shout out to my team Mungu awatunze!Special Appreciation to my darling husband Director Mutongore!!
P.F Mwarabu .....kocha mwenyewe ...hodari kwelikweli
Hongereni sana wimbo mzuri sana sauti safi ❤❤❤❤
This song has just made my day.....I love it, so calm and informative 🎉❤❤❤
Be blessed saana
Ujumbe bora wa Holy family the feast of tomorrow❤❤❤
Sauti bila scratch. Hongereni sana.
Aki this is beautiful 🥰🥰🥰🥰.
Wimbo umetulia kama familia ya Nazareti.❤❤❤❤.
Mnaimba vizuri sana jameni 🎉🎉🎉🎉🥺🥺.
Asante saana
Mtunzi apewe maua yake 🎉🎉🎉
Sana 💐💐💐💐💐💐.
Kazi yake Roho mtakatifu.
Kazi kuntu kabisa😊
Baba Mwanamziki,
Mtoto Mwanamziki,
Hongera Sana Elizabeth Nicas Chuma.
Ushauri, Kwa kuwa umeonesha uwezo mzuri wa karama Yako, utumike kwa faida ya kanisa kamwe kiburi kisijiinue kwako.
Enenda vema kama Baba (Nicas), popote anakuwa jinsi alivyo. Udumu daima katika uwezo wako na Mwenyezi wa Mungu akutangulie.
AMINA KWA WIMBO WENYE UJUMBE MZURI, NAWAPENDAAA❤❤🎉❤
Tunakupenda sana ubarikiwe saanaaa
Hongera Sana Saidi ya Sana 🎉🎉🎉Kwa winbo murua Kwa funzo kubwa kwetu waumini wakatoliki.mungu wetu awaape afya ya roho Na mwili wa kumwaabudu true siku sote.. 👏👏👏
Asante sana ndugu yetu. Mungu akubariki saana
Wimbo mzuri sana na wenye utulivu
My people again 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤.
Mko smart sana.
PFMwarabu has a special place in the heart of God and Mary ❤❤❤❤.
Be bkessed
Hongera Sana waandaaji wa kazi hii,,, Hakika twapaswa kuiga mfano wa familia Takatifu. Mungu awabariki Sana ❤
Tunakushukuru sana
These Angelic voices are so wonderful and sweet to ears.
Wimbo mtamu sana kwa kweli, na pia mkaufanyia haki Wana Pro-studio. Nimebarikiwa sana hapa kwa kweli..Mzidi kunawiri wasanii...🥰
Tunashukuru saana ndugu. Ubarikiwe sana. Tunakutakia heri ya Christmas na Mwaka mpya
My favourites humans,aww this one is good for the family,kudos 🎉❤❤❤❤
Perfect for the family ❤❤❤Lovely Angel Voice from the Beautiful ladies 💖 well-done pro studios choir
Thank you so much!!
What a song I love the calmness in this song 😍🥰
Thanks so much
Perfect ❤❤❤❤🎉tamu sana 🥳🥳🥳🥳
Kazi nzuri sana.. Utunzi mzuri sana, Hongera sana kwa Kocha Mungu azidi kukubariki na kukuneemesha
Aliyepiga instrument nampongeza sanaa pamoja na wimbo mzuri na sauti nzuri pia naye ame participate effectively 🎉🎉🎉
Tunazidi washukuru fans wote wa Pro Studios,
We are grateful to all Pro Studios andPro Studio Choir Fans ;you people give is the strength to keep moving. Tuishi kwa amani katika familia zetu na tupendane.
Shout out to my team Mungu awatunze!Special Appreciation to my darling husband Director Mutongore!!
Ur being love toooo. Uishi miaka.mingi sana
Mbarikiwe sana wimbo huu kila siku nasikiliza ❤❤❤
@@kidotanne429 hongeraaaa
Mambo mazuri yanapatikana huku. Tafakari kubwa sana hii. Pro studios mnatuliza nyoyo za watu wengi kwa kazi nzuri. hongereni saaana wapendwa
Shukrani saaana
Waoooh 🥰😍😘❤️🔥🔥🔥🔥🔥
Hongereni sana kwa wimbo mzuri sana.
Mwenyezi Mungu aendelee kuwatunza, kuwahifadhi na kukubariki katika utume wenu
Tunakushukuru saaana. Ubarikiweee
Congratulations to you all may God's blessings be upon you so that your mission may be fruitful everyday ..I widh one day to be among you👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
@@anwaritevictory thanks and ur most welcome. U can join us if u wish
@mutongoreprostudios By God's grace I Hope one day I will join you
Bikira Malia atawalinda siku zote ❤❤❤
Kazi nzuri sana ❤❤🎉🎉🎉
Familia ya ndoto kila kijana,
Mkabarikiwe 🙏
Nawapenda sana pro studios mmenikumbusha mbali aisee, Mungu awe upande wenu siku zote❤❤❤
Asante saaana. Ubarikiwe sanaa
Absolutely nice song. Thanks for the great work
Thanks for listening
Hongera mmeimba vizuri sana 🎉🎉🎉
Hongera kwa mtunzi P.F Mwarabu,Mungu akutunze baba 🙏.
Asante saaaana
❤❤❤❤❤❤❤ Mungu awatunzee kaz nzur mnooo saut tamu
❤❤❤❤🎉
Kazi safi siku zote😍😍
Mwalimu P.F Mwarabu Mungu akutunze 🙏🏿
Tamu sana, listening mara ya ishirini
@@winnienduva6701 asante sana na ubarikiwe
Hongereni kwa Utume , Mbarikiwe Sana kwa kazi nzuri
Hongereni wana wa Mungu
Wimbo mzuri sana unabariki roho sana🎉🎉🎉
Perfectly done👌
Thanks a lot 😊
Everything is on point, utunzi safi wa Mzee Mwarabu
Pro studio Thanks for this flavor
Shukrani sana
Wow ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 barikiwa kwa utume
Shukrani saana
Hongereni sana🎉🎉
Waoooh 🎉🎉🌹🌹🎉🎉wimbo mkali Wakati sahihi .. hongereni sana..wapendwa💃💃💃
Tunashukuru saaaaana
More congratulations ❤❤❤ sweet voice and amaizing song,, congratulations again
Ubarikiwe saaana
Kazi yenu ni njemaaa
Paschal Florian Mwarab❤
Hongereni sanaaa
Amen 🙏
Pro studio hongera sana ❤❤❤❤
Asante saaaana
kazi safi sana
🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤
Hongereni sana kwa kazi nzuri wakuu
Asante sana ubarikiwee
🔥🔥🔥🔥
Asanteni sana ❤❤❤
Hongereni sana
Shukrani sana
❤❤❤❤❤❤❤
❤