Nikichoka huu wimbo unanikumbusha kuongeza nguvu hongera sana mtunzi kwakunikumbusha kupambana zaidi naamini nitafikisha malengo yangu kupitia kusikiliza huu wimbo🙏
Waimbaji wameutendea haki. Nota Zina mpangilio msafi sana na maudhui yanagusa the emerging and the trending issues in the current world. Major thematic areas in the modern world especially youths is depression. This song speaks volumes to them, kabla wanafunzi wangu niwafunze watauskiza. Mbuya ughucha mura weito❤
My friend Mwita ,huu wimbo uko na ujumbe mzuri,ai sing it and yet enjoy the rythm .Mungu azidi kukukuzaa na kukupa maidea kibao.You my Hun Director,Agripinus Mungu azidi bariki kazi za mikono .. Hongereni probstudios choir ,fabuluous work
Amos nikajuaga ww wa kishua kumbe siyo😂😂.. May God bless you Mwita ba waimbaji wote I can't stop listening to this master peace. Umekuja wakati muafaka
The best ❤
Nikichoka huu wimbo unanikumbusha kuongeza nguvu hongera sana mtunzi kwakunikumbusha kupambana zaidi naamini nitafikisha malengo yangu kupitia kusikiliza huu wimbo🙏
Amina...Hizi ndizo nyimbo sasa.....Nyimbo za Ukombozi na Ushindi... Isaack unakujaaa...njoo kaka...Mungu akuongoze daima....Pro studio🎉🎉🎉🎉
Asante saaana mkuuuuuu. Jitume utafanikiwa😅😅😅
@@mutongoreprostudioskweli kabisaaaaa😂
@@mutongoreprostudioskila nikiwakumbuka nafarijika sana...barikiwa pro studios
Good job kwa mtunzi na waimbaji wenye sauti nzuri ya kumtukuza Mungu na kuwainua na kuwatia moyo watu wake
Mwita oyeeee
Pamoja sana
@@Mwita_Isack3:08 ❤
Daaah Mungu akuinue zaidi na zaidi yaani ni Baraka tu
Amina
Mbarikiwe sana kwa uinjilishaji huu 🙏
A good advisory piece well and carefully composed melody....kogole to the composer.
Kaz nzuri barikiwa sana
Amina❤❤🙏🙏
Wimbo mzuri sana umenibariki haswaa 🙏🙏 sijaandikiwa kushindwa nimeandikiwa kushinda muhimu nijitume nitafanikiwa
Lazima wanafunzi wangu wasikilize wimbo huu,wajitume kabisa. Ahsante
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🙏🏻🙏🏻
❤
🎉🎉🔥 🔥
Ndo yeye,mwita mtumishi.
I wish to praise Lord as mwita do.
Wimbo bila jasho umejaa bus busara ya kweli.
You are a blessing.. thanks
Radio Maria Ksm
Very beautiful encouraging song....sote ni washindi tukijutuma
😭😭❤🙏🙏
Saaaaafi saaaaana
Big up. Ujumbe mahususi.
Kali sana hii
Yaani ninyi hamnaga shoo ndogo wala mbovu 🔥🔥🔥🙌🙌🙌
Wow,what a nice song...being blessed
Wooooooh
Fantastic song
Kali sana mnatufariji 🎉🎉🎉🎉
Waimbaji wameutendea haki. Nota Zina mpangilio msafi sana na maudhui yanagusa the emerging and the trending issues in the current world. Major thematic areas in the modern world especially youths is depression. This song speaks volumes to them, kabla wanafunzi wangu niwafunze watauskiza.
Mbuya ughucha mura weito❤
Good performance mwita
Kazi nzuri imetulia sana AUDIO and Video Ni 🔥 Hongera Producer na Director
Shukrani sana ndugu
Wee jitume💪Mzee mwenye Halali Yake🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌷🌺👌
Nashukuru mkuu Mungu ni mwema
kazi njema
I am addicted to this song.Someone help me😂
Ni hatari 🔥🔥🙌 Composer Maestro Mwita 😊🙌..The Director 😊🙌...Ila Pro Studio 🔥🔥😍
Yaaaaniiii hahahaha
Awesome. Much respect from Kenya 🇰🇪. Awesome song
I feel encourage listening to such song
Mziki una funzo kwa kweli ....isak mwita wauchukua mkondo mpya katika utunzi ....heko kaka
Bonge moja la ngoma, mwenye kufanikisha mawasiliano na mtunzi anisaidie ninashida na copy
Wimbo wa Ushindi, unatia Nguvu ya kusonga mbele. UTUKUFU kwa MUNGU na pongezi nyingi kwa mtunzi na waimbaji wote bila kusahau watu wa vyombo
Tunashukuru sana na ubarikiwe
A nice song
Wow! Huu wimbo aiseee mzuri yaan uko 🔥🔥🔥
hongereni sana Kwa utume, Mungu awabariki, Bado tunatazama kazi hii
Hongereni
Nawaombea Kwa Mungu ili muendelee kutunga nyimbo nzuri Kama huu, kwa huu wimbo hakika, mmeimba, Bonge la wimbo, Wimbo wa mwaka❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Amina
My friend Mwita ,huu wimbo uko na ujumbe mzuri,ai sing it and yet enjoy the rythm .Mungu azidi kukukuzaa na kukupa maidea kibao.You my Hun Director,Agripinus Mungu azidi bariki kazi za mikono .. Hongereni probstudios choir ,fabuluous work
Asante saaana ubarikiweee
Jamaaani huu ndio wimbo Sasa Isaack umekuwa wapi hizi siku zote 😢Asanteee I feeeel strengthened to keep going💪💪💪💪💪
Keep going
@@mutongoreprostudios asante
Kumbe you are also a follower.......tuendelee kubarikiwa kupitia kwa hizi nyimbo tamu
@@isaacmakau9450 sanaaaa
A great song muita and the team . Keep going. God bless your talents
Waoooh 🔥🔥🔥
Nabarikiwa mnooo. Hongereni sana kwa nyimbo na tone nzuri. Ukatoliki baba lao, mzuri mtamu sana
Hongereni sana wimbo bora sana maudhui sana
Shukrani saana
Kazi safi❤
Fireeeee❤❤❤❤❤❤congrats waimbaji,mtunzi,na pro studios huna kazi mbaya big up😊😊
Asanteee
Wow, ❤
Wimbo huu umenijenga zaidi katika maisha yangu! Nime upenda sana
Such a nice song, tujifunze kijituma na Mungu atatusaidia. Be blessed
Amos nikajuaga ww wa kishua kumbe siyo😂😂.. May God bless you Mwita ba waimbaji wote I can't stop listening to this master peace. Umekuja wakati muafaka
Sante Leo upogo
Thank you so much Leonida
Can't stop listening to the song 🎉🎉
Nice work 🎉🎉🎉🎉🎉
Very Beautiful Song
Fantastic @Mwita and the crew
Mtunzi umetunga wimbo mzuri sana wa hamasa, waimbaji wameutendea haki sana.umekuwa ni moja ya nyimbo zangu Bora kabisa.
Zidi kubarikiwa
Nilikua naisubir Kwa hamu kubwa sana
Enjoy music mtamu
Kaka upo vizuri sana ..hongera sana..Mbona muziki wake Kaka hujauweka bado Swahili Muziki @@Mwita_Isack
My good people always following you. God bless you for the good work you are doing
Ur most welcome.. And be blessed
Hiii sasa 🔥🔥🔥🔥❤️❤️💒kazi njema wainjilishaji mbalikiwe sana 🙏
🎉 🎉🎉🎉🎉 chukua Maua yako Kabisa
Nice
Thanks
Great song - hongera sana
Huu ni utunzi bora kwa karne,waimbaji wameutendea haki wimbo huu pasina kusahau watayarishaji wake … mibaraka iwe juu yenu wote mlioshiriki
Shukrani sana ndugu. Ubarikiwe sana
I like this
Amina amina
Hongera kwa kazi mzuri. #Jitume 2024
Kazi yangu bola bola
Song of the year
Ndiyooo 🎉🎉🎉
Wow a very encouraging song be blessed
Great 👍 👌 👍
Stay connected
Inspirational song💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
The song is so lit💥good work mtunzi na waimbaji❤
Good song bro ❤️❤️❤️
Waooh the good song🌹❤️
Amazing sana
powerful music🥰🥰
Amazing 🔥🔥🔥
Nice one....how can I get the contact za the composer
@@SylvesterKakukuPaul WhatsApp me plz +255 744 558 606
🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯💯
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wimbo unanipa hisia fulani we acha tu
Ubarikiwe saaana
❤❤❤❤
Hakika huu wimbo umenibariki@bro natamani nipate copy please
Naomba copy hii please
Check whatsapp 0744558606
❤❤❤
Nice
Thanks
❤❤❤
❤❤❤