Ufunuo Choir - Mwanamke Tasa (Official Video
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ธ.ค. 2023
- Stream And Download Ufunuo Choir Audios on all Platforms
Boomplay:www.boomplay.com/albums/80176...
Audiomack:audiomack.com/ufunuo-choir/al...
Sportify:open.spotify.com/album/4MLJ2e...
Deezer:deezer.page.link/zfpqMWGgsVrf...
Amazon Music:amazon.com/music/player/album...
For Booking Contact Ufunuo Choir
Phone:+255684479638
Email: ufunuoc@gmail.com
Video by :Amigo
Produced by :Fedrick Masanja
Composer:Emmanuel Deus
Catch up with Ufunuo Choir on Social Media
Instagram: / ufunuo_gospel_choir
Tiktok:www.tiktok.com/@ufunuo_gospel...
Hiii kwaya ina balaaa mie muislam ila hapa kuna hatar🎉🎉🎉🎉mungu awaongoze
Amen karibu sana
Malibu nyumbani kwabwana❤
Kwa Yesu kuna raha sana ukimpa Yesu maisha yako hutojutia kipenzi
Amen❤
OKoka ndugu
Am really blessed with this song ooooooooooo may God bless this choir for me
The best choir East Africa..Mungu awazidishie katika hii huduma,yaani mna hudumu kutoka mioyoni alafu Mmebarikiwa yaani kila mmoja wenu hapo mwimbaji...❤❤nawapenda buree kutoka kenya
God bless you all ...napenda uimbajii wa kwaya hii....hakuna mbwembwe nyingi......sauti zimenyooka....ujumbe unausikia kila Kona.
Kwaya nyingine zijifunze. Kutoka kwa hawa.
I hope hamtabadirika...kama kwaya nyingine...zilizokuwa za imba vizuri...eti Sasa zinajiita za kisasa. Eti kuimba kwa sauti zinazopindapinda ndo modern gospel 🤔😂😂
Ufunuo choir Keep it up...mko on track msitoke.
Mwenyezi azidi kuwapa mafunuo naawabariki sana msipungukiwe hata siku moja kiuchumi na hata katika kila hali ili mzidi kutambua kuwa kumtumikia bwana kuna faida. Amen❤❤❤
Awww Amazing ❤ in love with this❤ wapi likes za ufunuo choir❤
My favourite Choir hakika mnanibariki
Our east Africa joyous celebration...Sasa watoe video kwa stage kubwa..level ya joyous celebration...wanaeza..joe from kenya
thank you
www.boomplay.com/albums/80176278?from=search&srModel=COPYLINK&srList=WEB
Waoh...waoh...kazi njema saaana,full of message.Hogereni Sana ....Na pia congratulations Mwalimu Emma.Mungu amekupa Kibali
Amani tele ,,, amenitoa mbali sana❤❤
Guys for me u r the best choir in Tz🇹🇿🇹🇿keep shining.mnanibariki mno
Nawapenda sana from Burundi.
Hiki kinaitwa kipawaaaaaa,yanii kwelii nimebarikiwaa
Une très bonne chanson pour bénir l'église corps du Christ.
Mungu awabariki choir Ufunuo❤❤❤❤
amen
Mungu awabariki sana
My bebe luvanda vocalist wangu
Nawapenda sana ufunuo chini ya mwalimu Emmanuel Deus ❤❤
Mnajua mnajua mnajua tena , nyimbo zenu nzur zina ujumbe mzur na zinamtoa mtu hatua moja kwenda nyingine , mzidi kubarikiwa
Nmebarikiwa mpka nashangaa Sanaa kama umebarikiwa kama mim wape likes zao
The last leader though😇👐🥰
Utukufu kwa Mungu baba yetu nina barikiwa sana na nyimbo zenu Am from Zambia
Mungu awabariki watumishi wa Mungu, kwa kazi yenu ya kuihubiri injili kupitia uimbaji. Ushauri wangu kwa upande wa mavazi kwa Wana wake Wana paswa kubadilika na kubadilisha vazi hilo maana siyo vazi lenye heshima na utukufu mbele za Mungu. maana biblia inasema mwana mke asivae vazi li mpasalo mwana ume. Asante.
Sio vazi lenye heshima kwa mtazamo wako😂😂
@@pendothomas7885 Kwa mtazamo wangu tena? “Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako.
”
Kumbukumbu la Torati 22:5
🎉🎉 Kwakweli wapewe maua yao🔥🔥 Ufunuo choir Mungu awainue zaidi
Nabarikiwa na huduma yenu sana hakika kazi yenu ni njema sana
Wako vizuri sana. Ni mahubiri tosha.
Daaah! MUNGU awainue kwa viwango vya juu zaid huu wimbo kila siku nausikiliza zaidi ya maramoja aisee kwake yesu mim ni mshindi pia naweza kwake mi ni wathamani ❤❤🔥🔥🔥
waow waow waow,,,,,,
the best choir...lovely message i love you guys very much ufunuo choir
Thankyou God bless you
Mungu awabariki saana kwa nyimbo zinanibariki saana ila hapo tu kwenye sare wanawake baadhi tujirekebishe tusije tukalikosea Neno la Mungu
Amina nabalikiwa kupitia hii nyimbo hakika me nimushindi kwa Jina la Yesu
Tanzanian music is so beautiful. Keeping the tradition from original choirs of the 80s. I love Tz, from Kenya
Ila bebeluvanda anaimba bwana 🙌Waoooh finally hii nyimbo imetoka lkn mbona imekuw fupi hivi😮😅 binafs nil ifahamu hii kwaya kupitia hii nyimbo kipande cha 'mim sitaogopa mabaya' kili trend mda fln mitandaoni.
Wow,just bumped on this music and it's powerful
This is the best choir i have listened to in a long time. Their songs touch and minister to me in a different way. God bless you all and help you to continue standing in salvation. An ideal song for "Mother's day"....from Kenya
Onger watoto wa baba mungu awatie guvu
Hongerni sana nyimbo nzuri
I thought I was alone kumbe tuko wengi ,such an awesome choir
Munaimba vizur ila nashauli watoto wakike wasivae surwali tena muwe mnava siketi kwa kuwa MUNGU wetu apendi kila mtu asimame kwenye mavazi yake mnaimba vizuri sana lakini mnaunajisi kupitia mavazi mapambo kwenye ulimwengu wa roho ukianza kuiomba umepaka lipustiki unakuwa unanuka
Tangu ni uone wimbo wa usisahau jamani hii ndio choir ambayo ilinibariki kwa nyimbo zenye utunzi mkali na wakumkaribisha mtu kwa Bwana Yesu....barikiweni sana kenya we love you
Mungu azidi kuwabariki sana nabarikiwa mnoo na nyimbo zenu Miko vizuri hongereni sana Mungu azidi kuwapandisha viwango vya juu zaidi
Mzungu wangu❤❤❤❤❤
Kwa majira haya mungu amewatuma ili wengine tugundue makuu ya mungu juu ya maisha yetu. MBARIKIWE SANA
Mungu awe nanyi watumishi wa mungu❤❤❤
I'm blessed by this song
God bless all of them.
nzuri sanaaa
yani hii kwaya kama waliingia ndani yangu na wakaona then wakatunga hii kwaya huyu mungu sijui ata niseme nini mungu sanaaa baba yetu sushi maisha marefu yenye heri na baraka tele
My always morning song tu ignite my days much love kenya
My mzungu❤, my bebe❤na solo wa pili,mwenye besi km langu,anajua kutabasamu huyu❤ love you so much, mmetisha sana, MUNGU AWAINUE
Nyimbo nzuri sanaa
❤ best soloists ever blessed massages I love this majestically choir
Ufunguo Choir you are the best,keep doing what God has called you to do❤
I really love huyu ndugu zeruzeru ❤❤❤. More love from Kenya 🇰🇪 t
My fav song from you guys...asanteni kwa kuifanyia video mbarikiwe sana 🙏
Be blessed 🙌
Wonderful ❤
Be blessed guys.especially guy in white shirt great vocalist
Nimebarikiwa sana na hii kwaya nyimbo zao nizakinabii na ufunuo tosha.
Beautiful,am so blessed!!❤❤
Choir with amazing soloists! This young lady wuee. Amen to the beautiful worship!
Napenda san uimbaji wenu but zaidi step zenuu amazing sichoki watazama❤❤
Ombi langu,wadada wote wavae sketi, Yeremia 22:5 mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamme
Nawapenda sana nyiee Mungu awainuee zaidi katika huduma hiii ya uimbaji
Keep the flame burning. Glory be to God. I love you all ufunuo. # the instrumentalists,,🔥🔥🔥💯
God keep lifting you dearest ones 🙏
Am feel so bless with this choir may almighty God bless you guys and keep you guys ❤❤
Always a blessing to listen to these great voices...and the message always uplifting.
Hii kwayaa mungu awabaliki sanaa huu wimboo unanibaliki sanaa mbalikiwe sanaa na munguu❤️
Nimerudia mara nyingi sana na bado narudia
Mnapatikana wap daresalaam nimeipenda kazi yenu MUNGU awabariki sana
Kimara Kwa asikofu bendera
Yan mm mwenye nibarikiwa nao natamani niwakaribishe kweny kanisa letu
I love so much your song is very nice God bless you 🙏
Nimebarikiwa mno.... Awe mama wa watoto wenyefuraha ...
Awe mama wa watoto,,,, wenye furaha ! Glory, Glory,be to the GOD ALMIGHTY.Thanks ufunuo choir for this incredible blessings from the real GOD ALMIGHTY, be blessed more and more !
Wabarikiwe Watumishi was Bwana !
This is beautiful ❤️❤️. Blessings & Glory to God.
Mungu awabariki zaidi na zaidi mnanibariki sana
This song 🫶
❤❤❤❤❤❤❤❤ nawapenda kwa jina la yesu
Mungu amenifanya wa thamani😢....God bless you for this message
God bless you servants of GOD👏👏👏👏👏 five star CHOIR ❤❤❤❤❤
We can
MUNGU awainue zaidi
I see Tuma 🎉
Mmeimba vizuri sana ila wanawake mngevaa sketi mngependeza zaidi
Umeona eeh! Na Sijui Kiongozi wao au mchungaji wao alikubalije hii
kitu🤔🤔
Zungu nakukubali saaaaaana
Amina mnanibarikisan.mbarikiw
❤❤❤❤
❤🙏
❤❤❤❤❤
Hawa ni Atari ndgu zangu
wako sawa MUNGU awabariki
🎉🎉🎉🎉 pokeeni busu takatifu Mungu awatunze kwa ajili ya uponyaji wa nafsi nyingi
🙏🙏🙏🙏🙏🥰🥰🥰🥰🥰
That was fantastic duh God bless you🎉🎉🎉
Mnaimba vizur isipokuwa surual
Mmeimba vizur sana lakin wanawake mmezingua kwenye hizo nguo zenu ukweli tuambizane tu jamani
Acha uhafidhina ndugu mavazi kwani wamevaa vimini hapo
Usipede kihumu
Wooooow 🎉
❤❤❤❤❤❤
Mbalikiwe kwanyimbo nzuri
Awe mama wa watoto,,,,,!
Mbarikiwe
AMEN
That was fantastic. God bless you
Wow Mungu awabariki sana, nabarikiwa sana na nyimbo zenu kutoka Daegu, Korea Kusini