Pro. studios
Pro. studios
  • 89
  • 1 167 679

วีดีโอ

TOENI SADAKA. Mtunzi: Boniphace Manditi: Pro. Studios Choir
มุมมอง 4.2K4 ชั่วโมงที่ผ่านมา
TOENI SADAKA. Mtunzi: Boniphace Manditi: Pro. Studios Choir
MFADHILI WETU: KWAYA YA MT. CESILIA - PAROKIA YA MT. JOSEPH MFANYAKAZI - KIGANZA - KIGOMA.
มุมมอง 8K14 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MFADHILI WETU: KWAYA YA MT. CESILIA - PAROKIA YA MT. JOSEPH MFANYAKAZI - KIGANZA - KIGOMA.
NALIFURAHI WALIPONIAMBIA - J. Mgandu: Pro studios Choir
มุมมอง 6Kวันที่ผ่านมา
NALIFURAHI WALIPONIAMBIA - J. Mgandu: Pro studios Choir
TWAISHI MARA MOJA. KWAYA YA MT. CESILIA - KAGERA SUGAR: Mtunzi. Mwita Isack
มุมมอง 20Kหลายเดือนก่อน
TWAISHI MARA MOJA. KWAYA YA MT. CESILIA - KAGERA SUGAR: Mtunzi. Mwita Isack
MBONA SASA - Mtunzi: Mwita Isack - Artist: Norbert Ft. Pro studios choir
มุมมอง 15Kหลายเดือนก่อน
MBONA SASA - Mtunzi: Mwita Isack - Artist: Norbert Ft. Pro studios choir
DUNIA INAPENDEZA. Mtunzi: Henry Sitta KWAYA YA MT. RITHA WA KASHIA - SUNJI - MAKETE NJOMBE
มุมมอง 3.2K2 หลายเดือนก่อน
DUNIA INAPENDEZA. Mtunzi: Henry Sitta KWAYA YA MT. RITHA WA KASHIA - SUNJI - MAKETE NJOMBE
MAMA NI NGUZO YA JAMII. K.M.A Kilungule (Kwaya Ya Mt. Anthony Wa Padua Parokia Ya Mt. Monica Kimara)
มุมมอง 14K2 หลายเดือนก่อน
Wimbo huu mzuri kwa ajili ya akina Mama wote duniani umeimbwa na *K.M.A Kilungule* (Kwaya Ya Mtakatifu Anthony Wa Padua Parokia Ya Mtakatifu Monica Kimara - Kilungule) ikiwa ni utunzi wake BONIPHACE NTALYOKA. Audio na Video vimefanywa na Pro studios. Sound Engineer: Agripinus Mutongore: Assistant sound engineer: Mwita Isack
EWE MTAKATIFU PETRO - Mtunzi: Maximian P. Matongo: KWAYA YA MT. PETRO MTUME. MURUBONA - KASULU.
มุมมอง 5K2 หลายเดือนก่อน
EWE MTAKATIFU PETRO - Mtunzi: Maximian P. Matongo: KWAYA YA MT. PETRO MTUME. MURUBONA - KASULU.
TENDA MEMA : Mtunzi. R. Nkoko: KWAYA YA MT. YOSEFU MFANYAKAZI - MSIMBA - KIGOMA
มุมมอง 11K2 หลายเดือนก่อน
TENDA MEMA : Mtunzi. R. Nkoko: KWAYA YA MT. YOSEFU MFANYAKAZI - MSIMBA - KIGOMA
AULAYE MWILI WANGU: Mtunzi: S. MUJWAHUKI: Waimbaji: MARAFIKI WA PRO. STUDIOS KAGERA SUGAR
มุมมอง 4.5K3 หลายเดือนก่อน
WIMBO WA KOMUNIO DOMINIKA YA 21 YA MWAKA B WA KANISA
WEWE NI WANGU: Mtunzi: A. J. Myonga. KWAYA YA MOYO MT. WA YESU PAROKIA YA SANU JIMBO KATOLIKI MBULU
มุมมอง 6K3 หลายเดือนก่อน
WEWE NI WANGU: Mtunzi: A. J. Myonga. KWAYA YA MOYO MT. WA YESU PAROKIA YA SANU JIMBO KATOLIKI MBULU
ALIPANGALO MUNGU: Bether Michael: Mtunzi: Mwita Isack
มุมมอง 6K3 หลายเดือนก่อน
ALIPANGALO MUNGU: Bether Michael: Mtunzi: Mwita Isack
ASANTE : Artist: ISANANDO - Official HD video
มุมมอง 1.3K4 หลายเดือนก่อน
ASANTE : Artist: ISANANDO - Official HD video
TUMEZITAFAKARI FADHILI - Mtunzi: Mwita Isack: Pro studios Choir
มุมมอง 24K5 หลายเดือนก่อน
WIMBO WA MWANZO DOMINIKA YA 14 MWAKA B WA KANISA WIMBO: TUMEZITAFAKARI MTUNZI: MWITA ISACK WAIMBAJI: PRO STUDIOS CHOIR SOUND ENGINEER: AGRIPINUS MUTONGORE ASSISTANT SOUND ENG: MWITA ISACK AUDIO & VIDEO: PRO STUDIOS
NI NENO JEMA - Mtunzi: Ansbert M. Ngurumo: Pro studios choir & Kigoma's Friends
มุมมอง 28K5 หลายเดือนก่อน
NI NENO JEMA - Mtunzi: Ansbert M. Ngurumo: Pro studios choir & Kigoma's Friends
BASI KWA FURAHA MTATEKA MAJI - Mtunzi: J. Kasindi: Pro studios Choir & Kigoma's friends
มุมมอง 18K5 หลายเดือนก่อน
BASI KWA FURAHA MTATEKA MAJI - Mtunzi: J. Kasindi: Pro studios Choir & Kigoma's friends
MWILI NA DAMU YA YESU: Mtunzi: Latinus P. Mutongore: Pro studios Choir
มุมมอง 16K6 หลายเดือนก่อน
MWILI NA DAMU YA YESU: Mtunzi: Latinus P. Mutongore: Pro studios Choir
USIFIWE UTATU MTAKATIFU: Mtunzi: Fr. G. F. Kayeta: Pro studios Choir
มุมมอง 28K6 หลายเดือนก่อน
USIFIWE UTATU MTAKATIFU: Mtunzi: Fr. G. F. Kayeta: Pro studios Choir
NINYI NYOTE MLIOKWISHA KUPEWA NURU - Mtunzi: Remigius Kahamba
มุมมอง 6K6 หลายเดือนก่อน
NINYI NYOTE MLIOKWISHA KUPEWA NURU - Mtunzi: Remigius Kahamba
WOTE WAKAJAZWA ROHO MTAKATIFU: Pro Studios Choir & KWAYA YA MT. MIKAELI MALAIKA MKUU - KAWE
มุมมอง 31K6 หลายเดือนก่อน
WOTE WAKAJAZWA ROHO MTAKATIFU: Pro Studios Choir & KWAYA YA MT. MIKAELI MALAIKA MKUU - KAWE
MUNGU AMEPAA - Mtunzi: Remigius Kahamba: Pro studios choir
มุมมอง 13K6 หลายเดือนก่อน
MUNGU AMEPAA - Mtunzi: Remigius Kahamba: Pro studios choir
HUBIRINI: Mtunzi: Ansbert M. Ngurumo: Pro studios choir
มุมมอง 24K6 หลายเดือนก่อน
HUBIRINI: Mtunzi: Ansbert M. Ngurumo: Pro studios choir
UTUKUFU KWA MUNGU - Mtunzi: Boniface A. Manditi: Pro studios choir
มุมมอง 38K7 หลายเดือนก่อน
UTUKUFU KWA MUNGU - Mtunzi: Boniface A. Manditi: Pro studios choir
NYOTA YA BAHARI - Joseph Makoye: PRO STUDIOS CHOIR & KWAYA YA MT. DONBOSCO MONGOLANDEGE
มุมมอง 39K7 หลายเดือนก่อน
NYOTA YA BAHARI - Joseph Makoye: PRO STUDIOS CHOIR & KWAYA YA MT. DONBOSCO MONGOLANDEGE
BWANA UTUHURUMIE - Mtunzi: Boniface A. Manditi: Pro studios Choir
มุมมอง 51K7 หลายเดือนก่อน
BWANA UTUHURUMIE - Mtunzi: Boniface A. Manditi: Pro studios Choir
MIMI NDIMI MCHUNGAJI MWEMA - Mtunzi: A. O Gama: Pro studios choir & K. F. SINGERS
มุมมอง 10K7 หลายเดือนก่อน
MIMI NDIMI MCHUNGAJI MWEMA - Mtunzi: A. O Gama: Pro studios choir & K. F. SINGERS
AMEJIFUFUA - Mtunzi: Anthony Kiatu. Pro studios choir & K. F. SINGERS
มุมมอง 10K7 หลายเดือนก่อน
AMEJIFUFUA - Mtunzi: Anthony Kiatu. Pro studios choir & K. F. SINGERS
BWANA YESU KAFUFUKA - Latinus P. Mutongore. Pro studios choir
มุมมอง 9K7 หลายเดือนก่อน
BWANA YESU KAFUFUKA - Latinus P. Mutongore. Pro studios choir
MWOKOZI KAFUFUKA - Mtunzi: Mwita Isack - Pro studios choir
มุมมอง 17K8 หลายเดือนก่อน
MWOKOZI KAFUFUKA - Mtunzi: Mwita Isack - Pro studios choir

ความคิดเห็น

  • @marysemufali7011
    @marysemufali7011 29 นาทีที่ผ่านมา

    Tunazidi kuwashuukuru sana kwa support yenu kama Viewers wa kazi za Pro msiache kutuombea. Hongereni sana TeamPro Studios., Much lav to u Mi amor, A Mutongore

  • @albanTz001
    @albanTz001 29 นาทีที่ผ่านมา

    Beautiful❤

  • @albanTz001
    @albanTz001 30 นาทีที่ผ่านมา

    Beautiful❤

  • @marysemufali7011
    @marysemufali7011 36 นาทีที่ผ่านมา

    Tunamshukuru Mungu sana kwa ajili ya Pro Studios! Tunakushukuru Mungu kwa ajili yenu nyote fans wa Pro Studios andPro Studios Mungu awabariki sana. Thumbs up to my Team Mwl Mwita, Bertha, Hilda, Maria , Mwl Kiatu u guys make a good team. To you director Mutongore loving and supporting you is what I can offer best! Am proud of you Hun.😘👍🏼🤲🏽😘

  • @DorcasNanzala
    @DorcasNanzala 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Merry Christmas 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @bether_Michael
    @bether_Michael 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Great work ❤🙏🏽

  • @GladysAlubo
    @GladysAlubo 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wow safi❤❤❤❤❤

  • @DjTijay254
    @DjTijay254 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤❤❤

  • @SofiaMusaMenrad
    @SofiaMusaMenrad 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu asnte kutuletea mkomboz wa Dunia

  • @KayogaNyamuda
    @KayogaNyamuda 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🎉

  • @RenardAloyce
    @RenardAloyce 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wimbo mzuri sana yani tafadhari naombeni mnisaidie copy yake mtandaoni haipo

    • @mutongoreprostudios
      @mutongoreprostudios 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@RenardAloyce WhatsApp 0744558606

  • @laurentinalaurent8952
    @laurentinalaurent8952 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤🎉🙏

  • @laurentinalaurent8952
    @laurentinalaurent8952 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Anakuja kwetu🙏

  • @teopistakomba2189
    @teopistakomba2189 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nice🎉🎉 mmeimba vizuri sana. Mbarikiwe

    • @mutongoreprostudios
      @mutongoreprostudios 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@teopistakomba2189 Asante sana ndugu

  • @clarenaliaka7573
    @clarenaliaka7573 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen 🙏🙏

  • @DismasMukokho
    @DismasMukokho 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Great song

  • @bether_Michael
    @bether_Michael วันที่ผ่านมา

  • @fidelisluvanda3585
    @fidelisluvanda3585 วันที่ผ่านมา

    Always you are doing well, God be with you ever🎉🎉

    • @mutongoreprostudios
      @mutongoreprostudios 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@fidelisluvanda3585 thanks so much

    • @marysemufali7011
      @marysemufali7011 31 นาทีที่ผ่านมา

      Ameeeeeen we receive

  • @SananeMalulo
    @SananeMalulo วันที่ผ่านมา

    Nyimbo tamu da!!!! Munajua aise sauti za malaika ❤❤❤❤ ingependeza tukapata copy

  • @Robertntakandi
    @Robertntakandi วันที่ผ่านมา

    Hongereni sanaaaa

  • @davidmwaniki5925
    @davidmwaniki5925 วันที่ผ่านมา

    Good song. Keep it up waimbaji

  • @AdrianoNtagunama-q3p
    @AdrianoNtagunama-q3p วันที่ผ่านมา

    Hongelen sana

  • @CatherineMartin-j6g
    @CatherineMartin-j6g วันที่ผ่านมา

    Never disappoint akii mbarikiwe sanaa 🎉🎉❤❤ nawapenda tu

    • @mutongoreprostudios
      @mutongoreprostudios 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@CatherineMartin-j6g asante. Tunakupenda pia

  • @christianmenas9528
    @christianmenas9528 วันที่ผ่านมา

    Mimi siyo mroma lakin nawapenda mnavyoimba, organist uko vizuri, unaujua mziki. Munuu azid kukuinua na waimbaji wako wote mko vizur sana.🙏🙏

    • @mutongoreprostudios
      @mutongoreprostudios 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Asante sana. Mungu akulinde saana. Uzidi kubarikiwa wewe na familia yako

  • @franciskivindu2819
    @franciskivindu2819 วันที่ผ่านมา

    Perfect, Angelic, kudos

  • @liberathaisdory4017
    @liberathaisdory4017 วันที่ผ่านมา

    Amina Mungu awabariki sana

  • @RaphaelOtiende
    @RaphaelOtiende วันที่ผ่านมา

    Good work my Sisters and brother, May God bless you ❤️

  • @VailethMahundi-j5m
    @VailethMahundi-j5m วันที่ผ่านมา

    Wimbo mzur

  • @donatusmlelwa5740
    @donatusmlelwa5740 วันที่ผ่านมา

    Thanks for a good song I real love you

  • @ignasmarcus4895
    @ignasmarcus4895 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉

  • @JacintaAntonia-h5k
    @JacintaAntonia-h5k วันที่ผ่านมา

    Nawapenda sana❤❤❤. @isack Mwita. @Bether @Mary❤❤❤❤. You guys are my biggest inspiration.

    • @Mwita_Isack
      @Mwita_Isack วันที่ผ่านมา

      Thank you so much na sie pia tunakupenda

    • @marysemufali7011
      @marysemufali7011 35 นาทีที่ผ่านมา

      Daaaaaaa!!! Speechless asante na Mungu akubariki pia

  • @wariohalkanodida4969
    @wariohalkanodida4969 วันที่ผ่านมา

    Beautiful one❤

  • @EpitasBoniface
    @EpitasBoniface วันที่ผ่านมา

    Mmepambanishwa mwangaza fm iliyopo dodoma

  • @EpitasBoniface
    @EpitasBoniface วันที่ผ่านมา

    Leo nyimbo zenu zimepambanishwa na kwaya nyingine, hakika mmewagalagaza haswa, ndo nikapata kusikia. Hongereni sana kutoka moyon mmenifurahisha.

  • @wandiagichuru9400
    @wandiagichuru9400 วันที่ผ่านมา

    ❤️👌

  • @EpitasBoniface
    @EpitasBoniface วันที่ผ่านมา

    Jamani jamani jamaniii nyie mnafanyaje mpaka mnatoa vitu vikali kiwango hiki

  • @laurentlugema593
    @laurentlugema593 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @jescaemmanuel8671
    @jescaemmanuel8671 วันที่ผ่านมา

    Safi sanaaaaa

  • @jescaemmanuel8671
    @jescaemmanuel8671 วันที่ผ่านมา

    Wimbo mzuri sana,hongereni Pro Studio Choir

    • @mutongoreprostudios
      @mutongoreprostudios วันที่ผ่านมา

      @@jescaemmanuel8671 asante saana . Ubarikiweee

  • @alexanderchacha8585
    @alexanderchacha8585 วันที่ผ่านมา

    Wimbo mzuri Safi hongereni sana❤❤❤ naomba pdf music sheet❤🎉

    • @mutongoreprostudios
      @mutongoreprostudios วันที่ผ่านมา

      @@alexanderchacha8585 check WhatsApp 0744558606

  • @jacobd.kasofu2204
    @jacobd.kasofu2204 วันที่ผ่านมา

    Great Composition ...R.I.P Maestro FELICIAN ALBERT NYUNDO. Ahasanteni Sana Kwa Kuinjilisha....🎉🎉❤❤👏👏👏🙏🙏🙏🙏

  • @christinaraymond1928
    @christinaraymond1928 วันที่ผ่านมา

    Mwl hongeraa sana unatubariki sanaa

  • @JuliusMunyao-g7g
    @JuliusMunyao-g7g วันที่ผ่านมา

    Kazi nzuri sana wapendwa🎉

  • @JuliusMunyao-g7g
    @JuliusMunyao-g7g วันที่ผ่านมา

    Kazi nzuri sana ❤Mungu azidi kuwabaribiki sana

  • @LuckyHummingBird-np4gb
    @LuckyHummingBird-np4gb วันที่ผ่านมา

    Hongera sana

  • @PaskretFg
    @PaskretFg วันที่ผ่านมา

    Amaizing

  • @CharlesBrown19037
    @CharlesBrown19037 วันที่ผ่านมา

    Amina, Nimebarikiwa na wimbo huu. Natiwa hamasa nikifikiria Yesu ni Emanueli, Mungu yu nasi na dhamira ya kuja kwake mara ya pili.

  • @ClotlidaFmayanja
    @ClotlidaFmayanja วันที่ผ่านมา

    Vizuri sana Pro studios nawapenda sana wimbo mzuri sana na kazi ni nzuri sana mbarikiwe sana

  • @ClotlidaFmayanja
    @ClotlidaFmayanja วันที่ผ่านมา

    Nawapenda sana hongereni na Mungu azidi kuwatunza

  • @VenasLujinya22
    @VenasLujinya22 วันที่ผ่านมา

    Hongereni sana Wimbo Mmeutendea Haki kabisa🔥🔥🔥