Duh Unbelievable Unbelievable? Sasa nimekuelewa . Msemaji huko Vizuri sana sana .Na nilikuwa sikuelewi na maneno yako. Sasa nimekuelewa vizuri kabisa. Duh Maono yako unapewa ni ya maana sana sana. MUNGU akuonyeshe zaidi tufahamu.Ubarikiwe.
Ni kweli kabisa. Mama anamalizia muhula wa tano uliokuwa umaliziwe na Hayati Magufuli. Akimaliza muhula huu uchaguzi ufanyike wa kumpata raisi wa awamu ya sita. Muache uroho wa madaraka!!!!
CCM wanachanganya Sana hiyo awamu ya 6 ilitoka wapi. Uchaguzi upi ulimtawaza makamu wa Rais Samia. Sina shaka Mtumishi wa Bwana amesema kweli ifike wakati muone aibu. Mnalindana ili muendelee kula mema ya nchi hii. Huu mkate ni wetu wote mwachane Samia Ang'atuke hatuna awamu ya sita(6)
NI UKWELI USIOPINGIKA WALIKUWA WAWILI MAGHUFULI NA SAMIA SULUHU . MAGHUFULI AMETANGULIA MBELE ZA HAKI NA SAMIA AMEBAKIA KUMALIZIA AWAMU YAO YA TANO HALO NI KWELI NA NI SAHIHI KABISA TUIHESHIMU KATIBA AMIN AMIN
Mimi nashangaa eti awamu ya sita mpaka viongozi wakuu wa nchi wananena hivyo sijui kwa katiba ipi na uchaguzi upi wakati ni awamu ya tano. Hata hivyo mtumishi niliwahi kumuota huyu mama samia yupo shambani analima wakati anaendelea kulima jembe likampiga mguuni akaumia kisha akalitupa chini naye akachechemea na kukaa chini akashindwa kuendelea kulima.
@@LukmanAbdul-qp8id 😀😀😀😀😀 atahama uyo ambae sio wa Tanganyika uhame kisa nin ukisema ukweli mtu anakuchukia yanini kama wew ndugu zako hawajabomolewa nyumba na kufukuzwa au la bandari wewe mzenji washangilia sanaa
Viongozi wa c c m msijifanye miungu watu Tanzania ni mali ya watu wote wafanyakazi wa sekta binafisi na wafanyakazi wa umma na wakulima na wafanya biashara
HUU NI UĶWELI MCHUNGU! WAMEJAA UNAFIKI! WANENAYO SIYO WATENDAYO. NA HUU NDIYO MWISHO WA UNAFIKI . YA ALMARUHUMU SHEIKHE YAHAYA HUSSEIN ALIPOTABIRI 2009.
Achana na CCM vyama ni vingi chagua cha kujiunga nacho au kama vyote havifai unda chako. Sio LAZIMA kufuata ushauri wa yoyote. Katiba ya CCM inaruhusu mwanachama mwenye sifa agombee nafasi yoyote. Rais Samia yupo madarakani kwa Ibara ya 37(5) na Ibara ya 40(4) imeweka muda kwamba aliyeshika madaraka kwa ibara ya 37(5) kama muda alioshika ni zaidi ya miaka 3 atakuwa na nafasi ya kugombea tena kipindi 1 lakini ikiwa sio zaidi ya miaka 3 ndio atagombea vipindi 2. Hivyo ni SAHIHI Rais Samia kugombea na kipindi 1 tu. Nakushauri zungumza unachokielewa. Mungu akupa ndomo mmoja na masikio mawili, maana yake sikiliza zaidi kuliko kusema.
Kwa mujibu wa Katiba ya nchi kipindi hiki anachotawala Rais Samia kinahesabika ni kipindi chake cha kwanza na anaruhusiwa kuongeza kipindi kingine kimoja tu cha miaka 5. So akichaguliwa tena mwisho wake wa kuongoza ni 2030 .
Mtumishi wa mungu sikuelewi hapo unahubiri neno la bwana au umelishwa matamko? Katiba ya nchi,katiba ya chama na kitabu cha dini hapo unatumia ufahamu wako kutukoroga! Hii ni awamu ya sita kipindi cha kwanza inayoishia 2025 Awamu ya tano ilimalizika kwa mujibu wa katiba ya nchi na samia alipatikana kwa matakwa ya katiba ya nchi.
Umenena Mtumishi. Wana-CCM, kama wapo na wanajiona wanazo sifa wapewe fursa ya kugombea. Muhula wa awamu ya 5 - 2020 - 2025, umekwisha. CCM wasituvurugie Katiba ya Taifa. Mwisho wa uongozi wa Rais Magufuli, kikatiba, ilikuwa 2020 (5 years); baada ya hapo mtanzania yeyote (hata mwana+CCM) alikuwa na haki ya kugombea. Membe (+) alipokwa haki na CCM. Samia ni rais ktk awamu ya 5, sio Rais wa AWAMU YA SITA. Ashindanishwe na Wana-CCM wenziwe (kwa huo "UTAMADUNI" wao,) kugombea urais wa AWAMU YA SITA. Hivyo ndivyo Katiba ya Tanzania isemavyo.
WEWE NI NDEZI KAMA WENZAKO HAO CHADEMA UNAJIFICHA KTK DINI KUMBE NI CHADEMA.....WADANGANYE HAO MBUMBUMBU WENZENU WA CHADEMA....TUNGEKUONA WEWE NI MTU WA MAANA KAMA UNGEANZA KUUKOSOA UHUNI WA CHAMA CHAKO CHA CHADEMA KWA KUMWAMBIA MBOWE AACHIE UENYEKITI KWA WENGINE NDO TUONE KAMA KWELI HUKO KUNA DEMOKRASIA...
Nyinyi hamuna akili hakiamungu samia samia kakukera kit gan ww au umempa kura yako au anaongoza tanganyika yko au zanzibar yko huyu yupo kwaajil ya Tanzania kwaio kausha anajua nin anafanya ivo kusema sema ni roho mbaya na chuki
Kumbe wewe si nabii wa kweli samia alichaguliwa? Kwa taarifa yako sisi hatumtaki tuulize kwa nini hatumtaki kama unamngangania kaa naye wewe akutawala muuji we nabii wa uongo
Amina Mtumishi wa Mungu. Umenena kweli
😂😂😂😂😂 Huyo bwana ammalize tu huyo mwanamke leo mana kesho ni mbali sana afie mbali
Safi sana mtumishi wa mungu wambie ukweli tena wachane ukweli hii ni awamu ya 5 sio ya 6 bwana
Namajariwa achukuwe kweli hapo umeongea poiti
Duh Unbelievable Unbelievable? Sasa nimekuelewa . Msemaji huko Vizuri sana sana .Na nilikuwa sikuelewi na maneno yako. Sasa nimekuelewa vizuri kabisa. Duh Maono yako unapewa ni ya maana sana sana. MUNGU akuonyeshe zaidi tufahamu.Ubarikiwe.
Ni kweli kabisa. Mama anamalizia muhula wa tano uliokuwa umaliziwe na Hayati Magufuli. Akimaliza muhula huu uchaguzi ufanyike wa kumpata raisi wa awamu ya sita. Muache uroho wa madaraka!!!!
Umesema ukweli kabisa, amalizie aondoke 2025 Big nooo
Unamtukana mamayetu jisalimishe
Tunalihitaji hilo jambo litokee hata sasa.tumechoshwa na utawala wa hovyo
Wewe
CCM wanachanganya Sana hiyo awamu ya 6 ilitoka wapi. Uchaguzi upi ulimtawaza makamu wa Rais Samia. Sina shaka Mtumishi wa Bwana amesema kweli ifike wakati muone aibu. Mnalindana ili muendelee kula mema ya nchi hii. Huu mkate ni wetu wote mwachane Samia Ang'atuke hatuna awamu ya sita(6)
Mtumishi tuna CCM GENGE la wahuni majizi wauaji, wanatawala wale wenyewe 😢kingine wametuulia marais wetu
Acha kuongea pumba wewe selikali itachukuwa mkondo wake
NI UKWELI USIOPINGIKA WALIKUWA WAWILI MAGHUFULI NA SAMIA SULUHU . MAGHUFULI AMETANGULIA MBELE ZA HAKI NA SAMIA AMEBAKIA KUMALIZIA AWAMU YAO YA TANO HALO NI KWELI NA NI SAHIHI KABISA TUIHESHIMU KATIBA AMIN AMIN
Amen, itokee hata sasa.
Amina,mtumishi wa Mungu🙏
Asnt samia hatujamchagua hivyo aondoke mara moja ccm wezi wanamtaka samia kw vile wakiiba anawatukana tu wezi wanapeta
Huyo mwanaume ni yule jizi mkuu Kikwetu.
Mimi nashangaa eti awamu ya sita mpaka viongozi wakuu wa nchi wananena hivyo sijui kwa katiba ipi na uchaguzi upi wakati ni awamu ya tano.
Hata hivyo mtumishi niliwahi kumuota huyu mama samia yupo shambani analima wakati anaendelea kulima jembe likampiga mguuni akaumia kisha akalitupa chini naye akachechemea na kukaa chini akashindwa kuendelea kulima.
Asante kabsa na tumeshamchoka ata kabla ya hizo miaka yote hyo si nchi yote itauzwa
Na we km umechoka Hama nnchi pale hamujamueka nyinyi ni mungu t na roho mbaya zenu zitawaponza
@@LukmanAbdul-qp8id 😀😀😀😀😀 atahama uyo ambae sio wa Tanganyika uhame kisa nin ukisema ukweli mtu anakuchukia yanini kama wew ndugu zako hawajabomolewa nyumba na kufukuzwa au la bandari wewe mzenji washangilia sanaa
Huyu ha hami bado asaaa km utakufa wat watakuzika na watakusahau saiv zam yet washapita wengi
@@LukmanAbdul-qp8id hata wew pia utakufa kwani iko nin
Kapita mkapa kaja kikwete ,kaja magu, so hajasema mtu ila kwakua saiv anaeongoza ni mzanzibar bx roho zinawauma kwa uchoyo
Mtumishi.nena.nawatu.wengine.mbona.hasikie.mama.anawaruhusu.?waporajo
NI KWELI NI KWELI KABISA ASKOFU SIKUPINGI
Kweli.muda.wa.awamu
6.amekwisha.ccm.inataka.nn.au.
Cabbage +Eggs =? 20:20
Hachana nalo Hilo ni genge
Wazee.wataota.ndoto.vijana.watatabiri.ndoto
imeeleweka 🎉
Kwa Mungu unataka kweli ama umamuomba?
Shalom mtumishi, hiyo instrument inayppigwa kabla ya kuanza kuongea imepigwa na nani?? Please
Hakika ni Maonyo juu ya watawala Ebr5:11-14
Nena.mtumishi.nena.na.mwingine
Naomba msikizeni anacho sema nimambo ya ulimwengu wa Roho kazi yetu nikusikiliza siyo .mjumbe hauwawi
Usisemeseme watabadilika achana nao
UWEZIKUFOSI WATANZANIA WAMUWEKE MAMA SAMIA
Wananchi.wanasemaje.rais.ekemee.vitendo.vibaya.sasa..aachie.wana.ccm
Vitu vimepanda Bei samaki bati nondo cement umeme maji mafuta ya mahari mafuta ya kula gesi ya kupikia misumali matofali wambieni c c m
WANAONA KAMA WATANZANIA WAJINGA ETI AWAMU 6 PUMBAVU
Viongozi wa c c m msijifanye miungu watu Tanzania ni mali ya watu wote wafanyakazi wa sekta binafisi na wafanyakazi wa umma na wakulima na wafanya biashara
Kasome vizuri katiba ya Tanzania.
Anavuta bangi
Unabii umeanza tutasikia kila kona unabii ukitolewa
HUU NI UĶWELI MCHUNGU! WAMEJAA UNAFIKI! WANENAYO SIYO WATENDAYO. NA HUU NDIYO MWISHO WA UNAFIKI . YA ALMARUHUMU SHEIKHE YAHAYA HUSSEIN ALIPOTABIRI 2009.
Wasituharibie nchi yetu wakumbuke yakuwa TANZANIA NI NCHI YA AGANO
Sana uyu kijana mlevi
@@rogerabdallah439 kivipi ?
Kweri kabisa mana kunagenge la mafisadi wanataka wamutumie kuwalinda
Peleka ubabaifu wenu mara tunataka rais mlokole sadaka hazitoshi
Achana na CCM vyama ni vingi chagua cha kujiunga nacho au kama vyote havifai unda chako. Sio LAZIMA kufuata ushauri wa yoyote. Katiba ya CCM inaruhusu mwanachama mwenye sifa agombee nafasi yoyote.
Rais Samia yupo madarakani kwa Ibara ya 37(5) na Ibara ya 40(4) imeweka muda kwamba aliyeshika madaraka kwa ibara ya 37(5) kama muda alioshika ni zaidi ya miaka 3 atakuwa na nafasi ya kugombea tena kipindi 1 lakini ikiwa sio zaidi ya miaka 3 ndio atagombea vipindi 2. Hivyo ni SAHIHI Rais Samia kugombea na kipindi 1 tu.
Nakushauri zungumza unachokielewa. Mungu akupa ndomo mmoja na masikio mawili, maana yake sikiliza zaidi kuliko kusema.
Ndugu hujamuelewa mtoa mada, hapingi Hilo uliloandika ila anataka ushindani wa haki.
Kwa mujibu wa Katiba ya nchi kipindi hiki anachotawala Rais Samia kinahesabika ni kipindi chake cha kwanza na anaruhusiwa kuongeza kipindi kingine kimoja tu cha miaka 5. So akichaguliwa tena mwisho wake wa kuongoza ni 2030 .
Gombea nae uwe mwenza.
Toa Mafua Yako hapo unaisemea ccm kama nani!! puum
Katiba haisemi hivyo unapokuja kwe vitiv vyenu muwe mnakuja na utafiti wenu uliokamolika kasome katiba vzr
Ajiwi kitu kashiba mayai
Kaa kimya ww hujitambuwi
@@StevenTambi wewe unaejitambua unapiga kelele bila faida yoyote
Huyu kaekwa na katiba ya union so acheni roho mbaya mbona yy haendesh tanganyika wala zanzibar hapo anaendesha Tanzania
Ha kumbe Kuna Tanganyika! So katiba yake ipo wapi ...?
Kifungu kipi cha katiba...
Managing wa uongo wamewasili hamna lolote hapo
Ibwa uyu
Yuko vizuri si mnafiki
Mtumishi wa mungu sikuelewi hapo unahubiri neno la bwana au umelishwa matamko?
Katiba ya nchi,katiba ya chama na kitabu cha dini hapo unatumia ufahamu wako kutukoroga!
Hii ni awamu ya sita kipindi cha kwanza inayoishia 2025
Awamu ya tano ilimalizika kwa mujibu wa katiba ya nchi na samia alipatikana kwa matakwa ya katiba ya nchi.
Kwa uchaguzi UPI??
Husomi katiba mkuu...
Ndugu yangu awamu ni miaka kumi
Umenena Mtumishi. Wana-CCM, kama wapo na wanajiona wanazo sifa wapewe fursa ya kugombea. Muhula wa awamu ya 5 - 2020 - 2025, umekwisha. CCM wasituvurugie Katiba ya Taifa. Mwisho wa uongozi wa Rais Magufuli, kikatiba, ilikuwa 2020 (5 years); baada ya hapo mtanzania yeyote (hata mwana+CCM) alikuwa na haki ya kugombea. Membe (+) alipokwa haki na CCM. Samia ni rais ktk awamu ya 5, sio Rais wa AWAMU YA SITA. Ashindanishwe na Wana-CCM wenziwe (kwa huo "UTAMADUNI" wao,) kugombea urais wa AWAMU YA SITA. Hivyo ndivyo Katiba ya Tanzania isemavyo.
Wambie huo ndiyo ukweli
Huyu ni mchungaji wa chadema
Ametaja wapi chadema?Sikiliza hoja,pinga hoja kwa hoja acha ujinga
Thibitisha...Soma katiba ndg yangu...
WEWE NI NDEZI KAMA WENZAKO HAO CHADEMA UNAJIFICHA KTK DINI KUMBE NI CHADEMA.....WADANGANYE HAO MBUMBUMBU WENZENU WA CHADEMA....TUNGEKUONA WEWE NI MTU WA MAANA KAMA UNGEANZA KUUKOSOA UHUNI WA CHAMA CHAKO CHA CHADEMA KWA KUMWAMBIA MBOWE AACHIE UENYEKITI KWA WENGINE NDO TUONE KAMA KWELI HUKO KUNA DEMOKRASIA...
CCM HAWAJAKATAZA KUCHUKUA FORM NDUGU ,ANAYEJIAMINI ANACHUKUA TU.
Naona umeongea kwa mafumbo umechoka ss unajitangaza wazi ww ni sukuma gang
Wewe nawe umejichokea kwahyo wew samia geng vip uyo unamtetea auze nchi au ya ngorongoro na bandari hayajatosha eti😊
Nyinyi hamuna akili hakiamungu samia samia kakukera kit gan ww au umempa kura yako au anaongoza tanganyika yko au zanzibar yko huyu yupo kwaajil ya Tanzania kwaio kausha anajua nin anafanya ivo kusema sema ni roho mbaya na chuki
Kumbe wewe si nabii wa kweli samia alichaguliwa? Kwa taarifa yako sisi hatumtaki tuulize kwa nini hatumtaki kama unamngangania kaa naye wewe akutawala muuji we nabii wa uongo
MUNGU HAWEZI KUMWONGOZA MTU MUONGO NA MGANGA KAMA WEWE....WEWE SI MCHUNGAJI BALI NI MGANGA
AWA WAZEE KAMA WATOTO WADOGO ETI AWAMU YA SITA PUMBAVU
U
Nimeshaekewa
Ww na hao wapumbav wenzio munao tiana pumba km mama afe au amalize huyu hatoki hadi amalize miaka10 uchoyo t
Utanzania ni yet sote ujinga t na roho mbaya
Sasa jmn josa langu mm nimesema nimeelwa na kwa taarifa yako TU nikwmbie mama Wala Hafi utasubiri sana
Sasa jmn josa langu mm nimesema nimeelwa na kwa taarifa yako TU nikwmbie mama Wala Hafi utasubiri sana
Kuna mijitu nimeikusudia humu ni mijinga sio ww yan hayajui maana ya Tanzania yapo yapo t
Mkojani FC na pk!!?najaribu!
Makamba anatakiwa ashitakiwe alitangaza kuvunja katiba hazalani