Nyingi mnazoziona sio wanafanya upgrade za vitasa na siti za ndani maana ya mwaka 2019 na 2023 body zake zinafanana vile vile kila kitu adi taa ko wengi wanaenda ku upgrade tu ni kama hizo v8 l300 mnazoziona mjini nyingi ni upgrade
Kaka vipi mishe nigani big sasa Mimi nilikuwa naitaji kujuwa kuhusu hii Kama nikitaka kuagiza Gali mfana BMW naingia kwenye website ipi na upande wa malipo unatumia njia gani bank account au line ya simu nilikuwa naomba ufafanuzi zaidi
Mkuu ningependaa unisaidie kufany review ya Subaru Forester yoyote kwasababu mimi ni mpenzy sanaa wa Subaru na ningependaa kuzifahau kiundan zaid kablaa sijafanya mpango wa kuinunua
Yeah snash is good💯👍
Hyo gari bhna nimekutana ,na mhindi mmoja hapa.A town mzee kali balaa mzazi asikwambia mtuu
🎉🎉
Umetisha kinoma yn
Vip land cruiser 2023
MZEE WA FACTS
Snash mimi nimeiyona mabibo ilipita
Nyingi mnazoziona sio wanafanya upgrade za vitasa na siti za ndani maana ya mwaka 2019 na 2023 body zake zinafanana vile vile kila kitu adi taa ko wengi wanaenda ku upgrade tu ni kama hizo v8 l300 mnazoziona mjini nyingi ni upgrade
Haya wanangu Rogers 101 na ema 101 mzigo wenu huu sasa
Kaka vipi mishe nigani big sasa Mimi nilikuwa naitaji kujuwa kuhusu hii Kama nikitaka kuagiza Gali mfana BMW naingia kwenye website ipi na upande wa malipo unatumia njia gani bank account au line ya simu nilikuwa naomba ufafanuzi zaidi
which country it's produced
Snash naomba review ya Honda crossroad
Ilete hapa review ya samsung xcover 5 please
Hili gari Kali sana ni kiasi gani hii
#Techinswahili
Bei zake kibongo zipoje kaka🤷♂️
😮
Nyama sana
Apo kwenye magari ndo penyewe ss Bro
Wooo
Mkuu gari ipo nimeiyona amenunua jamaa mmoja wa Arusha niliikuta Palm village pale takutumia picha or video km nilivyo kutumiaga ya Land Rover 2020😊
Mmmh
labda ya mwaka 2022 au Umeona Range Rover Vogue zipo za 2022
Mwanangu Unajikuta upo updated cyo!? 🌚
Ni kweli mzee nshaiona hyo gari impala
ata mim nimeshaiona hii Arusha mwez wa tatu
Snashi biti mbaya hio ulio eka Bora Ile ile ya mwanzo
Hihi gari niari sn bei nga iyo
Nahuliza hihi ningapi kupesa za marekani
Bei gani ndonata nijue nipo drc 🇨🇩 pesa Dola ningapi
Ni dora 1 mkuu
@@ebengapierre8826 dora 1tu ya drs unaipata hii jet
@@MohamedMbaraka-b2d unasema ni Dola 1 au nieleweshe ndugu
Gari ni T0YOTA CROWN ATHERETH HIZO NYINGINE NI CHA MTOTO.
🔥🔥🔥🔥
Leo ni wanne kukomenti naomba like zenu😂❤
Dar zipo sema za kuhesabika
Lete review ya movie mpya ya John wick
Mkuu ningependaa unisaidie kufany review ya Subaru Forester yoyote kwasababu mimi ni mpenzy sanaa wa Subaru na ningependaa kuzifahau kiundan zaid kablaa sijafanya mpango wa kuinunua
Kaham ipo niliona gym
Mimi nmekutanayo kahama shinyanga snash tz
Rogers huy au ema
halo
Gari ni benz hizo zikasome
#techinswahili
Naomba ufanyie review sim za vivo
Nlkuwa nasubiri za magar kwa ham sana
tupe reveiw ya Toyota Sequoia 2023
𝐀𝐧𝐚𝐲𝐨 𝐬𝐢𝐬𝐡𝐤𝐢𝐤𝐢
Hii gari had picha niliipiga
Nilitaka kuomba lift
Ni kali kinyama😢😢
Me niliiona mbezi beach imepaki Mchuma kama huo
Nishaiona hii posta daslam 😅 imepack hivyo vitasa vya mlango vimepop nje
Acheni uwongo hiyo gari ipo ulaya na iyo video si yako umetia tu sauti yako hujafanya wewe ni feki
Nishakutana nayo salasala.
1
Kaka ipoo
Hujatwambia bei kak
Hii buti unaeza azima kwenda kubebea mbao 😂😂
Kweli asikofu
Nimejiuliza mwenyewe naipata vp hii gari, nikajua niwe tu na hela, nitaipata😢
Iko moshi kabla haijatoka mwaka 2023 mwamba kashaileta moshi tafuta ela acha kuzani mzee
Shingapi inauzwa hujataja bei