Haya ni maneno ya mtu ambaye amepanga na mwisho wa mwezi umefika wakati hana pesa ya kulipia nyumba sasa anajitahidi kujifaridi na kuonyesha Kuwa yeye yupo serious dogo tafuta pesa roho mbaya na chuku ni dalili za umasikini
Harmonize ni nani katika dunia hii.Aendelee tu kujipatia riziki yake inatosha..Ali kiba,harmonize,mbosso,rayvanny,Ben pol,Aslay,jay melody namarioo,Nancybbillnas,jux,Maua sama,phina,lavlava,dvoice hawa watabaki kuwa wasanii wenu kuwatuburudisha humu ndani ya nchi.Huko Duniani muacheni THE BIG ONE. DIAMOND PLATNUMZ NDIYO MWENYE VIGEZO VYOTE VYA KIMATAIFA.ASANTENI KWA KUELEWA.
Diamond is the king of East Africa.harmo bado sana.
Hongera sana mond unatujaza jeuli shabiki zako amini tupo nyuma yako mungu akujaalie utupe burudani zaidi
Simbaaaa ❤❤❤❤❤❤❤🇹🇿
Hatari sanaa
Wa kwanzaaa🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
KUNAWATU SAHV MZIKI WAO NI KUIMBA NYIMBO ZA MATESO YA MAPENZI😂😂😂
😂😂😂😂😂 nimecheka hadi basi..... aaaaah wabongo Bana!!!! Yaani mtakufa siku zisizo zenu na mzikwe makaburi yasiokua Yenu
Tega skio kuiskiliza bailando ndio utajua hujui😂😂😂
😂😂
Hii ni kali zaidi bwana......
Nilikuwepo bro, it was amazing DIAMOND PLATINUMZ 💎 Simba lama Simba alipo panda Jukuani
Hatali sana huyu jamaaa
❤
aangalie tu simba asije akachenyetwa
Noma sana
MONDI UKIFA HUNUKI😂😂
hv ndo ilitakiwa, hv ndyo wanaijeria walituzidi. kufanya ft na wamarekani mziki unaenda
Damn
Huwa nawashangaa watu kwenda kwenye matamasha hayo naona kujiumiza na kupoteza hela tu
Wewe kabuku sio wote walala nje kama wewe
Hayakuhusu 😂
Haya ni maneno ya mtu ambaye amepanga na mwisho wa mwezi umefika wakati hana pesa ya kulipia nyumba sasa anajitahidi kujifaridi na kuonyesha Kuwa yeye yupo serious dogo tafuta pesa roho mbaya na chuku ni dalili za umasikini
@@SaimoAbusei🤣🤣😁 we jamaa miyeyusho sana
Walio zan tuta kaa xaiv wana kaa wao..
Kumbe kaalikwa 😂
Huu wivu chunguza usiwe kwenye ukoo mzima
Hapo sijui wanafundisha au ina maana gani?...
Duh....Upuuzi mtupu
Hiyo nyimbo haina maadili yoyote
Ingekuwa mwaisa angeongea mwaka mzima
Sasa apo diamond atanifanya niyakwake
Simba NI number 1 all AFRICA 🎉🎉🎉 na wakubisha na abishe maanà WENGINE NI wabishi toka mkiwa tumboni mwa mama ZENU 😂😂😂
Nilitegemea kuona unapost kipande ambacho Diamond akiperform badala yake umeweka kipande cha Chely.
Mbona watu si wengi zaidi
kjaze www
WATANZANIA SJUI UPUNGUAN UTAWAISHA LINI KO SHOW YA JASON WE IKIWA NA WATU WENGI AU WACHACHE WE ITAKULIPIA KODI AU ITAKUONGEZEA NGUVU ZA KIUME😂
Yaaan kuna watanzania wajinga saaana
Unakichaa
Ivi unamacho lakini uyatumii binadamu kweli wifu aitakumaliza wewe umbwa
Shooo kama ya harmonize Toronto
Harmonize ni nani katika dunia hii.Aendelee tu kujipatia riziki yake inatosha..Ali kiba,harmonize,mbosso,rayvanny,Ben pol,Aslay,jay melody namarioo,Nancybbillnas,jux,Maua sama,phina,lavlava,dvoice hawa watabaki kuwa wasanii wenu kuwatuburudisha humu ndani ya nchi.Huko Duniani muacheni THE BIG ONE. DIAMOND PLATNUMZ NDIYO MWENYE VIGEZO VYOTE VYA KIMATAIFA.ASANTENI KWA KUELEWA.
Mzee wa kubebwa kashazeek Hana uwezo pekeake
Mzee wakubebwa babako no sense
Naenda na ww ukabebwe😅😅😅😅
Enda ubebwe na wew kenge