MAISHA BAADA YA KUFELI SHULE - mc Eliud

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 356

  • @sheckycobb5240
    @sheckycobb5240 ปีที่แล้ว +145

    Napenda Eliud ambavyo haachi kumtaja Mungu with confidence 🙏

  • @Jaraboyflemy
    @Jaraboyflemy ปีที่แล้ว +33

    Yanii siezii sema mengii but wewe ni hatarii sanaaaa....all the way from Kenya 🇰🇪........tunakupendaa

    • @deusdedithblassio9328
      @deusdedithblassio9328 4 หลายเดือนก่อน +1

      Yaani eliudi we balaaa

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 4 หลายเดือนก่อน

      Tani twampenda sanaaa❤❤❤ from kenya 🇰🇪 mombasaaa

  • @LeahKweyamba
    @LeahKweyamba 3 หลายเดือนก่อน +3

    Eliud you are very talented... "Wee njo unikune mba"😂😂😂

  • @bovickpascal6554
    @bovickpascal6554 ปีที่แล้ว +24

    Nime jifunza kitu katika maisha kuhusu huyu jamaa , walio chukua milioni kumi ya cheka tu, now wako wapi and eliud i think hakua namba moja but his doing good than them na ndivyo ilivyo maisha , Kuna mtu mna weza kumpa ushindi but haimanishi yule mtu atashikilia Kua pale kuonesha uhimara wake kama mlivyo zani ninyi,ila bahada yamatokeo ana Potea kabisa ,that why unaweza Kua namba moja darasani Ila kitaa ukawa hauna namba yoyote let work hard
    Ili wajuwe masho ya mwana dam ni haioni energy yako yakesho Itakua haje.

  • @Mindsetting4success680
    @Mindsetting4success680 7 หลายเดือนก่อน +6

    Eliud loves his mom so much that he has to mention his mom on every his comedy.

  • @zebedemirambi3067
    @zebedemirambi3067 ปีที่แล้ว +27

    Mungu akubariki kaka Eliud, kabisa maishauri Yako ni mazuri❤️🇨🇩

  • @CarolineMbone-j7o
    @CarolineMbone-j7o 5 หลายเดือนก่อน +2

    Barikiwa sna Eliud love you much.. univuja mbavu zangu

  • @maiwiwiABC
    @maiwiwiABC 5 หลายเดือนก่อน +2

    Salute bro.. Go, the door to the next level is open and waiting 🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥

  • @danielkihiyo5491
    @danielkihiyo5491 10 หลายเดือนก่อน +10

    Mungu akubark sana kak Eliud na atimize haja ya moyo wako kw kile unachokiomba nakupenda bureee 👏👏👏

  • @albertchubwa2546
    @albertchubwa2546 ปีที่แล้ว +11

    Best stand up comedy in Tanzania kwa sasa uko vizuri😊😊😊😊😊😊😊😊 nimecheka mpaka machozi

  • @godfreymtalo8889
    @godfreymtalo8889 8 หลายเดือนก่อน +3

    Genius yaani umenichekesha sana, kwa mara ya kwanza nimecomment you tube😂😂😂😂

  • @robertalphan5533
    @robertalphan5533 ปีที่แล้ว +13

    Wewe ni hatari ndugu ,Sanaa yako Iko juu sana

  • @mspwjjjso6261
    @mspwjjjso6261 ปีที่แล้ว +9

    Nimefurah ngoja nilike

  • @Friday-nx8pm
    @Friday-nx8pm 5 หลายเดือนก่อน +1

    Eliud ee! Mungu akuongezee maisha marefu Sana.

  • @Gift-v6o
    @Gift-v6o 8 หลายเดือนก่อน +2

    Be blessed bro kila mahali muite Mungu wako

  • @RamadhaniNdayizigiye
    @RamadhaniNdayizigiye 7 หลายเดือนก่อน +1

    Eliud nakukubali sana nakufuata nikiwa Bujumbura. Respect bro

  • @roberthyera10
    @roberthyera10 ปีที่แล้ว +4

    We jamaaa ni unatisha kinoma kwa kuchekesha🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @Mwakagugu_Jr
    @Mwakagugu_Jr ปีที่แล้ว +10

    Eliud iki kyala akupele kika kya nkino. Uli kanunu fijo mwaisa sika seko isi 😂😂😂

  • @victorlayson8637
    @victorlayson8637 ปีที่แล้ว +12

    Mwaisa Mungu aendelee kukuinua 🙌🙌🙌 unajua sana kaka

  • @evamoshi6917
    @evamoshi6917 8 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sana Eliud kwa ucheshi wako🙏🙏

  • @raymondfrancis5712
    @raymondfrancis5712 ปีที่แล้ว +17

    Bro uko vizur, this is our real life🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mahuvesebastian1916
    @mahuvesebastian1916 ปีที่แล้ว +20

    Kaka ongera sana.....upo na comedy kulingana na hadhira,big up sana kaka.

  • @stellamakweta2182
    @stellamakweta2182 ปีที่แล้ว +5

    Ameen ubarikiwe kwa muelewa ufundisha kitu

  • @cfonlinetv2131
    @cfonlinetv2131 ปีที่แล้ว +30

    Best stand up comedy 🙏🙏 be blessed bro

  • @medeljoram5325
    @medeljoram5325 ปีที่แล้ว +31

    Great performance always! #Pastor Eliud 💧

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 ปีที่แล้ว +8

    Huyu jamaa nilikuwa simjui vizur mara ya mwisho nilimuona ameigiza na Uswege murderer kweny Bongo starsearch season 1 kigoma

  • @Jenipha-e3b
    @Jenipha-e3b 8 หลายเดือนก่อน +3

    Nakupenda sana aisee mhubiri Mungu hapohapo😅

  • @jackwilfred5974
    @jackwilfred5974 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mtani uko vizuri Mungu azidi kukupa maarifa

  • @clevergofficial2892
    @clevergofficial2892 ปีที่แล้ว +2

    Eliud umetisha kinoma me mapembelo twa hunyuma uhwa

  • @awazimwanshuli5250
    @awazimwanshuli5250 ปีที่แล้ว +10

    Mwamba anajua eliudi🔥

  • @dennycdenny6464
    @dennycdenny6464 ปีที่แล้ว +5

    😅😂😅😂😅😂😂 Uko talented sanaa Mwaisaaa🙌🙌🙌🙌

  • @reginajoel3785
    @reginajoel3785 ปีที่แล้ว +4

    Mwe mwe Mwaisa,nimecheka mpaka machozi

  • @DomitilaPeterMganga
    @DomitilaPeterMganga 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bg up sana Eliud

  • @furahakita4239
    @furahakita4239 ปีที่แล้ว +13

    pamoja sana eliudi from zambia

  • @obbymark8556
    @obbymark8556 ปีที่แล้ว +29

    Yes this is it ,best stand up comedian

  • @joshuakabalika1057
    @joshuakabalika1057 ปีที่แล้ว +7

    Daaah u know brother 🔥 🔥 🙌

  • @BlackdeeMziwanda
    @BlackdeeMziwanda 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mr eliud una balaa blessed😂😂😂😂...

  • @abbasjeremiah873
    @abbasjeremiah873 ปีที่แล้ว +13

    Kwa performance hii umeua sana

  • @theodormulubiaruna5906
    @theodormulubiaruna5906 ปีที่แล้ว +8

    Big up sana Mc❤👏 but uko kimia sana uko nafanya mwezi bila hâta kutupa burudani Théo from RDC

  • @JohnPatrick-gh9ni
    @JohnPatrick-gh9ni 4 หลายเดือนก่อน +1

    Vizuri kaka eliud from mbeya

  • @abduljuma4330
    @abduljuma4330 ปีที่แล้ว +2

    Eshima kwako Mc wa taifa umeuwa sanaaaaaaaa😁😁😁😁

  • @adolphharangwa1009
    @adolphharangwa1009 8 หลายเดือนก่อน +1

    Bro umetisha Sana upewe Maya yako🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @ntambisamwel4436
    @ntambisamwel4436 ปีที่แล้ว +5

    Daah hatari coz unatunga hapo hapo big up

  • @Fadhilimnyama
    @Fadhilimnyama ปีที่แล้ว +2

    Nakukubar mc eliud 👍👍👍

  • @farajakivuyo9389
    @farajakivuyo9389 ปีที่แล้ว +8

    Best for now 💯💯🙌

  • @AbdallahMbegu-e2n
    @AbdallahMbegu-e2n 6 หลายเดือนก่อน

    Wee Eliud wewe hiv wewe ni wakumeza hatma za watu na shat lako la blue band😂😂😂🎉🎉

  • @elikaraphael-kd6cs
    @elikaraphael-kd6cs ปีที่แล้ว +2

    Eliud Mungu akutunze,nimechoka Hadi kupaliwa

  • @georgeboniphas4695
    @georgeboniphas4695 ปีที่แล้ว +5

    Unatupasua mbavu eliud tunacheka mpaka majirani wanatuuliza kuna shida gani

  • @charybdis8113
    @charybdis8113 ปีที่แล้ว +4

    Eliud unajua sana. Keep up

  • @geofbeka1669
    @geofbeka1669 ปีที่แล้ว +9

    Duh! Nimecheka mpaka nimepata mafua!!😅😅😅😅

  • @williammayoni5709
    @williammayoni5709 ปีที่แล้ว +26

    Pure talent 👏 🙌

  • @hatwabiswalehe262
    @hatwabiswalehe262 ปีที่แล้ว +1

    Mwamba Eliud we ni Fundi sana..

  • @FabiusMnyambo
    @FabiusMnyambo 7 หลายเดือนก่อน

    I appreciate your work bro, and sometimes when i' m not in good situation i use to watch your comedies so that i can revive my happy. Nice talented boe.🎉🎉🎉

  • @jumakassim1690
    @jumakassim1690 ปีที่แล้ว +3

    Daaah anajua sana bro

  • @sebastiannyanda1743
    @sebastiannyanda1743 ปีที่แล้ว +20

    Comedy with logic inside👏

  • @tulutilucas5572
    @tulutilucas5572 ปีที่แล้ว +8

    Pamoja sana eliud I’m from dubai😂

  • @petterezekeri
    @petterezekeri ปีที่แล้ว +1

    BROTHER I WISH YOU GOOD BUT I LIKE YOUR STYLE COMMED AND GOOD BLAESS YOU FOR STAYING AND JESUS

  • @zenombele5406
    @zenombele5406 ปีที่แล้ว +3

    uko vzr unaweza kipaji kipo

  • @Mpendatv
    @Mpendatv 7 หลายเดือนก่อน +1

    @Eliud big up #Mbeya stand up
    #Nyakyusa

  • @josephaiden2592
    @josephaiden2592 ปีที่แล้ว +10

    Talented and very interesting guy ubalikiwe sana mtumish

  • @KelvinKamugisha-f7e
    @KelvinKamugisha-f7e วันที่ผ่านมา

    Big up brooh🙌🙌

  • @ignassindabaha1813
    @ignassindabaha1813 ปีที่แล้ว +2

    Eliud you're so talented, keep up the good work 😄😄👋akili mingi

  • @ritiaskayanda
    @ritiaskayanda 10 หลายเดือนก่อน +2

    Genius talented and blessed

  • @nyotamy3678
    @nyotamy3678 ปีที่แล้ว +8

    Genius 🙌🔥

  • @KamuhandaMethod
    @KamuhandaMethod ปีที่แล้ว +20

    Very genius and talented Eliud 😂😂😂

  • @mwangosikennedy9643
    @mwangosikennedy9643 ปีที่แล้ว +2

    Mwaisa unatisha, nimecheka sana

  • @innocentmushi1550
    @innocentmushi1550 ปีที่แล้ว +3

    Mmeiona Mbeya kupitia nguo😂😂

  • @edmondnkone5098
    @edmondnkone5098 ปีที่แล้ว +3

    You ate the best mkuuu 🙌🙌🙌🙌😂😂😂😂

  • @michaelibrahim3746
    @michaelibrahim3746 ปีที่แล้ว +1

    God bless eliud unatufanya to enjoy

  • @ElifarajaEmmanuel-rt5xp
    @ElifarajaEmmanuel-rt5xp หลายเดือนก่อน

    Yani we kaka Napenda comedy yako

  • @chrissjapheth2803
    @chrissjapheth2803 ปีที่แล้ว +5

    Super Talented

  • @fadhilkasto2377
    @fadhilkasto2377 ปีที่แล้ว +3

    salute kwako mc Eliud

  • @pendocharles1566
    @pendocharles1566 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣jaman eliud umeniweza Leo mana siyo kwakucheka huko

  • @mangumbulikikwembe4471
    @mangumbulikikwembe4471 ปีที่แล้ว +18

    Best performance 🔥🔥🔥

  • @adamfumbo5116
    @adamfumbo5116 ปีที่แล้ว +2

    Eliudi acha kuvunja mbavu zangu SAWA bhana Adam fumbo from dar

  • @ibrahimkagomajr1416
    @ibrahimkagomajr1416 ปีที่แล้ว +2

    Mbeya Vipaji Vimejaa kabisa

  • @yoaayohh4021
    @yoaayohh4021 ปีที่แล้ว +2

    😂 😂 😂 ila alie Sema ni udereva tu Nani 😂😂eliud vitu

  • @LeonardJulius-u9s
    @LeonardJulius-u9s ปีที่แล้ว

    Mungu kwanza .nakubali unapomtangaza mngu kila wakat

  • @AlexKajun-h4n
    @AlexKajun-h4n 2 หลายเดือนก่อน

    Aliud kiufupi anajua❤

  • @ROBOTKICHANIO
    @ROBOTKICHANIO ปีที่แล้ว +3

    Nainjoy Sanaa jaman dah,,🤣🤣

  • @selemanimkonga8150
    @selemanimkonga8150 ปีที่แล้ว +2

    Eliud we sio kiumbe Cha kawaida 🤣🤣🤣🤣

  • @WILLIAMMRICHARD-jm7yh
    @WILLIAMMRICHARD-jm7yh ปีที่แล้ว

    Unaweza kakah....

  • @emmanuelnzaligo6262
    @emmanuelnzaligo6262 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri.

  • @deoezekia2787
    @deoezekia2787 ปีที่แล้ว +3

    Eliud sijambo sana,, nakupenda mno

  • @lovegodwine7868
    @lovegodwine7868 ปีที่แล้ว

    Eliud kidogo uniue, nilikuwa nakunywa maji weeeeee

  • @fredrickkapesa1694
    @fredrickkapesa1694 ปีที่แล้ว +1

    I like it salute to you sir

  • @abdulmajaliwa6376
    @abdulmajaliwa6376 ปีที่แล้ว +2

    Dahh uyu jamaa

  • @paschalntemi649
    @paschalntemi649 ปีที่แล้ว +1

    Dah chalii noma C

  • @davidmwangama6130
    @davidmwangama6130 ปีที่แล้ว +2

    Sichoki kuchek comedy because of you

  • @constanciapeter2497
    @constanciapeter2497 9 หลายเดือนก่อน

    machozi yananitoka kwa kuchekaa.. na kuficha kotee karatas ukalaa..bado ulipata C😅😅😅😂😂😂

  • @Eddo-es7zs
    @Eddo-es7zs ปีที่แล้ว +7

    Huyu jamaa hachoshi kusikilizwa, anajua sana

  • @judie7033
    @judie7033 ปีที่แล้ว +2

    Eliud unatisha sanaa😁😁😁

  • @kevinmwesigwa8955
    @kevinmwesigwa8955 ปีที่แล้ว +1

    Nzuri Sana kwa burudani

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 4 หลายเดือนก่อน

    WAKIWEKWA UPYA NA LEONADO...ELIUD ANACHUKUA IZO ELA

  • @NiceBiscuit-qo4dq
    @NiceBiscuit-qo4dq ปีที่แล้ว

    ahahahaahaahahahaahaaha jmn hy kak mbavu sna daaah mpak laah mung azidi kukupa neem kweny kaz yak ❤❤

  • @Princekhan-nv2dp
    @Princekhan-nv2dp ปีที่แล้ว +1

    Nakubali saaana eliud

  • @allyjohn3018
    @allyjohn3018 ปีที่แล้ว +1

    eliudi congrats broo

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter ปีที่แล้ว +1

    Kaka umeua 🙌🔥🔥

  • @Pangwaboy
    @Pangwaboy หลายเดือนก่อน

    Noma

  • @KELVINMICHAEL-js7wq
    @KELVINMICHAEL-js7wq ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe kaka unajua sana bro