Mange Kimambi asherehekea penzi la Diamond na Zuchu kuachana, sasa itakuaje? Ni kweli au drama?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ม.ค. 2024
  • Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
    play.google.com/store/apps/de...

ความคิดเห็น • 189

  • @stevkaliona4107
    @stevkaliona4107 5 หลายเดือนก่อน +16

    Wa kwanza kulike gonga like twende pamoja kama unamkubali sky walker twende pamoja❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 5 หลายเดือนก่อน +35

    Iyo nikiki jaman Kwan hamjui ndugu yetu Simba??,,anatafuta attention,,kinakuja kitu hapo niamini Mimi..mnaokubaliana na Mimi?

    • @dianamonyo1960
      @dianamonyo1960 5 หลายเดือนก่อน +1

      Hii ya sasaivi ni kwaheri hakuna kiki

    • @rerisamba
      @rerisamba 5 หลายเดือนก่อน

      Hata iwe kiki mbona iwe kwa mpenzi wake

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 5 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa kweli unaweza shangaa mkawaona kwenye shughuli ya Manara wakiwa pamoja😂😂ila toka jana anajiongelesha instar story yetu macho

    • @jamilaathumani5481
      @jamilaathumani5481 5 หลายเดือนก่อน

      @@rosemahenge9071 umeona enhe??!!😂,,mim namjua Daimond

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 5 หลายเดือนก่อน

      @@jamilaathumani5481 kashawajibu tayari Mange na kujimaliza kote 🤣🤣aibu yake

  • @user-xi9bh1dn4x
    @user-xi9bh1dn4x 5 หลายเดือนก่อน +15

    Jamaa ameanza maandalizi ya ngoma yake mpya,hizo ni kiki za zamani sana

  • @magzakky2781
    @magzakky2781 5 หลายเดือนก่อน +8

    Mimi WA pili much love from kenya ❤️❣️

  • @shajemalyfestyle
    @shajemalyfestyle 5 หลายเดือนก่อน +9

    The thing is, Diamond doesn’t love zuchu. He will keep sleeping with her but he has no plan to marry her. Which is unfair coz Zuchu should be getting into a serious relationship and building a family. Why waste someone’s time? Mayai yanakauka 😢

    • @marieiradukunda9298
      @marieiradukunda9298 5 หลายเดือนก่อน +2

      So true

    • @agwalubifaridah7079
      @agwalubifaridah7079 5 หลายเดือนก่อน +1

      Unfair how?has dai ever introduced any girl as his girlfriend after tanasha?

  • @ZainabuIsmail-fm2ey
    @ZainabuIsmail-fm2ey 5 หลายเดือนก่อน +5

    Mmmm daimond unajua kuwapa presha watu 😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 5 หลายเดือนก่อน +15

    Ataivo wamedumu kweli maana akaagi. Miaka mingi na demu😢😢

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 5 หลายเดือนก่อน

      😅KWNAI ANAKUAGA ANAKAANAO MIAKA MINGAPI? 😅

  • @elidiustudoy2640
    @elidiustudoy2640 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nampenda zuchu 🎉🎉

  • @firdaussheikh4817
    @firdaussheikh4817 5 หลายเดือนก่อน +7

    Zuchu mbona watu wanamshambulia 😢😢😢😢😢😢 kwani alijiumba? Mungu akamumba hivo.wacheni zuchu jamani😢😢😢😢😢😢

    • @Fatma-wi2co
      @Fatma-wi2co 5 หลายเดือนก่อน

      Mama dangote aliongea kama mwanawe hana mahusiano

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 5 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@Fatma-wi2combona hata Khadijah Kopa huwa anakataa kama Diamond ana date na mwanae😂😂

  • @qamaryasalim9531
    @qamaryasalim9531 5 หลายเดือนก่อน +5

    Aliekaa kimya ndio kaacha alieandika gazeti kaachwa

  • @twalebleboss9687
    @twalebleboss9687 5 หลายเดือนก่อน +1

    ..... #NGOMA KALIIIIIII ...#NJIANI... ❤❤💯💯💯💯 ..SIMBA ♥ ZUCHUUUUUU...

  • @evamlay8997
    @evamlay8997 5 หลายเดือนก่อน +8

    Mange kaa jitasimini sana unamkosea Mungu Hadi unakufuru

    • @user-ye3fy9kk6r
      @user-ye3fy9kk6r 5 หลายเดือนก่อน

      Kwani M'ungu anawapenda wazinifu

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 5 หลายเดือนก่อน

      Mimi nashangaa anavyomchamba Zuchu kumbe nyani haoni kundule lake😂😂Mange na Zuchu kwa kweli Zuchu mzuri❤

  • @twalebleboss9687
    @twalebleboss9687 5 หลายเดือนก่อน +1

    WANAPENDANA BLALAAAAA.... GET UP GUYZ...✌

  • @nyamabeatz
    @nyamabeatz 5 หลายเดือนก่อน +12

    lete ngoma baba mwaka mpya

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 5 หลายเดือนก่อน +1

    Uyo Mange
    Zuchu Ali mkoseya nini kikubwa hadi amuweye ivo...
    Bin Adam bhana
    Mapenzi ni vitu vingine ...
    Courage Mi zuu

  • @Yasintakisholi
    @Yasintakisholi 5 หลายเดือนก่อน +5

    Zuchu mzuri ila sijawah penda haya mahusiano Mana diamond ni mtu wa kuchezea wanawake

    • @doreenkemuma6303
      @doreenkemuma6303 5 หลายเดือนก่อน +1

      Hope she gets out of this toxic family ,I love zuchuu❤

    • @sadasaid4408
      @sadasaid4408 5 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa kw kweli mahusiano yao mond ni mrukaji

    • @agwalubifaridah7079
      @agwalubifaridah7079 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@doreenkemuma6303ilove her music but zuchu is selfish how can u be dating your boss?

  • @irenemboya7899
    @irenemboya7899 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kama nikweli. Zuchu chamoto atakiona 😢

  • @sophiahmedza929
    @sophiahmedza929 5 หลายเดือนก่อน +2

    KUFUTA INA MAANA. MHUSIKA HABARI ANAYO😂😂😂

  • @maryamalhinai3392
    @maryamalhinai3392 5 หลายเดือนก่อน

    Atatutambulisha kwani hilo la zuchu alitambulishaa!!!

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 5 หลายเดือนก่อน

    Kwani wamezaliwa tumbo moja mwache aendee babuee zuchu utapata mtu riziki mafungu saba ❤❤❤

  • @user-qv8jb5tj9l
    @user-qv8jb5tj9l 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mangeeee pole penz la zuchu na diamond bora ukae nalo mbali haya sasa nenda instastory ukaone zuchu kaachwa kweli? Uso utaweka wapi hamna uchawi mtoto fundi umemjuaaje mchawi kama sio mchawi ushavuka nguo

  • @rahjah5882
    @rahjah5882 5 หลายเดือนก่อน +3

    Msihadaike Ramadhan is loaded , wanajiandaa na mwezi wa Ramadhan

    • @rayanndizeyes3161
      @rayanndizeyes3161 5 หลายเดือนก่อน

      mwezi ramadhani kwa domo weni

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 5 หลายเดือนก่อน +3

    😢😢kiki hiyo

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 5 หลายเดือนก่อน

    Ni kiki kuna jambo laja📌

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 5 หลายเดือนก่อน +8

    Daimond anacheza na akili zetu,,Yani anatufanya sisi mashabiki zake jinsi anavyofanya..na mange pia anatetea ugali wake anajalibu kupita na upepo huo.ili aingize pesa kwenye app yake,,izo ni attention tu,,mim nipo apa .kaka sky utakuja kunikumbuka

  • @marieimanishimwe4874
    @marieimanishimwe4874 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂here you go 😂this guys never introduced zuchu in public as a girl friend like how he used to do with his exes ,i think he is just playing her.

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 5 หลายเดือนก่อน

    Kweli kaka sky ulali

  • @sund2553
    @sund2553 5 หลายเดือนก่อน +1

    😅itakuw zuchu kataka kujiua akafuta au ni kiki kama kawa😅😅😅

  • @chainbre275
    @chainbre275 5 หลายเดือนก่อน +5

    Nahisi ile interview ya mama dangote ilileta shida 😊 may be

  • @Maggie824
    @Maggie824 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kiki tu. TANASHA KARUDI

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 5 หลายเดือนก่อน

    Mmm yetu macho

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mama dangote interview yakooo🙌🙌🙌🙌😂😂😂

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 5 หลายเดือนก่อน

    Hawezi kua single diamond never

  • @zamibrahim3014
    @zamibrahim3014 5 หลายเดือนก่อน +1

    Aliona harmonize ana trend😂😂😂😂

  • @user-fy9pw2zr8l
    @user-fy9pw2zr8l 5 หลายเดือนก่อน +2

    mimi niko shabiki wa music wenu nyinyi na zuchu kwa mahusiano yenu mtajuana wenyewe

  • @benjaminmartin4548
    @benjaminmartin4548 5 หลายเดือนก่อน

    Bora zuchu aachane na Daimond mapema, maana mi simpendi Daimond na Manara ni wahuni tu. Hela zinawasumbua.

  • @irenemlay9769
    @irenemlay9769 5 หลายเดือนก่อน

    Woyooooooo mondiiiiii❤❤❤

  • @samiahsamihah8047
    @samiahsamihah8047 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ufagio uliotumika kungoa'a wema ,hamisa , ndio inafagia uwanja. Shida si mama ndangote .Never fall into big man shoe's.Avoid Free offers always.

  • @user-it6to6ws5r
    @user-it6to6ws5r 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani diamond na zuchu wana vuta bangi sita tudi teena kuwamini😮😮

  • @zatchardzknestor
    @zatchardzknestor 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo unakuja,,, Sio Mara yake ya kwanza

  • @fatumamahoiga3978
    @fatumamahoiga3978 5 หลายเดือนก่อน

    Wewe Mungu unamumbuwa mtt wa mwanamke mwenxio

  • @ZainabuIsmail-fm2ey
    @ZainabuIsmail-fm2ey 5 หลายเดือนก่อน

    Mmmmm jamani lakini c aliwaambia kuwa atatrend mpaka january mkatukana kua awezi mbona ss mnachanganyikiwa tunae😮

  • @fafunamohamud5089
    @fafunamohamud5089 5 หลายเดือนก่อน

    Kimambi❤

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 5 หลายเดือนก่อน +1

    Shikamoo Harmonize Shikamoo Haji manara

  • @SalaliKasereka-ex1ld
    @SalaliKasereka-ex1ld 5 หลายเดือนก่อน

    😢😢

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 5 หลายเดือนก่อน

    Ni kiki tu atuachee 😂 tumesha wazoea

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 5 หลายเดือนก่อน

    ivikweli muliwaza Diamond akae kimya Mumakonde naule munzingowake amupite kiki haiwezekane.wako tena wako wivi unawasubuwa.

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 5 หลายเดือนก่อน

    Binadamu wanaroho mbaya eti wanakuombea mabaya mmmh ngumu kumeza😢😢

  • @jumaseseme1654
    @jumaseseme1654 5 หลายเดือนก่อน

    kiki iyo wanaona aibu kuchezeana bora waongope wameachana

  • @AnneOtieno-hi8uj
    @AnneOtieno-hi8uj 5 หลายเดือนก่อน

    Tisa kumi,si vizuri kudate boss wako maana mkikosana utaelekea wpi,the enviroment will never be condusive,e bwana ee, bwana sky kimo story yke ipi?

  • @mustafamsati9599
    @mustafamsati9599 5 หลายเดือนก่อน

    Hapo inazimwa ngoma ya nandy

  • @anjuadnani2607
    @anjuadnani2607 5 หลายเดือนก่อน

    Saaaafiiiiiiiiii

  • @ninjaisma7983
    @ninjaisma7983 5 หลายเดือนก่อน

    Jamaa alimiss kuongelewa aka ona bora aje skandle kama harmonize na dj seven 😂😅😅

  • @hilmialiomar1983
    @hilmialiomar1983 5 หลายเดือนก่อน

    As I always do,kwahio ndugu yangu unajiproud kutambulisha mahawara wako kwa jamii kama kitu cha kawaida tu, oa bro.

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wanatuletea wimbo mpyaa@

  • @nuruabraham3769
    @nuruabraham3769 5 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣🤣🤣 isiwe tuu ukweli jamani maana safari hii atachoma nyumba huyu uwiiiii 🏃‍♀🏃‍♀🏃‍♀🏃‍♀🏃‍♀🏃‍♀

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 5 หลายเดือนก่อน

      No maisha lazma yaendelee

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nimefurahi sanaa haloo mwake hana sifa hata moja ya kuwa na simba mwanamke hajui kuvaa hana tako hana sura hana rangi hana urefu hajui kutembea vizuri hana matiti yaan mwanamke kama mzimu wa kikoloni

    • @monicacyprian9137
      @monicacyprian9137 5 หลายเดือนก่อน

      Wewe uliyekuwa navyo umedate na nani bahati hunaa lione

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😢😮😅😊😊😅😅😊😊😊😊

  • @maidoibaicaldaude4338
    @maidoibaicaldaude4338 5 หลายเดือนก่อน

    Yo Ni kazi inaiokuja, msichangae

  • @sakshidaniel5098
    @sakshidaniel5098 5 หลายเดือนก่อน

    Ndio maana kasema we zombie amepiga tena hapo anawaandaa tuu msherehekee baadae awacheke🤣🤣

  • @evaristshirima4509
    @evaristshirima4509 5 หลายเดือนก่อน

    Sasa diamond naona kaamua kuharibu shuhuli ya manara 😅😅😂😂

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 5 หลายเดือนก่อน

    SNS Come on, hemu tumieni common sense, hakuna ukweli WOWOTE kwenye hili.

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 5 หลายเดือนก่อน

    Diamond anataka aone adui hehenyiye❤😂

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 5 หลายเดือนก่อน +1

    Zuchu haachiki ngooooo

  • @shamsaali982
    @shamsaali982 5 หลายเดือนก่อน

    Labda alilewaaaa😂😂😂😂

  • @SalmaAthuman-hp3en
    @SalmaAthuman-hp3en 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂hata sijui nacheka nn nyie

  • @user-wy4fv9vd7w
    @user-wy4fv9vd7w 5 หลายเดือนก่อน

    konde anamtesa sana 🤣🤣🤣

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 5 หลายเดือนก่อน

    Watu hawampendi zuchu kwa sababu sio hadhi yake halafu kabisa halafu anamajivuno sana kanamdomo

  • @Leila-zp5co
    @Leila-zp5co 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kiki hiyo

  • @FlowerCute-yr6po
    @FlowerCute-yr6po 5 หลายเดือนก่อน

    Sijafurahi ila zouch hebu piga chini huyo mondi

  • @user-nc8mr5ex6w
    @user-nc8mr5ex6w 5 หลายเดือนก่อน

    Hii kiki bhna wanataka kutoa nyimbo hao😂😂😂😂😂

  • @kiatu
    @kiatu 5 หลายเดือนก่อน +3

    Bora waache kuzini, jambo zuri.

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 5 หลายเดือนก่อน

    Polen sn muwe na akiba ya maneno aibu zenu

  • @katalyebadeus-ne2xx
    @katalyebadeus-ne2xx 5 หลายเดือนก่อน

    Kiki tu kuna ngoma inakuja

  • @rohimsuleiman1800
    @rohimsuleiman1800 5 หลายเดือนก่อน

    Apo inataka kutoka piano 2

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 5 หลายเดือนก่อน

    Kiki hiyo jmn

  • @saidisalumu103
    @saidisalumu103 5 หลายเดือนก่อน

    Kuna nyimbo inakuja

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 5 หลายเดือนก่อน

    Haijawahi tokea diamond kuacha mwanamke sasa this time nn kimemkera

  • @jackiemuthami1723
    @jackiemuthami1723 5 หลายเดือนก่อน

    Najua mahali Haji manara yuko kamaind na ni hii kiki😂

  • @user-ok6zx1nx6v
    @user-ok6zx1nx6v 5 หลายเดือนก่อน

    Hio Nikki ya goma yake mpya

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 5 หลายเดือนก่อน

    JIBU LAKE KUTOKA KWA LA MASIMBA AMESHALISIKIA AU BADO??

  • @user-pp3dd7pj3n
    @user-pp3dd7pj3n 5 หลายเดือนก่อน

    mangi kimambi unamuhari gani nazuchu

  • @zuhurayusuph4826
    @zuhurayusuph4826 5 หลายเดือนก่อน

    Hata Mimi nimefurah ukiniuliza kwann sijui ila hawaendan bwana

  • @sarahmcharo1548
    @sarahmcharo1548 5 หลายเดือนก่อน

    kiki kabisa hii wanataka kuzima shughuli ya manara tuu hakuna lolote hapo

  • @user-yq4sn6cq1l
    @user-yq4sn6cq1l 5 หลายเดือนก่อน

    Mbona mdogo wangu mondi ananicosha kicwa jameni

  • @Fabulousmom509
    @Fabulousmom509 5 หลายเดือนก่อน

    Mmh mi sijawahi kuamini kua hao wawili walikua wapenzi zaidi ya kazi, because hawaendani kabisa.

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 5 หลายเดือนก่อน

      Hata mimi

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 5 หลายเดือนก่อน

    Kiki tu 😅😅 umalaya tu

  • @saeedalyahmadi1738
    @saeedalyahmadi1738 5 หลายเดือนก่อน

    But angesubir wiki ikayo aseme hivi yaan hapo jamaa anaua shoo nzia ya manara😂😂😂waga anakaa wiki nzima kuongelewa mond

  • @muanashaswaleh5110
    @muanashaswaleh5110 5 หลายเดือนก่อน

    Daimond asiruusu kwani ni mwanawe ampe akaunt zake wafanye kazi kila mmoja kivyake zuchu kashatoboa

  • @WaziriRamadhan-ML
    @WaziriRamadhan-ML 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jiandaeni tu kuipokea nyimbo mpya ya diamond😂😂😂

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 5 หลายเดือนก่อน

    Wasituchoshe mxeeeeem 🤔

  • @materazziti9088
    @materazziti9088 5 หลายเดือนก่อน

    Mambo ya kawaida hayo, tumezoe kiki

  • @sadasaid4408
    @sadasaid4408 5 หลายเดือนก่อน

    Warudiani ili asiwe kwenue wakati mgumu

  • @atutweve4160
    @atutweve4160 5 หลายเดือนก่อน

    HAWAJAACHANA JAMANI 🤪🤪🤪

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 5 หลายเดือนก่อน

    Ni kiki

  • @user-nn5sq8ol4g
    @user-nn5sq8ol4g 5 หลายเดือนก่อน

    Wapi alisema zuchu niwake

  • @DavidBernard-uk7ss
    @DavidBernard-uk7ss 5 หลายเดือนก่อน

    Kiki iyo

  • @maryamtan682
    @maryamtan682 5 หลายเดือนก่อน

    Kashozoea kuchezea wasichana uyo.

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 5 หลายเดือนก่อน

    KILA SIKU WANASEMAGA HIVYO HIVYO WANAMUUWA HARMONIZE NA NYIMBO YAKE

  • @user-wy4fv9vd7w
    @user-wy4fv9vd7w 5 หลายเดือนก่อน

    bora umeamka ulilogwaa

  • @alwiyad1977
    @alwiyad1977 5 หลายเดือนก่อน

    Well he said his still going to Zanzibar his bipolar