Vita nzito! Zamaradi na Faiza Ally wajibizana na kutoleana siri nzito, Mange atia neno, chanzo Sugu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
    play.google.co...

ความคิดเห็น • 157

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 8 หลายเดือนก่อน +11

    Zama ana damu ya kinyarwanda upande wa mama yake usnitch ni jadi yao ni kanyoka flani hivi na ndo mana ali match sana na Ruge mana Ruge akikuandama utaomba ufe alikuwa mtu wa visasi kukomeshana lait Diamond angeamua kusema aliyomfanyia Ruge utabaki mdomo wazi kwa hiyo zama mdogo wangubleo Sigu ndo kawa brother? Muogope mungu zama

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 8 หลายเดือนก่อน +2

    Faiza jitulize jitulize acha roho mbaya unaroho mbaya sn ww faiza ally ww kakuzidi kila kitu kwanza umekomaa ww faiza jitulize

  • @citymwacheo4497
    @citymwacheo4497 8 หลายเดือนก่อน +13

    Kiukweli zama huwa ni nyoka sema upole na face yke ndio inamficha

  • @zeinababdi4757
    @zeinababdi4757 8 หลายเดือนก่อน +19

    I stand with Faiza, she is real

  • @Adje244
    @Adje244 8 หลายเดือนก่อน +22

    Zamarandi ni yuda sana yani ni anakuua huku anacheka

    • @rerisamba
      @rerisamba 8 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 8 หลายเดือนก่อน

      💯 na ni kinyonga

  • @dhhccfgui9400
    @dhhccfgui9400 8 หลายเดือนก่อน +13

    Zama wanamuona mtu mwema sna ila ogopa mtu anae jionyesha mwema kwa watu ila ndan n nyoka sna😂

  • @sophiasophia9713
    @sophiasophia9713 8 หลายเดือนก่อน +17

    I think Faiza is telling the truth

  • @hallykanze6693
    @hallykanze6693 8 หลายเดือนก่อน +34

    Zamaridi Ni narcissist she knows how to pretend 😂

    • @sheilaally9490
      @sheilaally9490 8 หลายเดือนก่อน +2

      siyo narcisst,

    • @eben_ezer8853
      @eben_ezer8853 8 หลายเดือนก่อน

      A very Huge narcissist I've seen

    • @antipascann2797
      @antipascann2797 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@eben_ezer8853PhD holder😂

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 8 หลายเดือนก่อน +1

      The girl screems Narc so loud,yaani huhitaji tochi. Very self centered ,with ego na anawaburuza wengi especially Bongo movies artists. And it seems that,If you refused to be used for her gaining au ukimchalenge kimawazo ,things go sour😂

    • @fbr5113
      @fbr5113 8 หลายเดือนก่อน +2

      ANA ROHO YA KINYARWANDA MAANA ANA DAMU HIYO KUTOKA KWA MAMA YAKE NA PIA KAIGA TABIA ZA MAREHEMU BWANA AKE NA PIA KAATHIRIWA NA MATESO YA HUYO MAREHEMU KWAHIYI HAYUKO SAWA ANAJARIBU KULIPIZA ILA HATOPONA BALI KAMA KWELI KUNA SIKU ATAHARIBU SANA ASIPOBADILIKA

  • @claudiajames2003
    @claudiajames2003 8 หลายเดือนก่อน +8

    Faiza huwa yuko real! Kusema kweli Zamaradi anaonekana ana roho ya korosho sana! Ingawa kanavyojiweka huwezi kukadhania

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 8 หลายเดือนก่อน +12

    Zamaradi anaroho mbaya sana sema tukimuona social media mnamuona mtu mwema ...nilimchukia kipind kile cha dinnar Mario's alivyoondolewa clouds fm zama hafai hata kidogo

  • @stn4873
    @stn4873 8 หลายเดือนก่อน +11

    Faiza yuko real. Zama alitumiwa na Ruge kumuharibia Sugu.

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 8 หลายเดือนก่อน +39

    Mambo mengine ni kuomba Mungu hongera faidha uliona mbali hukutaka kumuharibia baba mtoto wako, ila najiuliza kwa nini Zamaradi anagombana na watu wengi

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 8 หลายเดือนก่อน +4

      Sababu wanamuonea wivu 🤪

    • @fbr5113
      @fbr5113 8 หลายเดือนก่อน

      ANA ROHO YA KINYARWANDA MAANA ANA DAMU HIYO KUTOKA KWA MAMA YAKE NA PIA KAIGA TABIA ZA MAREHEMU BWANA AKE NA PIA KAATHIRIWA NA MATESO YA HUYO MAREHEMU. NA PIA ANA MAUMIVU YA KUPOTEZA WAZAZI MAPEMA KWAHIYO HAYUKO SAWA ANAJARIBU KULIPIZA ILA HATOPONA BALI KAMA KWELI KUNA SIKU ATAHARIBU SANA ASIPOBADILIKA. AJITAHIDI KUWA MWEMA WA KWELI. SIO KISNEMA

    • @marymanoni5536
      @marymanoni5536 8 หลายเดือนก่อน +3

      Mtu mwenye maendeleo lazima apigwe mawe

    • @PascalMaganga-b9l
      @PascalMaganga-b9l 8 หลายเดือนก่อน +2

      Wanawake acheni wivu

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 8 หลายเดือนก่อน +2

      Mm kwa hili siamin kama zama alitaka kumuharibia sug uchaguz kwakwel bado sijaamin

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 8 หลายเดือนก่อน +6

    Shida yetu viewers yaani wa kwanza akianza kuponda au kusifia basi wote tunafuatisha hilo hilo ediots!!! Ooh!!Zama nyoka,sijui muuaji sijui nini wakati wakielewana tulikuwepo?! Shida kuna mtu hakubali kuachika ndio maana kila siku yupo kwenye page ya ex wake 😂kujichoresha na kujidhalilisha tu...mtu aliyekua kiakili ikitokea umegombana nae wala hahangaiki kufichua siri zako hadharani huo ni utoto!!!

    • @hidayaswai3119
      @hidayaswai3119 8 หลายเดือนก่อน +1

      Mbona na wewe unaonesha una chuki na faiza? Tuacheni u follower kwenye magomvi yasiyotuhusu. Wanajuana hao

    • @faridanurdin9635
      @faridanurdin9635 8 หลายเดือนก่อน

      Nakuelewa sana,nakumbuka marehemu baba yangu aliniambia chagua Rafik mwenye hekima na jizuie kugombana nae,na mkikwaruzana usiongee lolote..kila utakachoongea kitaaminiwa..kifupi ogopa ugomvi na rafiki yako.

  • @shareefkamtande
    @shareefkamtande 8 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu bibi faiza nae atulie alee wajukuu

  • @rukiamziwanda7458
    @rukiamziwanda7458 8 หลายเดือนก่อน +5

    Zama ni mbaya mnoooooooooo nyokaaaaa

  • @thaniakassim7687
    @thaniakassim7687 8 หลายเดือนก่อน +4

    Sikuzote ubaya haujifichi utafhihirika tuu...Sugu anabaki anashangaaa😂😂😂...nyie khaaaaah

  • @heriethkusigwa7209
    @heriethkusigwa7209 8 หลายเดือนก่อน +8

    Faiza needs a therapist,She must heal Abeeeeg😮

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 8 หลายเดือนก่อน +1

      That therapist should start with Zama first then he or she can go help Faiza. Humjui Zama vizuri,

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 8 หลายเดือนก่อน +22

    Zamarad hafai niliwah sema na nitaendelea kusema,,,usoni mtu lkn moyoni bundi😂😂

    • @fbr5113
      @fbr5113 8 หลายเดือนก่อน +1

      SISHANGAI WANYARWANDA NDIVYO WALIVYO.

    • @spreadlove5300
      @spreadlove5300 8 หลายเดือนก่อน

      ​Sasa Zama ni mnyarwanda au ndo gari imewaka 😢

    • @sarahmcharo1548
      @sarahmcharo1548 8 หลายเดือนก่อน

      @@spreadlove5300 hahah

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 8 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂😂faidha yuko km gigymoney au Rubí wakikasirika tuu siri zote nje

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 8 หลายเดือนก่อน +27

    Zama ni nyoka tena nyoka mwenye sumu kali 😢😢😢😢

    • @iantussa9064
      @iantussa9064 8 หลายเดือนก่อน +3

      Mnafahamiana na zamaradi au faiza??

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 8 หลายเดือนก่อน +4

      Wivu jamani dada yupo smart huyo lazima watu wamchukie, ana maendeleo yake wakati wengine bado na miaka 40 wanajitafuta

    • @ashurajengela3926
      @ashurajengela3926 8 หลายเดือนก่อน

      @@atutweve4160 wivu gani bwana weee kwann kila mtu amlalamikie yy ?!

    • @pendojeremiah1023
      @pendojeremiah1023 8 หลายเดือนก่อน

      @@atutweve4160hujawajua watu dear watu kama faidha wako real sana ndo maana wanaonekana wabaya ogopa
      Sana mtu anayejua kupretend tena public zamaradi ni mwigizaji sana

  • @janethjonas1700
    @janethjonas1700 8 หลายเดือนก่อน +2

    Faiza hasemagi uongo..

  • @ramadhanseleman4276
    @ramadhanseleman4276 8 หลายเดือนก่อน +11

    Hivi vibibi vinapenda kutrend

    • @zainabwage4658
      @zainabwage4658 8 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂tena mpk kero

    • @fridageorge2809
      @fridageorge2809 8 หลายเดือนก่อน +2

      Wanaubibi gani!? 40’s ndio kwanza wameanza maisha!❤

    • @priscajube4239
      @priscajube4239 8 หลายเดือนก่อน +2

      Wana ubibi gani. Wasichana wabichi hawajachakaa kuliko walio 30.

    • @Mariam-fm8vq
      @Mariam-fm8vq 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @AshuuuBakari
      @AshuuuBakari 8 หลายเดือนก่อน +1

      Acha zako wee unaenda juu au chini miaka 40 bibi

  • @chainbre275
    @chainbre275 8 หลายเดือนก่อน +2

    Faiza might be right kwa anavyo mpenda bby daddy sidhn ka anasema urongo😂😂hu ndonmutazamo wangu

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mnamuonea wivu zamaradi kisa anamaendeleo

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 8 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂😂pole sana zama maana huna bahati wanja mzima wamekuchoka eti😂😂😂😂😂

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Zama aliwahi kugombana ht na Hamisa. Na akamtangaza vibaya mwenzake. Halafu anajidai kwa vile csemi nakaa kimya. Ukimta gani huo?

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel 8 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa jamani kama Zamaradi amekomenti vile kwa Sugu kuna shida gani?? Sioni shida labda kulikuwa bifu nzito kati yawo

    • @fatmaallyabdul1732
      @fatmaallyabdul1732 8 หลายเดือนก่อน +2

      Alikuwa anaafta saabu si unajua hakubali kuwa aliachwa na sugu

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 8 หลายเดือนก่อน +2

    Zamaradi hawezi kumkubali faiza kwakuwa analipiza kisasi kwa ruge

  • @leilamohamed950
    @leilamohamed950 8 หลายเดือนก่อน +1

    Alyesikia suge na rugu nani 😅😅😅

  • @mohamedibwatamu
    @mohamedibwatamu 8 หลายเดือนก่อน

    NAN KASKIA SUGE NA RUGU MWISHONI MWISHONI 😅😅

  • @edakilibika5935
    @edakilibika5935 8 หลายเดือนก่อน +2

    Siku zote walikuwa wapi zama songa mbele na yako watumie akili zao na wao zama zama

  • @aishaabdul9287
    @aishaabdul9287 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ugomvi wa watu wazima wataumaliza wenyewe

  • @HildaDogani
    @HildaDogani 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo Faiza nae mswahili kwann..asingepita kule angeacha..kwani ni lazima uongezee jambo.
    Zama might be a good person in one way lakn kwasababu anajulikana ana mambo meusi wanachukulia advantage.

  • @sarahmcharo1548
    @sarahmcharo1548 8 หลายเดือนก่อน +1

    mh sugu ukute hta hajui haya yote

  • @magretangel5242
    @magretangel5242 8 หลายเดือนก่อน +4

    7:33 "Suge na Rugu" 😂😂😂

  • @fauziasultanikilewa7602
    @fauziasultanikilewa7602 8 หลายเดือนก่อน +1

    Faiza anampenda saaaaaaaaaaanaaaaa sugu sasa quona hasimu waqe anashiriqiana na sugu anataqa quharibu 😂😂aisee faiza unataqiwa ququbali qwamba hutaqiwi

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 8 หลายเดือนก่อน +3

    Faiza sijui yukoje

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 8 หลายเดือนก่อน +2

    Wivu nenda uko anakuzidi maendeleo wivuuuuuuuu

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 8 หลายเดือนก่อน

    They always say 'Still water runs deep!'

  • @Mkombozi255
    @Mkombozi255 8 หลายเดือนก่อน +12

    I stand with Faiza

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 8 หลายเดือนก่อน +13

    Zamaradi mimi siku nyingi nnajua kwamba ana roho mbaya sana hiyo ina julikana

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 8 หลายเดือนก่อน +1

      Ili ufanikiwe lazima uwe wa pekee sana kitabia na kila kitu, ukiwa mtu wakuchekacheka sio rahisi kufika malengo, ao matajir walofanikiwa wote utaambiwa wana roho mbaya sababu wapo determined,,,,, sasa yeye ndo mjinga alifunzwa kumharibia baba mtoto ake akakubali? Ndo ujue Zama yupo smart sana kumzidi, hata hakujua nani anathamani Kati ya baba mtoto na rafiki tu 👁👀👀👀🤔

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@atutweve4160 its ok to be smart,ila si vema kuutumia usmart wako to manipulate people and situations for your interests. Huyu anaonekana ana mengi anafanyia watu ila wanaogopa kusema,ndio kama hivyo ukisema unaishia kawe police station.

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 8 หลายเดือนก่อน

      @@neemayatosha1618 hao walikua marafiki ndugu yangu, katika urafiki watu mnasimuliana vitu vingi sana mkikosana ndo kama hivo mnatoleana Siri, mwanamke ukimkingia kifua mumeo hakuna mtu wa nje atakuja kuku manipulate yani ubaya uliaza kwa mwenye mume mwenyewe alimteta na kumsema mumewe ndomana zama akapata njia ya kuingilia,,,,, very logical mbona

  • @debbiethomas9825
    @debbiethomas9825 8 หลายเดือนก่อน +2

    SUGE NA RUGU......Chriss😂😂😂😂😂😂

  • @emmasonanjawe9042
    @emmasonanjawe9042 8 หลายเดือนก่อน +3

    Ndomana kila siku Huwa nawaambia wanawake ni nyoka hatari sana hivyo umakini zaidi unahitajika kwenye baazi ya Siri zetu wanaume

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 8 หลายเดือนก่อน

      😂 😂aya mtoto wa nyoka

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 8 หลายเดือนก่อน +1

      Km wanawake ni nyoka. Bac ht mamaako ni nyoka?

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 8 หลายเดือนก่อน +3

    Watu mwembamba uwa WAONGO WAONGO Sana ndo havinenepi kabisaaa

    • @muzafarsharif9465
      @muzafarsharif9465 8 หลายเดือนก่อน

      vinanepa huko Chini Tu

    • @fridageorge2809
      @fridageorge2809 8 หลายเดือนก่อน

      Kama waongo waongo mbona mnashinda gym na madayati kibao na nyie mnataka kuwa waongo!!?

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@fridageorge2809🤣🤣🤣 akikujibu nishtue

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 8 หลายเดือนก่อน

      @@fridageorge2809😂😂😂😂

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kwaiyo ngapi uko kati ya faiza au zama

  • @shabanponera2895
    @shabanponera2895 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mtangazaji umetisha SUGE na RUGU 7:30

    • @ashurahatibu5069
      @ashurahatibu5069 8 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😅😅suge na rugu

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 8 หลายเดือนก่อน

    Faizaa😂😂😂😂hakopeshiii

  • @NibigiraAssina
    @NibigiraAssina 8 หลายเดือนก่อน +2

    Watuwace tuko busy na manara❤

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 8 หลายเดือนก่อน +2

    Tafuten pesa banaaa

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 8 หลายเดือนก่อน +2

    Safi zama ww ni mti wenye matunda🎉

  • @jordanmwamlima7579
    @jordanmwamlima7579 8 หลายเดือนก่อน

    Ashamuharibia na kumchafua sana Sugu, hana chochote cha kueleza they're all snitches...

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 8 หลายเดือนก่อน +7

    Zamaradi anaakili sana ndo mana wanamchukia pole zama wangu labda usiwe unaongea chochote manake ukiongea ni sumu inakuwa yani huyu faidha kwanza niliwahi kujiuliza huyu zama inakuaje anakuwa na urafiki na faidha sababu namuonaga analopakaga tu afu yeye hivi ndi anapenda ili aongelewe

    • @johasaeed391
      @johasaeed391 8 หลายเดือนก่อน +3

      Weee usiseme hivyo binadama wanamazito sana tena hawo wakimya ni balaa sana ndugu mwisho wa siku huwa hamna sili tena utajulikana tu kitabia chako yaani ni bora linaloongea ovyo huwa ndani ya roho yake ni safi

    • @chanceB98
      @chanceB98 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@johasaeed391kweli ❤

    • @marymanoni5536
      @marymanoni5536 8 หลายเดือนก่อน

      Ndioooooo

    • @zariadunia6328
      @zariadunia6328 8 หลายเดือนก่อน +1

      Ana GPA ya ngapi watu wqnquza unga mnawaita wana akili😊😊😊

  • @fatumahashimmcheni9610
    @fatumahashimmcheni9610 8 หลายเดือนก่อน +1

    Taabu ya Umaruifuuu hiii

  • @atutweve4160
    @atutweve4160 8 หลายเดือนก่อน +6

    ZAMA IS SMART AND BLESSED LAZIMA ACHUKIWE,,,, UZURI SIO MAISHA

  • @beatricehenry6776
    @beatricehenry6776 8 หลายเดือนก่อน

    Watu hugombana na kusameheana sioni shida ya Zama ya kale yamepita ila mwenye shida Ni Faizer mwenye sumu ya nyongo

  • @rahmaabdallah4514
    @rahmaabdallah4514 8 หลายเดือนก่อน +11

    Mimi sijaona sababu ya kushambuliana ule mda zama alikua hajakomaa ki akili na maanisha hajajitambua sasa anajielewa vzuri..binaadamu hufika wakati akajutia makosa yako aliyoyatenda nyuma sasa ameona hakuna sababu au uhasama au uadui amejitakasa moyo na kusamehe yalopita kuelewana na kila mtu.... maisha ni mafupi samehe hapa duniani

    • @najmasalim-rg6ow
      @najmasalim-rg6ow 8 หลายเดือนก่อน +1

      Fact

    • @iantussa9064
      @iantussa9064 8 หลายเดือนก่อน +1

      Hongera uko sawa mumy❤

  • @HappinessNess-dj6rt
    @HappinessNess-dj6rt 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dada kashindwa kumuv

  • @augustinemainde2730
    @augustinemainde2730 8 หลายเดือนก่อน +2

    Subirini midoli ya Kichina iingie wanaume wahamie huko ugomvi utaisha😊😅😊😅

    • @fatmaallyabdul1732
      @fatmaallyabdul1732 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @samwa9496
      @samwa9496 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @OG_20
    @OG_20 8 หลายเดือนก่อน +1

    waendelee kutupa burudani

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe huna akili faiza

  • @stonetown578
    @stonetown578 8 หลายเดือนก่อน +4

    Zama this, Zama than, I like it.

    • @hopechidera
      @hopechidera 8 หลายเดือนก่อน

      Zama that not than🧐

    • @stonetown578
      @stonetown578 8 หลายเดือนก่อน

      @zimuzorchidera6077 typing error my friend

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 8 หลายเดือนก่อน

    Ww faiza ww ni mtu mzima vingine uweunanyamaza,yann kutoana siri?

  • @Shehasweet-hy6xn
    @Shehasweet-hy6xn 8 หลายเดือนก่อน

    Lazima akatae..maana watanzania wote wamejionee..zama huwa anatabia mbaya..kila rafiki lazima anamlalamikia..niko na faiza inauma saana...zama hamalizanagi vizur na marafiki lazima anawapigaga kitu kizito

  • @mauakiza2295
    @mauakiza2295 8 หลายเดือนก่อน +1

    Awajapigana

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 8 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani mbona hivi 😢

  • @AllyJuma-zp9nw
    @AllyJuma-zp9nw 8 หลายเดือนก่อน

    Nyie ni wazazi acheni kina zuchu hizo drama

  • @chany9950
    @chany9950 8 หลายเดือนก่อน +2

    Thx bro👍🏽

  • @MNHAMAOFICIAL
    @MNHAMAOFICIAL 8 หลายเดือนก่อน +6

    naoba number ya faiza tafadhali

    • @JanetAhmad-v3h
      @JanetAhmad-v3h 8 หลายเดือนก่อน

      si uende kwenye bio ya insta

    • @MNHAMAOFICIAL
      @MNHAMAOFICIAL 8 หลายเดือนก่อน

      SI TUMIII VP UNAWEZA NI HELP@@JanetAhmad-v3h

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 8 หลายเดือนก่อน

    Pole faiza binadamu marafiki wabaya mnooo

  • @BHALEEALI
    @BHALEEALI 8 หลายเดือนก่อน +1

    huyu Faiza daah 🤣

  • @pulikisia7963
    @pulikisia7963 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hahahahaaaa mtangazaji kachapia majina ya Sugu na Ruge,eti Suge na Rugu😂😂😂

  • @maryamconstantine2232
    @maryamconstantine2232 8 หลายเดือนก่อน

    Daima ukiwa mwema utachukiwa mnoooooooo

  • @rerisamba
    @rerisamba 8 หลายเดือนก่อน

    Vile umetaja Mangi nimekuja

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 8 หลายเดือนก่อน +3

    Zamaradi ni muuaji wa chini

  • @marynjuka
    @marynjuka 8 หลายเดือนก่อน

    itakuwa zama anamatatizo

  • @yunaisamidd7587
    @yunaisamidd7587 8 หลายเดือนก่อน +2

    Yan ukisoma comment ndo unajua watu wana magonjwa ya wivu na akili pia yan mnavo muattak zama utafikir mna ujua ukwel wivu Uta wauwa mbwa nyie 😅😅😅😅😅😅😅

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 8 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅😅😅

  • @TaarabChannel
    @TaarabChannel 8 หลายเดือนก่อน

    Mupitie na kwangu wapenzi ❤❤❤

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 8 หลายเดือนก่อน +9

    Zamaradi ni mshenzi sana 💯

    • @tecratzmwakyambomwakyambo7243
      @tecratzmwakyambomwakyambo7243 8 หลายเดือนก่อน

      Na wengi wanamsema

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 8 หลายเดือนก่อน

      Yaani Faiza ana mapungufu kama binadamu wote tulivyo, najua sometimes Faiza mambo yake ni shida 😅 lakini Zama ni NYOKA mwenye sumu kali!​@@tecratzmwakyambomwakyambo7243

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 8 หลายเดือนก่อน +3

    Watu wazima ovyooo.

  • @khadijarashidy9304
    @khadijarashidy9304 8 หลายเดือนก่อน +2

    I'm from Cuba and I don't understanding Swahili but hii imeenda 😂😂😂

    • @swabramohammad4487
      @swabramohammad4487 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @PhyinaElias-mu4wf
      @PhyinaElias-mu4wf 8 หลายเดือนก่อน

      You don't understand Swahili but hii imeendaa umeielewa🤣🤣

  • @faidhakikoba5399
    @faidhakikoba5399 8 หลายเดือนก่อน +2

    😅😅😅zamaaaa maji

  • @PhyinaElias-mu4wf
    @PhyinaElias-mu4wf 8 หลายเดือนก่อน +1

    Me nikajua zamaradi n mstarabu,mpole hadi nampendaga sanaaaa had wasani baadhi huwa wanasema zamaradi anajua kutuza siri anajua kushauri khaa kumbe ndivyo alivyooo 😮

    • @jescanicodemus
      @jescanicodemus 8 หลายเดือนก่อน +2

      ana roho mbaya wasanii wengi huwa wanamlalamikia

    • @PhyinaElias-mu4wf
      @PhyinaElias-mu4wf 8 หลายเดือนก่อน

      @@jescanicodemus Mmmh madogo,, khaaa uzaniae sie Kwa kwel

    • @rerisamba
      @rerisamba 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@PhyinaElias-mu4wf🤣🤣🤣waa wacha tushangae jamani