Diamond amuumbua Mange "sipo single, penzi halivunjiki kirahisi hivyo, bado nakula raha za kisiwani"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2024
  • Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
    play.google.com/store/apps/de...

ความคิดเห็น • 102

  • @fitinajustine7801
    @fitinajustine7801 5 หลายเดือนก่อน +10

    Yaaaaani nilikua sina hali nikifikiria zuchu wangu ivi najiskia furaha asante sana shemeji Diamondi acha tukashehereye penzi limeendelea🎉

  • @mariamswalehe3312
    @mariamswalehe3312 5 หลายเดือนก่อน +17

    Yaani Dar niliumia sana kusikia hii couple imevunjika. Sasa nasema Alhamdulillahi Allah awatunze jamani nawapenda sana

    • @mustafamasudi8093
      @mustafamasudi8093 5 หลายเดือนก่อน

      1:09 ili waendelee kuzini eti Allah😂😂

    • @mariamswalehe3312
      @mariamswalehe3312 5 หลายเดือนก่อน

      Dunia ya leo hakuna aliyeifikia ndoa hajazini. Na wamezaliwa watoto wengi tu wa uzinifu . Kama.imepangwa waoane Inshaallah itafikia wakati wake

  • @rahmaabdallah4514
    @rahmaabdallah4514 5 หลายเดือนก่อน +17

    Umenifurahisha diamond❤ karibuni urojo😅 😅

  • @Smokeylucas
    @Smokeylucas 5 หลายเดือนก่อน +2

    Next time you have a fight, stay away from your phone. We love you both 💕

  • @habbibaali7522
    @habbibaali7522 5 หลายเดือนก่อน +9

    Wambea na wanafiki mutakoma roundi hii😂😂😂😂 tunakungoja abudhabi dai tiket tayari HABIBI COME TO ABUDHABI 😂😂😂😂

  • @Mikael-xh4cp
    @Mikael-xh4cp 5 หลายเดือนก่อน +4

    Only vee money had class katika artists in tanzania, she had no drama

    • @marleshjimmy1972
      @marleshjimmy1972 5 หลายเดือนก่อน +1

      That true but nowadays people love drama than music itself that why he gives them both--- that business

  • @shery-bf8xh
    @shery-bf8xh 5 หลายเดือนก่อน +18

    Tumepigwa na kitu kizito wambea 😂😂😂kama namuona mangi vilee akijifunika leso ya usoo😂😂😂

    • @riosingingandmore8224
      @riosingingandmore8224 5 หลายเดือนก่อน

      Tatizo yule anakulupuka sana 😅😅😅😅😅😅

    • @MamboSuper
      @MamboSuper 5 หลายเดือนก่อน +1

      mwambino iyo nikiki

    • @beingjoan3660
      @beingjoan3660 5 หลายเดือนก่อน +1

      Wachana no but matukia atapigwa

  • @Agath45
    @Agath45 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nilijuwa tu

  • @user-qv8jb5tj9l
    @user-qv8jb5tj9l 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mange umeumbuka nyooo unasema zuchu mchawi umemjuaje mnawanga wote muache mtoto funfdi fundi yuuu chiiiiii ovyoooo safi sana mondi umeyajua maadui wasiotaka hubba

  • @chany9950
    @chany9950 5 หลายเดือนก่อน +5

    🤣🤣🤣👍🏽 nimeceka mbaka

  • @user-gn2wz2os4f
    @user-gn2wz2os4f 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ila kwnn munamchukia zuchu jamaniii 😢😢😢😢,

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 5 หลายเดือนก่อน

    Asante Diamond 💎

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kila mchunga atakwenda ulizwa alichokichunga Bi Khadija kopa😭back my words

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ndiyo mondi mwanaume hapagiwe good mondi❤😂

  • @jassonnelly3445
    @jassonnelly3445 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mind game

  • @beatricejoseph2347
    @beatricejoseph2347 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mhh!,yetu macho!ila sometimes ni udhalilishaji !,mm mpaka nimsikie mama Dangote amepitisha ,maanake kila kitu ni yy mwenye maamuzi.Kuna cha kujifunza hapa.

  • @eliakejijoseph1422
    @eliakejijoseph1422 5 หลายเดือนก่อน +1

    I knew it from the beginning 😂😂😂😂

  • @lizzygabriel9601
    @lizzygabriel9601 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mmmh huo mwandiko wa zuchu😂😂😂😂

  • @user-gn2wz2os4f
    @user-gn2wz2os4f 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hahaha piga kelele kw diamond weweeeee😅😅😅😅😅😅😅

  • @SheikhaSheikha-ee6is
    @SheikhaSheikha-ee6is 5 หลายเดือนก่อน

    Haya mapenzi ya kinyonga haryana kweli.....kwa sababu yakipato

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mange ki mavi amka utaficha sura yako mbaya wapi, mwembamba kama kijiti, ibilisi

  • @lydiahmartinz925
    @lydiahmartinz925 5 หลายเดือนก่อน +1

    He was promoting dvoice moon party.. as he said I will always do😂

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 5 หลายเดือนก่อน

    zuchu alikuwa amemunyima kitadani jamani😁😁😁mumuashe mond ale rahayake kisiwa chaka rafu.basiubani umepita apo na duwa

  • @omanmct135
    @omanmct135 5 หลายเดือนก่อน

    Mambo hayo😂😂

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 5 หลายเดือนก่อน

    Fido Dido kaumbuka ile mbayaa😂😂😂😂 roho mbaya haijengii

  • @Bravo-or8oy
    @Bravo-or8oy 5 หลายเดือนก่อน

    Huo wimbo wake n J Melody lazima uwe mkali maana si kwa kiki hiyo

  • @salama1113
    @salama1113 5 หลายเดือนก่อน

    Sasa c anamdhalilisha mwanamke wake kwani anatudhalilisha cc

  • @suleimandimonde2934
    @suleimandimonde2934 5 หลายเดือนก่อน

    Apana uyo ali ona kama azungumziwi ndio mana akafanya ivo

  • @sarahmcharo1548
    @sarahmcharo1548 5 หลายเดือนก่อน

    mange yupo wapi jman!!??

  • @WaziriRamadhan-ML
    @WaziriRamadhan-ML 5 หลายเดือนก่อน +1

    Diamond na zuchu waliamua tu kuwajua wambea wenye chuki na wao ni nani na nani😂😂😂

  • @fatumamahoiga3978
    @fatumamahoiga3978 5 หลายเดือนก่อน +1

    C_kwamba wanamchukia wanamuonea wivu

  • @jackiemuthami1723
    @jackiemuthami1723 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hata kama ni kiki asha mzalilisha zuchu 😂

    • @chainbre275
      @chainbre275 5 หลายเดือนก่อน

      Very true 😅

    • @jackiemuthami1723
      @jackiemuthami1723 5 หลายเดือนก่อน

      @@chainbre275 Yani hapa akuna mapenzi kabisaaaaaaa

  • @LailaMilaji-qc6bi
    @LailaMilaji-qc6bi 5 หลายเดือนก่อน

    Mpaka niliumwa

  • @user-fy9pw2zr8l
    @user-fy9pw2zr8l 5 หลายเดือนก่อน

    mi nilisema siwezi ingilia mapesiii

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 5 หลายเดือนก่อน

    Mange uwiiiiii 😂😂😂😂😂 Nimecheka kifala 😂😂

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 5 หลายเดือนก่อน

    Unajitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe 😂😂 kiki imebuma mapema

  • @mkutiamani
    @mkutiamani 5 หลายเดือนก่อน +1

    Alizani ita trendi lakin ameona watu tuko busy na mambo ya harmonize

    • @saeedalyahmadi1738
      @saeedalyahmadi1738 5 หลายเดือนก่อน

      Ww ulikuwa wapi hyo ni habar ya siku nzima 😂😂😂chekii

    • @MkaliZuberi-rt3gb
      @MkaliZuberi-rt3gb 5 หลายเดือนก่อน

      Uyo korosho ana jimya gani mbwa wew

    • @mkutiamani
      @mkutiamani 5 หลายเดือนก่อน

      @@MkaliZuberi-rt3gb asa wew uyo choko mwenzako na wew mke wa mbwa mna jipya gan

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 5 หลายเดือนก่อน

    Umeona enhe,,niliwambia iyo ilikuwa changamsha genge tu,,na hawawez kuachana hao,,Sasa da mange sura yako utaiweka wap Leo,,Aya kakojoe da mange alafu njoo utuhubirie huku😂😂

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 5 หลายเดือนก่อน

    Mange utafunga mdomo , Leo umeumbuka

  • @aishaahmed5028
    @aishaahmed5028 5 หลายเดือนก่อน

    Zuchu mond forever wambea umejua kupatikana 😂😂😂

  • @mwajumakweli
    @mwajumakweli 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi nirijuwa tu km kajiandikia tu

  • @mashiassenga8849
    @mashiassenga8849 5 หลายเดือนก่อน

    Sasa wambea mumekula kitu kizito😂😂😂😂😂😂 wacha wasemeeeeeeee

  • @user-xi9bh1dn4x
    @user-xi9bh1dn4x 5 หลายเดือนก่อน

    Watanzani bado hamjamzoea kibu,tusubirie ngoma

  • @mbezzoprince9462
    @mbezzoprince9462 5 หลายเดือนก่อน

    Simba anajua kuwavuruga 😂😂😂

  • @qamaryasalim9531
    @qamaryasalim9531 5 หลายเดือนก่อน

    Kajuwa kutusuta simba leo maana katuacha hoi

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanza kua single yuko single. Kwakua kua single ni kwamba, hajaoa. Je, diamond ameoa ?

  • @rahmachujirahma6609
    @rahmachujirahma6609 5 หลายเดือนก่อน

    Lina vunjika sema unaogopa uki muacha atatoka kwenye lebo

  • @user-mh4zq7ec7z
    @user-mh4zq7ec7z 5 หลายเดือนก่อน

    Simu imepigwa kwamganga wake chap mambo yakatik maramoja

  • @ZainabuIsmail-fm2ey
    @ZainabuIsmail-fm2ey 5 หลายเดือนก่อน

    Tuliwawmbia wenyewe timu wcb wasafi tunaelewa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 5 หลายเดือนก่อน

    Nilijua ni kiki😂😂😂 na nilisema

  • @lisazainabu3626
    @lisazainabu3626 5 หลายเดือนก่อน

    Uyo anataka kuharibu party wa mzungu wenu tu😂😂😂😂😂

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 5 หลายเดือนก่อน

    Alifanya vile ili Harmo na Marioo wasizungumziwe na Away bila shaka

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 5 หลายเดือนก่อน

    Niliwashangaa sana SNS kudiscuss hiyo post , mbona ilikuwa easy tu kutumia kichwa kuelewa ilikuwa drama tu

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 5 หลายเดือนก่อน

    Dada wataifa ajawahi kushindw ngoja amkee

  • @heritierpaluku7320
    @heritierpaluku7320 5 หลายเดือนก่อน +1

    Conde boy kawa vurunga kweli😊

  • @priscajube4239
    @priscajube4239 5 หลายเดือนก่อน

    Bora muachane tuu 😢

  • @HopeMmbando-wb8ci
    @HopeMmbando-wb8ci 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂umekomesha wambea na visorokwinyoooo

  • @atutweve4160
    @atutweve4160 5 หลายเดือนก่อน

    HATA HAWAKUGBANA 😂😂😂😂😂watz inabidi muelewe libras tunapenda attention

  • @fitinajustine7801
    @fitinajustine7801 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mange ameloa ameloa kanyeshewa na mvua

    • @Bravo-or8oy
      @Bravo-or8oy 5 หลายเดือนก่อน +1

      Lazima atakuja na sababu nyingine maana kashajenga roho ya chuki kwa Zuchu hawezi badilisha kama alivyoijenga kwa Zari

  • @muanashaswaleh5110
    @muanashaswaleh5110 5 หลายเดือนก่อน

    Maskini kwanini wana mchukia zuchu bila sababu kwani zuchu ana ubaya gani

  • @user-qk4gt3dw6m
    @user-qk4gt3dw6m 5 หลายเดือนก่อน

    Mavi kimavi amka ujigaragaze

  • @khadijachacha3156
    @khadijachacha3156 5 หลายเดือนก่อน

    Iyo ni kiki ya kutoa nyimbokila alofurahiya kaumbuka 😂😂😂😂😂

  • @WinfridaNdege
    @WinfridaNdege 5 หลายเดือนก่อน

    Mziki ushamshinda kabakiza Kiki tuu 😂😂

  • @owagatonny6558
    @owagatonny6558 5 หลายเดือนก่อน

    habari za wasaniii sio za ukweli ko natoa ushauri msizifatilie ni upuuuuuuuuzi mtupu bora tusome bible

  • @Yasintakisholi
    @Yasintakisholi 5 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣🤣🤣 tutaficha sura zetu wapi au nisinge comments 😂😂😂😂 daaah

  • @mustafamsati9599
    @mustafamsati9599 5 หลายเดือนก่อน +3

    Hahaha et unamuamini diamond wakati muziki wake unaendeshwa kwa kilki? Huyo ni mtu kiki

  • @user-cb8el2ez5b
    @user-cb8el2ez5b 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @tabitamushalizi1952
    @tabitamushalizi1952 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂

  • @user-nn5sq8ol4g
    @user-nn5sq8ol4g 5 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅

  • @verbalverbal2019
    @verbalverbal2019 5 หลายเดือนก่อน

    Diamond akiwa na mtu mnajiongeza wenyewe na wakiachana mnajiongeza wenyewe, hajawahi kutangaza kuwa na mtu wala kuachana nae toka awe maarufu, kwa hiyo ungekuwa ni utaratibu mpya, binafsi nilijua kabisa ilikuwa bullshit

  • @shishgal2274
    @shishgal2274 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @owagatonny6558
    @owagatonny6558 5 หลายเดือนก่อน

    Diamond ni Mpumbavu, ndomaana wasanii sio watu wa kuaamini kabisa

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 5 หลายเดือนก่อน

    Watu waache umbea, zuchu na mondi bumper to bumper

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 5 หลายเดือนก่อน

    Niliwaambia aibu zenu oyoooooooooooooo umewakomesha urojo unakuhusu mpk waxikane

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 5 หลายเดือนก่อน

    Nimesema je? ZUCHU haachikii

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 5 หลายเดือนก่อน

    Mange kimange ni mpumbavu mimi mange ata nipewe wabure siwezi mchkua afazali nimuowe kichaha kuliko kumuowa mange katika wanawake wenye mahumbile mabaya mange ni mabaya kuliko

  • @niwaelally1579
    @niwaelally1579 5 หลายเดือนก่อน

    Ujinga mtupu. Apo anamchezea Zuchu na kumpotezea muda. Hatuombi mabaya kwake ila kuowa bado sana lambda mama yake awe hayupo nasi tena. Vinginevyo hakuna mwanamke atakae dumu nae na hakuna ndoa. Playboy huyo

  • @nicolenabintu2509
    @nicolenabintu2509 5 หลายเดือนก่อน

    Mziki ume mshinda na kiki zooote zime buma. Atupishe mxiuuuu

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 5 หลายเดือนก่อน

    I will unsubscribe all Tanzanians online channels nyie ni waogo sana take three days before you publish stories online please

  • @flavourboyke
    @flavourboyke 5 หลายเดือนก่อน +2

    Zuchu amejibu, utacheka sana
    th-cam.com/video/JC840H6TLj0/w-d-xo.htmlsi=oLaOivavNkxqCWhA

  • @fitinajustine7801
    @fitinajustine7801 5 หลายเดือนก่อน

    Yaaaaani nilikua sina hali nikifikiria zuchu wangu ivi najiskia furaha asante sana shemeji Diamondi acha tukashehereye penzi limeendelea🎉

  • @sakshidaniel5098
    @sakshidaniel5098 5 หลายเดือนก่อน

    Nilisema huyu ni zombie anawatekenya🤣🤣

  • @fitinajustine7801
    @fitinajustine7801 5 หลายเดือนก่อน

    Mange ameloa ameloa kanyeshewa na mvua

  • @muanashaswaleh5110
    @muanashaswaleh5110 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @belyseirakoze5371
    @belyseirakoze5371 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wa Tanzania kwa kiki😂😂😂😂😂😂 mpewe tuzo 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @fitinajustine7801
    @fitinajustine7801 5 หลายเดือนก่อน

    Mange ameloa ameloa kanyeshewa na mvua

  • @fitinajustine7801
    @fitinajustine7801 5 หลายเดือนก่อน

    Mange ameloa ameloa kanyeshewa na mvua