MAMA DANGOTE "DIAMOND PLATNUMZ HAJAWAHI NILETEA ZUCHU KUMUOA, NINAEMJUA NI YULE ALIEPELEKA MAHARI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 322

  • @claudinenkurunziza2137
    @claudinenkurunziza2137 8 หลายเดือนก่อน +69

    Nimependa jinsi anajishugurisha na kazi za nyumbani kama mama ❤❤❤

  • @brunoh_bx
    @brunoh_bx 8 หลายเดือนก่อน +56

    Uzuri mama wa watu hata hajichubui❤️❤️

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kweri kabisa na Hana maringo Hana Mambo mengi❤❤❤

    • @brunoh_bx
      @brunoh_bx 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@khadjamhozya Kwel aisee, huyu ni mama wa ukwel

  • @hassankhamis7380
    @hassankhamis7380 8 หลายเดือนก่อน +57

    Mama alipitia maisha magumu hasahau aliko toka anajua kuongea vzr mama yupo vzr ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @mudibojaffar9269
      @mudibojaffar9269 8 หลายเดือนก่อน +2

      Asante..Allah Ampe Maisha Marefu

    • @omarswaleh6082
      @omarswaleh6082 8 หลายเดือนก่อน

      Hata wewe pia una msapoti afanye maovu huyu mama wewe si muislam

  • @BakariKibauri-qh7gf
    @BakariKibauri-qh7gf 8 หลายเดือนก่อน +31

    Huyu mama nampenda sana❤❤

  • @queenbibisha1961
    @queenbibisha1961 8 หลายเดือนก่อน +14

    Ila mama jamani eti bila barua huko nikuchezeana 😂😂😂😂 I hope zuchu atasikia hili

  • @twalebleboss9687
    @twalebleboss9687 8 หลายเดือนก่อน +18

    NAASHAALLAH...MAMA YETU ALLAH AZIDI KUKUTUNZA,,,,INSHAALLAH KILA LA KHERI...💥💥❤

  • @sophiahmedza929
    @sophiahmedza929 8 หลายเดือนก่อน +13

    Juma mbea alisema barua kumbe uongo 😂😂😂😂😂😂hii imeenda Mama kasema

    • @typohneprofiel515
      @typohneprofiel515 8 หลายเดือนก่อน

      Juma
      muongo sana. Hivi amekaa kimya sabasi yule

  • @jaharaoman6478
    @jaharaoman6478 8 หลายเดือนก่อน +12

    Kajibu vzr tu mbna hata mama zuchu mara nyingi anasema mwanae hana mchumba kwaiyo ni sawa tu

  • @sultanaswaleh7813
    @sultanaswaleh7813 8 หลายเดือนก่อน +21

    Pongezi Daaangu❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @JanetAhmad-v3h
    @JanetAhmad-v3h 8 หลายเดือนก่อน +8

    zuchu nasema kila siku kazi na mapensiii itamukosti badae 😂😂😂 mi nipo yani zawadi zote zile eti hamujui😅😅😅 duu zuchu ningekua yeye akinitongoza simba ningemwambia ndoa kwanza

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly 8 หลายเดือนก่อน +14

    Mama dee uko sawa mchumba n yule alietolewa mahar uko sawa kabisa akili kumkichwa sisi wasichana😂

    • @nuruhhussein167
      @nuruhhussein167 8 หลายเดือนก่อน +1

      Tena tuwe na akili kweli sisi waschana

    • @hellennehemia9269
      @hellennehemia9269 8 หลายเดือนก่อน

      Yaaan😂

  • @HosianaMchau-pv3pl
    @HosianaMchau-pv3pl 8 หลายเดือนก่อน +12

    Umeongea vizirii mama diamond Mimi dada wa kichaga nakwambia una majibu mazuru

  • @Elsah-ee4ec
    @Elsah-ee4ec 8 หลายเดือนก่อน +34

    😂😂😂😂 Mama Dangote amemaliza.. team king’ang’anizi please tell king’ang’a to open her eyes 😂😂😂.. she has been dating herself ubaya hapendi kuambiwa😂

    • @malianonicass7029
      @malianonicass7029 8 หลายเดือนก่อน +2

      Kwani nyie hamliwi na mkaachwa

    • @lareineminah1353
      @lareineminah1353 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@malianonicass7029Apo watu bhana😂😂😂

    • @desmaambiche1679
      @desmaambiche1679 8 หลายเดือนก่อน

      Watu wote walitumiwa na waakachwa, kwahivyo mwache zuchu wangu

    • @trixieke8462
      @trixieke8462 8 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@desmaambiche1679zuchu Alianza madharau. Hao Dangote Ni kama mafia hivi heshima lazima ama utatupwa nje😂

    • @aediayumgo8546
      @aediayumgo8546 8 หลายเดือนก่อน

      Zuchu is Sex slave if she doesn't know this game she's going to die with stress she have to be very careful watch out😮

  • @ErneverErnest
    @ErneverErnest 8 หลายเดือนก่อน +9

    Mama dangote nakupenda sana majibu yako I wish ningekuona .eti zuchu atajisikiaje .wakamuulize zuchu anavyojisikia sio wewe

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 8 หลายเดือนก่อน +33

    Bora hapo unge mtaja Zari weeee moyo wa mama nasibu ZARI❤❤❤❤.

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 8 หลายเดือนก่อน

      Wema

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 8 หลายเดือนก่อน +1

      Zari kesha zeeka amebaki kulea watoto daimond ampeleke wapi 😂😂😂

    • @Sunflower001-xt3ou
      @Sunflower001-xt3ou 8 หลายเดือนก่อน +1

      Moyo wake zari ilhali yeye ndo Ali set up hamisa kumfukuza zari,u ppl forget too first 😅😅😅,huyu mama hajawai penda mwanamke yoyote wa simba

  • @fatumamnyenze9696
    @fatumamnyenze9696 8 หลายเดือนก่อน +7

    Umeongea mama chukua maua yko 🎉🎉🎉🎉WANACHEZEANA kula chuma hicho zuchu😅😅😅

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 8 หลายเดือนก่อน +8

    January hii mjue tuko bize kujazia ada tupumzishen jaman na umbea

  • @tiffanyakramJr822
    @tiffanyakramJr822 8 หลายเดือนก่อน +7

    Mmmmmmh apo ma zuhra hakuna mkwe, .. fundisha mtoto wako asichezewe bule khaa.. kaongea kikubwa hadi jasho lamvuja 😂😂😂

    • @MdNasr-jm8pj
      @MdNasr-jm8pj 8 หลายเดือนก่อน +3

      Mwache tuu achezewe anawasha 😢jeur zote anazonesha Kang'a ng'ana tuu

  • @USDisdoomed
    @USDisdoomed 8 หลายเดือนก่อน +8

    Kwa mara yakwanza nimemsikiliza huyu mama kumbe anabusara sana.....kongole mama dangote ❤

  • @matildavelentina7914
    @matildavelentina7914 8 หลายเดือนก่อน +8

    Haya mama kashasema hio inaitwa kuchezeana

  • @francomwacha2262
    @francomwacha2262 8 หลายเดือนก่อน +26

    Mbona hazeeki😮 aisee nitafute tuu pesa hamna namna.. mama ni mtu mzur sana❤

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 8 หลายเดือนก่อน +10

    Mtihani kweli kweli wanachezeana😂😂😂😂 Wapi Zuchuu unaweza ukavichwa.pete na usiolewe 😂😂😂😂 mama diomondi hakuna.ndowa hapo Zuchu ukazane kuroga 😂😂😂

  • @alisaida4080
    @alisaida4080 8 หลายเดือนก่อน +19

    Mashaallah mama huyo❤

  • @NaseebMgono-wl3bu
    @NaseebMgono-wl3bu 8 หลายเดือนก่อน +7

    Sa yy atakubali vipi wakat pia ma zuchu kila siku anakataa yy leo anaonekana mbaya jmn

  • @Espe2009
    @Espe2009 8 หลายเดือนก่อน +4

    Sasa iyo kuchezeana si Uyo Simba atamuleteya magonjwa ju njo kaziyake yakuchezea wanawake

  • @LenzerWanjiru
    @LenzerWanjiru 8 หลายเดือนก่อน +5

    Mama zuchu kamkana dai wakwanza sasa kaharibia mwanaye Kwa mdomo yake mwenyewe

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 8 หลายเดือนก่อน +10

    Straight foward mama la Kigoma kama mbwai na iwe mbwai ila hapa lipo jambo

  • @danymak5800
    @danymak5800 8 หลายเดือนก่อน +5

    Zuchu ni kama tu candy ama ice cream kwa Dai. Zuchu tafuta mme. Dai ni boss wako na hata mama amenena.

  • @samehewaliokukoseya2605
    @samehewaliokukoseya2605 8 หลายเดือนก่อน +7

    Uyo Zuchu kama chuhu asikiye apo. Anachezewa 2. Akuna muowaji apo. AMEKANWA MCHANA KWEUPE 🌞🌞😮😮🔥🔥

    • @najmasalim-rg6ow
      @najmasalim-rg6ow 8 หลายเดือนก่อน +3

      Angemkama diamond kweli lakin mamadangote😏

    • @ashaabdalla924
      @ashaabdalla924 8 หลายเดือนก่อน +2

      Hata dai kila siku mama zuchu anamkana hamtambui zuchu hana mchumba wabongo acheni roho mbaya na choyo hamfiki kokote kwa roho zenu mbaya

    • @najmasalim-rg6ow
      @najmasalim-rg6ow 8 หลายเดือนก่อน +4

      @@ashaabdalla924 mbona ghafla bidada roho mbay anafanyiwa nan na kwalipi? Kucheazeana wachezeano wao sie tuwafanyie roho mbay kivip kama sijaelew mbona

    • @AnyoinetteIbe
      @AnyoinetteIbe 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@najmasalim-rg6owDiamond mwenyewe kaisha sema yuko single kwani amkane mara ngapi

    • @najmasalim-rg6ow
      @najmasalim-rg6ow 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@AnyoinetteIbe basi pambe tu acha wachezeane

  • @christined.a.w4686
    @christined.a.w4686 8 หลายเดือนก่อน +8

    Hongera 😂mama Dangote kwa ukulima 🇰🇪 🇺🇸 hata mimi napenda kupanda spinachi. Tazama shamba langu ndogo hii hapa ❤️

  • @marryfelician1426
    @marryfelician1426 8 หลายเดือนก่อน +3

    Amepigaje hapo mama dangote zuchu sio nani Mange Kimambi kweli mtabiri wuuiii na ile mtasubiri sana

  • @jacqueli18
    @jacqueli18 8 หลายเดือนก่อน +18

    Huyu mama kaongea maneno kama wadada tunatafakari tutaelewa kama tunachezewa au tumeolewa😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @nicolerose5112
    @nicolerose5112 8 หลายเดือนก่อน +3

    Ila kweli Zuchu Anza mbio. Mond kasha ku choka ndomana mamaye kaanza aya matukio😅

  • @ISSACKRICHARD
    @ISSACKRICHARD 8 หลายเดือนก่อน +5

    Nyie waandishi ndo mlianzisha iyo kiki diamond akapita nayo sipoongelewa kimziki mtakuja kwa zuuu😂😂😂😂

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 8 หลายเดือนก่อน +7

    Mama yupo sawa mondi na zuchu wana chezeana yupo sawa mama

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 8 หลายเดือนก่อน +7

    Mama mondi hujachelewa upo kotekote 👍👍

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 8 หลายเดือนก่อน +6

    Haki nampenda huyu mama bure mama tajiri kweli lakini ajioneshi kabisa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ZainabuIddy-r1o
    @ZainabuIddy-r1o 8 หลายเดือนก่อน +6

    Kula Chuma HICHO Zuchu anachezewa😂

  • @aisharamdan8358
    @aisharamdan8358 8 หลายเดือนก่อน +5

    Mama mzazi keshasema wanachezeana lakini juma shoga alituaminisha uma kuwa zuchu keshatolewa barua

    • @PhyinaElias-mu4wf
      @PhyinaElias-mu4wf 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂Ety juma shoga

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 8 หลายเดือนก่อน

      We unamuamini juma ni shoga😂😂😂

    • @MathayoMulumbi
      @MathayoMulumbi 8 หลายเดือนก่อน

      Juma shoga duuuu

  • @FatmaFtoom-b4f
    @FatmaFtoom-b4f 8 หลายเดือนก่อน +5

    😂mama umesem kweli wanachezean

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 8 หลายเดือนก่อน +8

    Mbona kuchezeana😂😂😂😂😂

  • @SimbaTiger-qp4ss
    @SimbaTiger-qp4ss 8 หลายเดือนก่อน +6

    nimependa sana hakili nyingi za uyu mama dangote cukua maua yako❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ginelisangakrambi9546
    @ginelisangakrambi9546 8 หลายเดือนก่อน +4

    Ila huyu mama ni mrembo ase angalia shingo 😊

  • @abelluselo9685
    @abelluselo9685 8 หลายเดือนก่อน +11

    WE ZOMBII AUJIIIIIIIII SIMBA LA MASIMBA DANGOTE🔥🔥🔥🔥

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mama Nassib nakupenda bure yaan,unasema ukweli sana.Mwanamke sahihi alikuwa Zari na Tanasha.❤❤❤❤👍👍

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 8 หลายเดือนก่อน +4

    Hiyo inaitwa kuchezeana😂😂
    Mama katisha

    • @rerisamba
      @rerisamba 8 หลายเดือนก่อน

      Eeh hua iko hivyo mpaka wazazi wa mume wapeleke barua

  • @GYMTHERAPYSILIMUKA
    @GYMTHERAPYSILIMUKA 8 หลายเดือนก่อน +24

    The Queen is always the Queen. Mama dangote🥰🥰🥰🥰, wamama wenzako tunakupenda

  • @MJ-rr6dy
    @MJ-rr6dy 8 หลายเดือนก่อน +14

    mama la mama ❤❤

  • @saidasaid5855
    @saidasaid5855 8 หลายเดือนก่อน +5

    Esma kucheka kuongea mama ake mtupu😊

  • @KijaJohn
    @KijaJohn 8 หลายเดือนก่อน +6

    Nampenda mama dangote ni mzungu sana jamani mungu akutunze

  • @CROWNMEDIAKE
    @CROWNMEDIAKE 8 หลายเดือนก่อน +6

    Kwa hio wanatumianaaa

  • @loulumony8519
    @loulumony8519 8 หลายเดือนก่อน +11

    Mama dangote❤❤❤

  • @evaristshirima4509
    @evaristshirima4509 8 หลายเดือนก่อน +11

    Mama umeongea kama mama

  • @floridakagemulo3183
    @floridakagemulo3183 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wanachezeana ZUCHU imetoka hiyo. Huo ndo UKWELI

  • @zmclassictv
    @zmclassictv 8 หลายเดือนก่อน +3

    th-cam.com/video/ouYAcZJtItk/w-d-xo.htmlsi=EvlwLYsID8uJOIv6
    Diamond afurahia hili

  • @blessmimi
    @blessmimi 8 หลายเดือนก่อน +39

    Mama Kadijah rejected Simba multiple times …now they are trying to block Zuchu potential new man

    • @Elsah-ee4ec
      @Elsah-ee4ec 8 หลายเดือนก่อน +6

      I remember you said Zuku’s potential man is Diamond … How is mama Dangote blocking her potential new man again?🙄😂😂😂.. tulivuta viti na tukaketi pale tulipo ambiwa😂😂.

    • @tanzcanmediatv4473
      @tanzcanmediatv4473 8 หลายเดือนก่อน +4

      Your liar before you said diamond is zuchu. Potebtial husband mxiuuuu

    • @agbordorothy4901
      @agbordorothy4901 8 หลายเดือนก่อน +4

      These two mothers are right.None of their children have come to introduce their partners.They are worried to see their children just playing with their life.These two mothers are respectful women but their children are bring them shame.Diamond and Zuchu should take a decision

    • @blessmimi
      @blessmimi 8 หลายเดือนก่อน

      @@Elsah-ee4ecI’m talking about the recent event when Simba took to his insta stories to mark his claim

    • @blessmimi
      @blessmimi 8 หลายเดือนก่อน

      @@tanzcanmediatv4473girl where have you been when Simba recently cockblocked the potential guy in Zuchu dm ?

  • @ChiguzoDama
    @ChiguzoDama 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe mama rekebisha mwanao diamond hao wasichana wa wenyewe anachezea akitupa Mungu anamuona sio vyema😭😭

    • @Gee07879
      @Gee07879 8 หลายเดือนก่อน

      Kumchunga mtoto ni kaz ndugu yang sio rahc kama unavodhàn😢

  • @raymondmtecko9197
    @raymondmtecko9197 8 หลายเดือนก่อน +3

    Nime penda alivyo jibu kuhusu roma

  • @rashidisaidi8535
    @rashidisaidi8535 8 หลายเดือนก่อน +3

    Njaa mbaya hii yote njaa ndo inawaponza wasichana

  • @JosephineLameck
    @JosephineLameck 8 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu ni mzazi mara ingine hapendi tabia za diamond kua na wanawake tofauti anatamani mtoto wake aoe kaongea vzr kama mzazi c kwamba anamkataa zuchu hpn ila anataka wapelekane kwa wazazi

  • @aishahasan7722
    @aishahasan7722 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe juma lokole katulisha matango por avosema barua imepekwa😂😂,
    Hya zuchu kitu kizito hikoooo from mama mkwe wa mchongo😂😂😂ma dangote kamjibu khadija kopa😅😅

  • @mannasalum708
    @mannasalum708 8 หลายเดือนก่อน +1

    Na ww unakubali mwanao kuwa ktk hali km j
    Hiyokwa nn usimshauri aoe km mama mzazi

  • @ahmedalsaadi7108
    @ahmedalsaadi7108 8 หลายเดือนก่อน +3

    Kiukweli hata mi ndege sipendi basi tu

  • @jumamtwana815
    @jumamtwana815 8 หลายเดือนก่อน +4

    Bimkubwa kamkata Zuchu😅😅

  • @omarswaleh6082
    @omarswaleh6082 8 หลายเดือนก่อน

    Mama vipi wewe wataka mtoto wako akulete mwanamke nyumbani kwako akwambie huyu ndie mwanamke wangu ninae tembea nae mambo gani hayo alafu nyinyi ni wa islam kweli jua dini yako kuna waze kama wewe wanajifunza na wana soma dini nyinyi huko muna shida sana kujitambua kuwa nyinyi ni waislam

  • @eng.reru.4631
    @eng.reru.4631 8 หลายเดือนก่อน

    hakuna cha shamaba apa lenyewe ni dogo nenda kibosho moshi ukajionee ukulima

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mama dangote tulia mama achana na shamte alikuw anatia doa Mzee adbul wako

  • @adilaadila1128
    @adilaadila1128 8 หลายเดือนก่อน +5

    Nampenda mama Dangote mama Uncle Shamte yuko wapi

    • @mariamabdul6644
      @mariamabdul6644 8 หลายเดือนก่อน +5

      Anauza mashamba😂😂😂😂

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 8 หลายเดือนก่อน

    Ungekuwa unajuwa hayo tangu mwanzo usingekuwa na wajukuu wa haramu na kumzuia mwanao kuzini zini watoto wa watu

  • @dinaalfani
    @dinaalfani 8 หลายเดือนก่อน

    Mm.huyu mam nampendag sn cjui wanaomchukua shd inakuw wp

  • @typohneprofiel515
    @typohneprofiel515 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hii imetoka kwa Dee

  • @powerrecordszanzibar3384
    @powerrecordszanzibar3384 8 หลายเดือนก่อน

    KWAIYO DAIMOND NI MTOTO WA HARAMU? BABA YAKE HAKUMUOA KAJA KUOLEWA NA ANKO SHAMTE

  • @officialisaiah3979
    @officialisaiah3979 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kwamba ukanyagi tope mzee mbona unaji show sho balenciaga

  • @MitambaAdele
    @MitambaAdele 8 หลายเดือนก่อน

    nimependa majibu ya maman nikweli siokilakitu sio kuuza

  • @NeemaJackson-f1b
    @NeemaJackson-f1b 8 หลายเดือนก่อน +3

    Nan kaona ngida ya mama dangote alivyosema msimpangie amue zuchu 😄amuoe nan😆

  • @MalhasanSaid
    @MalhasanSaid 8 หลายเดือนก่อน +1

    Aisee ningekuwa karibu ningekupa zawadi mama.umeongea. Vzuri sana dahhh

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mama anaongea vzuri kiswahiri kizuri Sana lafudhi ya puani anajuwa kupangiria maneno👍 sio Kama mama wema asojuwa kupangiria maneno🤣 harafu mama nasibu uwaga Hana maringo Yuko vzuri🙏🙏

  • @happynkya9770
    @happynkya9770 8 หลายเดือนก่อน +8

    mama yupo peace sana huyu afu hana maringo❤❤

  • @SbahHiai
    @SbahHiai 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @USER10-y4h
    @USER10-y4h 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mama kaongea vizuli sana hakili kichwani

  • @enjobw5682
    @enjobw5682 8 หลายเดือนก่อน +11

    Pole sana mama simba ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ maman pole

  • @Estella122-m1v
    @Estella122-m1v 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mama umeongea vizuli ila umekosea kusema eti mama dangonte ya I daimondi hawezi kuwa dango tell tajili mkubwa Africa hauwezi tokea

  • @Good-u1u
    @Good-u1u 7 หลายเดือนก่อน

    Mama dangote, mama wabusara mmn anapendwa na watu wote

  • @mrsab303
    @mrsab303 8 หลายเดือนก่อน +7

    MashaAllah ❤❤❤

  • @zenadaudzena2849
    @zenadaudzena2849 8 หลายเดือนก่อน +2

    Zuchu na mondi sio wapenzi ni Kiki tu

  • @liliansalum9285
    @liliansalum9285 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo kweny uncle shamte anainba shombeshombeee 😂😂😂😂eti na upara wake🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @blessmimi
    @blessmimi 8 หลายเดือนก่อน

    This mother is a Witch . My advice to Zuchu is to make sure you don’t eat nor drink anything she gives you . This mother lack wisdom as a mother and always depend on her son money unlike Zuchu mother Queen Khadijah Kopa who is a music star herself and has her own money and don’t live off her daughter money but God forbid if anything happens to Simba medically that’s when she will humble herself. What a shame !!!

  • @Sunflower001-xt3ou
    @Sunflower001-xt3ou 8 หลายเดือนก่อน

    Mama hajuwi kuongea huyu, mamakopa aliongea kama mzazi ,huyu anaongea na jazba kama dunia ameiteka yeye, kweli maskini akipata matako hulia mbwata, na esma wako pia huko anachezewa basi ujue.

  • @SafariSadoki
    @SafariSadoki 8 หลายเดือนก่อน

    Ni mubembe huyo mwanamke mama wa diamond

  • @gracewairimu800
    @gracewairimu800 8 หลายเดือนก่อน +2

    Waendelee kunchezeana kabisaa mama 😂

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mdada hapo anafanya nini mbona unaongea mwenyewe

  • @AbduAbdu-s7i
    @AbduAbdu-s7i 8 หลายเดือนก่อน +6

    We fala ungemuuliza ile Instagram story ya jamaa alio mtongozea zuchu😂😂😂😂

  • @codenamerobiner3816
    @codenamerobiner3816 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa zuchu atuliye

  • @MtemiKanyau
    @MtemiKanyau 7 หลายเดือนก่อน

    Mama dangote majibu mazuri sana

  • @lifestylereviews2486
    @lifestylereviews2486 8 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂huyu ndio mama wetu kweli...zari part 2

  • @BlmnotinAfri.-_-
    @BlmnotinAfri.-_- 8 หลายเดือนก่อน +3

    ANAUZA MASHAMBA 😂😂😂😂😅😊

  • @yusternyirenda7231
    @yusternyirenda7231 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kiki za mwaka 2024 zimeanza tobaaaa! huyu mama ni kiboko anaweza kubadili nyekundu kuwa njano 😂😂😂

  • @nailamohammed
    @nailamohammed 8 หลายเดือนก่อน +3

    Watu wanachezeana

  • @mkibandulo1231
    @mkibandulo1231 8 หลายเดือนก่อน +1

    Zuchu kula chuma icho😅

  • @fayverenah
    @fayverenah 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe mwanahabari natasha ndo nani😂😂😂usimuharibie mkenya wetu jina ni TANASHA😅😅😅please