Ukisikia analipwa kiasi hicho unaona ni PESA nyingi sana kwa vile unalinganisha na maisha ya kwetu huku. Kule States mzigo mkubwa maisha nayo yapo JUU pia !
$45 kwa saa ni kubwa sana hata kwa US, maisha yapo but ukiangalia mfano kazi za cashier unapata $25-30 kwa lisaa na mtu unaishi fleshi tuu yani... $45 ni kubwa sana asee...
Nyumba Marekani kupanga million 2 na kitu kwa mwezi so poa duuh!..! Bado hujala hujalipa bill za umeme, maji n.k kweli maisha yapo juu. Usipokuwa mbahili hutoboi.
Mimi namjua tuko naye hapa Durham, North Carolina. Hata nyumbani kwangu amefika. Pia na make wake. Kijana mzuri sana. Kwenda vitani sio mchezo. Tumuombee arudi salama🙏🙏💪🏾❤️🇹🇿🇺🇲
Hapa bongo mpaka uingie jeshini uwe umeuza shamba, LA uwe kabila flani waloojaa huko ama baba mjomba Dada wawe wapo uko wakupikie uje upakue tu, hakika wabongo kwa mungu tutafika tumechoka sana
Mashallah,Mimi Yani ndoto zangu NI kuishi MAREKANI Nina fani yangu ya ushonaji nikienda huko kushonea Shona nitatoboa one dey yes 💪,Acha Kwanza nipambane na waarabu safari moja huanzisha nyingne na Kwa sasa nipo km shagala Ila nashona Shona nguo za majirani hapa mtaani kwetu ALLAH 'HU AKBAR.
@@jaymandy8136 🤣🤣🤣 wachagga wanajijua before wazaliwe akili sana hao jamaa nilienda somali mogadisho nikakutana na jamaa anauza butcher ya nyama ya ngamia venye alisikia tukiongea kiswahili na yeye akatuongesha waaa me ni mtzn kwetu ni rombo 🤣🤣tukamuuliza vp huogopi vita? Akatujibu umasikini ni mmbaya kuliko vita 🤣🤣 yule bwashe akalitulea sana mpaka tunaondoka somali
Duuuh...!Bongo Mgambo hadi tutangaziwe kwenda mafunzo hiyo jeshi hadi ajira zitangzwe mchujwee Wenzetu wako mbali saana unaangalia panapo kufit ukifanikiwa Poaaa...
Ivi bongo ushamba utaisha lini?, Kwahy mzungu akitoka ulaya akaja bongo kufanya kazi akiimba nyimbo za kwao akapost waandishi wa Habar WA ulaya watamshobokea namaintervews 😂😂😂 kweli hii ichi imelogwa kwani MTU kuimba nyimbo za kwao niajabu?
Uko sahihi kaka mimi nimekuelewa,inahitaji tafakari za mbali sana mtu kukuelewa. Wabongo tumejidharau sana yaani sijui kwa nini yaani mtu aliyeenda kusota ughaibuni anaonekana amefanya maajabu makubwa
Mpaka hapo Mshamba ni ww! Huyo mwamba kutangazwa kumetokana na sababu flani aloifanya ikatrend Online akiwa na Sare za jeshi la USA ikiwa na maana yakwamba asingelikiuwa ametrend kwa style ile huenda hata jina lake tusingelijua. Acha kudharau kazi za watu aisee, huo ushamba umekusomeka kwako ww kwa kujiweka kwenye uzungu wakat ni mwafrica mwenzetu tu
Narudi tena ww ni mjinga, mjinga sio tusi bali ni kukosa kujua mambo, ww ni mjinga narudia. Haya chukua shule hii... Vyombo vya ulinzi na usalama ambavyo ni known USA ni vifuatavyo. USA AMRY USA MARINE (divers,infantry,Snipers wote wapo humu) USA NAVY USA AIR FORCE USA COST GUARD USA NATIONAL GUARD USA SECRETE SERVISE. FBI CIA POLICE DEPARTMENT.
Tena acha uongo, huwezi kuajiliwa jeshini na hukuzaliwa USA hata Europe, nawala huja kaa USA tangu mdogo. Tunajua kikosi chenu mlienda USA.,ili mmsaliti JPM.
Pumbavu SUKUMA GANG unaandika usichokijua, inaonekana tokea uzaliwe haujawahi kusafiri. Mtu ashajifia mwenyewe, nenda ukazikwe naye. Hatred, jealousy and foolishness ni kuelekea kuwa mchawi.
Bro.... Kiukweli jaribu kutafuta ufahamu kabla ya kutanguliza hisia. Mimi mwenyewe ni shabiki wa Magufuli lakini hapa umekosea. Nahisi hufahamu unachoandika. Jeshi la Marekani linaajiri watu wengi hata walioingia Marekani kwa viza za uanafunzi. Nafahamu hivyo tangu mwaka 2009 nikiwa Marekani.
Mshikaji tumepiga nae Azania Secondary School, Big up kijana endelea kupeperusha bendera
Anapeperusha bendera ya marekani
@@beatbyrich2891 True.. ila wandewa tunajua ukweli.
Mlimaliza lini? Mi nilimaliza pale 1999
Na wabongo kwa kuwadanganya wenzao wasiyoijuwa Marekani, hawafikilii kuwa na sisi tupo huku na tunajuwa kila Siri za chini ya carpet 😂😂😂😭😭
unajuwa nini funguka ni bora gud life
Ndiyo maana naipenda sana Marekani hawana ubaguzi kwa mambo ya kazi ao hawaombi rushwa.
Njoo bongo sasa uone..utasikia sio mzawa..
Usilolijua ni km usiku wa giza
Tatizo ubaguzi wa rangi upo kwa kiasi kidg
Wengi hapa Tanzania wanaipenda America ila kwa unafiki wanajifanya kukandia sababu za udini na chuki binafsi
Usilolijua
Hongera sana kaka Mungu ni mwema
Ukisikia analipwa kiasi hicho unaona ni PESA nyingi sana kwa vile unalinganisha na maisha ya kwetu huku. Kule States mzigo mkubwa maisha nayo yapo JUU pia !
$45 kwa saa ni kubwa sana hata kwa US, maisha yapo but ukiangalia mfano kazi za cashier unapata $25-30 kwa lisaa na mtu unaishi fleshi tuu yani... $45 ni kubwa sana asee...
@@Vampx kweli $45 ni pesa mingi sana na North Carolina maisha sio expensive kama mitaa tunaoishi huku Seattle WA.
Sahihi huyo anabaki na laki 5 huyo
Nyumba Marekani kupanga million 2 na kitu kwa mwezi so poa duuh!..! Bado hujala hujalipa bill za umeme, maji n.k kweli maisha yapo juu. Usipokuwa mbahili hutoboi.
Mungu akubariki Mchaga mwezangu
Asante SAAAANA MILIAD AYO. UNALETA VIDEOS ZINAZOFUNDISHIA RIKA ZOTE. VIJANA WA KITANZANIA WASIBWETEKE KTK AKILI NANFURSA ZILIZOKO NCHINI, WAWEZA ANZIA MAISHA POPOTE. KILEVI CHOCHOTE KIWE HARAMU NA MAOVU YA KIJINGA . WATAKUWA WAPUMBAVU BILA KUJUA. AKILI WAMEZALIWA NAO KIMBINGU.
Tunaisubiria kwa hamu Ayo tv chaguo langu🔥🔥🔥
Africa jeshi ni big deal ngumu kupata nafasi, nje ni kitu cha kujitolea sana haraka mno unapata nafas wanapenda uifanyie kazi nchi.
Kuna day jamaa alsema me namjua uyo anaitwa david mlay kuna watu walibisha Sana 😄😄
Mimi namjua tuko naye hapa Durham, North Carolina. Hata nyumbani kwangu amefika. Pia na make wake. Kijana mzuri sana. Kwenda vitani sio mchezo. Tumuombee arudi salama🙏🙏💪🏾❤️🇹🇿🇺🇲
@@agnettakamugisha4984 Kwani amepelekwa vitani sasa hivi?vita ya wapi?
Carolina-carolaina
God broo
Ayo umetisha
Big up mwanamsimbazi
Milady tunaomba muendelezo wa hii story plz
Hapa bongo mpaka uingie jeshini uwe umeuza shamba, LA uwe kabila flani waloojaa huko ama baba mjomba Dada wawe wapo uko wakupikie uje upakue tu, hakika wabongo kwa mungu tutafika tumechoka sana
Inasikitisha sana, tunatamani maendeleo lakini kwa staili hii kufika tunakotaka kwenda itatuchukua miaka na miaka
Sana kuna muda unatamani jeshi ila unaona bora uende Kenya ukawe soldier.
Mashallah,Mimi Yani ndoto zangu NI kuishi MAREKANI Nina fani yangu ya ushonaji nikienda huko kushonea Shona nitatoboa one dey yes 💪,Acha Kwanza nipambane na waarabu safari moja huanzisha nyingne na Kwa sasa nipo km shagala Ila nashona Shona nguo za majirani hapa mtaani kwetu ALLAH 'HU AKBAR.
Jipe moyo
InshaAllah
Makafili wale bora uende saudia
Utafika tu my sista
@@robbywingle3323 Amin dear
Mbele ni mbele tu unaambiwa sio Bongo huku😎😎
Safi sana kaka
Ukelen
Jamaa hakujua Kama nkamanda
Zao la udaktati kutoka Kam college,, brother Mli
Kwaiyo kakataa kuwa live kwann Sasa?
Aza boy
Once a marine forever a marine..... VISA ya shule ni gani na ashakuwa citizen wa marekani... pambana though!! chunga tu wanawake..
hahaha jackson kwanini umesema chunga wanawake kaka
Hongera sn kw kupambana.
Kwanini hamsemi kuwa anaimba wimbo wa kiumeni wenyehisia chanya, au mmelipwa na watu flani msipromote kazi za wasanii wa ukweli
HKikaa
Xio mbaya...Kama,,,Ulixomea,,,Udocter...afu.. baadae,,,,docter...wa..magari...bravo..xana
Karibu tukusaidie kuandika CV
Hizo and siyo poa
Tanzania bila hongo huingii hata JKT
Millad 👍
Daaah! Big up sana boss
Big up sana munama
Umeacha utwenyaji?
Eti David Minja halafu mnaandika David Mlay
Tuwekeyeee
inasikitisha mtoto wako kula kwajirani.
Jirani kunahaki
Wala Hana majigambo
Jaaamaa kiswahili Mbongo Kabisa kuna wabongo wakienda Mwaka tu Kiswahili kinabadilikaaaa
Jamani Kiswahili huwa akibadiliki ni Watu ndio wanaobadilika
@@jennytugara9470 Wewe wasem..
@@aronatv47 🙏🏾🙏🏾
Kawaida tuuuu
marekani sijui kukoje yaani jamaa kawa black amerikani kabisa.
Wachagga kila mahali wamepenya kila mahali mpaka kuzimu wapo hawa jamaa ni hatari 🤣🤣
Hata sisi wanyasa sio wachaga tu 😂
😂😆😆😆😆😆😆😆
@@jaymandy8136 🤣🤣🤣 wachagga wanajijua before wazaliwe akili sana hao jamaa nilienda somali mogadisho nikakutana na jamaa anauza butcher ya nyama ya ngamia venye alisikia tukiongea kiswahili na yeye akatuongesha waaa me ni mtzn kwetu ni rombo 🤣🤣tukamuuliza vp huogopi vita? Akatujibu umasikini ni mmbaya kuliko vita 🤣🤣 yule bwashe akalitulea sana mpaka tunaondoka somali
Duuuh...!Bongo Mgambo hadi tutangaziwe kwenda mafunzo hiyo jeshi hadi ajira zitangzwe mchujwee Wenzetu wako mbali saana unaangalia panapo kufit ukifanikiwa Poaaa...
Tena kiswahili kizur sana wasanii sasa wa bongo
You know what ammmm...and then...mhn....Yan ni shida
Miladiayo nasi atupigie pasi bongo ngumu
Mnaaongea swala la ubaguzi hamuelewi Sera ya mmarakani
Minja au mlay
Mlay
Waandish wetu wana majina makubwa lkn tasaluma ni sifuri
Kwann audio na na sio video?
Labda kwa usalama, huyu ni mjeshi wa taifa kubwa sana duniani! Wanatafutwa na maadui kwa udi na uvumba!
HUDUMA ZINAENDELEA KARIBUNI SANA 🤗
⛰️🌳🌲🍀🌿📞✅⤵️
Gan
Mtangazajii anasema mwezii ya 7
Marine? Come on specialist 🤣🤣
Ndo maana wamerikani wameendelea. Hawana ubaguzi wa uwezo wa mtu kitaruma. Huku utasikia huyu ni mgeni. Vikwazo kíbao. Unajuta!
😂😂😂
Hapa Bongo ukitaka kupata kazi ya jeshi labda uwe na refa
Muulize alishawahi kurudi likizo nyumbani?
Miaka 30 USA unajiunga na jeshi, Sasa Nenda bongo Nchi Yenye Rushwa
Miaka 23 mwisho
Hata Tanzania unajiunga Jeshi inategemea una taaluma ipi ndugu usikate tamaa kwa hilo.
@@abisaimuhanji3687 Uko ndo home mzee najuwa tabia za uko zote japo sipo uko asaiv, Tanzania hapana mzee
@@joharishabani2893 mwisho ni miaka 35 kwa Navy, marine ni 30
😂😂
Daa jamaa mzalendo wa kweli
Wenzetu wako mbali sana sana dah!!
Waafrika wanaoichuikia marekani wana akilli za utumwa
Kabisa
Mwaka aliojiunga yeye.. Ndio mwaka walionikataa mimi jeshini Tanzania kisa tu wanasema miaka yangu ilizidi 4 weeks.. Wkt nilikua na 20 Only dah
@@erickmbagule yani ni jkt tu ndugu yangu!!! Nilikua ktk usaili wa mkoa yan wamenifanyia mambo kama ayo!
Kila nchi ina utaratibu wake
Mhhh
Brother ninapenda jeshi sana niunganishee please marekani basi
Ahahaha ... Kijana fanya kazi zilizopo ndan ya mazingira uliopo ..uanajeshi haupatikan TH-cam.
@@Pastorbarakamwanjala 👏👏👏👏 umeeleweka kiongozi wangu TH-cam sio Dunia inayo hitaji jeshi
marekani tu?? twende congo ni rahisi zaidi..
Watu wanaunganishwa kifala hivo TH-cam kwan hana ndugu yeye😂😂
Na weza kupata nafasi
Najiunga jeshini chapu
🤝🏽🙏🏼
NIPIGIE NIKUSADIE NIPIGIE KAWAIDA
Kuua kashauwa watu wangapi ??
😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Haaaaahaaaaaa.. !
Sasa hii habari inatija gani nasisi watanzania
hata mimi nimeshangaa kuweka maisha personal ya mtu ina umuhimu gani kwa jamii
Dav unapika story
Ivi bongo ushamba utaisha lini?, Kwahy mzungu akitoka ulaya akaja bongo kufanya kazi akiimba nyimbo za kwao akapost waandishi wa Habar WA ulaya watamshobokea namaintervews 😂😂😂 kweli hii ichi imelogwa kwani MTU kuimba nyimbo za kwao niajabu?
Hapo huoni mshamba ni wewe sasa?
@@allijuma1074 mshamba nini wewe unaesaport utumbo, bongo zozo anakujaga Tz ushaona akirudi kwao England wandish wanamfuta na makamera ushamba nchi hii sijui utaisha lini
Uko sahihi kaka mimi nimekuelewa,inahitaji tafakari za mbali sana mtu kukuelewa.
Wabongo tumejidharau sana yaani sijui kwa nini yaani mtu aliyeenda kusota ughaibuni anaonekana amefanya maajabu makubwa
@@saloomidd1084 maqin✌️
JINSI YA KUPATA GB 7 BURE 👇
.
th-cam.com/video/PWwuRnga0w4/w-d-xo.html
Watanzania ni watu washamba sana
Ehee ushamba wetu nini hasa ndugu yetu? Maisha ni kupambana
@@jennytugara9470
Wanashobokea sana watu wa nje, wakat kule wao its like nothing
@@lifeonearth94 nashanga hata mimi kuna mpk Professors wamefundisha miaka hawajawahi kuhojiwa sasa mwanajeshi kuwa Marekani ni News Wow!!!!
Sawa mzungu
Mpaka hapo Mshamba ni ww!
Huyo mwamba kutangazwa kumetokana na sababu flani aloifanya ikatrend Online akiwa na Sare za jeshi la USA ikiwa na maana yakwamba asingelikiuwa ametrend kwa style ile huenda hata jina lake tusingelijua.
Acha kudharau kazi za watu aisee, huo ushamba umekusomeka kwako ww kwa kujiweka kwenye uzungu wakat ni mwafrica mwenzetu tu
Ongera jombiii
Huyu jamaa atakuwa shabiki wa simba aiseee
Infantry ni wanajeshi wanapigana on land (ardhini). Air force (Navy) na Marine sio Infantry.
Mjuaji umetokea au na ww n mwanajeshi huko
Wewe ni mjinga. Na hujui lolote kuhusu USA MARINE.
Narudi tena ww ni mjinga, mjinga sio tusi bali ni kukosa kujua mambo, ww ni mjinga narudia.
Haya chukua shule hii...
Vyombo vya ulinzi na usalama ambavyo ni known USA ni vifuatavyo.
USA AMRY
USA MARINE (divers,infantry,Snipers wote wapo humu)
USA NAVY
USA AIR FORCE
USA COST GUARD
USA NATIONAL GUARD
USA SECRETE SERVISE.
FBI
CIA
POLICE DEPARTMENT.
Alafu kuna USA RESERVE nilisahau hapo kidogo.
Emu katafute hela achana na jeshi
Mbona tulisikia alifariki huyo
th-cam.com/video/0fGFnFbpXZg/w-d-xo.html
Buraza
Mkipewa kazi tuu nyie ndo wasaliti, yaani hata JPM ukamsliti pia, #NONSENSE
Ungempa kazi wewe😆😆😆 nonsense
Huyu ndiye mtu wa kwanza kugundua umeme 👇👇 th-cam.com/video/BEbvQfSzu5A/w-d-xo.html
Son u not tell true
Mswahili akipata matako yalia mbwata
Mmh Sasa hapo amefanya Nini? We fala na roho ya wivu ya kimaskini
Acha wivu
Tena acha uongo, huwezi kuajiliwa jeshini na hukuzaliwa USA hata Europe, nawala huja kaa USA tangu mdogo. Tunajua kikosi chenu mlienda USA.,ili mmsaliti JPM.
Acha kupotosha
acha uongo Mzee au nikuunganishe na mwingine ambae pia ni mzaliw wa Bongo
Pumbavu SUKUMA GANG unaandika usichokijua, inaonekana tokea uzaliwe haujawahi kusafiri. Mtu ashajifia mwenyewe, nenda ukazikwe naye.
Hatred, jealousy and foolishness ni kuelekea kuwa mchawi.
Bro.... Kiukweli jaribu kutafuta ufahamu kabla ya kutanguliza hisia. Mimi mwenyewe ni shabiki wa Magufuli lakini hapa umekosea. Nahisi hufahamu unachoandika. Jeshi la Marekani linaajiri watu wengi hata walioingia Marekani kwa viza za uanafunzi. Nafahamu hivyo tangu mwaka 2009 nikiwa Marekani.
Kalale pamoja naye kaburini huko!