Mashallah umetufanya tuwe macho, nani lazima tuwe macho, wenzangu tunayoyaskia haya lazima tuwe pamoja, kwa nguvu, na hali, na mali tushikamane na tuamke kwenye usingizi wa dhulma hizi
@AbdulkarimKigarawa, kwa hakika, upo uhusiano mkubwa sana baina ya mambo ya huku kwetu na huko kwenu... na, wakati ukifika, tutayaeleza. Shukran kwa maoni yako.
The Sultanate was overthrown during a bloody revolution. The sultan lost his COLONIAL POSSESIONS. underline that: "colonial" He lost other islands and possesions. The agreement was overtaken by events.
@@AhmednassirAhmednassir Under international law the determining principle was/is : The mainland can claim an island (within 200 nautical miles), but it is preposterous for an island to claim the continental mainland"
Overthrown by the three East African Presidents (Kenyatta, Nyerere and Obote) working under the auspices of the British and American governments together with people like Kambona and Jaramogi! Anyway, we are very aware of what time it is... mark my words!
Asalaam alaikum warahmatullahi wabarakatu? Shukran. Sheikh Stambuli Abdillahi Nassir. Mimi ni mtoto wa Shariff China. Naomba number zako za WhatsApp tuzugumze zaidi. Inshaallah.
Hata ikiwa mlikuja kabla ya makabila ya wabantu ,mwambao wa pwani,ninyi wote ni wageni!Bara hili ni la waafrika .Africa for Africans!!! Ni waafrica wangapi ambao wanashiriki siasa kule waarabuni?
ALLAH AKUWEKE MZEE WANGU MAKALA NZURI SANA
Truth will set you free.
Mashallah umetufanya tuwe macho, nani lazima tuwe macho, wenzangu tunayoyaskia haya lazima tuwe pamoja, kwa nguvu, na hali, na mali tushikamane na tuamke kwenye usingizi wa dhulma hizi
Mashallah Allah akuhifadhi
Allaahumma aamiin (sote).
Asante sana kwa mafunzo haya......umenifungua macho zaidi kuhusu nchi yetu.
Napend sana makala zako mm ni mtanzania niko 🇹🇿 inafanana na huku tanzania
@AbdulkarimKigarawa, kwa hakika, upo uhusiano mkubwa sana baina ya mambo ya huku kwetu na huko kwenu... na, wakati ukifika, tutayaeleza. Shukran kwa maoni yako.
SAID AJAY. Kwa kweli MAKALA yako yana faida kubwa sana kwa WAPWANI kuelewa haki zao za kihistoria za haki zao ALLAH akuhifadhi tupate mengi
What is so special with coastal strip?
Ukweli mtupu ambao hakuna mahali popote pengine pakuusiki.
The Sultanate was overthrown during a bloody revolution. The sultan lost his COLONIAL POSSESIONS. underline that: "colonial"
He lost other islands and possesions. The agreement was overtaken by events.
Why bothered with Coastal issues.
@@AhmednassirAhmednassir Under international law the determining principle was/is : The mainland can claim an island (within 200 nautical miles), but it is preposterous for an island to claim the continental mainland"
Overthrown by the three East African Presidents (Kenyatta, Nyerere and Obote) working under the auspices of the British and American governments together with people like Kambona and Jaramogi! Anyway, we are very aware of what time it is... mark my words!
@@KK-ygh, that's your opinion and we respect. However, keep in mind that we are no longer the fools most people are used to manipulating.
Asalaam alaikum warahmatullahi wabarakatu? Shukran. Sheikh Stambuli Abdillahi Nassir. Mimi ni mtoto wa Shariff China. Naomba number zako za WhatsApp tuzugumze zaidi. Inshaallah.
Ilm kubwa
Hata ikiwa mlikuja kabla ya makabila ya wabantu ,mwambao wa pwani,ninyi wote ni wageni!Bara hili ni la waafrika .Africa for Africans!!! Ni waafrica wangapi ambao wanashiriki siasa kule waarabuni?
Ww babu unaanza chokochoko hizo kisha mkipiigwa mtadai oh tunaonewa ! Tazama maendeleo na maisha yako achana na fitna hizo na chokochoko
Hii histoya tu,bona wewe wababaika na kweli?
@@ibrahimhassan689 historia mwaijua leo hii??? Hizo ni fitna na choko choko zinaanza tu na ni desturi ya waislam kuharibu amani inaposhamiri
@maase2023, wewe tulia tu. Vumilia kidogo tu, utaelewa.
@@stambuliwash.abdillahinass8123 asante sana 😁😁😁😁😁😁😁