Viongozi wametusaliti wa pwani na hadi leo bado wanatusaliti kwa maslahi yao na ya vyama wanavyo amini ndio viliwaeeka kwenye hayo mamlaka bila ya kutambuwa sera zao na majukumu yao kwa wapwani... inaskitisha sana......
Bro Star yu have been Educating da Umma 4 about 30yrs Still we are on The Trap!!! Its very Painfull the Out CRY 😭😭😭 Iz in our❤ Your Father Stood Firm Allah Arham Sheikh Abdillahi Nasir ikasemekana kua yeye ameuza mwambao na ukweli Wa mambo watu Watubainishia na kama Hatuna haki tufanwe kama Palestina Exodus 😭😭😭😭 mbona Mau Mau walida haki yao wekenda England!!!! Jee sisi Hatuwezi kwenda Kudai England ikiwa Wanasiasa watupuuza??? TAFAKARINI 🧠🧠
Allah amlimde star. Going to England is basically going to the perpetrator and giving them their own homework to mark. Hii yataka resistance and educational progress kama hivi
Mambo ya dini yanapochanganywa na mambo haya ndipo confusion inatokea. Pwani ya Kenya ilikua ya watu weusi ama waafrika na dini zao za kitamaduni.Haya yanadhihirishwa na mambo kama:wamijikenda walikua na maeneo kwenye fuo za bahari ambayo waliyatumia kama yakidini. Waswahili ama lugha ya kiswahili ni ya kibantu kwa sababu mizizi ya maneno ni sawia na ya kibantu. Wageni tofauti walizuru pwani,wakiwemo waarabu na wale walioeneza dininya kiislamu. Hata ivyo,ni kweli wapwani wamenyanyaswa kwa maswala ya ardhi.
Nakuunga mkono mkubwa wangu stambuli. Ningeomba sana walio andika historia ya kwamba waswahili walitokana kati ya kujamiana kwa mijikenda na waraabu waigeuze .sababu kuu ni waswahili walioko tanzania aliewazaa ni nani .
@MwidiniAli, yapo kwenye huu ukurasa wangu wa TH-cam. Ukitafuta kwa makini utayaona makala yenyewe. Hata hivyo, walioanza ni Wareno (kwa niaba ya Kanisa Katholiki) na wakayaendeleza kwa muda usiopungua miaka mia mbili mfululizo!
@ramdanmbara8500, hata kwenu yapo mambo haya! Kuanzia Tanzania bara hadi kule Unguja yapo, na tunayajuwa! Unakataa kwa kuwa unayaogopa tu. Hata hivyo, tukikupa mda utaelewa tu.
Sasa si useme kwa kiswahili tayari ya nini paka utamke kwa kiarabu? Lugha ya watu ambao ata si watu wa maana walifanya utumwa na kuacha watu wasijue la kufanya
@wilsonkombeyeri4623, walioanza huo utumwa huku kwetu na kwenu ni Wareno (kwa niaba ya Kanisa Katholiki) na wakayaendeleza kwa muda usiopungua miaka mia mbili mfululizo! Fanya utafiti wako, utaelewa ukweli wa mambo. Uliza watu wa Kilwa!!!
Kwani haya niyaelezayo ulikuwa wayajuwa?! Ama kuhusu mjube, wewe waona nani anaweza kuniwakilisha?! Rais namtaka ili nimueleze asiyoyajuwa au ambayo anayajuwa na anapuuza kwa kusudi tu! Hilo la 'Uswahili' utaelewa kuwa upo, na ndiwo 'wenyeji-halisi' wa eneo hili la Mwambao wa Pwani. Na, kuhusu kusema 'uwongo', mimi sikuzowea! Kwa hakika, hayo ni maoni yako, nami nayahishimu. Lakini, naamini nikikupa muda utaelewa tu. Shukran.
Ngombe niwewe uliekua umefungiwa ama amvae yuki huru? Chunga mdomo wako unapo ongea chagua neno zuri wala sio lazima wewe uweko hapa hujaitwa umejileta mwenyewe kuna mtu aliekuita au kujuletea ujumbe. Heshima nikitu ya bure. Ukona hufurahii kujua haya tembe pita kama huoni watu hutapunguza wala kuzidisha kitu hapa. Samaki wewe
Sasa Nyinyi mtakaje watu wa Pwani? Ni kujitenga au mnatakaje? Just be straight forward. Huku Tz wasumbufu hivyohivyo! Sisi wengine turudi Congo na Kameruni tukadai ya kwetu.
Ukituliza akili yako na kusikiza kwa makini ninayoeleza kwenye hizi video zangu, utaelewa. Shida, ama tatizo la kila mmoja mwenye fikra kama zako ni kuwa hamupendi kusikiza, kutafiti kwa kina yanayoelezwa, na hata kusoma ili mufaidike pia hamupendi! Munalopenda sana ni 'ushabiki', 'ushindani' na 'kufidhulikia' mambo ambayo yamewapita kimo!
@@stambuliwash.abdillahinass8123 Tafadhali Mzee wangu shaikh endelea kutufahamisha habari kuhusu haki za pwani yetu.Kutukana mzee kama wewe ni upotofu wa kimaadili.Kama mtu si mpwani na kwao ni bara inamuuma kwa nini? 1.Tuambie wakati mwingine habari za Mekatilili Menza alikuwa ninani ?Kweli mtoto wake aliuliwa vitani vya Mwingera ndivyo alivyo kuwa na ghathabu hivyo? 2.Zile sanamu za watu watatu pale Mwembe Tayari, wale ni akina nani? Chawucha sana Ndeo
Waleikum salam warakhmatullah wabarakatu santa sana kwa kuendelea kutujuza
Mashaallah, toboa
Aslm alykum, ushahidi wa maandishi ni jambo lakuaminika sana. Ahsante sana star
Ni kweli mzee wetu, nami naunga mkono.Namba yako itapatikana wapi.
SHUKRAN YAA SHK STAMBULI KWA JITIHADA ZAKO, KUTUILIMISHA.NDUGU MSWAHILI WA SIU.
Kwa kweli sikua najua haya😮....lakini kufindisha historia muhimu
Viongozi wametusaliti wa pwani na hadi leo bado wanatusaliti kwa maslahi yao na ya vyama wanavyo amini ndio viliwaeeka kwenye hayo mamlaka bila ya kutambuwa sera zao na majukumu yao kwa wapwani... inaskitisha sana......
Mm ni Mzanzibar ila mzee maneno yako upo sahihi nakuunga mkono
Sisi pia tumedhulumiwwa.
Nassor salum bin Abdullah Almatwafi nipo Zanzibar na mimi ni jamii ya wagunya naomba namba zako mzee
Bro Star yu have been Educating da Umma 4 about 30yrs
Still we are on The Trap!!! Its very
Painfull the Out CRY
😭😭😭 Iz in our❤
Your Father Stood Firm Allah Arham Sheikh Abdillahi Nasir ikasemekana kua yeye ameuza mwambao na ukweli
Wa mambo watu
Watubainishia na kama Hatuna haki tufanwe kama Palestina Exodus 😭😭😭😭 mbona
Mau Mau walida haki yao wekenda England!!!! Jee sisi
Hatuwezi kwenda
Kudai England ikiwa
Wanasiasa watupuuza???
TAFAKARINI 🧠🧠
Allah amlimde star. Going to England is basically going to the perpetrator and giving them their own homework to mark. Hii yataka resistance and educational progress kama hivi
Wakikuyu na wabara they don’t care -hata wafikiri waswahili si wakenya asili-ndio maana kuna hizo vetting mtu akitaka kitambulisho
Kiukweli mzee wangu yategeneze ili tupate haki zetu za kimsingi wapwani tumedhalilishwa sana japo umri wangu ni mdogo ila nakufatilia sana
Mambo ya dini yanapochanganywa na mambo haya ndipo confusion inatokea.
Pwani ya Kenya ilikua ya watu weusi ama waafrika na dini zao za kitamaduni.Haya yanadhihirishwa na mambo kama:wamijikenda walikua na maeneo kwenye fuo za bahari ambayo waliyatumia kama yakidini.
Waswahili ama lugha ya kiswahili ni ya kibantu kwa sababu mizizi ya maneno ni sawia na ya kibantu.
Wageni tofauti walizuru pwani,wakiwemo waarabu na wale walioeneza dininya kiislamu.
Hata ivyo,ni kweli wapwani wamenyanyaswa kwa maswala ya ardhi.
Nakuunga mkono mkubwa wangu stambuli. Ningeomba sana walio andika historia ya kwamba waswahili walitokana kati ya kujamiana kwa mijikenda na waraabu waigeuze .sababu kuu ni waswahili walioko tanzania aliewazaa ni nani .
Hayo usemayo sheikh ni kweli ila wapwani hatutaki utawala wa kiisilamu tunataka Utawala huru, iwe mkristo au muislamu
Maneno matamu sana
Haya ninmakala maalum ambayo yana stahiki kusomeshwa katika mashule yetu watu wapate kuyajua!
ANAYE SEMA HAKUNA WAPWANI NI WASWAHILI KWA LUGHA YA KIARABU.
Tupe historia ya utumwa na waliokua mstari wa mbele kuuza waafrika kama bithaa....
@MwidiniAli, yapo kwenye huu ukurasa wangu wa TH-cam. Ukitafuta kwa makini utayaona makala yenyewe. Hata hivyo, walioanza ni Wareno (kwa niaba ya Kanisa Katholiki) na wakayaendeleza kwa muda usiopungua miaka mia mbili mfululizo!
Upuuzi na upumbavu kama huu Tanzania hatuutaki, unachochea mifarakano ya kijamii. Kenya mnatatizo gani?
Basi mtusi kwa anachokifanya hakikuridhishi ila mpe heshma yake kama alivyokuwa mzee mwenye ni baba wa mwenzio, babu kwa wenzio...
@ramdanmbara8500, hata kwenu yapo mambo haya! Kuanzia Tanzania bara hadi kule Unguja yapo, na tunayajuwa! Unakataa kwa kuwa unayaogopa tu. Hata hivyo, tukikupa mda utaelewa tu.
Sisi hatujui Kuna mungu. Hiyo ni ufumi. Wapwani watanyanganywa hiyo arthi na wasomali.😢
Nmekuona sana unashida na wasomali....walichukua mke ama mali yko .😂😂
@DubaloTV
Walichukua Mali ya waswahili kama Rogo.
Sasa si useme kwa kiswahili tayari ya nini paka utamke kwa kiarabu? Lugha ya watu ambao ata si watu wa maana walifanya utumwa na kuacha watu wasijue la kufanya
@wilsonkombeyeri4623, walioanza huo utumwa huku kwetu na kwenu ni Wareno (kwa niaba ya Kanisa Katholiki) na wakayaendeleza kwa muda usiopungua miaka mia mbili mfululizo! Fanya utafiti wako, utaelewa ukweli wa mambo. Uliza watu wa Kilwa!!!
Shekhe huna jipya. Huna mjumbe? Umekosa uwakilishaji? Raisi unamtakia nini? Uswahili haupo. Usitwambie uongo.
Kwani haya niyaelezayo ulikuwa wayajuwa?! Ama kuhusu mjube, wewe waona nani anaweza kuniwakilisha?! Rais namtaka ili nimueleze asiyoyajuwa au ambayo anayajuwa na anapuuza kwa kusudi tu! Hilo la 'Uswahili' utaelewa kuwa upo, na ndiwo 'wenyeji-halisi' wa eneo hili la Mwambao wa Pwani. Na, kuhusu kusema 'uwongo', mimi sikuzowea!
Kwa hakika, hayo ni maoni yako, nami nayahishimu. Lakini, naamini nikikupa muda utaelewa tu. Shukran.
@@stambuliwash.abdillahinass8123sawasawa ulivyo mjibu khui! Aje yeye na jipya sasa tumsikie
Wewe ng,ombe una haki ipi pwani, rudini huko mlikotoka ambako mnajua nyinyi waarabu
Ngombe niwewe uliekua umefungiwa ama amvae yuki huru? Chunga mdomo wako unapo ongea chagua neno zuri wala sio lazima wewe uweko hapa hujaitwa umejileta mwenyewe kuna mtu aliekuita au kujuletea ujumbe. Heshima nikitu ya bure. Ukona hufurahii kujua haya tembe pita kama huoni watu hutapunguza wala kuzidisha kitu hapa. Samaki wewe
@@SayyidAhmadBaalawy, wengine hutosha kuwapuuza ili usiwe utatokwa na maneno kama wao. Ukiwapa muda, wataelewa tu.
Sasa Nyinyi mtakaje watu wa Pwani? Ni kujitenga au mnatakaje? Just be straight forward. Huku Tz wasumbufu hivyohivyo! Sisi wengine turudi Congo na Kameruni tukadai ya kwetu.
Ukituliza akili yako na kusikiza kwa makini ninayoeleza kwenye hizi video zangu, utaelewa. Shida, ama tatizo la kila mmoja mwenye fikra kama zako ni kuwa hamupendi kusikiza, kutafiti kwa kina yanayoelezwa, na hata kusoma ili mufaidike pia hamupendi! Munalopenda sana ni 'ushabiki', 'ushindani' na 'kufidhulikia' mambo ambayo yamewapita kimo!
@@stambuliwash.abdillahinass8123ahsant!😂😂😂
@@stambuliwash.abdillahinass8123 Tafadhali Mzee wangu shaikh endelea kutufahamisha habari kuhusu haki za pwani yetu.Kutukana mzee kama wewe ni upotofu wa kimaadili.Kama mtu si mpwani na kwao ni bara inamuuma kwa nini?
1.Tuambie wakati mwingine habari za Mekatilili Menza alikuwa ninani ?Kweli mtoto wake aliuliwa vitani vya Mwingera ndivyo alivyo kuwa na ghathabu hivyo?
2.Zile sanamu za watu watatu pale Mwembe Tayari, wale ni akina nani?
Chawucha sana Ndeo
Amii hatukuoni facebook wala instagram
@NassorBinSalum, nipo, isipokuwa shughuli za hapa na pale tu.