Ivi basata wako wapi nyimbo kama hizi ndo za kutoa tuzo! kwanza zina bonge la ujumbe unasikiliza every where!! bright kaza buti nyimbo imegusa maisha ya wengi nikiwemo na mm japo siyo mlinzi lkn!!! weka like twende sawa
Yan hii nyimbo kwa siku nahisikiliza hata Mara mia haichosh jamn huuiii braht big up uko vizur sna yan sichoki ingekua inaonyeshwa kua mtu anaisikilisha Mara ngap ni mm
Nimeshare kwa wife Fatma Kalonga, imerudisha mapenzi yetu ya miaka 20 nyuma, pamoja na uzee wetu lkn tumeilewa, inacover all ages! Big up dogo keep it up!
a very good work of art from you jolie n bright.. every star was once an amateur.. it has to be remembered always that talent is cheap but dedication is ever expensive.. you two have a long way to express your talent through music... do not give up.
Ngoma Kali sana, na pia sound ni tofaut kabisaa, kilichobaki ni kuongeza juhudi tu na kuongeza mipaka ya kaz zako ili ujulikane maeneo mengi zaidi na zaidi kwa hapa Tz tayar raia wameshaanza kuelewa wew ni nani.
Hii ngoma kali Sana kama tupo pamoja like hapa ❤
Katika nyimbo zinazo gusa maisha halisi ni kama hii kama unaakili kaamakini nauutafakar wimbo huu kali Sana big up Kwa bright nabibie Jolie
Safiiii unaakili Kam mm
Biga up kwa hawa WA wiki bright na joile
Nyimbo imetulia sana na nmekuwa nikiirudia sana kuisikiliza.. Video IPO simple sana lakn nzur..nimeipenda.
Wimbo mzuri, tungo na ujumbe safi kabisa. Sio siri Bright na Jolie mmeitangaza lugha yetu adhimu ya Kiswahili. Big up for the fine export!
During my campus days I bumped into this sound ..I loved its naturally sound. Zambia 🇿🇲🇿🇲 signs for being present.
Hii ngoma ina ujumbe mzuri kwa wanandoa wavumiliane kwa hali yeyote ile👍
kaka bright umeutendea haki huu wimbo nimeupenda sana kila mda nauangalia kila mda siuchoki
hongera sana kwa kazi mliyofanya bigup
Ivi basata wako wapi nyimbo kama hizi ndo za kutoa tuzo! kwanza zina bonge la ujumbe unasikiliza every where!! bright kaza buti nyimbo imegusa maisha ya wengi nikiwemo na mm japo siyo mlinzi lkn!!! weka like twende sawa
hii ngoma niliickia saluni, ikabidi niiwekee bando fasta kwa mangi. cjakosea kufanya hvyooo
big up Bright...
Kaka Bright mbona naona nyota yako iking'aaa kwa bidii uliyo nayo na kipaji nakukubali kila siku 😍..Gonga like ya Bright apa kama unamkubali👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
ths boy is doing gud
Mahmud Mkali sana aiseeeeh
kazi nzuri ndugu yangy
kweli bro bright anamoto Wake
Dennic Mtn umeona kijana anavopanda ngazi pole pole namkubali sana tu ujue
Yan hii nyimbo kwa siku nahisikiliza hata Mara mia haichosh jamn huuiii braht big up uko vizur sna yan sichoki ingekua inaonyeshwa kua mtu anaisikilisha Mara ngap ni mm
The end of 2023 and I'm still here i have listened to this song the whole of this year ❤
254 mko wapi🙋🏽♀️🙋🏽♀️🙋🏽♀️good music 😍😍😍
Rozie McKenna 255
One of the most underrated singers in east africa..this is dope upto date
Aaaa kwel huu wimbo naukubar sana ila bs 2 jama nahuyo bibie wako sawa ila mapenz ndo yanakaa Ok do wabongo 2livyo😅😅😅
hujawahi koseaga mzee baba toka nione kaz yk yakwanza, kaza tutafka, ulaya nas tishaaaa mbayaaaaaaaa ###@brigth#
wakenya mpo kweli huu wimbo upewe likes zake kutoka hapa kenya broo kali sana nakam tutengeneze moja kali bro love your manegment all
Nyimbo nzuri sana inamaneno ya kuelimisha.all in all mnajua kuimba na mmeitendea haki nyimbo yenu
Ataàlii sana brait alikiba mwenyew akasomeee🙌🙌🙌🙌
We huna akili kabisa yaan mfalme wa music king kiba umfananishe na huyu mdudu wa juz tu
Daaah..... Nataman wawepo wanawake wa hvi na mm nimpate
Naipenda sana hii nyimbo big up bright namkumbuka sana ex wang moodi aliipenda sana hii nyimbo kipind nasomaa
Hii nyimbo imebeba bonge la message kuhusu uvumilivu kweny mapenz !! big up sn !
Ngoma nzuli sana inasikilika mpaka Texas 🇺🇸👉🏻🇺🇸
ningekuwa na uwezo ningempa bonge la zawad lakin nakuombea kwa mungu azidi kukuwezesha kuimba zaid na zaid
Ngoma tam San hiii 2024❤❤❤ 🔥🔥
Kweli huyu dada kani furahisha sana big up sister love from USA🇺🇸
daaah bonge la ngoma bright wa home ifakara tunazidi kusaport kazi zako safi endelea kukaza man bright wengine tuko njiani
kumamamaee bonge ngomaaa
aisee usipotoboa na hii bc mchawi wako yupo vizur
hahahahaaaa!!!!!
JAMANI love kama hiiii imeenda wapi duuuuuuù love Kali hiiiii song linaimba uhalisia wa maisha penda hiii pia pole sana
Aki hii ngoma ni zaidi ya umri wao Allah awaangazie vijana kama hawa ndo waitaji kupewa support nakusighniwa
Unajuwa sana weweeee kwann yn nakuchungulia nakuona kuleeeee kaz ngangangaa hvy hvy usiwachie hta upenyo
Dodoma nimekumbuka sanaa baada yakudaiwa kodii aisee
tisha sana bonge la couple mpya ya kiburudaniii usimwache jolie mna match style yenu ya muziki kweli bright trust me
demn im in love, iyo truck iko hot sana
Mwendo huwo huwo kijana utafika amini nyimbo zako zaelimisha sana na haya maisha tunaishi kazi poa sana
Big up xn Bright naelew xn hii song
Hivi nikisema Bright ndio mridhii wa Diamond nitakuwa nmedanganya +254 Tonga like
Hawafanani huyu nyimbo zake nyingi zinafundisha
Namuombe awe juu kuliko hata modi
Hapana ila diamond no destroyer fireee
Diamond haoni ndani, Bright ndo mpango mzima. nyimbo zake zinaelimisha jamii.
Bonge moja la ujumbe.. hii ndo aina ya nyimbo ambazo jamii inahitaji. BASATA wanatakiwa watoe tuzo kwa nyimbo kama hizi. 👏👏👏
kweli yani
Dogo yuko poa sana aisee
NYC song
Nice song
Haswaaaaaaaa
Atariii nakupenda sana uh wimbo achni to
Dah! Vijana wa Bongo ni soo....
Nimeipenda hiii shiling ya ua kwl
™ⓩⓒⓛⓐⓢⓢⓘⓒ
Bonge la ngoma huu ndiyo mziki sasa now kila niendesha gari ndiyo nyimbo inayonifariji
Gud sana ukikaza utatoka ila game ngumu hongera umeanza vizuri
song of de year bright salut sanaaaaa mkali ngoma ni fireeee
Who else is the best dan u bright!!!!!! Nakupenda bure
I love ❤this song .
Daily life struggles , poverty, hopeless and true love ❤ gets stronger.
I listen to it everyday. From Australia
Mlivoenda mnafaa hata kuwa wapenzi kabisa. Hii song ni classic, safi sana
Man Sure Official mazonge nakukubali sana
Dada sauti nzuri Sana duuuu"
jombaa umeniandikia mm hii nyimbo! salute
Yaan we acha umetugusa wengi sanaa
dah! cna comment kabisa,bright mdogo wangu unajua
Yan hii nyimbo haiishi utam kila niskilizapo
Bravo sana karibu sana Njombe
Kama bado unaangalia hii nyimbo gonga like ili tuende sawa
❤❤
Hii ngoma nimeshaiangalia mara kibao ila siichokii wa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿mko wapi?
bright na Jolie hii nyimbo mmehitendea haki sana kwa mlikuwa mnajuana toka mda nawapenda sana
Ngoma ya mwaka hii na ndo nyimbo Ambazo jamii inazihitaji ....Na anayeichukia hii nyimbo atakua na ya kwake tu kichwan
wewe fundi sana bright,kaza kamba utafika mbali sana blood
Nimeipenda sana sauti ya huyu dada yaan imeenda na hii nyimbo
Kama Maunda Zorro
Yuko vzr
Soma iyooooooooooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🍗 we have been
Da way home now
Nimeshare kwa wife Fatma Kalonga, imerudisha mapenzi yetu ya miaka 20 nyuma, pamoja na uzee wetu lkn tumeilewa, inacover all ages!
Big up dogo keep it up!
Mtu wangu mbona unapoteya sana nini tatizo sijisikiye ata bien jisi uñapoteya bright idole wangu❤❤❤
Ngoma tamu sana nimeilewa bright unajua sana una kipaji hiii ngoma imenigusa kimaisha NA mkee wang
Boy! You deserve to be awarded with BASATA for this song by Educating the Community!
diamond
nami nampendaga hivohivo japo hanakitu najua tutapata 🔥🔥🔥🔥🔥 najua mapenzi yakweli huendeshwa na hisia na mapenzi ya tamaa huendeshwa na pesa
epifania Mponda video
Kabisa yan
Bonge LA ujumbe.
Kweli
daah nikitzma hii video nakumbka nliopitya awali hii nyimbo inajumbe mzurii .for 2022✌✌🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Ni wachache sana wasanii wa sasa kuweza kutoa ngoma ya namna hii hongera sana Dogo yan hii wanaskiliza na kutizama watu wa rika zote siyo mi kwangwaru
We Bright utanimalizia Mb zangu kudadadek yani hii ni Mara ya mia mbili na moja naiangalia hii ngoma
umeonaeeee!
Eddo Boy hata mie sichok
Eddo Boy hahaaaaa kabisa
Yaan acha tu nyimbo za huyu kaka
Because nice song me to i like
Bright is very talented kiukweli...he is the real musician...kip it up boy...and jolie ooh mom u killed it
Safi sana bright jolie
Jamani Mimi sihishi ham ya kuisikiriza dogo amenikosha sana! Kwenyeukweri tuwe wawazi!
nimeipenda sana hii nyimbo.. shabiki toka 254
Very good song, I can say song of the year I’m in love 😍❤️❤️ watching from Chicago,USA 🇺🇸
hi ❤ sweeti
Stephen Omondi hi 👋
Furaha Sifa hahahhaah iyo so ni cool sana swty waaa
Good song
sijui kwanini Tanzania vipaji halisi tunavichukulia poa sana aisee
Basata inabidi wajipange vizur ili wawe wanatoa tuzo za ngoma zenye uhalisia ya maisha yetu ya kila siku so Brayht nakuona mbali sana Kaza ivyo ivyo
Nyimbo nzur sana kaka
a very good work of art from you jolie n bright.. every star was once an amateur.. it has to be remembered always that talent is cheap but dedication is ever expensive.. you two have a long way to express your talent through music... do not give up.
iko mahali pake hii ngoma yani imetulia alafu ujumbe umebamba kinoma noma ,,,,,,, nice xaaaaana
Ipo poa sana....fresh kwa ujumbe mzuri wa huu wimbo
Tiktok sent me here.. Without doubt ngoma kaliii hii
Jolieee nakupenda. Bureeeee. Like. Kama. Unamkubali. Jolie
huncho Evrst kazi mzuri
Tisha sana dada love you
joeli nakupendaga
jolie nakupendaga weeeee
Kazi.nzuri.sanaa
Uuuuwi bonge LA ngoma aisee yote uliyo yaimba yalinikuta kaza mzazi
hivi nikupe nn wew kijan daaaah uwiiiii
Safi nyimbo nzuri saaana
Much love to my best Jolie from all the way USA Orlando Florida state! 🙏
Nakukubali sana Bright,, huu wimbo unahitaji views nyingi zaidi
Nyimbo nzuri mwanamke ana maneno ya busara kma kweli wanwake tungekuwa na mpnzi kma hya na wanaume tngfka mbli
Mwenetu nyota tyuu ila ngoma zako 2024 natoboa nazo
Bright heshima kwako bg up
Imenigusa saana hii nyimbo shukran kaka
Nakupenda hivohivo baba, japo mambo sivo.... Jamaniiii
Best song, keep it up Bright! Ha ha ha, song of the year indeed!!!!
Cette musique est vraiment éducative pour les mariés 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Vraiment
Umefanya video nzuri sana this time duuuuuuuu kali sana hii video.
Sikuzote kwenye maisha inapwasa kuwa hvyo but umeimba k2 poa sana
Kipo pia mm kimenitokeaga
bright machoz yananitok kila nnavosikiliza nyimbo yako naumia but uko sawa san na juel yuko sawa 😃😃😃😃😃
penda sana kitu kipya kaka. ngoma inaniburudisha sana kabisa tena inanifariji sana . tupo sana kaka. from here Sydney Australia.
Hii ngoma iko powa sana @bright@jolie
Binge ujumbe ppngez kwako kaka
Beautiful video beautiful I don’t understand the language still loves 👏🏽👏🏽👌🏾👌🏾
Nkisikiza track kama hii napata appetite ya kuoa,, wallah,,
Ngoma Kali sana, na pia sound ni tofaut kabisaa, kilichobaki ni kuongeza juhudi tu na kuongeza mipaka ya kaz zako ili ujulikane maeneo mengi zaidi na zaidi kwa hapa Tz tayar raia wameshaanza kuelewa wew ni nani.
Nakukubali sana braith
Kaka umenigusa sana MUNGU akupe maisha malefu minakupa %10000%
Sifahamu Kiswahili naomba mnitafsirie maneno ya wimbo. Ni wimbo mzuri sana
nyimbo nzuli sana hii inanikumbusha maisha yangu kabisa
Rip magufuli wetu
Navipenda sana jamani nyimbo ya hisia na ujumbe wa kwenda da
Kazi nzuri sana.
Nimeipenda.
Safi sana nimeielewa sana.... Ujumbe tosha
Waya mwanangu @bright kaz nzur sana
wanaofanana na wasanii
ya ukweli sana ngoma hongera bright never return dark