KAYUMBA- MAMA ( OFFICIAL VIDEO)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2025
- ITS ALL ABOUT LOVE TO MOTHERS. THIS IS DEDICATION TO ALL MOTHERS AROUND THE WORLD. I LOVE YOU MAMA( Hii ni Kwa ajili ya upendo mkubwa kwa Mama zetu, Kama unampenda Mama yako hii ni Kwa ajili yake) .Enjoy a Good Music From Kayumba.
#Kayumba#Mama#Goodmusic / kayumbaasosie
😭😭 I'm here 2024 listening to this song huku machozi yananitoka😭😭nikikumbuka mama yangu jinzi amenyanyaswa na watu wa familia kisa tu sisi maskini😭😭😭but in all she has never left us alone 🫂mama wherever you are I love you so much 💓 and I pray to God anilinde uku Saudia Arabia nimalize contract vizuri na nitimize ndoto yangu ya wewe kuwa na furaha milele🙏🏼🙏🏼🙏🏼😇😭😭😭😭😭😭
Same here 😢 but she always strong 🎉
Yatapita tu.. 😢
Mungu yu pamoja na ww my deer
Pole
Same🥹🥹😭😭 oh God make it for us🤲🙏🙏 it shall be well all
Nampenda sana mama angu😢mungu niwekee mama yangu milele na milele💕 Baba angu alimfukuza mama angu nikiwa na miezi kadhaa lakini mama angu hakuniacha aliangaika na mimi mpk hapa nilipo!! Nakupenda mama angu💕 mungu nipe pesa nyingi ipo siku nimuimbie mama angu hii nyimbo huku nikimtunza pesa na kumpa dhahabu!! Mungu nilindie mama angu💕
Ushinde njaa me nishibe respect kwa mama wote gonga like mwanang 2024
Niushauri wangu wabule kwenu nyinyi mashabiki wenzangu wa kayumba, ifikie hatua msanii anapotoa nyimbo yenye kugusa maisha ya watu kamba hii tuchangishane humu humu mtandaoni ili tumpe kama zawadi kwakile kizur alichokifanya tusisubili mchango wetu uwe kile kingilio cha kwenye show yake, nawaomba wadau tumpe pongez kayumba kwakumchangia pesa uyo jamaa nyimbo zake zote zinagusa maisha ya kila mmoja wetu, ongera sana kayumba
Umeongea point xanaaaa duh anagux maixh halix xana
Dogo katoa ujumbe
Kweli kabisa...najitolea kupokea michango...
Haaaaaa
Kwel kabisa 👏👏
Ohhhhhhhhh!!!!!!!! my mom she has been there for me since nikiwa mdogo, Nakumbuka Amepika maandazi toka ninaanza shule hadi ninamaliza chuo, ili mimi nisome, pesa ya kwanza kuja anza chuo aliuza miti yake ambayo mwanzo wakati aliipanda nilikuwa namkatalia nikisema sio kitu cha kutegemea lkn ndiyo iliuzwa na nikapata hela ya kuja anza chuo. Nimemaliza chuo akanipa pesa ya kuanzia kwasababu sina pesa tena toka serikali, na nipesa aliyokuwa akiipata kwa kupika maandazi. Leo kama ataumwa mm nitakuwa sababu ya kuumwa kwake nimemfanya ateseke maisha yake. I love you mom, nothing can come to your worth, my mother, you are unique and God bless you to live many years and see the success of your son.
Wonderfull,That's great testimony
@@johnmatiko2596 yes thnks
@@geofreychengula7530 Thnks bro, thnk u so much.
Hongera bro coz umeutambua mchango wa mama ktk maish yk
@@leoniafissoo5581 for sure nimeutambua. Na najua mchango wake
Wimbo Bora kuliko zote zimeimbwa kwajili ya mama ✌️✌️
Kabisa tena ndo maana nikaifanya cover
❤😊
Huu wimbo naupenda huwa naimbia babangu kila siku yeye ndio mama yangu tena baba.....❤❤❤❤❤
❤❤
Sina mama lkn hii nyimbo nikizikiliza namkumbuka sana mama angu roho Ina niuma sana
Hakuna kama mama yeye ndo kila kitu kwenye maisha yetu nakupenda sana Mungu akubariki uwe na maisha marefu💯💕
Yaani ukitaka kunitibua umzarau mama yangu, duh hata kama nakupendaje Nina zima taaa ...I love u mamaa
Majaliwa good sanaa
"Ulichana nguo ili unistiri mimi" ni maneno makubwa sana haya. Ukiyatafakari yanaliza kwa kweli. Tuwapende
Kuna jamaa jirani yangu anaipiga hii ngoma siku nzima bila kubadili... Nilikuwa sijui why but now nimegundua anavyo feel kwa mama yake... I love u mama.
Nzur sana
Yes kwa kweli ni nzuri sana
Nakupend sn mam yang
We speak English only.. kirikuu wewe
Huruma ya mungu ikufikie maaangu huko kaburini ulipo mungu akupe kila la khery akujaalie pepo tukutane tena tukiwa na furaha ya huruma yako nilipo kua mdogo mama amin ... ahs kaka kayumba kwa wimbo mzur ulonitoa machozi nimeupenda sanaaa
Leo nimekukumbuka sana mama yangu Natamani ungekuwepo uone mwanao nimefika wap na kumbuka sana Mungu akupumzishe kwa amani na kupenda sana mama daima utaishi kwenye moyo wangu sintakusahau kamwe 😭😭😭😭
Allah akupumzishe kwa Aman, akuondolee adhabu ya kaburi, kabur yako iwe na nuru, mama nilikupenda sana lkn, Allah kakupenda zaid, akuna mfano wako mama, ungekuwa rafiki wangu waukwel, Allah akusamehe dhambi zako, Inshaallah::
Ameen:
Mama ni zaidi pumzika kwa amani mama yangu kipenzi
Pole sana dear.
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💔💔💔💔💔💔💔💔💔💓💓💓💓💓💓💕💕💕💕💕💕💖💖💖💖💖💖💞💞💞💞💞💘💘💘💘 love you my mom
Pole sana
Umenikumbusha mbali
Nyimbo yangu ya mwaka na miaka yoote ijayo mungu awaweke mama zetu awape maisha marefu. Na wale waloondokewa na wazazi mungu awape kauli thabit mungu awape mwanga wa milele
amina
Mungu akupunguzie adbabu ya kaburi mamaangu 💕💕💕💕💕💕uchungu wa mama ansujua alie fiwa na mama wenye mama wapenden wa mama wenu tunapitia maumivu makar bila mama
Leo nimekukumbuka sana mama yangu Natamani ungekuwepo uone mwanao nimefika wap na kukumbuka sana Mama Mungu akupumzishe kwa amani na kupenda sana mama daima utaishi kwenye moyo wangu sintakusahau kamwe 😭😭😭😭
Nami pia nimemmic sana natamani angekuwepo sasa napitia meng mazito sina wakumueleza,nakupenda mama angu punzika kwa aman
Jinsi ulivyo ni handle usiku hulali....
Ulale njaa mi nishibe...
Ulichana nguo zako unistiri mwanao...
Oooh i love u my mom Agness...Mungu azidi kukutunza na uishi miaka mingi mama
Mungu awape maisha maref mama zetu❤
Watuonyesha. Kazi nzuri kutoka BSS...kayumba juma.. support from Kenya 🇰🇪😘
Mama yangu mpendwa ubarikiwe kwa jina la Hellen John aliyopo geita kamena umenilea kwa wema mungu akupe afya njema mama angu kipenzi hakuna Kam mama duniani wakina mama hongereni🙏🙏🙏
Hakuna kama mama ndio mana popote utapoisikia nyimbo ya mama yani kunakitu kinakugusa moyoni nakupenda sana kipenzi mama yangu
Fundiii mtoto big up 👏👏👏👏👏👏👏👏
Ukanyage miiba mi nipite, nikiuangaliaga huu wimbo na kusikiliza huwa nalia sana😭😭😭nakumbuka mama yangu nilivyokuuguza hadi ukanifia mama😭. R.i.p mama yangu ni mwaka wa 11 sasa🙏🏾🙏🏾
Hakika nyimbo inaliza kwako nakumbak mama yang wakat anafalika alifuta minguni mwang nikikumba malia san ndug yang
Pore dea
Ushinde njaa me nixhibe!!! Like kwa mama wote
Kayumba nyimbo zako zote kali san upo juu sanaa❤
I love u mama
Nakupenda mama
Pamoja sana
Pumzika kwa amani mama angu
Sijawahi sikiliza huu wimbo nikashindwa kulia ...mama angu tumepitia mengi Sana mama nakupenda sanaaa😢... Nashukuru hukuwai nikatia tamaa kutokana na maisha tuliyopitia mama angu...NAKUPENDA KULIKO CHOCHOTE KWENYE HII DUNIA KIPENZ MAMA ANGU😭😭😢
Halafu ukioa eti mke wako anaanza kuweka bifu na mama yako eti ni mchawi, inakera sana hii.
Your Email
❤🎉
Aki nimelia nimechoka. Pumzika kwa amani mamangu 😢
This is the best song mdogo wangu nimezisikia nyimbo nyingi zenye jina MAMA ila hii 💫 unajua sanaaa don't give up.....💪
I love u mamy
Hakuna kama mama jaman
Dah ingoma Kali
😍😍😍😍🤰🤱🙏🙏
Rip mumy
Jaman likes from Tanzania napenda music wenu muzuri sana.
Karibu
Love mom
kayumba apa umeinba mwanangu nimeupenda sana uumziki wa mama
Hii nyimbo mm nimeisikia leo kwenye harus .... daah!!! Nikaipenda bure!!!! Aise mama.n kitu kingine
Ewe mwenyezimungu nakuomba umjaalie mamayangu afya nyema na umuondoshee marazi na kesho ahera umuweke kwenye pepo yako aamin 🤲
Kayumba kumbe ww fundi✔🤗niliona ile UMENIWEZA NAYO NGOMA KALI.NICE SONG😋.ilove ma mom❤
I love mom very nice song
Kama bado unaikubari huu mziki mbaka 2024 gonga laike hapa 🙏🙏🙏
Wenye mama muwajali sawa jaman I love you mom
Itaishi hata kama utaacha kazi ya muziki😍😍😍😍😍😍
Bonge la wimbo
I LOVE U MAMA 😍😍
Kweli kabisa
nimechelewa bt like mojamoja itanitosha
Umepiga baba
As long as your mother is alive - You have an extra reason to wake up and face the day ; Long live Mama , the name just below God.
Nyimbo itaishii miaka mingi sana yaaaaannn had machoziii yanitoka kam nawewe umelia kama mimi like hapo
Ujumbe sahihi
ilove you mama
km umemic hii ngoma n umemkumbuka mamabppte ulipo gonga like ,mama wa thaman xana
Nakupenda Sana mamaang mungu akupe maisha malefu🤱🙏🙏🙏🎻🎻
So sad 😭😭😭 Kayumba umegusa true my life. I love you so much my Mama😘. mnao dislike ngoma hii nawashangaa saaana
this is my best song big ups to all mums😘😘😘😘
Asante sana
My favorite song...it make me call my mom for no reason every moment after listen to it.... Ata nijenge nyumba misili ya ikulu kufikia upendo wako bado
❤allah akupe maisha marefu mama yang nakupenda sana❤🎉🎉🎉
Hata kama nikisema labda nkushkuru pesa na mavogi bado,hata nijenge nyumba mithili ya ikulu kufikia upendo wako bado🙏🙏🙏love you so much kunikuuza❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
😓😓😓 nimechukia watanzania wote uyu bado haja fikisha 1million views nyimbo nzuri Kama hii ila munazidi ku msapoti mondi kweli na zuchu eti anajua sio Kama uyu jamaa tuacheni unafki Mimi sio mtanzania ila Inaniuma sanaa ndo maana nyimbo za Tanzania haziezi fika mbali muna support team mmoja tuu sio saw kayumba courage bro Niko DRC kaka🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tunakupenda Sana kaka bonge la Toto wee mkali sana
Mama kisunte
Nakupenda mwanangu kayumba tangu uko BSS sifa zimwendee Mungu kwa kukupa kipaji hiki na pia wazazi wako...
Ubarikiwe mwanangu kwa kumpenda mama yako..Nawapenda wote mnaojua maaana ya mama..
Nakupenda sana mama angu Mungu akupe umri mrefu hapa duniani mama ❤❤❤❤
Kayumba katika watu ambao wanakufutilia mimi mmoja wapo ebu kama unamkubali kayumba kwa nyimbo yake inaitwa mama ebu weka like kwa kumsapoti msanii wetu wakitanzania
Hatari sana kayumba mama
Nisaidie na contact yake kama yeyote anayo...
Mama kayumba
Mpende sana mama yako kwa kukuweka tumboni miezi 9 na kuteseka na wewe usiku kucha mpaka umekuwa unajitambua!!.....upate baraka na maisha marefu!!...!!!
I love my mam
Ndio wajibu wake kaka
Nakupenda sana mama yangu Millicent Mungu akulinde na akuongeze miaka mingi duniani we ni kila kitu kwa maisha yangu❤💯
Kali sana my brother.. nimependa 💯🔥🔥
Daaah ngoma tamu Hatari kayumba wewe ni "MWANAUME" JPM
Official Wizdolla kaniuza
Unaweza sana
Ilove you my mum
I missing my dear Mom
Nasema tena asanti Mungu kwa kuwezesha wazazi wangu kunipa malezi ya kweli❤ na poleni kwa wote ambao mumewapoteza wazazi mapema Mungu awatie nguvu❤❤❤
My song.........my best...wapi likes za MAMA...kama unafeel hii ngoma,... piga like
Abraham Nakhero mamaaaaaa
Abraham Nakhero no one like mumy
Asante san
Mama ndo kila kitu kwangu
Abraham Nakhero kayumba broo unatisha Kaka
😢😢Oooh mama yanguu uko wapii Sasa na ku miss Sana my mama kwa uruma yako tx bro kayumba kwa wimbo nzuri🙏🙏
I love you mamake enti thanks alot to everything ❤❤❤❤nakupenda sana A
Maman yangu nakupenda sana, nasikiya wimbo unanitowa machozi... nakupenda sana maman.
Mungu akupemiaka Ming
Keep it up kayumba nice song
❤
I'm such a fan of big brother Kanyumba, I have my heart with him, you were inspired by this beautiful song for me, really big thank you, this beautiful song gives me another power to live, at home my great hits the only one you know sung, come in Congo
Nakumiss sn Mama 😭😭😭 maombi yng kwako kila siku Mama M,mungu akuweke mahali pema PEPONI. 3 years tk umetutoka Luv u an Miss u so much rest in peace MAMA😭😭😭😭
😭😭😭
Even me when i listen this song nalia kwa uchungu mkali,mama ungekuwepo ningekuimbia huku nakupa zawadi,mbaya zaidi ulitulea kwa shida Kali ulipambana kuhakikisha tunapata elimu na tunajitegemea,ulifurahi kutuona tuna raha siku zote,ulipokamilisha hayo ukatuacha oooh God siku zote namlilia mama yangu kipenzi,natamani mama unitokee Hata siku moja tuongee machache,two years past mama😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Hata ningekufanyiaje bado visingeendana na yote uliyotufanyia
Pumzika mama yangu kipenzi 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Uko tayari udhalilike mama kwaajili yangu!! I love maaaa!!
Wa kwanzaa leoo😘,r.i.p my mom😥😥😥😥,natamnii hataa ningewaii kuionaa suraa yakee😥🤐 nicje kukufuru🙏🏽🙏🏽
Pole dada
Santee love
mmmmmmmmmmmm pole mmmmmmmm poleeeeee
@@fadhilakambwili8450 pole dear 😥
@@sarahkanyana5099 santee mamy
Mungu akulaze mhl pema peponi🎉🎉😅 1:52
Love u Mama, Allah atupe maisha marefu wote ili uje ufurahie uwepo wangu
Amina
AllH awalinde km unamlove like hp
Waliondokewa na Mama Mungu awalaxe mahali pema peponi Amin na waliokua nao tuwapende na kuwaheshimu
Amina
Mam coniee💞💞💞💞 popote ulipo nakupenda sana mam angu❤️❤️❤️❤️
Jama Jamani hu do go noma saaaana wapi like zenu Namibian huu wimbo una towaga machozi saaana kuwa sina mama tena
Mashaallah wimbo umeniliza huu 😭😭mungu akuweke mama yngu nafanya kazi kwa ajili yko ule matunda yngu kabla mimi au ww mungu kutupenda
🙏🙏🙏
Thanks kayumba nice song
😍😍😍😍😍😍😍
here after 3years huu wimbo unanifanya nisimsahaau mama ata kwa sekunde moja🎉🎉🎉
heshima kwak kayumba hii ni moja kat ya nyimbo nzur aiseeee
hakuna kama mama ktk dunia i love mama
Mama nakupenda sana asante kayumba 💜💜💜💜💜
This song touch my heart may Allah grant all mothers to paradise ❤
Hongera Sana mpendwa, imenigusa saana wengi tunajiuliza kuwa tuwarizisheje wazazi wetu ila kweli hakuna kinacho weza kulipa ni kuwaheshimu tuu na kuwa nao bega kwa bega kila mda 💣💥❤️❤️❤️
Thanks bro
and today is mama's day, happy mothers day 2024
Live long mamaaaaa❤to witness my blessings
Kayumba that's my song I was waiting for this fire boy kayumba kayumba nice JoB bro keep its👏👏👏👏👏
Yeaa the boy know what he is doing,very amazing song it's among my best song for this year
Nakupenda mama yangu Mungu azid kukutunza natafuta kwa ajili yako ❤️❤️
Ameen
🤚🤚
Look for your mama
👏🏻
Nakupenda sana mama mungu akupe maisha marefu love you mom
though i don't understand the entire song, but I'm sure that mom will forever be blessed❤
Women of my life.. kipenzchang MAMA. Pumzika MAMA àke mimi. Till we meet again.
Amina😢
Am here for the third time....this song touches me beyond my heart..... listening to it gives me a clear picture of what my mum went through to raise me ......😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Jamanie, this song touches me a lot. I love u so much my mom
Milka
Beautiful song ever bless you brother ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kayumba ww nakupenda Sana ujawai kuniangusha love you mama umenikumbusha mama yangu 😭😭🙏
Nmepata nyimbo ya kumtumia mamangu ❤watching from Qatar
Naandika hapa leo ata ka najua kuna possibility usiwah ona mamaangu.. nakupenda sana mamaa.. Allah akujaalie umri mamaangu na mama mke wangu. Nawapenda sana❤❤
I love u mom I have nothing else to say about you mom I love ❤️. Gonga kama mama yako yupo na kwawale waliyo tanguliya mungu awapumzishe kwa Amani 🥰🥰🙏🙏🤍
Amina Jibu mamb
Aise hii nyimbo ik bomb san imenikumbuxh mbal xan 🎀 kayumb nakunakubal kwanyimb zak
🤗🤗
I love my wang
@@officialmusah4107 haha
Am here again after understanding what mommy go through to raise me, I was a kid I didn't understand anything bt now am a mom I understand everything it's not easy to be a mom, thanks mom 😢❤❤🫂 much love from Ke 🇰🇪
Good song.. listens oftenly 🎉 no one like a mother
My mom pumzika kwa amani Usia wako ndio ngao yangu hakika kila nikikumbuka wosia wako napata fataja mnoo R. I. P my mom
Hii nyimbo hakika ni nzuri❤️ hongera bro
Namkumbuka sana marehemu mamaangu ❤
Mungu amlaze mahala pema peponi
By listening this song I cry every time....you make us realize the importance of mother
Aisee kayumba nouma....eb weka like apo Kama tupo pamoja
nakupenda kayumba from malawi..big up
kama unampenda mama yako na unaamini kabisa mama ndo kila kitu kwako gonga like
%No One like Her "
My Secret Matter ,,
Yaan Mama Akuna
Wakumufikia ,,
IZ ONLY ONE 4r ever
Je t'aime beaucoup
Ma Mèré.
Kelvin t lucas
Mama Ni mama alhamdulilah kwa mama ujumbe mzuri Sana huyoo hapewe tuzo hiyo ndiyo miziki ya kusikia
Yaan kajikongoja ujumbe tosha kwa mama
🙏😭😭😭😭😭
I love you Mama 👏👏👏🙏🏾
Ngoma kali sana
Good
mama juu
Long life mommy 💚💚 upendo wangu kwako mwanao auelezeki mamangu 💚💚🙏naomba mwenyezi mungu atujalie uzima na afya njema mamangu I gonna make you happier mommy 💚💚..ukanilea kwa taabu sana na sasahivi unanitunzia mwanangu mamangu 🫂🫂yaani kwa imani katika miangaiko yangu hapa gulf mamangu mungu anibariki kwa jili yenu I swear to God nitakutunza kam Queen...nakupenda sana mamangu zaidi ya sana huu upendo ipo siku nitakutolea kwa moyo wangu na zawadi nyingi za thamana mama❤️🩹❤️🩹 💚💚💚.. Asante KAYUMBA kwa huu wimbo jamani mungu akuzidishie 🙏🙏
Mungu umpatie maisha marefu mama angu❤❤❤❤❤
Wangapi wanasikiliza song huku wanasoma coment gonga like nice song am lisen again
Nimekuelewa braza noma sana braza
Hakun km mam dunian
Nani kama
Mama nakupend sanaaa mungu akupe maisha marefu mama ang akuna kama wew
Rip mom
ktk wanamuziki huyu na mpongeza ametoa ujumbe mzito sana kwa jamii kuhusu malezi yanapoanzia na kama mama unafeli kutelekeza ujitafakari je sifa hii inakuhusu au la Hasha
Hii ngoma umeua sanaaa mzee! Sichokii kuusikiliza ......💕❤❤
Maneno yako na busara zako zinazunguka 😭😭😭 usia wako ndo ngao yangu 😭😭😭😭 mama hukunipa usia , mama ulinilea lakini mama ulinikimbia wakati nahitaji malezi yako , ila mama yangu NAKUPENDA SANA
William Mlengera pole san
I love mom
Mipango ya god
Kila nikiskiya uyu wimbo uwaga naliya sana 😭😭 nakujutiya pale nilipo mkoseya maman Mungu bariki kina maman wote 🙏🥰
This song make me remembered my chird hood! Nic song ma boy!!! Who love this guy like my comment💪
Anybody care to translate the song? Such a beautiful song. I don’t speak the bongo swahili 😂😅
Kama unaamin mama ndio Mungu wa dunia gonga like
Sio kweli
Like
Acha ujinga wewe
Ukanyage mimba mh nipite💞💞much love mum❤❤❤
Wale mashabik sugu wakayumba tujuane hap......
Oooooh my good mama nakukumbuka sana kwann uliondoka mapema tokea nipo 4 usizalau mama natamani angekuepo ila mungu kampenda zaidi yangu
Eeeh mwenyenz mungu mpe maisha marefu my mom,,🥰🥰🥰🥰