naipeda hii ngoma tamu love From Kenya huyu kayumba hajaskika huku kenya lakini ako fiti sana ata nilikuwa nafikiria ni barnaba,ameweza nipeni like wakenya na watanzania
Kayumba Ni msanii mkubwa Sana, Hawa mafala wengine ni label tu zinawabeba..... Big up Sana.... Unanikumbusha luge mutahaba aliposema "Kuna tofaut Kati ya superstar na maarufu, maarufu Ana muda wa kuvuma, superstar anavuma na alichonacho kila muda"
Huu wimbo naupenda Sana yaaani Hadi sielewiii kazi nzuri kwa waimbaji nawapenda Sana munajua good song sichoki kuisikiliza yaani Kama nimeimbiwa mie hahahaaaaa
Huyu dogo anaweza mpaka anaboa nakukukubali sana dogo hujawahi kosea single zako zote kaliiiiiiiiii👍🏼👍🏼👍🏼 Wangapi tunamkubali Kayumba tujuane jamani mwemweeee
Tunao angalia huu wimbo 2024 gonga like ❤😅
Napenda pale wanapoxema ''umeniweza babaaaaa umeniweza mamaaa" kama uko nami gonga like chini hapa
Sana
Saf
Together 🙌🙌
Tupo wengi kumbe
Napenda zaidi
Ila kusema ukwel linnah anajua sana
I love this song that's why nimeamua kuisikiliza Tena 2024
Aisemi inanikumbushagambar
Fund wa love songs...
😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤@@allyntima9090
Wimbo mzr sana, aliyeusikiliza zaidi ya mara mbili agonge like twende sawa.
Nikiusikiza huu wimbo unanikumsha mbali
@@elizabethkira3024 nn tena Beth
Oyoo like kama una mkubali Kayumba 🇹🇿🇹🇿🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Faster
J'adore la chanson si broda . J'écoutais l'audio presque toutes le nuits quand je partais au lit. Finally the video is out
Treyz Palzuria %100
this is a good song check this song here th-cam.com/video/kvYiG5j864M/w-d-xo.html
kayumba na penda kazi zake good
Tunaotazama wimbo huu mwezi wa wapendanao😂😂❤️🙌
huyu kijana nilimpendaga tangu enzi za bss. mbaka leo anafanya mawonders big up to kayumba
Shida ni vile Tanzania wanamziki wazuri kama Kayumba hawapesi support
Hii nyimbo ni kwa wale wote wenye mapenzi ya kweli kwa wenzi wao sio wale viruka njia.
Like kwa kayumba na linah kwa kazi nzuri 💥🔥💪
Kama unamkubali kayumba weka like twende sawaa
Nikweli, kama Riyama Ally na Lio
Iman Mhagama 😅😅😅😅
Nakukubali hasa ngoma hii umeniweza piaah ,,, kama unamkubali kayumba gonga like twende zetu uu
Umenena
Jaman mistal ya linah ni konk kama umeikubal gonga like hapa twende sawa
Mistari imenyooka
Ezra Jr konk
Maashallh
Wote ni konki
💞💞👌
Linah mwanamzik mahiri sn! Kila wimbo wake una mvuto fulani na nyimbo zake haziishi hamu!
oa uyuu jamaa anakuja sana kama unakubaliana nam gonga like tutembee no 1 treeding.. ..
Hatar Sana kayumba
kwili tens sana
Napenda san
@@angerapasco2179 Jana huyu mdogo wangu anajua sio siri
Ooh nimechelewa jmn like za kayumba mlivokuwa na roh mbay sipatii hat moja unajua kunichombeza hodar wa kubembeleza♥️♥️💕💕💕😘😘
Mremb
Heshima kwa kayumba yan kama kuna ngoma napenda nizayumba💪💪💪 respect kaymba✌
Yani nyimbo za isiya tunakuachiya wewe kwasasa like kama una mkubali kayumba
kaka benja jmn kayumba anajua hadi basi
Iyo Kweli
Kweli kabisa kaka
Kama unawakubali lina na kayumba gonga like hapa
Yaani huyu mtu niatali👏👏👏👏👏👏
Nawapenda xn
Nakukubal san lina na kayumb
RUKIA MUSSA mambo best uko poaw
🏃🏃🏃🏃kimbia Kaka nakukubal
Kama Linah amekuweza dondosha like hapa
⬇️
Sana kayumba boy na linah
Ngoma Kali hiyo
Kaxi nzuri
Good sana
Nice song🔥🔥🔥,, wapi likes za kayumba and linah
💥💥💥💥
Kayumba anatsha
Daah mme Tisha sanaaa😘😘
Ngoma kali sana, yeah u did gud, let me much concu u
Song poa
Mi mkenya napenda huu mziki wapi like za Mimi mkenya hapa please!!
Like kaa zote my dear Kayumba alishinda bongo staa sachi kwa halali aeleweka sana
Kizazi Sana🎷🎶
Mambo
@@selemanhamiss9945 poa mambo,..
Iko juu hii nyimbo jamaa anajua kutunga nyimbo sio siri
Kayumba umetisha kinyamaa jaman like Kama zooote dondosha apo chin
Wanapenda nyote
Salutiii
Nimeipenda Sana 2
Kayumba is so underrated, this guy can sing
No that can sing anaweza mbaaya
Úñàksuk😅
Walio angalia hiki kichupa mara mbil mbili like zao hapaa
sio mbili tatu
Tupo hapa👆
Kichupa kikal 🇹🇿 😘😘😘😘
Nipo ap
Aisee umejua kunikosha moyo hii nyimb naipenda daima sichok kuisikilza Kam unamkubali kayumba gonga like hpa
Tabasamu mpenz wangu nataka tujenge family Sasa uwe baba wa wanangu nikuzalie mapacha🥰😍napenda huu mstalii kinomaa
Naupnd sn huu mstalii hata mm
Nomaaaa sanaaa 🔥🔥🔥🔥🔥
Umepend uu msital
mi zaidi
Siezi lala bila kusikiza huu wimbo wapi likes za team strong
Kama nawewe nishabiki wa kayumba kwanini usinipe like yako jamn!
Nam kubali sanaa
Kama mboga nakombeleza
Nawakubalia wote
@@mwanaishaiddi2272 umeniweza mwanaisha 🧡
@@shakeuabuu8851 haya
Nashangaa Huyu Kijana Kwanini hana Sponsor Anaeleweka Hadi Sasa
@So Talented Sana @Kayumba 💪💪
Nakubali mzee huyu dogo ni moto hata kina mariooo wanaobebwa na clouds wanasubrii
Heshma pia bro muhimu .....lazma ajishushe ili afike mbali ila kiukweli anajua*
Sponsor wa kazi gani sasa
Sana
Mond angekachukuwa ingekuwa pow
❤❤❤penda sana uyu jamaa❤❤❤
Kayumba mistari yako mizito kuliko ya wasanii wengine wanaoitwa wakubwa sitawataja!!!!!
Patrick Wambua wataje tu kama alikiba amna kitu
Patrick Wambua wataje tu kama alikiba amna kitu
Nkweli
Dogo yupo vzr sna tatizo mziki wake hauna promo mzee baba mziki mzuri utakuta ndo hausapotiwi ila ile unga unga mwana dah 😂
@@sylivanusnyitwe85618cfe waaaqqeqf8ba7ac8sxfs
Mhhh hadi Ku comment naogopa coz like hata sipati🇹🇿🇹🇿🎶
Bahati bukuku
Mwaaaaaaaaaaaaaaah
Kelechi
ngoma nimeikubali
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Woooow this song is owesome can't stop listening who is agreeing with me
naipeda hii ngoma tamu love From Kenya huyu kayumba hajaskika huku kenya lakini ako fiti sana ata nilikuwa nafikiria ni barnaba,ameweza nipeni like wakenya na watanzania
Bongo artists r the best, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
From kenya🇰🇪🇰🇪 umeniweza linah jaman
Km uko in love bas hii nyimbo imebeba hisia nzur sn sana za mapenz is the best dedication song
Km unakubaliana na Mimi gonga like twende pamoja
Haki kabsa ila kama upo kama mimi kwenye mahusiano machungu unaishia kuwish tu
May God bless Kayumba and Linah,unajua kunichombeza ooohoooooo
Nani akimuona au akisikiliza ngoma ya kayumba ana kumbuka BSS
Mm hapa dah kma masihara yani
Im
Mimi
Yan mpaka kura angu nilimpa...namkubaliii
me nakumbuka mbali san
tunao wakubali Kayumba na Linah like twende sawa
zangu niza kayumba kama kuna wao kama mimi gonga like bana
Kayumba for a life, I swear this man has a naturally talent.!
vio
True ana kitu na kusema kweli akiacha maisha ya inzi huyu atatengeza asali❤
Umeniweza kama lilivo jina la wimbo @kayumbaossie ft @linah keep it up.
Naipenda saana hii..big up bro🤩🤩
Hata kam ujapata like ila ni bonge la nyimbo htrrr
I love 💕 this song so much,I keep coming back here every now and then it's like it's made for me😘😘😘🥰🥰🥰🥰
Ni wimbo mzuri mno
We peke umeweza unaniweze ukinishika nalegeeza ai penda apo sana
Ngoma ya Kizazi xana, bonge la ngoma, Lyrics kari kinouma, Xaut za kivita, chemistry imekubari xana Dah jamaa #Kayumba #Lina mnajua xaaaanaaaaa
remmy Sweetbert ni heli wewe usie omba like
@@jackselvester8749 😹 😹 😹 ctakag hyo tabia
mko vinzuri sana
Kayumba
we are supporting good music
kama upo nami sawa like kwa
#KAYUMBA
mwana mamb0
Uno
Kama nyimbo kali gonga like hapa
Linah umeitendea haki hii ngoma big up Sana kwenu
Wen my darl send me this song... bas am like....😍😍😍😍😍😍🤩🤩🤩
Unajua kunichombeza ma favorite song
Waooooh wimbo mzuri
Unajuwa kunichombeza, umeniweza baba"""" nyimbo taaam sana,,
NIJIVUNIE NANI KM SIO BABA WEE,,,
nimeipenda
Ndo naingia uku kayumba kayumba Aminia bro ngoma zako poa sana keep it up
Kayumba Ni msanii mkubwa Sana, Hawa mafala wengine ni label tu zinawabeba..... Big up Sana.... Unanikumbusha luge mutahaba aliposema "Kuna tofaut Kati ya superstar na maarufu, maarufu Ana muda wa kuvuma, superstar anavuma na alichonacho kila muda"
Hahaha walai
Exactly
😂😂 et mafala
Wimbo mzuri mnoo
Kayumba hapa 🇰🇪 tunakupenda
Hii ngoma kali maudhui ni yenyewe kabisa baada ya uno inafaata hii
Hii ngoma imenibamba yani nnatamani kuiskiliza muda wote especially muda wa night
Dah iv mm nilikuwa wap nmechelew ngoma kali kichupa kikal .....twende sawa apa
Kayumba namuelewaga sana Yani bigap kaka
Huu wimbo naupenda Sana yaaani Hadi sielewiii kazi nzuri kwa waimbaji nawapenda Sana munajua good song sichoki kuisikiliza yaani Kama nimeimbiwa mie hahahaaaaa
Jaman sjawah fika like 10
Umefurahi sasa?
Kazile sasa
Jaman at a mm nimeona linah na kayumba wapo vizur
One from🇱🇷🇱🇷🇱🇷 nice one
Huyu dogo anaweza mpaka anaboa nakukukubali sana dogo hujawahi kosea single zako zote kaliiiiiiiiii👍🏼👍🏼👍🏼
Wangapi tunamkubali Kayumba tujuane jamani mwemweeee
I just can't do without this song, aki kwa kweli imeniweza sana..... big up sana kayumba x linah for the good job kama wakubali wimbo huu gonga like
"umeniweza" kiukweli hili goma ni fire.......! 👌🖕👍🤝👋👋
What does mean umenweza guys and which Country this laungage pls tell me someone nice vioce
🔥🔥🔥
Nijivunie nani kama si wewe abduli Wang mie hawa mtoto wa kirangi
Jamani kupendwa laha
Dada linah umejaliwa sauti
Wow i was waiting for video thank you so much we love you so much 😍😍❤❤🇱🇷 kamauna mkubali like yako hapo chini👇
Unakisu kikali kula nyama usijali❤❤😂,mstari umeweza😅
Hapa mwanzo ty ndo patamu tlivuka viuz pamoja kwakushikan mkono daaah
Always watching his songs with English subtitles coz I don’t understand Swahili but his lyrics r superb 👍love all his songs so much ❤
Me too bro
How do you watch with subtitles?
Just got to know this wonderful song 3 years later....I love everything about it
Linah love you more😍😍
HONGERA SANA MDOGO WANGU ENDELEA KUPAMBANA!
Nawapendah nyiiee watyuu bonge la nyimboo na video kalii piiaah
Kayumba is so underrated. Guy so talented jamani. Much love from 🇰🇪
Nyimbo yng pendwa hii
Nyimbo nzuri waimbaji safi linah na kayumba
If you know you are going to make it before the end of 2019, let me see your hand up......🇪🇸🇪🇸🇪🇸
Rapha Meck kaka wenimot
Amazing xanaaa
Kayumba💖💖 Minembwe 🇨🇩
Hili Song ni Mambo mbaya wapi likes za kayumba
King of song kayumba
Wimbo mzuri sana sichoki kuusikiliza.mmeimba vizuri sana ❤❤❤
Huyu dogo anajua jaman nipen like Kama unamkubali kayumba 👌👌
Uuu wimbo unanikumbusha nifumaniwaga na mme wamtu arafu penzi ndolinoga hatali
Ungekufa mbwa wee😅😅😅😅😅 achana na waume za watu
Its reminds how he always calm me down......still holding for you
Linnah has a beautiful feminine voice💖💖
more likely dears💖💖💖💖🙏
Kama wimbo umekukosha gonga like twende sawa ❤❤❤
Hongera dogo..Safi Bss nilikua nakufatilia sana ww na farida amani nilifurah mlivotoka fresh keep up
Ngoma kali nimeirudia kma Mara kumi like zenu
gonga like kama we shabiki kama mmi wa K
"Una kisu Kikali kula nyama usijali ....... Kabla kulala unipige zeze" hapa pananikosha Kama hapa na wewe panakukosha gonga like
Bongo star search imetuletea mtu kipaji kilikua kimenificha uswahilini like if byou like
Haaaa!!!! Hiii ilitakiwa iwe na views milioni tano kiukweli, mziki babkubwa linah we konki nakuaminia, duh dude hatareeeeeeee!!!👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥
Unajua kunichomboza ooooh hodari wakumbembeleza ww pekee umeniza# umeniweza😍😍🇹🇿 like jaman ❤
Nice song 2024 love from Kenya 🇰🇪
Nakuelewa sn kayumba
Kayumba wataelew magom yote makali so Kama madogo wengine nakubal san
Mmmh..nyimbo inanikosha snaa
Umeniweza babaaaa
Nakukubali sana kayumba