I love this song and I can't go a week without listening to it.let me reserve my comment so as whenever someone like it,it will remind me to come back and listen to it again and again.
I was so much in love that I couldn't stop dedicating this song but my ecstatic moments were cut short then I jumped to nipe likizo tu which has been my favorite till today
Hii nyimboo daaah mpka makosa cha kuelezeaa inanipeleka hisia zang mbali sana.... Aslay mungu akujalieee uendelee kutupa Raha mashabiki usikate tamaa uar talented
How I miss my love Brenda when this song was launched. I listened it daily with her. Unfortunately distance and fate made sure that we even forgot each other. Now I can't reach her or know how she's doing. Life is continuing but how I misse her whenever I listen to this song.
My big brothers used to listen to the songs of this guy, but I didn't know kiswahili and asked them the meaning and here 2023 still listening to his songs ❤
Aslay I love ur songs..I am ur biggest fan.. hii nymbo kubwa sana, naomba uipe nafasi kwanza mpk mwakani ndo uendelee na system yako ya back to back 💕💕💕...#keepiingthegoodmusicalive
kazi nzuri sana Aslay, keep it up...nyimbo zako nahisi zinaongozwa kwa kusikilizwa na watu..umewapatia watanzania, unaimba mashairi watu wanayotaka kuyasikia...m your No1 fun.
Mmm jamani muko wapi mbona najiwona nimimi tu nasikiliza hu wimno .. naweza kula chakula maramoja kwa siku ila niusikilize hu wimbo mara 25 kwa siku .. gonga like kama tuko pamoja big up
wasanii mjaribu kua wabunifu, Wema mara lulu kila msanii anaimba...au ndo wanawake mliona wazuri Tanzânia nzima maana na boa, mara nyingne hua najiuliza huenda mnalipwa na hao wanawake ili muwataje maana otherwise mnaboa #we need changes from the game
LYRICS Natamba natamba aah Kilicho nishawishi upole wako na heshima yako Wazazi wangu wame kusifia sana kwa tabia yako Sura yako ya upole inanivutia aah shepu twiga Mwenda pole najivunia aaah Ooh tupeane mapenzi iwachome eeh Na kama namba waisome eeh Ata tukigombana wasione eeh Washike jembe wakalime eeh Mapenzi mazurii wakutane wawili wanao pendana sizidisha washauri watasababisha tuje kugombana aah eeh Aaaaa eeeh angalia shepu aa eeh Ka Wema Sepetu aaah eeeh angalia jicho aah eeeh Hamisa Mobetto aaah eeeh ka rangi kake aah eeh Elizabeth Michael aaah eeeh yani we mrembo aaah eeeh wah rai Nachukua jiko we ndo wangu wa milele (milele) Nauza dagaa ili ninunue motorcar nikuridhishe Unanipa furaha na nguvu ya kusaka chapaa nisikuangushe tuna nyota ya adamu na hawa ooh Tunavyopendana ata wakituchukia ni sawa ooh Tu aminie mama wanaona umenipa dawa ooh wanaongea sana chunga usije kuota mbawa ooh ukaniacha dilema watabili pewza penzi litafika mbali(nitacheka kiingereza) Ndo maana nacheza ya watu natupia mbali jamani watabili pewza penzi litafika mbali ( kwa kweli amtoweza) ndo maana nacheza ya watuy natupia mbaliu (basi bebi nikumbatie) aah eeeh Aaaaa eeeh angalia shepu aa eeh Ka wema Sepetu aaah eeeh angalia jicho aah eeeh Hamisa Mobetto aaah eeeh ka rangi kake aah eeh Elizabeth Michael aaah eeeh yani we mrembo aaah eeeh wah rai Nachukua jiko we ndo wangu wa milele (milele)
2024 nimekuja kuiyangalia tena aisee masterpiece kabisa 😊
Nimerudi hapa 16/4/2024 akii sikuwa nakubali kipindi hicho ila mwaka wa 2017 aslay alikuwa juu ya wote Tz 🇹🇿❤
I am here January 19. 2025
Aslay tuko na wewe hadi 2024 jaman naombeni hata lake
Ñipe like kama unatazama wimbo huu 2023-2024
au waziri mkuu wa SHILAWADU. ......hadi nimemaliza MB za 1000 natazama huu wimbo hafu bado moyo unataka tu yani wewe Asaly 🔥✔
ngoma kaliii
Devid Maige download nyimbo uangalie utasave MB
+Ahmad Musa NIMEKUSOMA
Kwamba kilichonifanya kunivutia ni upole wako na heshima yako dah asanteeeeeee hatariiiiiii balaaaaa nimekukubali
I love this song and I can't go a week without listening to it.let me reserve my comment so as whenever someone like it,it will remind me to come back and listen to it again and again.
Asante sana wow beautiful song keep going🤗
Wewe sio team fulani fulani ila wewe ni team kivyako vyako big up kama unamkubali Aslay gonga like moja twende kazi
shikamoo asly
nyimbo ipo Gud sana jamn inanifanya nasikiliza mda wote ongea kaka
Good
❤❤❤❤❤❤
How many are here just to rewatch this natamba video by aslay. Kenyans love you bro
Kama ndo unaitizama tena gonga hapa like
Wangapi tuko hapa Hadi wa Leo 2024
Sisi apa 😅bwana wee nyimbo za zamani nzr San
20240 nipo hapa from rwanda❤
Aslay siku zote, nmejikuta huku nkisaka kama ametoa kipya
Old and new than the latest love songs
Nipo
Kama watch huu wimbo 2024 gonga hapo
Nipo hapaaaa
I was so much in love that I couldn't stop dedicating this song but my ecstatic moments were cut short then I jumped to nipe likizo tu which has been my favorite till today
Nipo hapa 🎉
❤❤❤❤
Here I am October 2024
daaaaah asee Tanzania rahaaaaa
Hussein Remmy raha sana
Hussein Remmy tena sana
Hussein Remmy tena sana
Asha Zitto haahaaa asha seen you
Hussein Remmy nimeona kaka yangu 😀😀😀😘😘
HE'S blessed...kazi nzuri sana ...no need to dislike
Mercy nice comment
Kama unaiangalia mwaka 2024 weka like
B🎉and
Hii nyimboo daaah mpka makosa cha kuelezeaa inanipeleka hisia zang mbali sana.... Aslay mungu akujalieee uendelee kutupa Raha mashabiki usikate tamaa uar talented
Listening ndani ya United Kingdom Aslay wewe ni next big thing!
Kuna watu wanachezea akili yako hawakutakii mema🙏
hehehe uyu aslay mfungieen maaana duuu sio poa misiba kila sikuu hehe respect mnyamwezi ngoma kali
Wanao amini kuwa wata tizama tena huu wimbo hadi mwaka wa 2030 tujuwane kwanziya leo❤
Kasemaje nasemaje ❤❤❤ my 🇹🇿 county people nawapenda sana big up kwa darasa.
Hivi ndio sasa nimeanzakupendwa ,wakati huu wimbo ilitoka sikua n mtu nimeweka moyoni kama Sasa🤗🤗❤️❤️❤️🇰🇪
Aslay anatamba kweli kenya big up kaka hit after hit yaani bumper to bumper 👏🏽👏🏽🙌🙌
Kwa kweli nyimbo za aslay zina mmbo za kutuliza roho ata kama uyuko in moods unafil to umechangamuka
How I miss my love Brenda when this song was launched. I listened it daily with her. Unfortunately distance and fate made sure that we even forgot each other. Now I can't reach her or know how she's doing. Life is continuing but how I misse her whenever I listen to this song.
Pole my brother.i feel for you....
@@peterodhiambo8096 thanks bro, I'm okay now.
wasikufananishe na beka wew nilevel nyingine kabisaaa aslay aseee I appreciate you mo than beka good work brother
Mmmmmmh asly kwahii ngoma mwangu umenigusa sana mungu azidi kukupa maujnja mkuu ktk kazi yako
Dgo unajua sana
sana
Kali sana bro
My big brothers used to listen to the songs of this guy, but I didn't know kiswahili and asked them the meaning and here 2023 still listening to his songs ❤
waaaaah OK ya this Tz guys must name wema kwa song,nilikuwa napita 2
she is the sweathart of Tanzania
#wemaspetu
Lucy Wanjiru she deserves it..
Afiiiiiiìiiii sana asray
Nakuamini hujawah kufany ujinga
Mussa Tendeli oooooh OK thn
Aslay I love ur songs..I am ur biggest fan..
hii nymbo kubwa sana, naomba uipe nafasi kwanza mpk mwakani ndo uendelee na system yako ya back to back 💕💕💕...#keepiingthegoodmusicalive
Katabiri pweza penzi litafika mbali,ndo maana nacheza ya watu natupia mbali #Huu wimbo Nyoko
siyo razima amzime mond
umesahau hii nacheka kingereza tamu mno
+Tusa Jighwe ľ
hahahaaaa umenisaidia sijuag anaimba nn nasikiaga pweza tu...
Aslay ongera Sana Kenya twakupenda Sana nyimbo zako ni tamu kabisa
kazi nzuri sana Aslay, keep it up...nyimbo zako nahisi zinaongozwa kwa kusikilizwa na watu..umewapatia watanzania, unaimba mashairi watu wanayotaka kuyasikia...m your No1 fun.
Aslay napenda sana music
Voice formidable.
RDC,Kinshasa poa
2025 anyone ❤❤❤
Am here💃
Here i am 20th jan
29 January ❤❤❤
Am here 31/1/2025
My fovourite bongo star big up broo!!
We ni fund daaaaa anakosha nilienda club nilipockia nyimbo yako daaaa nilicmama kwenda kuchezaaa big up bro
yan napenda unavyo imba kaka upow pow sana mungu akuzidishie mara 1000000000
abidon ndumieni @ kwahy mbinguni mpenziwako wa kizaramo
Wa kenya 🇰🇪 nipeni likes kama iyi ngoma kali🙏
MJ Rex Band we repping
MJ Rex Band kali zaidi mm ni shabiki mkubwa wa aslay from +254 tupo tunaendelea kusaport ngoma zake2
Noma sana aslay
Kali I say nakuunga mkono nikiwa +20
MJ Rex Band kali zaidi ya sana
Wazazi wake hawakuwahi kunipenda wala kuni furahia ila alipenda kuniimbia haka ka song ,ila roho ilikuwa ikiniuma sana😢😢
ndio #3 on trending mtoe domo hapo #1 on trending kufika jion atakuwa ametoka naaamin
Godfrey Kanelela SAA hii no mbili..hakika amtoe
this song makes me to remember my love....big up aslay Kenya twakupenda xana au siyo wakenya
Kweli kabisa 😁
,💖💖
Yira folk
N kweli
Kabisaa
Mmm jamani muko wapi mbona najiwona nimimi tu nasikiliza hu wimno .. naweza kula chakula maramoja kwa siku ila niusikilize hu wimbo mara 25 kwa siku .. gonga like kama tuko pamoja big up
Tupeana mapenzi iwachome,
Na kama namba waisome,
Ata tukigombana wasione 🔥
doh we aslay una balaaa upojuu wapi likes za aslay kwa Kazi nzuri anazo tupa 🙌🙌🇹🇿✅🔝
safiii
hatari
Kazi nzuri sana Aslay,,,, DUH!! 👏👏👏 karangi kake,,,,,,, nimependa hii haki ya mama 😍😍😍 endelea kutia bidii kaka,,,,
wasanii mjaribu kua wabunifu, Wema mara lulu kila msanii anaimba...au ndo wanawake mliona wazuri Tanzânia nzima maana na boa, mara nyingne hua najiuliza huenda mnalipwa na hao wanawake ili muwataje maana otherwise mnaboa #we need changes from the game
Hot song ..Aslay upo vizuri sana
Pendaaaa xnaaa song
Dogo uko vizuri endelea kukaza na kuomba mungu
Hapa aslay alitisha Sana kudadeq hatari sana aaaaaaaa natamba
Pole aslay everything will be fine kwanini wafungie roho mbaya kwakwel
Aslay ako juu bana mapenzi ya Kweli ukutana wawili wanao pendana tusidizishe washauri watasababisha tuje kkosana jamani 254 gonga 👍👍👍
very true
0706581818 nstue ak
Daah this guy is so talented🔥
I don know why he is not trending international
daaaa huu mziki umenikumbuxha mbali kdg but kaz zur pongez anaxtahr
I like tha song too so touching
Jambo. Aslay ikowapi kwasasa.atumuskii .sisitunaishii Congo. Natunampenda sana
Niko kenya lakini Aslay ako m
na kazi nzuri
dogo huko vizuli komaa uwashike wasikutishe hunaweza hamnia
Nice
Aslay...you make me believe that love still exists....Your songs....wallahi zinanigusa...
Basi baby nikumbatieee mamaaaa.....we ndio wangu wa milele...#kufdead
Angalia chepu ya Wema Sepetu , angalia jicho Hamisa Mobetto, karangi kake Elisabeth Michael ,Yani we mrembo. Can play this song all day
imetulia hapo mdada
balaa yaani ni moto
Izi nyimbo zishakuwa zilipendwa duh maisha yanakwenda kasi😊
Ngoma kalii Sanaa Kama unamkubali aslay like za kutosha hapa
ila huyu dogo ni fundi dah!!
Shamsa Ally upo safi sana
Anatisha kijana
namkubali sana
waho natamba
Aslay wewe ndio yamoto bendi peke yako lakin lile group ni yabaridi bandi hongera
Wow duuhh walizani kwenda ku shitaki youtube ndo wataweza
yuko poa dogo
Tz musics z no doubt the best in Africa, lyrics, nice swahili, air fresher.. Kenya mpo wapi?????
Am in US..swahili is my first lg but i ts a long time since i left TZ and i looove this african tune!! Big up
aslay nikama ndio alibeba yamoto band..👏👏👏
Penda sana
Kweli kweli
Una kipaj sana Kali sna hii...Fanya kuongeza elim pia mapema ili usikose nafac zaid
This was the song my wife sang for me when we were dating ,we now have two kids Kai and Hailley and still the bond is a Giant one. GOD BLESS YOU ASLAY
Jamani nani kama aslay...... Gonga like kama unamkubali PAPA WA MUSC
Hiii ngoma imeshukisha #Checheeee
BONGE moja ya ngoma.... Big up sana 👊👍@aslay
Riso king ,,, sio chechee tu,,, hata hallerujah imeshuka...dadek
Riso king
Umeamini sasa tofauti ya kazi na manenooo
sasa huu wimbo uchi uko wapi? watu na chuki zao, Big up aslay wimbo tamu sana
Julia 1989 mashallah japo yaniumiza roho 😙
Julia 1989 kupendwa raha lakini kutwenda
W
Nakumbuka xaan hiyi song ilikuja kama muoto wallah ni kali so love from AC SIZE ❤️❤️🙏🏻🙏🏻
Nani yuatizam 2021 kam mie jmn shusha like twende sawa maan ni nyimbo nzur mno ktk nyimbo za aslay
💪👌
Tuko p1 usijal
Mimi pia mmoja wapo 2021
wapi love from the 254, twapenda mziki yako sana ASLAY
Nakupenda bure
Ngoma kali mnoo asly
Songa Frankline jaman na Aslay anakuwa anava misalaba ndo dunia ya mwisho
Legends live forever,aslay love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Hongera dogo aslay nyimbo zako nzuri
Kwa sanaaa tuu aslay safiii sana
Yani mpaka leo bado naiskiliza mdogo angu hii nyimbo kal Sana,,,big up
I don't know why but there's something special with music from Tanzania. I love all songs from TZ....it's an addiction 😍😍
Faith Makena where are you from?
I'm from KENYA Josee
redress ese0pp@@joseecontroversial8720 awe
Hi
It's the Swahili and unique composition of lyrics, I think so 😊
wa tz tunaombeni tubadilishane mtupe aslay tunawapa kaligraph na pesa tunawapa juu
mudy ally yeah neah
mudy ally we we,nikari
Kaka kabisa nagupongeza sana🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤️❤️❤️❤️
Kama una mkubali aslay gonga like
Irene Lukosi i
uko juu to sana
Irene Lukosi I
Hii ngoma huwa inafanya niweke repeat mode...i have never got enough of it😍😍😍
Big up asly..ungetisha zaid angekuepo wema and lulu 😍😍
Mm nawatch 2024 nikiwa Kenya 😮😮 huyu jamaa aliedanga wapi navyenye ako na talent
Tafuta international lavel tz tayari umetoboa
LYRICS
Natamba natamba aah
Kilicho nishawishi upole wako na heshima yako
Wazazi wangu wame kusifia sana kwa tabia yako
Sura yako ya upole inanivutia aah
shepu twiga Mwenda pole najivunia aaah
Ooh tupeane mapenzi iwachome eeh
Na kama namba waisome eeh
Ata tukigombana wasione eeh
Washike jembe wakalime eeh
Mapenzi mazurii wakutane wawili wanao pendana
sizidisha washauri watasababisha tuje kugombana aah eeh
Aaaaa eeeh angalia shepu aa eeh
Ka Wema Sepetu aaah eeeh
angalia jicho
aah eeeh
Hamisa Mobetto aaah eeeh
ka rangi kake aah eeh
Elizabeth Michael
aaah eeeh
yani we mrembo aaah eeeh wah rai Nachukua jiko
we ndo wangu wa milele (milele)
Nauza dagaa ili ninunue motorcar nikuridhishe
Unanipa furaha na nguvu ya kusaka chapaa nisikuangushe
tuna nyota ya adamu na hawa ooh
Tunavyopendana
ata wakituchukia ni sawa ooh Tu aminie mama
wanaona umenipa dawa ooh wanaongea sana
chunga usije kuota mbawa ooh ukaniacha dilema
watabili pewza penzi litafika mbali(nitacheka kiingereza)
Ndo maana nacheza ya watu natupia mbali jamani
watabili pewza penzi litafika mbali ( kwa kweli amtoweza)
ndo maana nacheza ya watuy natupia mbaliu (basi bebi nikumbatie) aah eeeh
Aaaaa eeeh angalia shepu aa eeh
Ka wema Sepetu aaah eeeh
angalia jicho aah eeeh
Hamisa Mobetto aaah eeeh
ka rangi kake aah eeh
Elizabeth Michael
aaah eeeh yani we mrembo aaah eeeh wah rai Nachukua jiko
we ndo wangu wa milele (milele)
OsooAbina ok,nc nc nc 👍
OsooAbina waoh
hatariii,uko vizur Mdogo angu
hapo sawa iko juu sana
nice
Nyota yako ita shine more and more coz you are a blessing for the next generation, tamba sana tu, LOVE from Belgium.
X
Ngoma safi,sauti nzuri Kenya tunakutambua na uendelee kutamba
Sijui kwa nini wimbo huu unaisha haraka hivi...naweka nikigeuka hivi kidogo napata kameisha...yaani nimeshindia hiyo siku yote.
Karen Gatwiri ...hata mimi jamanii. .😃😃😃😃
Nomare,safsana...
One love from 254
Ndo maana nacheza ya watu natupia mbali,hii corona imefanya ni watch ngoma za kitambo manze who is with mi?
Huyu jamaa alikuwa msanii mzuri cjui alikwama wapi dah jamaani
Wayaaa,, wakenya wenzangu gonga like hapa👍👍👍
well-done!
+Othman Yahya ipo poa Hongera kwake
we latipha, jina la mtto Wang karb Tanzania
Safina Salim Asante,,, Nimekaribia
tusizidishe washauli
duuh ngoma Kali jamani kiukweli Dogo anajua mbayaaa gonga like km unamkubali kwa asilimia 100
love
Nmeskiliza hii nyimbo takribani na mara ya 18 sasaiv mfululizo
angalia jicho hamisa mobeto
Dogo unaweza mungu akuzidishie
Rest in Peace Martin Kamalamo. Rafiki ako alipiga hii ngoma usiku kucha kwenye msiba wako huku akilia. That's what i remember
This drop out is so so beautiful. Cant feel tired of listening. Good work. Aslay you up in the air. No body can say no.
*Kenya tunaikubali*
Alex Mulwa hi
Alex Mulwa sana tuu
Kama umeipenda hebu tabasamu kwa kingereza ❤️❤️❤️❤️
jeanne charles
Hohoho
jeanne charles
Kwakwel this is my favourite song..I just love it. I wish ungekuwa umeimbwa na mwanamke kwa mpz wake. weldone Ashley
jeanne charles Hahaha nmecheka kabsa
Walai this song never gets old 2023 pap
Tamba baba, fire fire fire
Goodness what a great song...awesome lyrics...brilliant mind...Piga show Nairobi ...
2022 I am here feeling every word in this master piece.
Live long Aslay. You are a legend 🙌🏽
amen
Huu wimbo unanikumbusha zanzibar