Dah kiukweli jolie iinyimbo inaniliwaza Sana ktk nyakati za mawazo naipenda Sana nimeamua ku give up ktk mpnz niwe single mpnz yanaumiza Sana ACHA NICHUNGE ULIMI WANGU USIJE UKAPONZA KICHWA
wimbo ulionifanya nikawa chizi kipindi unatoka na nilikua very stress za x 😩😩😩😩🥺🥺ulinipa nguvu na kuanza upya kweny mapenzi asante jolie 😫😫😫😫😫acha nichunge ulimi wangu nisije nikaponza kichwa 😩😩
Jolie nakupenda napenda sauti yako napenda kila kitu unakipaj sana mungu akutangulie na akuongoze katika kila kaz zako wewe n star nakuona mbali sana 💕 💕
kwa Mara ya kwanza kabisa nmekufata you tube kuchek hii ngoma maana nmependa melody yake na jinsi ulivoimba actually unastahil support yetu Dada jolie kaz nzur umefanya. big up.
NILITOKA MACHOZI MWANZONI SASA NIMESHAZOEA.......... NIMEAMUA NIACHE MAKERERE MPAKA SIKU UKAE UNIELEWE KWAMBA MIMI NDO YULE..... Nakukubali sana sister angu.
Mama sasa tumalize maana akuna binadamu asielewa mziki wako kwa sasa mchawi pekee ndio atakae shindwa kuuelewa mziki wako maana mpaka wanyama wanatikisa mkia. Unatisha sana
Hongera sana Dada, Kazi nzuri..Ombi langu ni lile lile USILEWE USTAA MAVI MAVI, you are just one of our very own future female artist tunayekutegemea dear.
Huu mziki ni mzuri sana Jolie, jitahidi usome comments za watu hapa, wana ushauri mzuri, utakufikisha mbali. Kamatia hapo hapo aisee. Angalau sasa nimepata msanii Wa kike Wa kumkubali, maana kwa mda mrefu sana nimekuwa na Wa kiume
Km mtu humtaki bora uondoke fuata huyo unayempenda kuliko kukaa na kumuumiza mtu innocent ,Jolie big up Dadangu Kuna watu wenye tabia km hyo yamekaa tu they don't care about others feelings ,
Ucje ukaja kuringa wala kupata kichwa kua na heshima na kila mtu unajua sana mziki big up nakupenda sana unajua mpaka unakeraaaaaaaaaah cjawah ichoka hiii
Japhet Elius dada upo vizuri Sana hii nyimbo hinaniumiza Sana yametokea kwangu nikisikia naipenda Sana na nikweli nimeandika taraka Kwa vidole vyangu tusizinguane naangaria Maisha Mengine Kwa sasa nakukubali sana
i wish nothing but alwys best for you...!! pure melody... full mashmash kama umenitungia mie aka kajimbo...!! sema unaanza vizuri usituvuruge uko mbele...!! love you so much
Nyiee Hii Nyimbo Ni kali Wangapi Tume i search 2024 ? Like here
Uwa haichuji kali saana
Hata leo hapa naisikiza❤❤❤
Dah naskiliza sana
Niko hapa naisikiliza leo tareh 26 April 2024 😊❤
Wale ambao tunaskiliza 2024 tugonge like hapa
Dah Ii htr sn
Huyu dada yukowapi jaman 😢
Here 2024 still nice to listen
dah! hatimaye its out...like kama unafikiri huyu dada atafika mbali kimuziki
niceeeee😍😍😍😘
Namuombea kwamungu azid songa mbele
pp
good mam
Nakupend aaaa jolie na ww ndo queen w bongo...
Kila nikiingia ndani mke wangu anaweka hii nyimbo sasa nimeelewa nini anamaanisha
Ahahahha,,
Inafundisha sana
😂
😂😂😂😂😂
Hongera mungu awalinde
Leo hii 02/03/2024
Bado naisikiza kwa hisia kali naona inaenda na tukio linaloendelea na Baba watoto wangu😥😥
❤❤❤
Tuko hapa 2024😊
Inafundisha Sana wallah tena tunazmia na ii nyimbo wanawake
Dah kiukweli jolie iinyimbo inaniliwaza Sana ktk nyakati za mawazo naipenda Sana nimeamua ku give up ktk mpnz niwe single mpnz yanaumiza Sana ACHA NICHUNGE ULIMI WANGU USIJE UKAPONZA KICHWA
ase jolie hii nyimbo kwa siku moja huwa naiplay mala mia from 🇨🇦🇨🇦 we love u
RIP JOLIE😢😢
Hadija Angura 😳😳😳
@@hadijaangura6572 weee n Jessy ndie alifariki uyu n mdogo ake
Ntumie audio kipenz kwangu nikidonwload inzngua +255 679076886
Ah mm lazima kila siku niskilize huu wimbo naukubali kinyama
wimbo ulionifanya nikawa chizi kipindi unatoka na nilikua very stress za x 😩😩😩😩🥺🥺ulinipa nguvu na kuanza upya kweny mapenzi asante jolie 😫😫😫😫😫acha nichunge ulimi wangu nisije nikaponza kichwa 😩😩
Ahhahhhhaa
Sasa umepata umpendae
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
This is obviously one of the biggest tunes of our lifetime. Mad L❤️ve for Jolie.❤️❤️❤️❤️💋🌹💐
Pole mpenzi
Wakati wa Mungu ndo wakati sahihi😢Dont give up baby🎉
Jolie nakupenda napenda sauti yako napenda kila kitu unakipaj sana mungu akutangulie na akuongoze katika kila kaz zako wewe n star nakuona mbali sana 💕 💕
saut nzul xn nikiwa bunju
Good job
@@karumegood9190 nyimbo kubwa sana hii sema mziki wa bongo hauna thamani.ingekuwa ulaya kwa single hii moja ingempa hela za kutosha sana
kwa Mara ya kwanza kabisa nmekufata you tube kuchek hii ngoma maana nmependa melody yake na jinsi ulivoimba
actually unastahil support yetu Dada jolie kaz nzur umefanya.
big up.
Aziz Aza
nampenda sna dda angu huyu nae mashaallah unasauti
Khadija Mbuta Nipe sub back tuwe marafiki
nakukubali ngoma🔥🔥🔥
No shiida
Kama kawa
I love you jolie
Jolie...I love u gal..hutumii nguvu kwenye kuimba kwako and it's just perfect...go girl
NILITOKA MACHOZI MWANZONI SASA NIMESHAZOEA.......... NIMEAMUA NIACHE MAKERERE MPAKA SIKU UKAE UNIELEWE KWAMBA MIMI NDO YULE..... Nakukubali sana sister angu.
Its so amazing nc song
sio makerere ni makelele, makerere ni chuo kipo Uganda!!
BROWN WAYA niceeeeee
@@allenkalalu6006 hahahahah bg up
BROWN WAYA nice
Mama sasa tumalize maana akuna binadamu asielewa mziki wako kwa sasa mchawi pekee ndio atakae shindwa kuuelewa mziki wako maana mpaka wanyama wanatikisa mkia. Unatisha sana
😂😂😂😂ww fara kwl haahaha
Nakuelewa sana jolie
Hongera sana Dada, Kazi nzuri..Ombi langu ni lile lile USILEWE USTAA MAVI MAVI, you are just one of our very own future female artist tunayekutegemea dear.
Wimbo mzurrriiiiiiii Sana❤️❤️❤️❤️😍😍😍
Ujumbe mubashara.
Angesoma huu ujumbe wako man @Godwin Benedict
Aaaa iii mav mav haaaaaa
Ila we dada ni noma 🔥🔥🔥🔥🔥Unaimba napenda nyimbo zako uwiii 😍
Haka kawimbo kana vibe since 2018 hadi leo 2024/07/25 naombeni likes
Kiukwel nakukubali xana jolie, na napenda xana ngoma zako!! Kaz nzur keep it up ma sister
Mmmh Mbnaaa kuimbaaa mim
Aimaanisii
eebhana ee uko vzr dada angu, sauti hiyo daaah ``.....`` naipenda kazi yako.
This is what i was looking for the past 2 weeks, i was just listening to the radios.........i love this song Guys Thumbs up 🤪😚😍
Arnold Alphonce love
Hii nyimbo kali kama imetoka leo ❤
kusoma sijui hata picha nisione kazi nzuri sana sana Julie
Umenifariji sana na maneno yako dada anguu
Ebana ee wemdada unajua San keep it up ngoma kalii 🔥🔥🔥
Otile brown brought me here...this is perfect stuff.❤
Safi sana wanawake mnafikisha ujumbe kwa wanaohivuna
2024 n damn gal is talented 😊👏🏻
Well done Jolie...
Kazi tamu kabisaaa hii.... Asante kwa kutuletea good music...!
Daaah jolie unaweza ngoma yako ni kali, suchokii kuingalia hii video
Video kali mke wangu😍😍😍
Nimeamua niache makelele mpka cku ukae unielewe kwamba mm ndo yulee haimanish
Jolie nakupenda
umenifanya niisubiri saana hii video jollie so vzr hvy
Huu mziki ni mzuri sana Jolie, jitahidi usome comments za watu hapa, wana ushauri mzuri, utakufikisha mbali. Kamatia hapo hapo aisee. Angalau sasa nimepata msanii Wa kike Wa kumkubali, maana kwa mda mrefu sana nimekuwa na Wa kiume
unaweza dada chamusingi usizalau wasani wadog watakaokuomba ufanyekazinao
Donatus Medard Bifandimu hata Mimi aisee
gonga like hapa kama umemwelewa Jolie
Wimbo muzuli
Nice
sanaaaa but it's so pain too kwa kuskia kifoo cha Dada akeee Jessie jmn it's too painfully
Noumaa sana
Gud sn
Haijirudii tena ngoma kali km hii kwa Jolie (Babkubwa)
Km mtu humtaki bora uondoke fuata huyo unayempenda kuliko kukaa na kumuumiza mtu innocent ,Jolie big up Dadangu Kuna watu wenye tabia km hyo yamekaa tu they don't care about others feelings ,
Beautiful music, Nairobi tunaikubali sana
Sauti nzuri sana, with love from Bagamoyo
mangesani kiukweli huyu dada anajitahidi ila sijui kwanini havumi sana
Nadhani wakati wake umefika, support muhimu
Mimi nilitokwa na machozii zamanii now nimeshazoea mikiki ya mapenziii 2021 baby oooooyyooooo let's support good music
Jolie hakika wewe nimzuli jaman hongela kwa nyimbo nzuli
hongera sana ...bora niuchunge ulimi wangu isije ukaponza kichwa
nilikuwa nasubri sana hii video 🙏🙏🙏 asante sana
naikubali sana hii ngoma 👏👏👏👏
Daaah naona kama vile umeguza hararii🥰🥰🥰🥰❤❤❤
Ucje ukaja kuringa wala kupata kichwa kua na heshima na kila mtu unajua sana mziki big up nakupenda sana unajua mpaka unakeraaaaaaaaaah cjawah ichoka hiii
Wewe dada sikujui ila u kill it sooo nice song.yaani siuchokii kila siku naugalia
Mambo n moto..... Mambo n fire. Luv u #JOLIE
Masikini pole mamie usilie sana Jolie muombee jesse apumzike kwa amani, amekuachia katoto kama kumbukumbu akuite mama na si mamdogo.
Hii nyimbo jolie aliwaza mbali Sana good 2024 🎉
Jst came across over this....don't understand the language (kiswahili)BT she sounds so sweet.....straight away 4rm Uganda😍💯
Ninacho kuomba Dada j usivimbe kichwa kama wale wengine bonge la zuku lumba hili hakyamungu.
nakupa bigup zanaa Jolie,bt naamin ukijulikan zaid utajishebedua kua we ndo zaid ya wote usifanye hvyo dadang,gonga kama ndo kwel
nice song
Huyu mdada yuko wapi. She's talented. It's been too long
💓💓💓💓💓 mwaaaaaaaaaaaa Jolie amegusa moyo wangu
Kumbatia uongo ila ukwel utakuponya
Da, penda sana nyimbo hii
#kama
Uliona kapoct
He nyimbo jana
LIKE_____hpa
#NGOMA___IKO__POW
Japhet Elius dada upo vizuri Sana hii nyimbo hinaniumiza Sana yametokea kwangu nikisikia naipenda Sana na nikweli nimeandika taraka Kwa vidole vyangu tusizinguane naangaria Maisha Mengine Kwa sasa nakukubali sana
Sawa sana siz from +254 twakupokea kazi safi,sauti waaaaaa
Nzur sana nataman kufanya nae kaz na mm kwasababu ni mwimbaji mzur sana anaweza jaman jolie bas sijui ntafanyeje nfanye kaz na ww
i wish nothing but alwys best for you...!! pure melody... full mashmash kama umenitungia mie aka kajimbo...!! sema unaanza vizuri usituvuruge uko mbele...!! love you so much
hongera sana mdogo wang......kichupa Kiko vzr kinoma noma
Naipenda Sana hiiii nyimbo coz kukaa kimy ndy jibu la Maanaaaa Sana
Duuuu jolie ameimba vizuri sana na anaonekana kua atakuja kua mwingine apo mbele naipenda sana uu wimbo god bless #jolie
joliee sichoki kusikiliza wimbo wako hongeraa
The next big thing.Napenda nyimbo zako.much love from 254
Naumia sana nisipokuona unatoboa aisee. Daah unajuwa yaan duuh
Ni noumaaa sanaaa naomba ni ufanye cover huu wimbo jolie please bongee la nyimboo
Can't get enough of this song...Mob love from kenya😍😍😍
the song is dope mama....the kitenge thing thou its amazing🔥🔥
Nakupenda San ❤️❤️
Daah mama ur on fire nyimbo Kali sana ila views wachache km wewe una amini km mm gonga like hapa Jolie anajua
wewe ni maana ya mziki mzuri✌👏👏👏
nakupnda ww na mzki wakoo
Kazi nzuri hongera sana kwaka bug up
Ah wimbo mtamu sana. Nimechelewa kuujua. Una bang kwa head yngu kila wakati
Kumbatia uongo ila ukweli utakuponya aaaaah 💜💙💛💚💓💝
KAMA unaaMini Hi NGOMA Ni KUBWA NA ITAWAPA TABU SANA MABINTI GONGA LIKE HAPA😋😋
😁😁😂
Sana tyu
Nixon Lema qaliiii
Umejuaj hahaha
Ni hataree!!! Nakubari sana
Huyu dada namkubal asilimia zote yaan Kila ngoma yke anayotoa Mmwaaaaaa
I'll view and enjoy this beautiful song everyday and i don't know when i 'll stop...!!! Ts now 3am ila mpk Dawn 🌇 nta review 😊😊😊
I listened this song many times, nice song
Iko poa sana wadada mjipange kwenye tasnia hii ya mziki wa kibongo
This is the kinda artist I need, you are so perfect sweetie keep on doing good works. Yn unajua
super talented she's the next big thing in the 255
Wow hapa umecheza kiwewe...umeniweze
namkubali kwa %100 na atafika mbali sana kwaninyimbo zake ninzur
keep up the spirit lady,ur tone of music is lovely and sweet....
Jolie, always on point!
Amazingly talented, great song. :)
Kali sna
Jolie Jolie....Kali sana
aya sasa..wadada wanaoimba bongo wajipange maana huu mi moto mwingine ndani ya industry ya bongo flaver
nimependa xn wimbo wako na sichoki kusikiliza
Wht a beautiful song
Nimeamua niache makelele eyaaaa asante Jolie nice message
Sichoki nimeangalia hiki kichupa hadi mb na chaji zimekata ustuangushe jolie nakupenda sana
You’re amaaaazing 🙌🏾
Kwann hii ngoma Aina views 1m
Thanks mumyy wimbo mzuri kwakweli sichoki kuuckiliza
Ukiachana na ujumbe uliowekwa katka mashaili ebu sikia saut iyo love you jolie
Mad love from Kenya to you Jolie.. I listen to this song on repeat every single day and I love it
mimi niltok machoz mwanzon nw nilishazoea🔥🔥🔥🔥 lol....jolie nkupnda buree....haimanishi....
Nyimbo nzuri sana
Nakupenda Sanaa mdogo wangu.. Na unasaut nzur Jolie
now nshazoea like kama umeachana Na mpenz wako kama Mimi means now upo single
I love this song to the moon n back...
am here again July, 2019