Nilisha wai sema huyu kijana ni muimba mziki mzuli unao elimisha ila sisi mashabiki tunapenda ngoma za mapenzi kuliko hizi zinazo elimisha hongera sana kijana Songa mbele bila kujali maneno ya wapinzani wako mashabiki tubadilike hizi ndo nyimbo ❤❤❤❤
Kwanza nikupongeze sana yani ile kuwaza tu ufanye kazi na Best Nasso nimekupa 100% huyu ndugu nimoja ya wasanii walio amini mziki wao na kuupa heshima best nasso anajuwa nini anafanya mmeimba vizuri sana hongereni sana miyamba❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Ndio tatizo la tz ngoma za maana azipewe sapoti kabisa Ila matusi wanaojifanya mziki wawawakati ndio wanapewa sapoti bongo akuna sapoti ktk mziki mzuri
Hii hapa Sasa kazi yakimaisha..wimbo wa wataftaj Wimbo wenye ubora na ladha Kwa wapambanaj kimaisha... Wabongo tulivo eti Hiz nyimbo za hivi ndio tunazibania Milango yakuingilia mjini. Bright umelenga sana kumpa kolabo Best naso
Hii ndio kazi nzuri ya kisasa ya sanaa ya muziki haya tuwaone wabongo wataipa thamani gani basi hata wadau wa muziki waachane na maslahi waangali vipaji kwa faida ya kesho ya vizazi vyao
Bright. Never Give up Keep it fight your time is coming soon. Amini katika Mungu ndy kakupa kipaji. Kila mutu na muda wake ni swala la Muda. Nakukubali your talented
Sasa hapa hom boy wangu hcho kitengo kilimkaa Ni hatari ogopa mi nipo tayari kuwaongezea views zaidi ili ngom uende alaf bro bright gem bado inakuhtaji usikae kimy Tena nimefurahi kuiona hii korabo SEMA him boy fungua Basi hcho kijiwe HTA like kwetu alaf umuajri mtu. Kiufupi mmetishaaaaaa mi ntaipushi ngoma yaaan ntashare
Hongera kwa mziki mzuri Kuanzia Bila Mungu sitoboi, Ungesubiri na Nitakukumbuka umekua na idea kali sana za kimziki. Keep up with the hustle ubarikiwe mzazi.
Ngoma zangono zinakaa no 1 on trending afu Ngoma zinazo elimisha zinapuuzwaaa. Jamani tutokomezeee hii kitu tuipandishee hii kaziiii❤
🙏🙏🙏
Kweli hata sijui kwa nn🎉🎉❤
Noma sana❤🎉🎉 @bright @bestnaso#bright#bright
Mm kinachonishangaza kwanini huyu best nasso anaimba vizuri na ajabu hatoki watanzania shida ni nn lakini
@@bright_tz😢😢😢
Tunaokubaliana nyimbo kuwa Ina ujumbe mzurii sana gonga like apa❤
B2k
Umasikini mbayaa bright ft best nasso nyimbo isiyochosha kusikiliza kama umeusikiliza zaidi ya mala 1 gonga like tuondoke na ngoma
🙏🙏🙏
Nilisha wai sema huyu kijana ni muimba mziki mzuli unao elimisha ila sisi mashabiki tunapenda ngoma za mapenzi kuliko hizi zinazo elimisha hongera sana kijana Songa mbele bila kujali maneno ya wapinzani wako mashabiki tubadilike hizi ndo nyimbo ❤❤❤❤
Asante Sana Kaka mkubwa
Tunashukuru sana,Songa mbele
Shoka moja safi linalo kata vizuri. Nipeni likes za Bright tz pamoja bestnaso....this guys never disappoints
Thank you for support
Bright we ni favorite kwangu miaka yote una melody moja nzur sana 🙌🏽 sijawahi ku comment lkn leo nime comment 🥰 hongera Bright
Mungu akubariki sana
Nakubali xana
Kwanza nikupongeze sana yani ile kuwaza tu ufanye kazi na Best Nasso nimekupa 100% huyu ndugu nimoja ya wasanii walio amini mziki wao na kuupa heshima best nasso anajuwa nini anafanya mmeimba vizuri sana hongereni sana miyamba❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Thank you
@@bright_tzumeua sana kaka ukiwa na best naso hakuna jambo lina feki ni utamu juu ya utamu
@@bright_tz 💥💥💥💥songs 🎵 la moto sana
Sinaga kawaida ya ku comment ila hii imebid nyimbo nzur sn very creative
Asante Sana
Ngoma ipo kwa hewaaaaa jamani naomba like 10 zinanitosha wana mara tunajua saaana❤❤❤❤
Umetisha
@@bright_tz💥💣💥💣
Best nasso vocal👏👏👏💥💥💥💥💥
Katisha Sana
Janet Khayosa th-cam.com/video/DinAnx5aMyM/w-d-xo.htmlsi=8lTht-SIaHo5bctR
Mziki wa Maisha Huu 🔥🔥🔥❤️😘 @simpho star✨
Nomaaa
Naso your songs will never get old big up .Burundi tunakusoma
Be blessed Asante Sana
Wasaniii wa tz hakika wameanza kubadilika kama hawa aiseeeh ujumbe safi hauna ata doa nimependa sana ngoma hii❤❤❤❤
🙏🙏
@@bright_tz ❤❤ kazi nzuri sana good job
Good song bright nabubali sana mwananangu uku Burundi tunakupata 100%
🙏
Uyu ndio bright ninayemjua sasa 🙌, Sound good 🔥
🙏🙏🙏
Nakukubali dogo ngoma kali ni hatar
Ndio tatizo la tz ngoma za maana azipewe sapoti kabisa Ila matusi wanaojifanya mziki wawawakati ndio wanapewa sapoti bongo akuna sapoti ktk mziki mzuri
🙏
Bright mbona kipaji kingiiiii brooo, afu unakuaga kimyaaa sanaaa❤❤❤
Sasahivi ni ngoma baada ya ngoma Inshaallah
Bonge la ngoma aseee
Let's gather here and support this guys
Asante Sana
STAR KID🎉 UMASKINI MBAYA SEMA GOMA KALI.
Asante Sana
Janet Khayosa th-cam.com/video/DinAnx5aMyM/w-d-xo.htmlsi=8lTht-SIaHo5bctR
Ngoma kalii sana imenipa hamasa ya kutafuta kwa haki
Yesssss
GOOD SOUND BROOOO NENDA KING MUSIC MWAMBA
Insha Allah
Very nice song,, big up bright & best naso
🙏🙏🙏
Wimbo huu ni pamu yenye onyo kweli kweli Ila nipeni liké yangu djameni
Nice Song,,,,,,,,kwa Vijana wa sasa hivi wanaotaman mafanikio inaelimisha sana
Blessed
Bright and best naso le me give your flowers because you made it 🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺
Be blessed 🙏
Nyimbo ina elimu kweli,hongera kaka zangu
🙏
Ngoma kali sana ndug mungu awape nguvu kila kukucha ❤❤❤❤❤
I Love Best Nasso❣️Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🙏🙏🙏
Ssfiii sana ameimba vzur zaid
Asante Sana
Hongera kwa nyimbo nzuri yenye jumbe nzuri sana🔥👏
🙏
Hii hapa Sasa kazi yakimaisha..wimbo wa wataftaj Wimbo wenye ubora na ladha Kwa wapambanaj kimaisha... Wabongo tulivo eti Hiz nyimbo za hivi ndio tunazibania Milango yakuingilia mjini.
Bright umelenga sana kumpa kolabo Best naso
Asanteee
Hii ndio kazi nzuri ya kisasa ya sanaa ya muziki haya tuwaone wabongo wataipa thamani gani basi hata wadau wa muziki waachane na maslahi waangali vipaji kwa faida ya kesho ya vizazi vyao
🙏
Uko vizur shida dunia imetingwa na mapenzi
🙏🙏🙏
Hii ngoma huwa ina ni inspire Sana shout out kwa mwanangu Bright Tz × Best naso 👊
🚴🚴best Naso sauti nzur, Unajua kazi nzur Ngoma qalii kinoma noma yaani
Kwelii umaskini mmbaya
Nomaaa
Siku moja nitaomba kufanya kazi na wewe bright WA mazonge sasa umaskini mmbaya
Janet Khayosa th-cam.com/video/DinAnx5aMyM/w-d-xo.htmlsi=8lTht-SIaHo5bctR
Nawakubali sana Yani big up
🙏🙏🙏
hongereni sana fantastic song best naso
Asante Sana
Nyimbo itaishi miaka bukuuuuuu
🙏
Nice song,awesome background keep it up Bright and Naso!!
🙏
Bright pamoja sana brother aise ngoma yako nimeielewa mno
🙏🙏🙏
Ngoma hii ipo vizuri sana
🙏🙏🙏
Ngoma Kali sana hii nmekubalii brighty
🙏
Hiri goma kaliii mnooooooooo aisee linujumbe haswaaaaaaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
🙏
Bonge la wimbo hongera sana
🙏🙏🙏
Sema bright na besti naso,,,wametisha sana hawa malejendi❤,,Umaskini mbaya sio matani aiseeeh
Thank you
Janet Khayosa th-cam.com/video/DinAnx5aMyM/w-d-xo.htmlsi=8lTht-SIaHo5bctR
Bongo hili❤❤❤❤❤❤ welcome again Best Naso
🙏🙏🙏
nawakubal toka long time vocal iko pow kbx sipingi🙏🙏🖋🖋
🙏
Ngoma kali sana we appreciate from Kenya 🇰🇪 🔥🔥🔥
Asante Sana
Ngoma Kali Sana 🎧💪👊
Asante Sana
ngoma ni kali sana, wasanii imbeni kuwaonya watu na kuelimisha, siyo mapenzi kila siku, ngoma kali siyo poa.
🙏🙏🙏
Mmeturudisha kwenye ujumbe safi sana, kazi nzuri
Fire be blessed Asante Sana
Oya hawa wana wameumiza sana hii ngoma daàh
🙏🙏🙏
Wasanii wangu niwapendao kwenye nyimbo moja hatar🔥🔥🔥
🙏
We jamaa kuna wakati ulifanya vizuri kweli, sjui ulienda wapi tena. Tatizo mziki ukiupa space unakusahau kabisa
Umasikini mbaya sana tena zaidi ya sana
🙏🙏
Bright. Never Give up Keep it fight your time is coming soon. Amini katika Mungu ndy kakupa kipaji. Kila mutu na muda wake ni swala la Muda. Nakukubali your talented
🙏🙏🙏
Nasoro Never Dissapoint 🎉🎉🎉🎉
Noma
Janet Khayosa th-cam.com/video/DinAnx5aMyM/w-d-xo.htmlsi=8lTht-SIaHo5bctR
Wallah hii nyimbo kali Sana unasikiliza mara mbilimbili
Nomaaa
Fanya kaz kwa bidii tyu unajua sana nyimbo nzur ujumbe mzur mmetisha sana
Be blessed Asante Sana
Anae kubaliana namm gonga like tuondoke nayo gomahii inamafuzo kwavijana tunao jitafuta, shere video hii washikaji wajifuz
🙏
I love your vocal and lyrical, hapana brooooooh...
🙏🙏🙏
Mbarikiwe sana!
kweli umasikin mbaya
Be blessed Asante Sana
bright and best nawakubali sana
bonge la song ujumbe mkali
Be blessed
Nasoo ft bright🔥🔥
Fireee
It's sad that such songs don't get the credit that they deserve. Kazi nzuri.
Thank you for support
Dogo hapa umeuaaaa Ngoma yamoto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 had inaunguza❤❤❤❤
🙏
Uko vizuri sana ndugu ya ujumbe mzuri hongera sana kaka ❤❤
Asante Sana Kaka
Sasa hapa hom boy wangu hcho kitengo kilimkaa Ni hatari ogopa mi nipo tayari kuwaongezea views zaidi ili ngom uende alaf bro bright gem bado inakuhtaji usikae kimy Tena nimefurahi kuiona hii korabo SEMA him boy fungua Basi hcho kijiwe HTA like kwetu alaf umuajri mtu. Kiufupi mmetishaaaaaa mi ntaipushi ngoma yaaan ntashare
🙏🙏🙏
Bonge la ngoma from Qatar much love
One love be blessed
@@bright_tz cool Brazzah
🎉🎉🎉 Pesaaa Fumbo sana Mungu Pekee ndio Hutoa pesa za Bila Masharti
Sure
Sure
Ngoma kaliiii sana❤❤
Asante Sana
nakubali hii combination nomas🔥🎧
One love
Good Music❤🎹
❤🙏
Best naso mbona unakaa kimya sana wakati ss tunakukubali sana msanii wetu wa musoma tunakupenda sana hizi ndo ngoma sasa za kuelimisha❤❤❤
🙏
Ushauri mzuri sana🎉🎉
🙏🙏🙏
Nakubali Sana hii nyimbo❤❤❤
🙏🙏🙏
🙏🙏🙏 God baliki vipawa vyako aiseeeeee nimeielewa goma kali kinomaaa au mnaonaje wadau
Janet Khayosa th-cam.com/video/DinAnx5aMyM/w-d-xo.htmlsi=8lTht-SIaHo5bctR
Nomaaa
We mkali Sana Bright big up
🙏🙏🙏
Ngoma kali sana brother
🙏🙏🙏
Hongera kwa mziki mzuri Kuanzia Bila Mungu sitoboi, Ungesubiri na Nitakukumbuka umekua na idea kali sana za kimziki. Keep up with the hustle ubarikiwe mzazi.
Asante Sana Kaka
Both of my favorite artist from TZ on the same song.
Thank you for support
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mmeua jaman Daaaaah
Hiii imeenda
🙏🙏🙏
Ngoma kali sana❤❤❤🎉🎉🎉
Asante Sana
Delivery 😊
Asante
Kazi safi 1 trending tunaiyombea ngoma yetu pendwa ifike 🔥🔥
🙏🙏🙏
goma kali sana nakutambua Bright jitafte baba naamini waeza nakukubali sana Bright
🙏 be blessed
Ngoma kali sana❤
🙏🙏🙏
Hii ngoma nyoko sana🔥🔥🔥🔥
Boom
Voco zimetulia
Nomaa
Wasanii wangu hawa❤Bright na Naso 🔥🔥🔥 asante kwa kutupa ushari nasaha ama kweli umaskini mbaya😢 ngoja tupambane kwa haki tupate pesa🎉🎉
🙏
Kaka hapa unyama saana bright nakubali sana toka 254 kenya 🇰🇪
Asante sana
Nyimbo kubwa
Ameen
Kali much love from Malawi 🇲🇼
Asante Sana be blessed brother
Bright amenikumbusha mbali sana daah,,,,
Asante Sana
Best naso unajua kihukweli asa uyo jama kama anahitwa Nani uyo kahuwa vibaya amehimba vizuri nyote muko pw kabisa jamani wapeni ❤❤❤❤❤😂 yao
🙏
@@bright_tz ebwana kihukweli wamehimba vizuri nipo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Umetumia sana akili bright pia kumuweka best Naso umeona kua ujumbe utakamilika BG up sana #Bright
Be blessed Asante Sana
🙏🙏🙏🙏
Big up bonge la song 👍👍💯
Nomaa
Good brother 🙏🙏🙏
Janet Khayosa th-cam.com/video/DinAnx5aMyM/w-d-xo.htmlsi=8lTht-SIaHo5bctR
Janet Khayosa th-cam.com/video/DinAnx5aMyM/w-d-xo.htmlsi=8lTht-SIaHo5bctR
Kuachana na matikiti kudondoka 😂naomba hii nyimbo tuipatie sikio sana wengi tutafanikiwa sana 🔥🔥🔥🔥
😁😁😁😁dah
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉Safi maadili nifire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🙏🙏🙏
Sauti nzurii wimboo safiii
Blessed