Da! huyu jamaa anapotosha sana yani yesu katabiri coroan mimi nimesoma coron nimesoma chuo chabibilia unayo ongea nikweli kwa hstoria ila kwa utabiri njoo tukufundishe na ninaapa Mungu anajua hili Yesu hakutabiri uislamu na hamjui muhamad
Sheikh wetu jamani twawapenda nyote kwa ajili ya Allah Allah awape hafya nakuzidisha watu wa ki elimu ya lili kundi lenu lote liendeleye mpaka kiyama inshaallah naona na keya na rwanda wameanza utamu wakufunza uisilsm
Dr sule kunajamaa anachafua mazingira kwenye tv ya davista anapotosha sana kuhusu uislamu naomba fatilia iyo tv utusafishie anadai alikua sheikh nakuomba fatilia
Unabii huu,wa Daniel 8:9-14,23-25 ni wa nani kutimisa?!!, unabii wa math 24:14-20 ni wa naniii?!!!, unabii huu wa Isaiah 29:6-13, ni wa nani?!, unabii huu wa Deuteronomy 32:20,21,na Rumi 10:19,ni wa naniii?!wao wenywe wa islamu wanafanya upande wao ya majukiso kinyume na baraka ya Ibrahimu,isaka na yakobo.
Katika watu wanafiki wew ni namba moja unamsingizia Bwana Yesu kumtabili Muhammad Hana vigezo kwenye Hilo andiko halfu unasema mnamuamini Yesu wakati kifo chake mnakikataa kuwa Mwana wa Mungu muongo
@@lileoh3893 usikubari kuonekana mginga tena wa mwisho hiyo Yohana 16 hakuna ushaidi wa kuwepo mtume Muhammad hapo Soma hapo hakuna jina Muhammad usiwe kipofu na Mimi nipo naisoma
Huna kipimo historia ya.yesu kabla ya kuzaliwa na baada ya kuzaliwa yatosha kujua ukweli.wa.mungu. .hicho ndicho kipimo . Unatafuta kujua alipotabiliwa.muhamadi. Unalazimisha biblia on ikubali .muhamadi. Ninabii wa mungu. Ukweli upo wazi kwako usilazimishe bila yesu hakuna msamaha wa zambi. YESU AMUWEKA. WAZI. MUHAMADI . YOHANA. 5;38. 47 MATHAYO. 24:. 26
Yesu Hana mamlaka ya kusamehe dhambi kea sababu ni binadamu ambae alifungwa Bambino,alikunya alitahiliwa, mamlaka ya kusamehe dhambi ni ya mungu alomuumba yesu,alomuumba wewe na alowaumba wazazi wako,yesu hakuumba hata mbu,hawezi
Waislam bhana et Yesu alimtabiri Muhammad 😂😂😂😂😂 sure huo u doctor wa Uongo umeutoa wp?unachekesha. Afu hutowi maandiko ambayo Yesu kamtabiri Muhammad Moja kwa Moja kutoka kwenye Bible zaidi ya kutoa maelezo ya Uongo tu.😂😂😂. Pia unapo soma hilo andiko Yeremia 8:8 na kulitafasiri kimakosa. Afu unadai Quran ipo kwa ajiri ya kuinyosha Bible huo ni uongo uliopindukia.😂😂😂😂 Ulicho takiwa nikutoa Aya Yesu kamtamka Muhammad, siyo kusoma Bible kipande kidogo afu ukaingiza mawazo yako ili uhalarishe unacho taka ili kupoteza zaidi wenzio😂😂😂😂pia ukumbuke Quran 10:94 inamtaka mtume wenu Muhammad kusoma vitabu vilivyo tangulia kabla yake ambavyo ndiyo Bible ili kuthibitisha ukweli wa utume wake ikiwa anayo shaka leo nyie mnasema et Quran iilekebishe Bible sinikioja hicho😂😂😂😂😂😂
Biblia kitabu cha mungu toa andiko au aya inayosema biblia ni kitabu cha mungu sisi tunaijua injili ya yesu ndo kitabu cha mungu hyo biblia haipo na kama ipo toa andiko
@@kibaikiramadhani1475 Ukisoma Qurani 33:56 inasema Hakika allah na malaika zake wanamsalia nabii Enye mlioamini msalieni nabii na msalimu kwa salamu, Swali mungu anasali?? Je anasali kwa mungu gani ikiwa yeye ndiye allah je allah nae husali???
@@charlesjoseph2092 wacha uongo na fitina soma hyo aya vizuri Quran 33.56 Hakika Mwenyezi Mungu anamneemesha Mtume na Malaika wake. Enyi mlioamini, muombeni [Mwenyezi Mungu amfikishie rehema] na mwombeni [Mwenyezi Mungu amfikishie rehema].
Sule, Kila nikiangalia TH-cam nakukuta tu unamuongelea bibilia na YESU. Okoka maana ni nafasi ndio inakusuta kwamba Mohamed hawezi kua njia ya wewe kuingia mbinguni, wewe mwenyewe ni shahidi okoka. Maana nakuhakikishia ukweli hakuna mwislamu yeyote atakaeingia mbinguni. Sure, hakuna mwislamu yeyote atakaeingia mbinguni. Okoa nafsi yako kwa kumpokea YESU KRISTO.
We unasema mbinnguni, mbona huko mbali nyie kabulini kazi munayo kwa ukafiri wenu,siku hiyo ndo utajua fungu lenu waabudu binadamu mutakwenda wapi,uyo anakuelewesha wewe,unasema mungu anamtoto,
Manshallah sheikh wangu Mungu akulinde zaidi nakupe ridhki
naomba Allah anipe jannah pamoja nawe Doctor,tibu baba
ALLAAH akuzidishie kheri na baraka tele Dr. sure na akulinde zaid, tupate kuelimika zaidi juu ya ALLAAH., kupta ukweri. wa DINI ya hakii .
Nimependa sana hii historia🔥🔥🔥
Nakukubali docta sule kwa kuwa Mimi napenda kujifunza na sio kuponda maana wengi tumefunzwa kuponda uislamu mungu atubusuru
amiin
Mwenyezi Mungu akuongoze..mko wachache wa aina yako
Yesu Aja mutabiri uyo mwenye munaita prophet ata Mungu mweye we hajamutuma Muhammed
Nimekubali Dr.sule mkali ,Allah ampe umri mrefu na amlinde
Yesu alimtabiri roho mtakatifu sio mohammed😂😂😂😂
@@IsaacNzai-e7smrakarifu neno gani lake alopewa na mungu?
Hiiii vidéo imejibu maswali yangu yote niliokua najuuliza kutokana Na biblia moja kwa moja
Mwenyezi Mungu akulipe kheri kubwa sulle 🤝
Allah Akbar Hadi raha . Ubarikiwe Dr Sule upewe hero zake.
Njoo kwayesu
Da! huyu jamaa anapotosha sana yani yesu katabiri coroan mimi nimesoma coron nimesoma chuo chabibilia unayo ongea nikweli kwa hstoria ila kwa utabiri njoo tukufundishe na ninaapa Mungu anajua hili Yesu hakutabiri uislamu na hamjui muhamad
Ww muuongo
Elizabeth, yesu ni mungu kwa mujibu wa ibada zenu, anashindwaje kumjua muhammad, achana na utabili kama kweli yesu ni mungu bila shaka anatujua wote,
Na quran uijui usidanganye apa, labda ulifundishwa baadh ya aya ili ukejeli uislam, maana ndo kaz yenu munapoamua kuisoma quran
Sheikh wetu jamani twawapenda nyote kwa ajili ya Allah Allah awape hafya nakuzidisha watu wa ki elimu ya lili kundi lenu lote liendeleye mpaka kiyama inshaallah naona na keya na rwanda wameanza utamu wakufunza uisilsm
Dr sule kunajamaa anachafua mazingira kwenye tv ya davista anapotosha sana kuhusu uislamu naomba fatilia iyo tv utusafishie anadai alikua sheikh nakuomba fatilia
Mtapamba na watu wangapi eti fatilia. Lazima mpakwe kinyesi nyie sababu mnalitaja jina la yesu kipuuzi. Anarudi
Jazakallahu khayran
Jazaakallah khaira
Jazaakumullahu khaira 🙏
Hiyo Yeremia uliyonukuu hapo inaelezea ujio wa Yesu Kristo.
Hawa jamaa ni nini mbaya nao, lazima walazimishie Muhammad katika biblia?😅😅😅
Danganya umati Muhammad Yesu alituonya na manabii wa uwongo
😂😂😂😂 manabii wa uongo mbona ndo wanaowaogoza Sara zenu
Makanisani ndo wanaongoza kwa hao manabii😂😂😂
ubarikiwe
Mashallah shekhe upo vzri
Mashallah
Masha Allah mwalimu mzuri sana ❤❤❤❤❤❤
MashaaAllah
ISA MASIAH NDIYE NJIA KWERI NA UZIMA WA MILELE AMINA.
Mungu wa
Ibrahim,
Isaack,
Isiraeri ndiye
Isa masiah aliye kufa msalabani ni ISA (INRI
Mungu anakufa?
Mungu anatahiriwa..!?
Kheri na salama ya allah izidi kuwa nawe kipenzi cha muumba
MashaLLAH
Sule hapa ni balaaa sule umeuwa
Mnashindwa kutangaza uisilsm wa kweli kazi nikupekuapekua mambo msioyaelewa
HAKUNA SEHEMU YESU ALIMUTABIRI MAREHEMU
Pole Sanah hata yesuu nimaerehemu
sisi hatuhitaji vitabu eti ndo tumjue Mungu, Yesu Kristo wa Nazareth ni Mungu mkuu na ametawala milele na milele
Kabisa
Sasa kama YESSU ndio Mungu mwenyewe hebu jiulize hafu ujijibu mwenyewe,kabla ya YESSU hajazaliwa na bi Mariam Mungu yupi aliyeumba mbingu na ardhi?
MAASHALLAH MADA NZURI SANA ALLAHUMMA BAARIK LAKA
Hayo sio maneno ya kuongea ndugu yangu kama umemsikiliza dk sule auja muelewa usikejel unapo mtaja mtume wetu umeutaja uislam mtu akimkejel yesu utakubal sio maneno mazur acha chuki kama auja muelewa dk sule wacha usiandike uchochez
We
Makafir wabishi Sana njoon kwenye haki Uislamu ndio din ya haki ache I ubishi shehe wetu waambie yote
Uislm raha sana
Mdomo tu na kelele mingi, mwalimu mjinga kabisa Kama marehemu gaidi (Alie oa mtoto) Muhammad.
Apo uwezi elewa maana ni kisomo TU sio kelele na kukaririshwa,,apo lazma ukae darasan mwamba
Chuki binafsi
Saw
Acha makasiriko elewa historiat@@ChandeSaid-s7y
Kuma lala mama ako mkundu
Mashallah mungu akupe uhai mrefu kaka
Sule muwongo sana
19:27
YESU KUMTABIRI Muhammad ni sawa na MKUU WA WILAYA KUMTEUA RAIS WA NCHI
Wacha mchezo wewe, ongea kweli tu, sio akili yako kufasiri utakavo.
Kafiri tubu bila kimusilim nakufanya mema huendi mbinguni
@@sawdaasawdaa7903 kama mbingu ya bibi Yako sawa
Mnamacho lakin amuoni nyie wana wa paulo @Joseph wiliam
@@Simulizitulivuu WAna WA Muhammad,,,unadhani kwa kitendo Cha Aisha kuolesa akiwa na miaka Sita kwa Hali ya ubinadam inaitwaje?
Acha kupindua maandiko ‼️
Uongo uongo uongo
Ukisoma isaya 18 1-7 utagunduwa kwamba mayahudi og wako katika nchi za maziwa makuu ngambo ya mto nile.
Wasamu pingiya muhamadi debe
Fuata mwenye anakuombea Kwa Mungu si mwenye ako kaburi anaongoja kiyama.
Daaaa?uyu jamaa anazungumza nn?shule muhimu sana akyamungu
Hayo maneno unayapata shule gan kama shule muhimu usichanganye elimu ya dini na elimu ya shule yesu alisoma shule gan
@@salimrangi7026 iyo ni kenge acha kuisikiliza
YESU hajatabiri ujio wa Muhammad acha uongo wako,hata ukisoma theologia bila ROHOMTAKATIFU huelewi kitu,hata wewe unachokiongea hujui.😎
Huwezi ukauelewa ukristo kwa namna hiyo mpaka uwe mkristo, ndiyo maana biblia inasema onjeni muone BWANA yup mwema.
Huu ukwel kabis
Yesu alimtabiri roho mtaķatifu sio mohammed
Acha kueka viraka wewe 😂😂😂😂😂
Unabii huu,wa Daniel 8:9-14,23-25 ni wa nani kutimisa?!!, unabii wa math 24:14-20 ni wa naniii?!!!, unabii huu wa Isaiah 29:6-13, ni wa nani?!, unabii huu wa Deuteronomy 32:20,21,na Rumi 10:19,ni wa naniii?!wao wenywe wa islamu wanafanya upande wao ya majukiso kinyume na baraka ya Ibrahimu,isaka na yakobo.
Na hao watakao amini neno lao yaani watakao amini injili ya wanafunzi wa yesu baada ya yeye kuondoka , sio hicho unacho tafsiri
Haukma mahala mohamad anapatikan kwenye biblia japo mtu wa kwanza kutafsiri Biblia ni Muislamu wa Mombasa kisha akachomeka mskiti na arabu
Angalien waislam wanavyotapatapa kutafuta ushahidi WA kiislam ndani ya kitabu kitakatifu cha biblia
Vzr sana tunafurah umefatikia mungu akuongoze...
Katika watu wanafiki wew ni namba moja unamsingizia Bwana Yesu kumtabili Muhammad Hana vigezo kwenye Hilo andiko halfu unasema mnamuamini Yesu wakati kifo chake mnakikataa kuwa Mwana wa Mungu muongo
Hawa ndio wale Alowasema MWENYZMUNGU summun bukmun ghumyun ww kama ulkua wataka kujua haki usingeleta matusi ungefwatilia ukajua haki iko wapi
Tatizo. Husuda mnasubili kudanganywa nawachungaji soba bibilia mhamadi yupo tatizo uelewa soma yohana 16
hawandowale walikuwa wakipiga zogo darasani yani mpakaleo wameendeleya naujinga wawo soma ww siounapiga zogotu
@@lileoh3893 usikubari kuonekana mginga tena wa mwisho hiyo Yohana 16 hakuna ushaidi wa kuwepo mtume Muhammad hapo Soma hapo hakuna jina Muhammad usiwe kipofu na Mimi nipo naisoma
@@lileoh3893 Muhammad anaitwa Roho Mtakatifu akiitwa Roho Mtakatifu nasilimu Sasa hivi nakumia namba yangu ya sim nionyeshe
Utoe evidence sio maneno mengi
Dr Sule nusaidie mashia ni waislam wenzetu? Na je Maulid ni haramu au ni bidaa kweli maana Misri wanayasoma, hii imekaaje?
Ni nini mbaya na nyinyi waislamu, hakuna mahali biblia inasungumzia Muhammed, kwani lazima kuunga unga maandiko? 😅😅😅😅
Huna kipimo historia ya.yesu kabla ya kuzaliwa na baada ya kuzaliwa yatosha kujua ukweli.wa.mungu. .hicho ndicho kipimo . Unatafuta kujua alipotabiliwa.muhamadi. Unalazimisha biblia on ikubali .muhamadi. Ninabii wa mungu. Ukweli upo wazi kwako usilazimishe bila yesu hakuna msamaha wa zambi. YESU AMUWEKA. WAZI. MUHAMADI . YOHANA. 5;38. 47 MATHAYO. 24:. 26
Yesu Hana mamlaka ya kusamehe dhambi kea sababu ni binadamu ambae alifungwa Bambino,alikunya alitahiliwa, mamlaka ya kusamehe dhambi ni ya mungu alomuumba yesu,alomuumba wewe na alowaumba wazazi wako,yesu hakuumba hata mbu,hawezi
Mh bibilia gani hio jamaa anayoisoma hapo?cku za usoni utakuja kuwa Mkristo
Yni ulivyo potea ndugu ata biblia yako huijui ndo shida ya biblia kuandikwa kwa matakwa ya binadamu mpaka huelewi
Watu wanaijua vzuri biblia yenu
Wewe ndio hujui Thiology kwa sababu ufahamu unaojengaa wewe hauendani na maandiko
Soma kwa Quran
Uyo shehe hana elimu yoyote ya biblia,iyo story amesema yote,ni vle wasabato waliuliwa na wakatoliki,kwa ivo soma vizr acha kudanganya watu bure
Jamani hapo YESU hajamtabiri Mtume wenu,msiwe waongo jamani.
Hata wewe hapo Thelogia hujui.😂😂
Jamaa wanachota watu akili hawa😅
@@zaburi2386 Umeona eeeh!!
Yaani wanatumia uongo ili kuhalalisha mapungufu yao!
Eti wao wasome sana elimu ya Biblia kuliko Quran,ulisikia wapi????
🙏🙏🙏
Waislam bhana et Yesu alimtabiri Muhammad 😂😂😂😂😂 sure huo u doctor wa Uongo umeutoa wp?unachekesha. Afu hutowi maandiko ambayo Yesu kamtabiri Muhammad Moja kwa Moja kutoka kwenye Bible zaidi ya kutoa maelezo ya Uongo tu.😂😂😂.
Pia unapo soma hilo andiko Yeremia 8:8 na kulitafasiri kimakosa. Afu unadai Quran ipo kwa ajiri ya kuinyosha Bible huo ni uongo uliopindukia.😂😂😂😂 Ulicho takiwa nikutoa Aya Yesu kamtamka Muhammad, siyo kusoma Bible kipande kidogo afu ukaingiza mawazo yako ili uhalarishe unacho taka ili kupoteza zaidi wenzio😂😂😂😂pia ukumbuke Quran 10:94 inamtaka mtume wenu Muhammad kusoma vitabu vilivyo tangulia kabla yake ambavyo ndiyo Bible ili kuthibitisha ukweli wa utume wake ikiwa anayo shaka leo nyie mnasema et Quran iilekebishe Bible sinikioja hicho😂😂😂😂😂😂
Biblia kitabu cha mungu toa andiko au aya inayosema biblia ni kitabu cha mungu sisi tunaijua injili ya yesu ndo kitabu cha mungu hyo biblia haipo na kama ipo toa andiko
Kumbe unajua Bwana ni Mungu. For your information. Yesu ni Bwana.1Peter 1:3. Kubali Yesu utapata usima wa Milele
Acha ukafiiiiiiiriiii,, kafiri wewe
@@subrahhamimu2377 mtu ambaye anaemjua Mungu Hana matusi ubadilike
Duuh sulle, huna unachojua ila waislam wanaokusikiliza wanaona kama umesema kitu
Ww unajua nn maana kristo nina ma yesu vp ufsnye dini?acha mihemko
@@kibaikiramadhani1475 Hujaeleweka umeandika nini Rudia upya usaidiwe Rafiki
Ww mkristo sikia mandiko na history ujifunze ukristo sio dini ya mungu ww soma vizuli bibilia
@@kibaikiramadhani1475 Ukisoma Qurani 33:56 inasema Hakika allah na malaika zake wanamsalia nabii Enye mlioamini msalieni nabii na msalimu kwa salamu,
Swali mungu anasali?? Je anasali kwa mungu gani ikiwa yeye ndiye allah je allah nae husali???
@@charlesjoseph2092 wacha uongo na fitina soma hyo aya vizuri Quran 33.56 Hakika Mwenyezi Mungu anamneemesha Mtume na Malaika wake. Enyi mlioamini, muombeni [Mwenyezi Mungu amfikishie rehema] na mwombeni [Mwenyezi Mungu amfikishie rehema].
Sule, Kila nikiangalia TH-cam nakukuta tu unamuongelea bibilia na YESU. Okoka maana ni nafasi ndio inakusuta kwamba Mohamed hawezi kua njia ya wewe kuingia mbinguni, wewe mwenyewe ni shahidi okoka. Maana nakuhakikishia ukweli hakuna mwislamu yeyote atakaeingia mbinguni.
Sure, hakuna mwislamu yeyote atakaeingia mbinguni. Okoa nafsi yako kwa kumpokea YESU KRISTO.
We unasema mbinnguni, mbona huko mbali nyie kabulini kazi munayo kwa ukafiri wenu,siku hiyo ndo utajua fungu lenu waabudu binadamu mutakwenda wapi,uyo anakuelewesha wewe,unasema mungu anamtoto,
Kwani yesu alikuwa mkristo au
Just read King James Version mzee. Si kitabu cha catholic.
Kumbe Yesu wanaombea????? Na Muhammad anafanya nini????
Kak huyu shekh anaangaika Yesu ni Bwana hakuna Bwana mwingine kila goti la kila mwanadamu litapigwa na kukiri Yesu ni BWANA siku inakuja
Hata Mtume Muhamad anatuombea tuko na bahati tunaombewa na mitume
@@prochesernest5439 jaribuni kufwatilia mijadala yakina mazinge na wengineo
Mtajua haki tu siku moja
Uwa mnatumia nguvu sana kudanganya watu !! Biblia imejitosheleza Ukristo umejitosheleza ..
@@davidmaisely7487 safi sana kaka ubarikiwe Yesu akurinde
Huwezi ukauelewa ukristo kwa namna hiyo mpaka uwe mkristo, ndiyo maana biblia inasema onjeni muone BWANA yup mwema.