DK SULE ALIPOFAFANUA JINSI UISLAM UNAVYOJUA UZAO WENYE MIUJIZA WA ISSA NA MAMA YAKE MARIAM...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2021

ความคิดเห็น • 298

  • @mwawekomiuda5777
    @mwawekomiuda5777 3 ปีที่แล้ว +8

    Dhahir ! Kweli kabisa uliyofundisha vizuri sana kwa wenye Akili wamekupata vyema MashaAllah

  • @muhamedkhalid6391
    @muhamedkhalid6391 3 ปีที่แล้ว +15

    Allah tunakuomba umpe umri mrefu shekh wetu

  • @fatumamroki2716
    @fatumamroki2716 3 ปีที่แล้ว +12

    MashaAllah waasalam aleykoum Warahumatullah wabarakatuh walhamdulillah rabbi laalamiini

  • @dullysbunziya1072
    @dullysbunziya1072 3 ปีที่แล้ว +8

    Unatoa mafundisho mazuri dr sully

  • @fatmazena8886
    @fatmazena8886 3 ปีที่แล้ว +10

    Ma Shaa Allah .natamani na mie niwe kama shekh ktk kuhifadhi

    • @rashidjumamohamed3437
      @rashidjumamohamed3437 3 ปีที่แล้ว +1

      In Shaa ALLAH...soma kidogo dogo utajua. Hata mimi najibidiisha

    • @allyrashid3732
      @allyrashid3732 3 ปีที่แล้ว

      Aamin,In shaa Allah! Utakuwa kwa bi idhni llah

  • @kazungukakiyo4309
    @kazungukakiyo4309 3 ปีที่แล้ว +5

    A very nice Sheikh and Doctor as well.

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 3 ปีที่แล้ว +7

    Mashallah sheikh Suleiman shukran mawaidha mazuri kabisa,wasiokua waisilamu jueni ukweli ndio huo fungueni macho na masikio mukue waisilamu,mupate pepo ya mungu Islam ndio dini ya haki mbele ya allah

  • @shadiahborandi2687
    @shadiahborandi2687 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah Allah akuifazi sheikh wetu tunakupenda kwajili y,Allah

  • @annalyabandi4899
    @annalyabandi4899 3 ปีที่แล้ว +5

    Maasha Allah napenda sn mawaidha yako Dr,Sulle

    • @hamzayusuf1894
      @hamzayusuf1894 3 ปีที่แล้ว

      Mawahabi hawamini kuwa walihudhuriya maryam na asiya hawakubali hwampendi mtume mohamed

    • @salehsaleh548
      @salehsaleh548 3 ปีที่แล้ว

      Ww ni muislamu?

    • @annalyabandi4899
      @annalyabandi4899 3 ปีที่แล้ว

      @@salehsaleh548 ndiyo najivunia kuwa muislam

    • @salehsaleh548
      @salehsaleh548 3 ปีที่แล้ว

      Ana mungu akubariki

    • @annalyabandi4899
      @annalyabandi4899 3 ปีที่แล้ว +1

      @@salehsaleh548 amiin kwa sote tumuombe Allah atupe mwisho mwema wa kutamka shahada

  • @maryamhilal9820
    @maryamhilal9820 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah kumbe mariamu ni mpendezwa wa watu😘

  • @dawaseif3699
    @dawaseif3699 3 ปีที่แล้ว +5

    Allah akuhifadh sheikh tupo pamoja

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 3 ปีที่แล้ว +1

      Na sisi wote Allah atuhifadhi inshallah

    • @Xipromisedit
      @Xipromisedit 3 ปีที่แล้ว

      Mungu akupe urimef malim

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 3 ปีที่แล้ว

      @@Xipromisedit allah inshallah na Sisi's atupi umri mrefu inshallah amin

  • @hajikaleji5795
    @hajikaleji5795 3 ปีที่แล้ว +4

    Jazakallah khayraaa Dr sure

  • @dawaseif3699
    @dawaseif3699 3 ปีที่แล้ว +12

    Hakika ya ukumbusho utawafaa wenye kuamini tunyooshe sheikh.

  • @nasraabdallah7868
    @nasraabdallah7868 3 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah....Allah akujaze kher inshallah

  • @aysardachi3605
    @aysardachi3605 2 ปีที่แล้ว +1

    ALLAH (SWT) tusamehe makosa yetu yote sisi na waliotangulia na mpe kheri ustaz sule

  • @khaulatmohammed3765
    @khaulatmohammed3765 3 ปีที่แล้ว +4

    Binafsi nimefurah doct sule Kurud tena😍😍😍ahsant alhabiby

  • @majaliwamaheru5368
    @majaliwamaheru5368 3 ปีที่แล้ว +2

    Waislamu watamu sana kwenye vitabu vya Allah

  • @vannyboyclassic5388
    @vannyboyclassic5388 3 ปีที่แล้ว +5

    Nisaidieni namba ya sheikh Dk sule jmn

  • @MohamedAhmed-yi1yf
    @MohamedAhmed-yi1yf 3 ปีที่แล้ว +11

    Wasio kuwa waislam jinfunzeni hapo ukweli huo

  • @kizamaulidi6004
    @kizamaulidi6004 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah allah akuzidishie kheri

  • @allyabdallah4357
    @allyabdallah4357 3 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kwa elimu hii atapotea asie penda kuicha akili yake huru wala kutaka kujifunza Ila sishangai kwani hata mvuta sigara pamoja na kuandika onyo sigara ni hatari kwa afya yako lakini bado avuta hata hili pia umuambie mtu yesu si mungu atakuambia huyu ni mungu na ni mwana wa mungu ñi mtihani kweli

  • @jamalraja417
    @jamalraja417 3 ปีที่แล้ว +3

    Sawa inshallah tuna kusubiri inshallah

  • @allyhuseni924
    @allyhuseni924 3 ปีที่แล้ว +1

    Maa sha Allah

  • @salimuchambella3329
    @salimuchambella3329 3 ปีที่แล้ว +2

    Inshaallah Dr Sulley kwa elim kubwa unayoitoa Allah akujaalie afya njema na maisha marefu

  • @kijanahodari2080
    @kijanahodari2080 3 ปีที่แล้ว +2

    Maa Shaa Allah

  • @zaidumohammedzaidumohammed1367
    @zaidumohammedzaidumohammed1367 ปีที่แล้ว

    Allha awape umri mrefu wenye kheri wanazuoni wetu

  • @ibrahimkatana8416
    @ibrahimkatana8416 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah shekh

  • @moanamohammed1406
    @moanamohammed1406 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah

  • @kazungukakiyo4309
    @kazungukakiyo4309 3 ปีที่แล้ว +1

    Walillahi hamdu Sheikh Sule.

  • @annamussa6057
    @annamussa6057 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @jumahyusuf5524
    @jumahyusuf5524 3 ปีที่แล้ว +1

    MaAshllh....

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 3 ปีที่แล้ว +2

    Na kuelewa mno shekh selle

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah tabarakallah

  • @jamilamanariyojamila1487
    @jamilamanariyojamila1487 3 ปีที่แล้ว +2

    Manshallah 🙏

  • @faquevascojone9296
    @faquevascojone9296 ปีที่แล้ว

    Masha allah.

  • @J4UPro
    @J4UPro 3 ปีที่แล้ว

    Maashaallah

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah Akbar

  • @binsaid2484
    @binsaid2484 ปีที่แล้ว

    alhamdulillah

  • @abdalahabdalah7853
    @abdalahabdalah7853 3 ปีที่แล้ว +2

    Katika hao mitume hakuna mtume mweusi hata mmoja!?? mswahili mwenzetu namaanisha

    • @ommymbalikila4034
      @ommymbalikila4034 3 ปีที่แล้ว +1

      Mussa alikuwa mweusi Yesu nae alikuwa mweusi Adam nae alikuwa mweusi....

  • @anitababyderickwasike7872
    @anitababyderickwasike7872 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 3 ปีที่แล้ว

    Je kama huna mke sheikh unakunywa tuu shukraan Sana sheikh wetu jazakallahu kher

  • @rajahamy9700
    @rajahamy9700 3 ปีที่แล้ว +1

    Genius

  • @halidihassan3796
    @halidihassan3796 3 ปีที่แล้ว

    Assalamalayikum shekh mimi Kwajina nayitwa Hadji Khalidi Hassan nipe Namba ya sim yako niko Burundi Mkowani Muyinga mpakani mwa Muyinga NA Kabanga. ishaallah

  • @davidodida6869
    @davidodida6869 7 หลายเดือนก่อน

    Dr sule,naugua nitibu

  • @firdausoman1678
    @firdausoman1678 3 ปีที่แล้ว

    Swadakta shekhe tunajifunza mengi

  • @thabitimkufi3302
    @thabitimkufi3302 3 ปีที่แล้ว +1

    vichwa vya hawa wenzetu vinaumia hatari sule unawaumiza hawa

  • @abdalahabdalah7853
    @abdalahabdalah7853 3 ปีที่แล้ว +1

    Hayo ni majina ya Mungu au majina ya kiarabu!??

  • @jozeephaty2577
    @jozeephaty2577 3 ปีที่แล้ว +1

    MTAPATA TABU SANA

  • @bibimswahili8120
    @bibimswahili8120 3 ปีที่แล้ว +1

    Arak,star

  • @user-qg1iy5ov3u
    @user-qg1iy5ov3u 11 หลายเดือนก่อน

    Dk sule kwanini tunaomba dawa ya ukimwi iwepo hapa tanzania

  • @user-kj6dz2hw6i
    @user-kj6dz2hw6i 10 หลายเดือนก่อน

    Sijasikiliza what is talking about ila naona most of comment s ni mashaala. Nimegundua kitu. Kuna shule na kitu anachotaka kulazimisha lakini Mungu alivyoumba haitabadirika itabakia kujihararisha kwa nguvu mpaka Mwana wa Mungu arudi Yesu Kristu 😅

  • @CharoHarrison
    @CharoHarrison 4 หลายเดือนก่อน

    Uongoooo

  • @DondoMaujanja-yj3xj
    @DondoMaujanja-yj3xj ปีที่แล้ว

    DK nataka nifanye chekapu nakupata unapatikana wp

  • @davidgasper8821
    @davidgasper8821 3 ปีที่แล้ว +3

    Kama mnamjua sana YESU na yohana mbona hamtaki kubatizwa na kumkiri KRISTO kuwa bwana na mokozi wa maisha yenu na kumfuata yeye peke yake wahubirie watu ukwel wote sule sio unababaika babaika na historia na hadithi za kizee hazitawasaidia wala kuwapeleka popote njia ya kweli na uzima ni YESU KRISTO peke yake

    • @mzeeomyguy6203
      @mzeeomyguy6203 3 ปีที่แล้ว +1

      Ivi umeishia kidatu cha ngapi? David Gasper?

    • @hombelozabroni9226
      @hombelozabroni9226 3 ปีที่แล้ว +1

      Dungu yangu katika adamu nikuelimishe yesu si mkobozi kwako alikua ni kwa wana wa izilaeli hilo

    • @J4UPro
      @J4UPro 3 ปีที่แล้ว +3

      Ungemjua Yesu ungemfuata lakini masikini hujui hata unachoami. Ukiambiwa Yesu ni Mungu unajibu ndiyo pia ukiambiwa Yesu ni mwana wa Mungu unajibu ndiyo na hata ukiambiwa Yesu ni masiha unajibu ndiyo.
      Ujui kama unaupotofu uliodhahili.
      Unamfuata Yesu wewe! Je unafunga?, unatawadha unapotaka kusali?, je ulishawahi kuvaa kanzu ukaenda kufanya ibaada wewe?, na je unasujudu kama alivyosujudu Yesu A.S.
      Acheni kujitekenya eti mnamfuata Yesu ilihali mmepotoka vya kutosha.
      Mkiambiwa mtawaze ili msali kama alivyoelekeza Yesu eti wanakwambia unatawaza moyo ni je Yesu ndivyo alisema?

    • @malota2138
      @malota2138 3 ปีที่แล้ว +1

      Wakristo wote ni wapungufu wa akili kila mtume apa duniani kaletwa kwa wakati wake mtume Muhammad S A W ndo mtume wa mwisho ndo mana mungu kaumba pepo na moto wasiwasumbue sana awa

    • @issahmikaeel1703
      @issahmikaeel1703 3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kaka una akili?.....Sawa Yesu Ndio njia....Njia hio unaifutwa wewe?????Unasali kama yesu wewe???muda wa kubishana na wajinga sisi tulikatazwa.Kwa ufupi fuata njia yako.Ikupelekapo ukifika utaadidhia.

  • @editrudesmbonde9051
    @editrudesmbonde9051 3 ปีที่แล้ว

    Sasa mbona Waislam Ndio wanaongoza kwa umaskini kama mnajua uzao wenye baraka.

    • @hassanisaidi5422
      @hassanisaidi5422 3 หลายเดือนก่อน

      Kwn yesu alikuwa tajiri

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 หลายเดือนก่อน

      @@hassanisaidi5422 Yeye aliuchukua umaskini ili sisi ambao tunamwamini tuwe matajiri bila kuroga,maana wenzetu hadi mtoe makafara ndio mtajirike😂😅

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 3 หลายเดือนก่อน

      @@hassanisaidi5422 YESU alikuwa maskini ili sisi Wachristo tuwe matajiri.
      😂

  • @charlesjoseph2092
    @charlesjoseph2092 3 ปีที่แล้ว +2

    Yani. kinachoniachaga Hoi unakuta Muislam pamoja na Usomi Wake, mfano Dr sure hapo Atakuambia Yesu alikua Muislam,
    Niwashauli Tu Kama Kuna mkristo hapa Ninakusihi Soma Biblia Sana Maana Shetani anatumia nguvu nyingi Sana Kupotosha Ukweli, Mfano huyu jamaa anayo yaongea Akakukuta Hujasoma Biblia Anakubeba Kwasababu abapotosha Biblia

    • @ghalibyussuf4027
      @ghalibyussuf4027 3 ปีที่แล้ว +2

      Wewe tuambie huo ukweli unaoujuwa ! ! !.

    • @charlesjoseph2092
      @charlesjoseph2092 3 ปีที่แล้ว +1

      @@ghalibyussuf4027 ukweli ni kwamba Yesu ndiye Tumaini la vizazi vyote, Ndiye mwokozi Bwana Luka 2:11 Na kila alisikiaye Neno lake na kuamini Atakua na uzima Na Yeye ndiye Ufufuo Yohana 11:25-26 Hakuna uzima kwa mwingine awaye yote isipokua Yeye,
      Hayo uamini usiamini ujikate Kate ujipige Yani ni ukweli ambao haubadiriki Hata ukatae wewe, Na Anakuja Alitoa Dalili za kuja kwake Mathayo 24
      Na Shart la kuingia Ufalime wake ni hadi uzaliwe upya kwa maji na kwa Roho mtakatifu Yohana 3:3

    • @namkunarashidi6738
      @namkunarashidi6738 3 ปีที่แล้ว +2

      @@charlesjoseph2092 nothing references za kuungaunga aya huzimalizi shida yenu bible ina contradictions nyng yenywe kwa yenyewe inakimbian na hii ni kwa sababu bible ina maandiko mawili kuna maneno ya mungu exactly na pia kua idea za watu i mean kuna some salt ya kuongezaa maneno na ndo maan mungu aka reveal Quran kwa sababu Quran ndo truth and last revelation,ukiwaona wakiristo wanamtaaja kwa kujifaninixha kwa maneno ila hawafuati maneno anayoyafundisha ila utasikia bwana yesu asifiwe hali ya kua salam yenywe yesu hajawafundishaa ivo ni mtihani kwel ila ukiwakaribisha kwny uzima wa milele wa kumkubali mungu mmoja na mitume wako utasikia oooh oooh hawana fact!

    • @davidgasper8821
      @davidgasper8821 3 ปีที่แล้ว

      Kabisa kaka sio kwamba hawajui ukwel basi tuu ubishi ,kujiona wanajua sana na kujihesabia haki kama mafarisayo ambao hata YESU KRISTO mwenyew aliwakemea na kuwaumbua mbele za watu kwakujitia kwao kuwa wanayajua maandiko saaana na wameshika torati kumbe wanafiki tuu wakitaka sifa na kuheshmika na watu

    • @charlesjoseph2092
      @charlesjoseph2092 3 ปีที่แล้ว

      @@namkunarashidi6738 rashidi Biblia inaweza Kuelezea Kitu kimoj a kwa namna Tofauti na kwa aya zaidi ya moja, Mfano mdogo, Yesu anaitwa mwana Wa Adamu, Anaitwa mwana Wa Daudi, anaitwa Mwana Wa Mungu, Anaitwa Emanueli, anaitwa Mungu, Anaitwa MTU, lakini mlengwa Ni mmoja Ndiye Kristo Bwana Luka 2:11 Sasa hii Waislam Imewachanganya Mkaishia kusema Si kitabu Cha Mungu, Na. Ndani ya Biblia Hakuna Wazo la Mtu kama upendavyo Walioandika Waliongozwa Na Roho Wa Mungu, Biblia Imeandikwa Zaidi ya Miaka 1500 Tena sehemu Tofauti Na Manabii tena bila kuju mwingine. Alichoandika Ila Cha Yesu ndiye Mwokozi yani hilo ukatae Usikatae Ukashitaki Ujikate kate, Upaze sauti Yesu ndiye Mwokozi Na ndiye Ufufuo Yohana 11:25 Na anakuja hivi karibuni Alitoa Dalili za Kuja kwake Soma Mathayo 24 Na ukifa Hujamkiri Yesu Nakuapia Hutoingia Katika Ufalme Wa Mungu, Hiyo in kauli Yake Yohana 3:3-5

  • @charlesjoseph2092
    @charlesjoseph2092 3 ปีที่แล้ว +1

    Sule Acha uongo Ndugu yangu tarehe ya Kuzaliwa Yesu haijulikani Acha kupotosha Biblia imenyamaza Tare ya kuzaliwa Yesu Usidanganye Harafu huyu Isa Sio Yule Yesu asidanganye Hapo

    • @glorynoely4955
      @glorynoely4955 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwan sule kaongea uwongo gan hakutaja cku yesu aliyozaliwa Ila nyie mnasherekea tarehe 25 ndo kuzaliwa kwa yesu mmetoa wapi katika biblia na ukisma yesu cyo issa bac tutajie jina la Babu yake na yesu ndan ya biblia ili tuamuni cye

    • @charlesjoseph2092
      @charlesjoseph2092 3 ปีที่แล้ว

      @@glorynoely4955 Kaka Yesu Hajazaliwa Tar 25 aliye zaliwa tar hiyo ni Tamuzi mungu wa kipagani aliyesherekewa zamani sana Soma Ezekiel utapata habari zake, Tarehe ya Kuzaliwa Yesu haijuliakani Biblia imenyamaza Anaeisherekea Hiyo Sikukuu Muulize anatumia Andiko Lipi?? Biblia ipo Wazi Mimi ni msabato

    • @glorynoely4955
      @glorynoely4955 3 ปีที่แล้ว +1

      Na ulipo sule kadanganya kadanganya wap

    • @ismailally7692
      @ismailally7692 3 ปีที่แล้ว

      Hhhhhhh punda kunya

    • @hassanjaphari3006
      @hassanjaphari3006 3 ปีที่แล้ว +1

      @@charlesjoseph2092 hiyo ndio historia sahihi ya nabii issa au yesu (a.s) mtoto wa maryam mwanamke bora na mtukufu apa duniani. Dr.sule yupo sawa na ajapotosha chcht

  • @samwelpaul4279
    @samwelpaul4279 3 ปีที่แล้ว +1

    Sure YESU wa kuruani sio wa biblia Ila Kama unaamini kazaliwa basi ndio kitu Cha misingi na sio tarehe

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 3 ปีที่แล้ว +1

      Una akili au la

    • @shabbymakapane1910
      @shabbymakapane1910 3 ปีที่แล้ว +1

      @@aishaarusha894 Si unawajua kwa kupinga ukweli hao 😃😃😃

    • @shabbymakapane1910
      @shabbymakapane1910 3 ปีที่แล้ว +2

      Tuambie Na MUSA Wa QURANI sio wa Bibilia na Ibrahimu na Daudi na NUHU na Ismail na Is-HAKA na Suleimani na Yakobo wote hao Wa QUR'ANI Na Sio Wa Bibilia 😃😃😃

    • @J4UPro
      @J4UPro 3 ปีที่แล้ว +1

      Ndicho mlichobakisha.
      Kudanganywa tu, tafuteni elimu mjue ukweli ili mfahamu muendako.

    • @lilianhigilo4255
      @lilianhigilo4255 3 ปีที่แล้ว +1

      Pole

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 3 ปีที่แล้ว

    Uongooo mtupu Muhammad haijawahi kufika huko aliota ndoto tu. Israel hakuna majina ya kiarabu

    • @MarijaniNyindo
      @MarijaniNyindo 3 ปีที่แล้ว +1

      Ukiskia fulani binti fulani hiyo binti hapo maana yake ni mtoto wa ... Hata wewe unaweza kuitwa Benjamin bin Lijongwa na isiwe na maana kuwa ni jina la kiislamu.

    • @alhimnamussasaid3619
      @alhimnamussasaid3619 3 ปีที่แล้ว +1

      kwani uliambiwa lazima ucoment mpuuzi mkubwa wewe

    • @benjaminlijongwa3715
      @benjaminlijongwa3715 3 ปีที่แล้ว

      Nacomment Tena Sana tu mkawadanganye misikitini sio humu

    • @J4UPro
      @J4UPro 3 ปีที่แล้ว

      Elimu Huna sema tukufundishe usilete ushabiki halafu Shule dolo. Haya MARIAMU ni jina la ukoo wenu?
      Haya Mussa ni la babu yenu?
      IBLAHIM ni la nani?
      Je Unafahamu kuwa Manabii karibu wote ni waarabu?
      Je wajua kuwa Manabii wote wanamajina ya Kiislamu na ni Waislamu?
      ADAM,NUHU,SULEIMAN, DAUD, MUSSA, HARUNA {HARUN} , IS-HAKHA, {ISAKA} ISMAIL, {ISHIMAIL} ISSAH {YESU}
      N. K
      Upo mpaka hapo

    • @benjaminlijongwa3715
      @benjaminlijongwa3715 3 ปีที่แล้ว

      MUHAMMAD HAJAWAHI KWENFA ISRAEL MIIRAJ NA ISRAI NI NDOTO ZAKE TU AKIWA AMAKUMBATIWa na kale katoto ka Abubakar bi Aisha

  • @charlesjoseph2092
    @charlesjoseph2092 3 ปีที่แล้ว +2

    Kama nilivyosema Muislam pamoja na kuitwa Prof lakini hamna kitu katika Elimu ya Biblia Huwezi Ielewa Biblia Ukabaki Kua Muislam, Labda Nikupe Elimu Sule
    Ukisoma Yohana 3:6 Inasema kilichozaliwa kwa mwili ni mwili, Na Mungu sio Mwili, Ukisoma Yohana 4:24 Inasema Mungu ni Roho na Yesu Si Mungu katika mwili maana kilichozaliwa kwa Mwili Ni Mwili Ukisoma Mathayo 22:41:45 Yesu mwenyewe Anakili kwamba Yeye Mungu katika Roho, Maana Mungu hazaliwi Ukisoma Yohana 8:56-58 Yesu anasema Alikuwepo Kabla Ya Ibrahimu Hajazaliwa,
    sasa Sule ukisema Mungu anazaliwa Ina je Kabla Hajazaliwa Dunia ilikua Chini ya Nani?? Ni jambo ambalo Haliwezekani,
    Labda nikufungua Jina Yesu lina Maana Ya Bwana Mwokozi, Na Hata Ukisoma Yohana 13:13 na ukasoma Mathayo 22:41:45 Yesu anarudia Kauli Hiyo Kua Yeye ndiye Bwana, Na Bwana Ndiye Mungu Soma Kumbu kumbu LA Torati 4:35 Pia Hata Hata ukisoma Isaya 26:4
    Na Aya nyingine Nyingi,
    Na labda Tu kwamba Yesu anakuja Na kila jicho Litamuaona anakuja kuhukumu Ulimwengu

    • @fatumamroki2716
      @fatumamroki2716 3 ปีที่แล้ว

      Pole sana

    • @charlesjoseph2092
      @charlesjoseph2092 3 ปีที่แล้ว +1

      @@fatumamroki2716 Pore yangu nini???

    • @jarsaduba2626
      @jarsaduba2626 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwa maelezo yako dugu nataka uniweke sawa dio nikuelewe Yesu ni Mungu au Ni Mwana Wa Mungu? Naomba jibu

    • @fatumamroki2716
      @fatumamroki2716 3 ปีที่แล้ว

      @@jarsaduba2626 ikiwa yeye mwenyewe kasema na mabii wa mungu hayo mengine mmeyatoa wapi ila hapo kuna makundi matatu chagua upo lipi imani inayaka mda na utaratibu ndio utaelewa pia ufwatilie pande zote

    • @usahihinaukweli4921
      @usahihinaukweli4921 3 ปีที่แล้ว +1

      We chalse Yusufu
      0653928955
      Nitafute nikuelekeze

  • @zakiarashed144
    @zakiarashed144 3 ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa Allah

  • @sharifarajabu7255
    @sharifarajabu7255 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @khamismuhammed9950
    @khamismuhammed9950 3 ปีที่แล้ว

    Masha ALLAAH

  • @fathiyaabdullah
    @fathiyaabdullah 3 ปีที่แล้ว

    Maa sha Allah

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @ShaneMediaTz
    @ShaneMediaTz 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @zubhakwamohammed8481
    @zubhakwamohammed8481 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @mohamediramadhani6120
    @mohamediramadhani6120 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah