DR.SULLE SAFARI YA MTUME MUHAMMAD S.A.W (SEHEMU YA 2)2024 ISRAA NA MIRAJI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ต.ค. 2024
  • #drsulle #tanzania #islaamic #health #trending

ความคิดเห็น • 23

  • @mwanaikaomar8628
    @mwanaikaomar8628 6 หลายเดือนก่อน +2

    Tunaisubiri kwa hamu sehemu ya tatu.sheikh wetu .tunayapenda sana mawaidha yako.unaufasaha wa hali ya juu.mashallah.jazaka llahu lkhair

  • @RamadanPaul
    @RamadanPaul 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mashaallah sheikh wetu.
    Tunakupenda sana Dr sulle 💪💯💥🔫

  • @BacarMapahiee
    @BacarMapahiee 8 หลายเดือนก่อน +4

    Tuna penda sana kwakutujaza Imani mdani ya nafsy zeto

  • @Superwoman-n5j
    @Superwoman-n5j 7 หลายเดือนก่อน +2

    MashaAllah mungu akulinde shekhe wetu

  • @bucanayandiissa3081
    @bucanayandiissa3081 6 หลายเดือนก่อน +2

    Asalam Alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh DR SOULE, ALLAH Akupe kila la kheri

  • @ReunionHope-d7s
    @ReunionHope-d7s 6 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah, Sheikh. Ila maelezo ni mengi mno yanayojirudia,na yenye kutuchanganya

  • @Ismail-zk8jx
    @Ismail-zk8jx 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ma sha Allah I have lean a lot Dr sulle Allah akupe ❤afya jemah

  • @hassanikombe9053
    @hassanikombe9053 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaallah tunasubiri sehem ya 3 doct

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 8 หลายเดือนก่อน +2

    Dr mungu akuweke

  • @MohamedHalake-cy8bh
    @MohamedHalake-cy8bh 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mola akuhifadhi dr sule

  • @Aisha-h1q
    @Aisha-h1q 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah🤲🤲

  • @niyorHamiss-yv4rm
    @niyorHamiss-yv4rm 8 หลายเดือนก่อน +5

    Tupe irimu❤❤❤❤❤❤❤

  • @saudarasuly1314
    @saudarasuly1314 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mashaalah asant san shghe wetu mngu akujaalie kila la gheri

  • @gennetdesta6060
    @gennetdesta6060 8 หลายเดือนก่อน +3

    Assalamaleykum , mashalaallah Dr sule shukran jazeelah Ya Allah akuifadhi barakallsh. Mm niko kenya nitapata card vipi?

  • @miishhassn
    @miishhassn 8 หลายเดือนก่อน +3

    Wanasema nabii isa kazliwa kweny zizi la ng'ombe 😂😂 allah awaongoze shukran kwa somo zuri

  • @kaoretosha6668
    @kaoretosha6668 8 หลายเดือนก่อน +3

    Iriiiiiiiiiimuuuuuuuu hiyoooooo....

  • @IsariaMeleki
    @IsariaMeleki 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mtume s.w.a aliswali rakaa mbli kablaya kupewa swala,je alizswal ktk mfumo gani?

  • @subu04
    @subu04 5 หลายเดือนก่อน

    Ukiwa n sheikh Othman Michael wakati mnafanya mchango wa ujenzi wa Msikiti, ulisema distance aliyotembea mtume ni KM 4000 kama umbali kutoka kenya mpaka south Africa, leo unasema KM 1400, sawa tu kukosea kupo

  • @zainabmusa-kf8zi
    @zainabmusa-kf8zi 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nitaipataje na mm

  • @nicholouskavindi8512
    @nicholouskavindi8512 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hata mwanza kuna jiwe halijagusa chini nalo n la peponi au

    • @miishhassn
      @miishhassn 8 หลายเดือนก่อน

      Hata lile la yerusalem alipoanza safar sio la pepos lilizuiwa tu hakuna alie sema ni la pepon

  • @omarriziki2909
    @omarriziki2909 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mafunzo mazuri lakini unatoka ndani ya mada

    • @hasinaalrahbi6681
      @hasinaalrahbi6681 8 หลายเดือนก่อน +1

      Tatizo hamjibu msg wala sim hampokei