DR.SULLE MENEMENE [EPISODE 02] TEKELI NA PELESI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2024
  • #drsulle #tanzania #islaamic #trending #trending

ความคิดเห็น • 99

  • @ismailabdalla7953
    @ismailabdalla7953 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hasante shekh

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 5 หลายเดือนก่อน

    Shukran sana kwa elimu hii

  • @othmanjr113
    @othmanjr113 6 หลายเดือนก่อน +5

    Tulikuwa tunasubiriaa mashallah mashallah Allah amtie nguvu Dr Sule

    • @muvurwanezaanitha742
      @muvurwanezaanitha742 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂yani? Ukitaka juwa somabibiliya achakubali bilakujisomeya

    • @othmanjr113
      @othmanjr113 6 หลายเดือนก่อน

      @@muvurwanezaanitha742 unajua shida nikwambaa hujaelewa fuatilia utapata ukwel, fanya research kwanini dr anaongelea bibilia kwanini ana compare na quran , kwanini zinatajwa history za bibilia za tarehe 25, embu fuatilia , usi comment kwa hisiaa , fanya research, and the truth will come towards you , inshaallah

  • @user-ii1qk9xn9z
    @user-ii1qk9xn9z 3 หลายเดือนก่อน

    Bibilia usipunguze wala kuongezea. Unaongea uongo juu umefuatia theolojia kufafanua, ungekubali Roho mtakatifu akuongoze....

  • @aminahkimwana109
    @aminahkimwana109 5 หลายเดือนก่อน

  • @user-nr7wl3il3n
    @user-nr7wl3il3n 6 หลายเดือนก่อน

    Wengi tumeusubiri

  • @Excellent1Michael
    @Excellent1Michael 5 หลายเดือนก่อน +1

    Gogu na Magogu ni kitu kingine kabisa hapo unachanganya, sio wanyama kama unavyosema wewe .. gogu ni kiongozi na magogu ni utawala/ufalame/nchi

  • @marobaraka
    @marobaraka 6 หลายเดือนก่อน

    Dr ingekuwa vizuri menemene ungewafundisha waislam madrasa maana menemene haiko kwa quran

  • @abubakarmhesa5742
    @abubakarmhesa5742 5 หลายเดือนก่อน

    yaajuja wa maajuja, sio viumbe kwa mujibu wa qurani, bai ni nadharia tu za baadhi ya wasomi. lakini ukweli wake ni vita kati ya mtawala na watawaliwa. katika zama za mwisho

    • @Excellent1Michael
      @Excellent1Michael 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ambayo ni sawa kabisa kwney biblia, gogu ni kiongozi wa nchi inayoitwa magogu. Kwa tafsiri ya kidunia magogu ni taifa la Russia. Ambapo Russia itaungana na mataifa ya nchi za kiarabu kama vile iran, Iraq, palestina, misri, Syria na nyinginezo kupambana na Israel pamoja na washirika wake ,, ambao ni Marekani, uingereza na mataifa mengine ya ulaya .

  • @AmriAmri-hy6sg
    @AmriAmri-hy6sg 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amakweli kafiri yeyote Hana akili baada ya kujifunza nikupinga ss ww unaejua mbona hujafundisha au pinga kwa 12:23 kwa hoja acheni kuropoka

    • @muvurwanezaanitha742
      @muvurwanezaanitha742 6 หลายเดือนก่อน

      Achamatusi niju haujuwi Bibiliya sisi tunajuwa Maandiko tunapinga matafsiri ya UONGO.

  • @11thhourlabourerministry68
    @11thhourlabourerministry68 6 หลายเดือนก่อน +2

    Tumwombee dr.sule afahamu ukweli na aufudishwe ulivyo. Si nusu ukweli nusu uongo

    • @marobaraka
      @marobaraka 6 หลายเดือนก่อน

      Ni muda wa kumwombea kwakweli

  • @joephmaukilo
    @joephmaukilo 6 หลายเดือนก่อน

    Menemene mungu wa koroan alisahau kumwambia mudi

    • @marobaraka
      @marobaraka 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @marobaraka
      @marobaraka 6 หลายเดือนก่อน

      Bora angesahau, hajui. Muhammad mwenyewe hajui menemene. Maana hajashushiwa aya ya menemene na Mungu wake

    • @cizaiddy7839
      @cizaiddy7839 6 หลายเดือนก่อน

      Sema mungu wa biblia njo alisahau

  • @marobaraka
    @marobaraka 5 หลายเดือนก่อน

    Sasa mimi nawashangaa waislam mnatuambia biblia zinatofautiana vitabu lakini ajabu mnatumia kufundishia biblia ambayo wakristo wanaikubali na wanaitumia kwa ibada. Uliza sulle katumia biblia gani hiyo ndiyo tunaitumia wakristo.
    Kuna biblia zingine Zina vitabu kama makabayo. Kwanini sulle usifundishe Makabayo 😂😂😂😂. Achana na ufunuo na kitabu cha daniel fundisha makabayo.

    • @abubakarmhesa5742
      @abubakarmhesa5742 5 หลายเดือนก่อน

      kaka unaonekan hupend aman kabisa yaani

    • @marobaraka
      @marobaraka 4 หลายเดือนก่อน

      Abubakari vipi???

  • @BacktoPhiladelphiaministry
    @BacktoPhiladelphiaministry 6 หลายเดือนก่อน +1

    Je kwa nini kitabu cha Daniel na ufunuo haviko kwenye Quran kama ni via mungu . Lakini viko kwenye biblia na si ya mungu 😢 kwa mjibu wa hawa makafir wa uma wa Mohammed

    • @marobaraka
      @marobaraka 6 หลายเดือนก่อน

      Na leo 😂😂😂 wanafundisha menemene haiko kwa Quran

    • @OmarOmar-vf9dv
      @OmarOmar-vf9dv 5 หลายเดือนก่อน

      Elimu zenu ni ndogo alfu unauliza maswali ya kitoto kwakuuliza kwanini menemene kwenye quran hamna. Nafikiri mngeanza kujiuliza kwanini kuna version tofauti tofauti za bible na ndani kumetofautina kwa idadi ya vitabu.

    • @marobaraka
      @marobaraka 5 หลายเดือนก่อน

      @@OmarOmar-vf9dv sasa mimi nawashangaa waislam mnatuambia biblia zinatofautiana vitabu lakini ajabu mnatumia kufundishia biblia ambayo wakristo wanaikubali na wanaitumia kwa ibada. Uliza sulle katumia biblia gani hiyo ndiyo tunaitumia wakristo.

    • @BacktoPhiladelphiaministry
      @BacktoPhiladelphiaministry 5 หลายเดือนก่อน

      @@OmarOmar-vf9dv tumia akili vizuri ndugu.. kwani waislam wooooote mnatumia Quran moja mwanzo Quran ni nyingi kuliko biblia

    • @OmarOmar-vf9dv
      @OmarOmar-vf9dv 5 หลายเดือนก่อน

      @@BacktoPhiladelphiaministry Hizo quran alizioma wapi,, ?

  • @wasaficlassicshoes
    @wasaficlassicshoes 6 หลายเดือนก่อน +4

    Hiii menemene ndo inanionesha jinsigani Huna elimu SULE. kwakuw unaiamini Biblia nusunusu

    • @protusmuliro2796
      @protusmuliro2796 6 หลายเดือนก่อน +3

      Kafiri hakosi upishi kwaivo nyie kuwa hai ndo Quran kuwa kweli hamngekuwa SS Quran ingalikuwa uongo twawapenda Sanna makafiri jeanum pia inapata wafwasi

    • @protusmuliro2796
      @protusmuliro2796 6 หลายเดือนก่อน +6

      Sule ni mwanaharakati mkongwe hamna pastor yeyote anaweza bishana na sule akabaki akihubiri uliza ndacha alibishana na sule juzi week iliyopita Leo ametangaza kuwa amewacha kuhubiri kwa muda na mm najuwa ndacha anafanya utafiti jinzi ya kusilim
      Na mm naamini huyu bwana ndacha atatoa shahada

    • @marobaraka
      @marobaraka 6 หลายเดือนก่อน

      ​​​@@protusmuliro2796 Ndacha asilimu aaaaah ndacha atoleshwe shahada na sulle. Akisilimu ndacha na mimi nasilimu sulle😂😂😂 tena sule ntakuja ofisini kwako unitoleshe shahada.

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@protusmuliro2796 Kwa akili za kimsikitisikiti ndo mwanaharakati😂😂😂😂😂

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 6 หลายเดือนก่อน

      @@protusmuliro2796 kafiri wakwanza ni mtume wenu na nyie vibaraka wake

  • @marobaraka
    @marobaraka 6 หลายเดือนก่อน +2

    Biblia takatifu ni kitabu cha kutegemewa maana ni ujumbe wa Mungu kwa wanadamu. Uwe muislam, Hindu, Buddha, Jewish. Biblia ukiisoma ni Mungu anazungumza na mwanadamu.

    • @ramamabinda5063
      @ramamabinda5063 6 หลายเดือนก่อน +1

      Bahati mbaya sana mmetanguliza imani kabla hamjaelimika.

    • @marobaraka
      @marobaraka 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@ramamabinda5063 kwani mtume anajua menemene??? Iweje kitu mtume ajashushiwa aya na akijui ustazi wenu akifundishe. Maana kabla ya kukifundisha alikisoma akajifunza kwa biblia lakini bado nina uhakika hajaelewa.

    • @marobaraka
      @marobaraka 6 หลายเดือนก่อน

      Ingekuwa vizuri madrasa mngejifunza biblia takatifu.

    • @leylashelly4156
      @leylashelly4156 6 หลายเดือนก่อน +2

      Bibilia ni kitabu Cha Mungu ila wa Romans wamebadilisha vitu vingi mno mle ndani na kuwapotosha wengi mno na Bado wanaendelea kubadilisha Kila siku na kuita new testament wenye akili na macho wanafahamu na kuona hilo

    • @marobaraka
      @marobaraka 6 หลายเดือนก่อน

      @@leylashelly4156 unaelimu ya msikitini hayo umefundishwa na mashee. Biblia union version. Hii inatumika na wakristo katika ibada. Hakuna kitabu kimeandikwa na papa katika vitabu 66 ndani ya biblia. Papa ni kiongozi wa katoliki ajaandika hata kitabu kimoja.
      Musa kaandika vitabu vitano vya biblia Mwanzo, kutoka, hesabu, torati na walawi. Daudi kaandika zaburi. Katika agano jipya Kuna kitabu cha mathayo, Marko, Luka, yohana . Hayo majina ya vitabu ndio waandishi wa hivyo vitabu na Musa hakuwa papa, daudi hakuwa papa. Mathayo Luka Yohana hawakuwa mapapa. Kwahivyo new testament ni ni vitabu vya agano jipya na hakuna mwandishi aliyekuwa papa. Luka alikuwa Daktari.

  • @marobaraka
    @marobaraka 6 หลายเดือนก่อน

    Quran inaunabii wowote ambao imetabiri miaka mingi imepita na umetokea sasa???
    Biblia inatoa unabii ambao umetimia na sasa muislam anaudhibitisha. Unaona sulle unasoma vitabu vya wasabato na hutaki kubatizwa. Unatoa elimu ambayo wasabato walipaswa waiseme.
    Biblia inatoa unabii wa mambo yajayo na yanatimia sio kwamba sulle unaijua sana biblia la. Mungu wa biblia neno lake ni kweli na amin.
    Mungu wa Quran je kuna unabii wowote???

    • @muvurwanezaanitha742
      @muvurwanezaanitha742 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂 ohohoho Habadan.quran never

    • @marobaraka
      @marobaraka 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@muvurwanezaanitha742😂😂😂😂😂 maneno ya Muhhamad. Muhamad mwenyewe anasema anakokwenda hajui

    • @abubakarmhesa5742
      @abubakarmhesa5742 4 หลายเดือนก่อน

      lazima ujue kwann mungu aliamua alete quran , kwann alileta torati, kwann alileta zaburi na injili.
      ukianza kutenganisha kati ya kitabu hiki na kile ujue wewe unaka ushabiki kanako kusumbua

    • @marobaraka
      @marobaraka 4 หลายเดือนก่อน

      @@abubakarmhesa5742 Quran sio kitabu cha Mungu Muumbaji. Kwasababu Mungu wa Quran anaapa kwa aliyeumba...
      Quran 91:1 - Naapa kwa jua na mwangaza wake!
      Quran 91:2 - Na kwa mwezi unapo lifuatia!
      Quran 91:3 - Na kwa mchana unapo lidhihirisha!
      Quran 91:4 - Na kwa usiku unapo lifunika!
      Quran 91:5 - Na kwa mbingu na kwa aliye ijenga!
      Quran 91:6 - Na kwa ardhi na kwa aliye itandaza!
      Sasa anaepaswa kuabudiwa ni Muumbaji. Kwahivyo Mungu wa manabii katika vitabu ndani ya biblia ni Mungu tofauti na Mungu wa Quran. Sisi atumwamini Mungu wa Muhammad yani Allah.

    • @marobaraka
      @marobaraka 4 หลายเดือนก่อน

      @@abubakarmhesa5742 Mungu yupi alieleta Quran!! Sio Mungu wa biblia wala hatuabudu Mungu mmoja nyie mnamwabudu Allah ambaye yuko makka al kaaba. Maana kibra ni kaaba na mnasujudia kaaba. Mkristo anamsujudia Mungu asiyeonekana. Ambaye yuko mbinguni.
      Zaburi 103:19
      [19]BWANA ameweka kiti chake cha enzi mbinguni,
      Na ufalme wake unavitawala vitu vyote.

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hili jamaa tahira kweli kila siku kakomaa na menemene tekeri na peresi , na hajui maana ,wala elim hana kazi kudanganya waislam coz shule hawana , unakomaa na bible na kila siku unasema sio kitabu cha kweli , siukomae na Qur'an yako

    • @marobaraka
      @marobaraka 6 หลายเดือนก่อน +1

      Tahira 😂😂😂😂😂

    • @marobaraka
      @marobaraka 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ajabu ni kwamba waislam wanaamini vitabu vinne taurati, injili, zaburi na Quran. Sasa utashangaa zaburi, taurati na injili hawana hata karatasi moja na wanasema imeharibiwa. Alafu kama vitabu vinavyoaminiwa na waislam ni zaburi injili na taurati leo anasoma Kitabu cha daniel anafundisha waislam menemene huyu kafiri

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 6 หลายเดือนก่อน

      @@marobaraka tena kinachochekesha hata ukimuuliza waandishi WA hivyo vitabu NI kina Nani? Hana jibu wao wamekariri ,utasikia wakisema tourati kapewa Musa, zaburi kapewa daudi, injiri kapewa YESU, hapo ndo unagundu akili za waislam zipo kwenye makalio 😂😂😂, ukiwauliza mfano Tu Kwa Yesu anaweza kupewa injiri ? Au yeye ndo alikuja na injiri na kuwapa mitume mfano kitabu cha ufunuo yesu sindio aliomfunulia yohana ule ufunuo

    • @faridfrefre35
      @faridfrefre35 6 หลายเดือนก่อน +1

      Bibilia inamaneno ya uongo na kweli yaukweli tunayatumia na ya uongo tunayabainisha muache Sule afundishe watu

    • @marobaraka
      @marobaraka 6 หลายเดือนก่อน

      @@faridfrefre35 Sule afundishe biblia!!!! kwanini asiwafundishe msikitini kila ijumaa afundishe biblia. Anafundisha biblia ofisini kwake.

  • @marobaraka
    @marobaraka 6 หลายเดือนก่อน

    Biblia haitegemei Quran. Ila Quran inategemea Biblia kama kitabu cha rejea na mmeambiwa na Quran mtuulize sie wenye kitabu.
    Yani Quran yenyewe inatafuta majibu kwa Biblia. Maana wewe utakosa majibu kwa kuisoma Quran pekee majibu utayapata kwa biblia. Na sasa unapata majibu kuwa kuna unabii upo kwa biblia, unabii wa siku za mwisho na umetokea , ulitabiriwa kale na upo sasa kazini.
    Biblia inatosha haiitaji Quran. Ndio maana biblia haijasema tuiulize Quran. Sasa sulle unaweka wazi kwa umma wa uislam kuwa biblia ni ya kutegemewa.

    • @cizaiddy7839
      @cizaiddy7839 6 หลายเดือนก่อน

      Kivipi quran itaitegemea bibilia?

    • @marobaraka
      @marobaraka 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@cizaiddy7839huoni muislam anaitumia kufundishia umma

    • @hajimasoud7210
      @hajimasoud7210 5 หลายเดือนก่อน

      Qu'ran inasema tuwaulize wakristo waliosilimu sio nyie ambao bado mko kwenye ukafiri na ulevi

    • @marobaraka
      @marobaraka 5 หลายเดือนก่อน

      @@hajimasoud7210 Acha uongo huyo mkristo aliyesilimu si anakuwa muislam?? Kwahivyo kurani imewaambia mjiulize wenyewe waislam!!!

    • @marobaraka
      @marobaraka 5 หลายเดือนก่อน

      @@hajimasoud7210 mkristo aliyesilimu huyo ni muislam, wewe ni muongo maana Quran imesema mjadiliane na wenye kitabu yaani wakristo. Saiv unasema eti quran imesema mjadiliane na waislam wenzenu