@@kapesamjenga8971 siyo chuki uhalisia kwamba hana values za kuwa mwandishi. Rudi shule acha uswahili. Kasomee fans acha kukurupuka na form 4 yko failure
Huyu Mtangazaji sio kwamba hapendwi coz Comment nyingi zinasema hajui kiukweli niungane nao huyu hajui chochote arudi shule Qmmk zake mtu anaenda Ulaya hajui kuhoji takataka kabsa😅
Mzee Magali yupo vizuri kwenye kujielezea hata kabla ya mtangazaji hajauliza yan huyu mtangazaji hii sio nafas yake hapa alitakiwa kuwa DJ smaa au Mwenyewe sky ingekuwa 🔥🔥
Huyo jamaa yuk marekani kwa mishe zake za kisanaa ya maonesho hakupelekwa na sns waliend wenyew marekan kam kikundi ch Sanaa sns wao ndo walimtafut kufanya nae kaz baada ya kumuon haki fanya challenge ya lugha ya kiswahili na wazungu
Nyie mnaosema hawezi nyie mnaweza siku zote mwanzo ni mgumu ata kama ukiwa na kipaji, ila kadri atakapozidi kutangaza ndivyo atakavyozidi kuwa bora na kurekebisha anapokosea, ata sky hakuibuka tu ghafla kawa mtangazaji bora naye alianza kama huyu, so msiropoke tu jaribuni kufikiria kwanza
Nimeipenda interview. Mtangazaji unajitahidi. Keep pushing, you are on your way.
Tanzanian/American sister in Kansas.
Mzee Magari bana, interview imekuwa Tamu sana
Our father 😘😘😘 the voice still good ❤❤
Jmn kaka angu mzee magari kumbe wanyumbani mashahallah Ausindile kaka magari
Mungu akueke mzee 🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦
Sasa kulikua na ulazima Gani wa hayo maigizo zaid ya kupotezeana bundle ..
Keep pushing✌🏾
Wazo mlugulu mwenzangu 😮😢😊😊😊😊
Heeehe jamani wananchi nyie mbona hamtangazi
Mwanzo mgumu hakuna aliezaliwa anajua mtangazaji kaza rekebisha pale unapokosea pia jfunze wengne pia km kna dj sma n.k 🤝
Mtangazaj hamna kitu huyu
Lakn yupo amerca
Mtangazaji hashawishi kuangalia 😢😢🙌🏻
Huyo mwandishi hana sifa na vigezo vya tasnia ya habari na utangazaji. Arudi kwanza shule akajifunze
Una chuki binafsi
Chuki binafsi au anaongea ukweli ?! Ukweli usemwe ajifunze hajui kuhoji @@kapesamjenga8971
jamaaa sio mwandashi wa habari wala mwanahabari ni host tu ila anabid ajifue sana
@@kapesamjenga8971 siyo chuki uhalisia kwamba hana values za kuwa mwandishi. Rudi shule acha uswahili. Kasomee fans acha kukurupuka na form 4 yko failure
Mtangazaji hajui mpuuz huyu mbwaaaa😅
😂😂
Mpe muda sky atamnoa atakaa vzr,,
Ila harmonize
Huyu Mtangazaji sio kwamba hapendwi coz Comment nyingi zinasema hajui kiukweli niungane nao huyu hajui chochote arudi shule Qmmk zake mtu anaenda Ulaya hajui kuhoji takataka kabsa😅
Mtangazaji haiwez hii kazi.
Hebu kaombe Kaz crown Wana taka watangazaji wivu tu
Hio RIKE ndo nini?😅😅😅
Mzee Magali yupo vizuri kwenye kujielezea hata kabla ya mtangazaji hajauliza yan huyu mtangazaji hii sio nafas yake hapa alitakiwa kuwa DJ smaa au Mwenyewe sky ingekuwa 🔥🔥
Amna kitu kwa myangazaji
Ndg mwandishi😅
😂😂😂😂😂😂 mtangazaji ananichekesha .....ohhh waooooh..... afu kama anaimbaaaa😂😂😂😂😂
Shule kitu cha muhimu sana hata form 4 tu inatosha. Hatuna mwandishi hapa
😂😂😂
Hapo hamna mwandishi ,yan kunavitu mzee magari anamfundisha mwandishi
Kumbe bado yupo😂
Duh uwezo wa kuhoji huna
Hata mimi nimefikiriaga mzee magari ameshaga fariki
NI JIMBO GANNI YUPOOO
MUTANGAZAJI WEWE HAUSTAHILI HATAKUITWA MUTANGAZAJI😮😮 YAAANI WEWENI 00
Ukiona astahili fanya wew nenda America 🇺🇸 ukatuletee vitu unique
Una nja ndo mana kila kitu una ona kibaya wew njo utangaze
Je wewe?
Daah sawa musikilizaji na mutizamaji
Mtangazaji anauliza Swali! Analijibu mwenyewe halaf anataka kuhakikisha? Nadhan anahitaji Kujifunza sana jinsi ya kuhoji
Kwan huku tz alikuwa hajaoa?
Today kakua
MtaNgazaji AnaIzaliliSha Nsn YeTu
Kwer kuigiza Sio Kazi
Yaan uyu host sio tuu hajui na anaboa tuu lakin hta kipaji nacho hana yaan magari angempata mwenyewe sky tunge Enjoy zaid
Ataa maongezi yao yanajichanganya et kule mara huku yaani ni hovyo hovyo
Mbona mtangazaji ndo anaonekana sana kuliko mzee magari
Huyo mtangazaji mumtoeni umarekaninmumrudishe bongo mumpeleke Mtu mwenye uwezo waku oji
Huyo jamaa yuk marekani kwa mishe zake za kisanaa ya maonesho hakupelekwa na sns waliend wenyew marekan kam kikundi ch Sanaa sns wao ndo walimtafut kufanya nae kaz baada ya kumuon haki fanya challenge ya lugha ya kiswahili na wazungu
Jamaa yuko sawa 🥰
Mzee Magari "Where is Come From"
😊😊
Picture for mw?
Marekani ya burundi
Hapo sio marekani mzee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mnatuleta nyie watoto wa mbagala wanalia kabisa
Mtangazaji anahoji anajijibu
Nyie mnaosema hawezi nyie mnaweza siku zote mwanzo ni mgumu ata kama ukiwa na kipaji, ila kadri atakapozidi kutangaza ndivyo atakavyozidi kuwa bora na kurekebisha anapokosea, ata sky hakuibuka tu ghafla kawa mtangazaji bora naye alianza kama huyu, so msiropoke tu jaribuni kufikiria kwanza
Mtangazaji badala aulize maswali. Anauliza kisha anajibu mwenyewe!!!
Akasomee uandishi zaidi
Very amateurish!
Mtangazaji ujitafakari kwa hizi comments
Nyie SNS muwe serious acheni kubebana bebana media ishakuwa kubwa , Watangazaji gani hawa sasa 😂😂
😂
Mbona mtangazaji anauliza majibu Yan mpaka magar anashindwa ajibu nini
Aah hyo move au
Sauti ya mzee magari utasema amekabwa na kitu kwenye koo
Hahahhaaaa mimi naikubali sana sauti yake
Nimejuwa mzee magafi yupo hanaish marekani basi siendelee na storry keasababu mtangazaji ajui
Wa kwanza reo wamba rike ningi kwa mzee magari
Jifunze matumizi ya R&L 😢
Shule ni mhimu saana haswa kwa watzn😂😂😂😂😂😂 r na l vinakushinda loooo
So boring