I do love Lil Ommy, mambo ambayo watu wanachukulia negative huwa anajutahidi kuyachimba ili tujue ukweli, firstly watu walikuwa wanachukulia huyu binti kama vile ni katoto kadogo, pili walikuwa wanamchukulia kama vile ni muhuni tu na hana elimu yoyote, now tumejua kuwa kwanza sio mtoto, maana kama kasoma miaka mitatu chuo kikukuu na akamaliza 2017 maana yake sio mtoto mdogo, but also ni msomi, ana akili, from now on mpeni heshima yake
Sawa Lilian lakin mhona unajieleza pasipo kuulizwa maswalii lakn unajieleza vizuriii...nimeipenda iyo
I love her🥰
Umeua mzee ommy
Ila harmonize😄
Mnajiendekeza snaa
Zdaaah kwel unafaa maan unaongea Atari
Unyama sana
kazuli sana kama lulu eliza
❤❤❤❤❤❤❤❤
I do love Lil Ommy, mambo ambayo watu wanachukulia negative huwa anajutahidi kuyachimba ili tujue ukweli, firstly watu walikuwa wanachukulia huyu binti kama vile ni katoto kadogo, pili walikuwa wanamchukulia kama vile ni muhuni tu na hana elimu yoyote, now tumejua kuwa kwanza sio mtoto, maana kama kasoma miaka mitatu chuo kikukuu na akamaliza 2017 maana yake sio mtoto mdogo, but also ni msomi, ana akili, from now on mpeni heshima yake
Hyu ndio yke dda alileta mchakato mzima wa wtoto wa elfu mbili sio.
Mcheshi sana huyu bint
Kanajiamini sana
Lema WA wapi jaman
Lema ni mchaga
@@redmarkcreations45 Namm ni mchaga halafu ukoo wangu pia ni lema
Nigeria 🇳🇬
@@kimchi-91 Mim natokea Kilimanjaro Kijiji cha kyier
@@user-gh3zf4ow4c😮kumbe unajua af sababu nawewe ni lema. ulikua unatujaribu au
wachaga wazuri nyie