Safi sana Dotto huyu aadabishhwe maana ataendelea kuwatoa watu machozi . Mwijaku anajisahau sana anaona dunia yakwake anatesa mioyo ya watu sana.inatakiwa apewe nokos moja ashike adabu sio wanawake sio wanaume anawadhalilisha sana .mnafiki sana anajificha nyuma ya kivuli cha dini
Yaan sijui Kwa nn Diamond asimchukulie hatua na yeye Kwa kua anamdhalilisha,jamaa linajiona kuwa lenyewe ndio kuliko mtu mwingine,achukuliwe hatua za kinidhamu,
Mwijaku ana zarau sana . Nadhani hilo lililomkuta ni moja kati ya mafunzo ambayo anatakiwa ayapate. Jambo lililonikera zaidi kwenye upuuzi wake ni pale aliposema kwamba chakula cha mbwa wake ndo maisha yetu cc wengine. Aisee ameniudhi sana . Alafu nataka niulize kwani mwijaku ni muislamu au ni nani simuelewi mm. Eti expensive life mkewake anatembea uchi mwisilamu gan huyo.
😂😂😂😂😂 ukicheka na nyani lazina uingie nae msikitini mlimchekea sana huyo mmbea wa maisha ya watu kwa sisi tukio soma cuba hajamsema masud peke yake ameikashifu tasnia yote ya clouds na mmiliki wake😂
KAYAKANYAGA KWA KIPANYA,MTU KAWACHORA KINA MKAPA,SUMAYE,MREMA,DITOPILE MZUZURI, HALAFU HUYU WA KUJA KUTOKA BUKAVU" ANAJIFANYA ANAMJUA...KIPANYA WA KIMJI TOKA ENZI ZA KINA CISCO MTIRO"...Uchaguzi WA TMK 96.
Kesi iende tu mahakaman amezoea huyo kila wakat anawatusi watu alafu anaomba radhi ikawa akageuzwe mfano tu uko mahakan, wanatumia kujuana na mama Samia ndo sababu ya kuwadhalilisha watu, akatoe tu iyo B5
Daah nimecheka Sana yani dotto angekuwa hakimu mwijaku angefungwa haraka sana.😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Niwe muwazi Dotto magari nakukubali sana kaka
Doto nakukubali kinoma
HESHIMU USIO WAJUWA😢
😂😂😅😂😅eti jitu jinga.linaharibu umeme
Kwa mara ya kwanza huyu Dotto Magari amenifurahisha😂😂😂😂😂😂😂😂
Yaani doto amenichekesha sana duu
Safi sana Dotto huyu aadabishhwe maana ataendelea kuwatoa watu machozi . Mwijaku anajisahau sana anaona dunia yakwake anatesa mioyo ya watu sana.inatakiwa apewe nokos moja ashike adabu sio wanawake sio wanaume anawadhalilisha sana .mnafiki sana anajificha nyuma ya kivuli cha dini
Yaan sijui Kwa nn Diamond asimchukulie hatua na yeye Kwa kua anamdhalilisha,jamaa linajiona kuwa lenyewe ndio kuliko mtu mwingine,achukuliwe hatua za kinidhamu,
Doto bwaaana👍
Mungu sio asmani yamemkuta eti weeye maisha yako kama ya puppies zake iliniumaaaaaaaa
Dotooooooo
😂😂😂😂😂😂 dotto leo nimechek yangu yote
mdomo jamani uyu😮😮😮
Dotto saf sana ilooo limwijaku maneno aangalii watu wakuwasem kila mtu payu payu
😂😂😂 DOTO KAKANYAGA KWENYE KIDONDA😂😂
Aende jela tu
Maskini mwi
Umekuwa mpole
Sasa si unyamanze doto tumsikilize Mwijaku.
Yaani mimi nilisema mapema kuwa pesa mnazo pewa zinawapa kiburi sana
😂😂😂😂 nakubali dotto,huyo yamemkuta
Mwijaku limbukeni apelekwe mahakamani tu akalipe fidia ili akome tabia yake yakijinga ikibidi afungwe ata miezi Cita achapiwe mkewe vizuri
Mwijaku ana zarau sana .
Nadhani hilo lililomkuta ni moja kati ya mafunzo ambayo anatakiwa ayapate.
Jambo lililonikera zaidi kwenye upuuzi wake ni pale aliposema kwamba chakula cha mbwa wake ndo maisha yetu cc wengine. Aisee ameniudhi sana .
Alafu nataka niulize kwani mwijaku ni muislamu au ni nani simuelewi mm.
Eti expensive life mkewake anatembea uchi mwisilamu gan huyo.
Kweli mke anakaa uchiuchi tena anafuga mbwana ndani ya nyumba
Anaropokwa sana mwijaku angeenda kumgalagaza mahakamani mbwa huyo wakuja
Khaaa...Ila Dotto khaa eti MASUDI Kipanya yupo Tangu 9 Disemba anachora Vikatuni...😂😂😂
Alipomaanisha Content sasa😂😂
Bro wako wengi kama hao
Nyie nmecheka saaan 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 ongea kilichokuleta😂😂😂
😂😂 WE HUOGOPI😂😂
#Wakenya tunasimama na Mwijaku 🇰🇪
Sio wa kenya wote pls
amejifunza atatengeneza breck za mdomo wake maana zilikua zimefer kabisa
Hahahha kwel kaka sio pw
Mwijaku anamaliza 😂😂😂😂😂 dotto hatar😂😂😂
😂😂😂😂😂 ukicheka na nyani lazina uingie nae msikitini mlimchekea sana huyo mmbea wa maisha ya watu kwa sisi tukio soma cuba hajamsema masud peke yake ameikashifu tasnia yote ya clouds na mmiliki wake😂
Vita vya Panzi furaha kwa kunguru 😂daaah nimeamini
Duh Dotto😂😂😂
Kama hata media zingine zinatumia sns aka sauti na simulizi kwenye Story zao gonga hapa
Hajatumia ni doto magari ameplay kwe TV maana ameconet you tube pale. Doto magari anamuangalia mwijaku kwenye tv na ndio video imefafanuliwa na sns.
Kweli mwijaku umemkosea sana Masood
Dotttoooò
nimeamini ule usemi wa malipo hapa hapa duniani ,,hasa nikikumbuka alivyokamdhalilisha menina
KAYAKANYAGA KWA KIPANYA,MTU KAWACHORA KINA MKAPA,SUMAYE,MREMA,DITOPILE MZUZURI, HALAFU HUYU WA KUJA KUTOKA BUKAVU" ANAJIFANYA ANAMJUA...KIPANYA WA KIMJI TOKA ENZI ZA KINA CISCO MTIRO"...Uchaguzi WA TMK 96.
Kwann anaomb msamaha huku anarejea kosa,,, hapo soln ni court ajulikane mkweli.
Kwan ww doto ulishakosea wangap
ila dotto
Wee fala unamuona masoud ni sawa na baba levo
Kesi iende tu mahakaman amezoea huyo kila wakat anawatusi watu alafu anaomba radhi ikawa akageuzwe mfano tu uko mahakan, wanatumia kujuana na mama Samia ndo sababu ya kuwadhalilisha watu, akatoe tu iyo B5
daaaaaah😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Doto unaongea na tv 📺 ten
Hahaha😂😂
Hahahah daah dg msameheni jaman
😂😂😂 Eeti Bundi 😂
Huyo alipe binafsi nimemchukia masoud kwasabu ya mwijaku ili niwe sawa alipe fidia
😂😂😂😂amezid sana akalipe Hela,,au aende jela,,Ili iwe fundisho Kwa wangine
Control your emotions mwijaku
Nacheka kibuli yake
Mwijaku fala anawamukia watoto kisa pesa
Ameyatimba 😂
Ameyatimba 😅😅😅
Amepoaa
😂😂😂😂😂😂dadekiii kaingia pabayaaa pumbaav
Hahahahaha
😅😅😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Mwijaku anazalau watu sana
😆😆😆😆
Kayatimba huyo bwege, masoud kp ni legend hapa tanzania kitambo kuliko wewe mshamba wakuja mwaijaku
Mwijaku kamdhalilisha sana menina na akashinfa mahakamani Kwa udhalilishaji masoud kaka mpeleke mahakamani huyu nyau ashike adabu yake
Mheshimu Alhaji Mwijaku
Alipe fidia maana amezidi kuzalilisha watu
Dotto 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂