JPM APIGA SIMU AKIWA KWENYE KAMPENI NA KUTOA MAAGIZO MAZITO "MIMI SI NDIO RAIS, MAAGIZO YASIBAILIKE"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 56

  • @cosmasdaud9088
    @cosmasdaud9088 4 ปีที่แล้ว +7

    Ninachokupendea ni kusema ukweli pamoja na kuomba kura lakin umewaambia ukweli mnataka barabara lakin wale walivamia barabara hakuna fidia ni wachache Sana wanao weza kusema ukweli kipindi Cha kampeni

  • @tz7976
    @tz7976 4 ปีที่แล้ว +8

    Kumamae leo hii atokee mtu anamtukana rais wangu JPM napiga ngumi ya pua😯😯😯😯

    • @clifordmsongole1134
      @clifordmsongole1134 4 ปีที่แล้ว

      Baba wakikusumbua nipigie simu tuwashughulikie

    • @clememallya4257
      @clememallya4257 4 ปีที่แล้ว

      Acha matusi

    • @ukweliunauma4570
      @ukweliunauma4570 4 ปีที่แล้ว

      KATAA CCM, tanzania ipone, Kwa kuishi na hofu, woga , kutishiwa, kunyanyaswa, kutekwa na watu wasio julikana, kuonewa, Stress, Njaa, shida ya pesa, wanawake kuharibu mimba kwa wingi, nguvu za kiume kwa msongamano wa mawazo kutokana na tabu za ccm. Hofu ya kubambikiwa Kodi na TRA. Ili upone na haya majanga yote unahitaji: Haki, Amani, uhuru na maendeleo. Piga kura chadema upate upone.
      ✌✌✌👍

  • @temkezatv4381
    @temkezatv4381 4 ปีที่แล้ว +3

    Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI

  • @rajeep-ni7lh
    @rajeep-ni7lh 2 ปีที่แล้ว

    Maguful was best rest in peace always I miss you ❤❤❤❤

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 4 ปีที่แล้ว +1

    He talks the walk! Mzee wa vitendo!sio bima kwa kila mtanzania😂😂

    • @luluamri370
      @luluamri370 4 ปีที่แล้ว

      Bina inawezekana kodi zikiongezeka ..

  • @merryjoseph6571
    @merryjoseph6571 4 ปีที่แล้ว

    Ukweli ni zuri hongera magu wetu

  • @emmanuelbonifase1114
    @emmanuelbonifase1114 4 ปีที่แล้ว

    All eyez on JPM katika ubora wake

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 2 ปีที่แล้ว

    Siamini kama umehondoka kipenzi
    Mungu akusamehe makosa yako akuweke kwenye kundi la watu wema peponi

  • @jordanfromyt2861
    @jordanfromyt2861 4 ปีที่แล้ว

    Tanzania ilikuwa naitwa maskini kwasababu ya mabeberu sawa na Congo2

  • @japhetlaisangai8064
    @japhetlaisangai8064 4 ปีที่แล้ว

    Mmmmh

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 4 ปีที่แล้ว

    Magufuli is at home!!

  • @rajaburajabu3963
    @rajaburajabu3963 4 ปีที่แล้ว

    Umefit mzee

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 4 ปีที่แล้ว

    Magufuli tunaomba shughulikia swala la KODI-TAX maana ni kazi kweli kweli

  • @jacksonkagwala5097
    @jacksonkagwala5097 4 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa mkuu JPM kukubali ombi la jembe letu Shigongo

  • @abdulramanhemed3749
    @abdulramanhemed3749 4 ปีที่แล้ว

    Tunakuombea kila kheri na amani katika maisha yako kwa hakika ww ni kiongozi bora tunakuoba ukimaliza miaka yako uje na huku kwetu +254 utukomboe twaumia na twafurahia kuona wenzetu wanafurahia maendeleo ya rais wao CCM HOYEEE

  • @msiiwaziri2839
    @msiiwaziri2839 4 ปีที่แล้ว +2

    Tume ya uchaguzi mupo wapi rushwa iakuwaga upande mmoja

    • @cmantz8837
      @cmantz8837 4 ปีที่แล้ว +2

      Huyo ni raisi na hilo ni jambo la kitaifa sio binafsi huyo nirais sio mgombea tu

    • @joycemwambe3494
      @joycemwambe3494 4 ปีที่แล้ว +2

      @@cmantz8837 Pia lipo katika ilani yao mwache alalame dawa imwingie magu woyoooo

    • @seifchima9945
      @seifchima9945 4 ปีที่แล้ว +2

      Babo ni rais na hilo ni jambo la kitaifa

    • @cheupemwanga3326
      @cheupemwanga3326 4 ปีที่แล้ว

      Rushwa

    • @saudahassan82
      @saudahassan82 4 ปีที่แล้ว +1

      An kweli mawatyu nimajinga ....eti rushwa
      Huyu bdo ni rais jombaa...anapiga kampen na wakati mwingne anafany km rais achaga uree we rara...#maguDaima
      #mashogaWarudUbelgij

  • @ukweliunauma4570
    @ukweliunauma4570 4 ปีที่แล้ว +2

    Una uza sound kama mnigeria, ujanja wa simu kuongea na mtu, umeleta ukabila wewe na dhulma na unyonge na njaa, kwanini usifanye yote miaka iliopita na ulikua raisi

  • @eliarichard9218
    @eliarichard9218 4 ปีที่แล้ว

    Nasikia language tyuu kwa chiini

  • @dickchambilo9138
    @dickchambilo9138 4 ปีที่แล้ว +1

    Rais magufuri usiwaze miaka yako mi5 mingine umeshaipata ,Nani amchagua tundu, siatauza nchi, Kama makinikia tu aliisaliti nchi sembuse uraisi

    • @ladslausjulius3533
      @ladslausjulius3533 4 ปีที่แล้ว

      Hiyo ruushwa ulikua wapi , ukiwamadalakani , mtoarushwa namba 1

    • @selector728
      @selector728 4 ปีที่แล้ว

      Siyo magufuri ni magufuli

  • @geitaamb4152
    @geitaamb4152 4 ปีที่แล้ว +1

    Magufuli hakuna cha miaka 5 tena imetosha Lisu ikulu lazima .

  • @kennedymboma8268
    @kennedymboma8268 4 ปีที่แล้ว

    Kwelihuu niutumwa mkipewa fanyenikazi lakinihuosiomdawake

    • @cosmasdaud9088
      @cosmasdaud9088 4 ปีที่แล้ว +1

      Tofauti ya Magufuri na wagombee wengine ni moja anaingia kuomba kura uku akiwa bado ni Rais kwahiyo uwezi sema Ni Rushwa

    • @kennedymboma8268
      @kennedymboma8268 4 ปีที่แล้ว

      @@cosmasdaud9088 nirushwa simgombea

    • @piuslevokatuss1160
      @piuslevokatuss1160 4 ปีที่แล้ว

      Haa wejamaa mpige huyo alie changanywa na alufu yavitunguuu

    • @justinemgeni8716
      @justinemgeni8716 4 ปีที่แล้ว +1

      @@kennedymboma8268 wew ndo hujui!! Sio rushwa kwakua huyo ni rais bado, nchi haijasimama lazima atatue matatizo ya watu

    • @leonardemmanuel9249
      @leonardemmanuel9249 4 ปีที่แล้ว +1

      Kennedy utajiju na chadema yako

  • @merryjoseph6571
    @merryjoseph6571 4 ปีที่แล้ว

    Ukweli ni zuri hongera magu wetu