JIBU la MAGUFULI kwa JAMAA Aliyemwambia AACHIE PESA, Utacheka!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • JIBU la MAGUFULI kwa JAMAA Aliyemwambia AACHIE PESA, Utacheka!
    Rais Dkt John Magufuli, leo Novemba 27, ameanza ziara rasmi katika mkoa wa Shinyanga, ambapo kabla ya kuwasili amesimama katika maeneo tofauti tofauti barabarani na kuzungumza na wananchi..
    #MAGUFULI
    YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
    ----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    HABARI MPYA DAILY:
    www.youtube.co....
    HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
    www.youtube.co....
    GLOBAL RADIO TV:
    www.youtube.co....
    EXCLUSIVE INTERVIEW:
    www.youtube.co...

ความคิดเห็น • 137

  • @nathanielmboje1479
    @nathanielmboje1479 4 ปีที่แล้ว +6

    Ninatamani Mhe. Rais uongezewe muda ukiwa nguvu uinyooshe nchi yetu tufike mbali kiuchumi na kimaendeleo. miaka 20 au zaidi itafaa zaidi. CCM oyee, CCM ni zaidi

  • @kakamau0384
    @kakamau0384 4 ปีที่แล้ว +2

    Mimi huyu Rais ninamuelewa sana tena zaidi ya sana Kazi Kazi mapori na mabonde yapo kibao tuu ila watu wanapenda sana mtelemko

  • @emanuelmwamiko4910
    @emanuelmwamiko4910 4 ปีที่แล้ว +6

    tupe maisha kama ya Gaddafi mh rais tuletee Tanzania ya kisasa bhagosha tuliho

  • @nathanielmboje1479
    @nathanielmboje1479 4 ปีที่แล้ว +1

    Mhe. Rais hongera sana kupita nyumbani kwetu Igunga. Shida kubwa ya wanaigunga ni elimu ndogo sana waliyonayo hao wananchi. Ndiyo maana madiwani waliopo ni tatizo kwasababu wengi ni darasa la saba na wengine hawakusoma kabisa. Wengi waliingia kwa rushwa uchaguzi wa 2015. Ndiyo maana wanatoa shida ambazo kimsingi Mhe Rais unazishughulikia ikiwemo kero za hapo Igunga. Tunaomba rushwa idhibitiwe katika chaguzi zijazo ili wapatikane viongozi sahihi.

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 4 ปีที่แล้ว +4

    Huyu kweli kajiripua

  • @robertigohe9338
    @robertigohe9338 4 ปีที่แล้ว +1

    "Asiyefanya kazi na asile",hakuna vya bure.
    Pamoja na kusifiwa Rais JPM ,lakini alijibu ipasavyo kwa msimamo ule ule.

  • @gracerichard1326
    @gracerichard1326 4 ปีที่แล้ว +5

    Igunga oyeeee

  • @amosreuben1991
    @amosreuben1991 4 ปีที่แล้ว +1

    Mheshimiwa Rais pongezi kwa kazi nzuri unayoifanya. Nakuomba sana utusaidie tupate maji katika kijiji Kemondo kitongoji Rulongo wilaya ya Bukoba vijijini. Wenzetu wa Kemondo upande wa bondeni wana maji sisi wa upande wa pili nikimaanisha mlimani hatuna maji kwa miaka mingi sana. Tunge jengewa tank kubwa haya la Lita 20000 lingesaidia kusambaza maji kwenye baadhi ya vitongoji. Mungu akupe afya njema.

  • @mayramali250
    @mayramali250 4 ปีที่แล้ว +3

    Hongera Magufuli from Kenya

    • @mashakamagonze4568
      @mashakamagonze4568 4 ปีที่แล้ว

      Tolagwi mpadeke ela

    • @jacksonkinange4605
      @jacksonkinange4605 4 ปีที่แล้ว

      I business man from Tz
      I am looking someone from Kenya now we have our branch office Nairobi

  • @izackrichard5344
    @izackrichard5344 4 ปีที่แล้ว +2

    saf sana mzee wang magufuli..sis tunaona kama mateso kwa sas kwajili weng walikua wamezoea vya bure sas hap ni kaz ili mtu ale saf sana mzee

    • @showzeddy
      @showzeddy 4 ปีที่แล้ว

      Safi sana

  • @victorwilbard2585
    @victorwilbard2585 4 ปีที่แล้ว +2

    Kuna maeneo hayajawahi kutumia maji ya bomba tangu Dunia hii iumbwe licha ya kuwa karibu na maji, Wilaya ya Mbogwe hakuna maji kuna maneno tu ya maji.
    Maneno na ahadi siyo mahitaji ya watu,ni kweli hali ni ngumu na watu wanasema.

  • @yassinponera4271
    @yassinponera4271 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa alianza vizuri alisema barbara akasema maji mwisho kaja kuongea utumbo

  • @nusurakajubu8785
    @nusurakajubu8785 4 ปีที่แล้ว +2

    Uyo mzee 😀😀😀sijui majib anaweka kwenye mfuko jmn nacheka kweli
    Toka mm nizaliwe nasikia akuna ela mpaka Leo hii

  • @richardcharles5210
    @richardcharles5210 4 ปีที่แล้ว +5

    Huyu jamaa huyu yupo Makini na kujibu maswali

  • @user-cl8bz4zw1r
    @user-cl8bz4zw1r 4 ปีที่แล้ว +7

    Muheshimiw Rais hebu nenda mkow wa Tanga vijijin hasa wilay ya mkinga tarafa ya maramba na katazak na vijiji ukajionee mwenyew hali ilivyo kuwa mbay

    • @iddishabani7225
      @iddishabani7225 4 ปีที่แล้ว

      Maramba ndio hm

    • @user-cl8bz4zw1r
      @user-cl8bz4zw1r 4 ปีที่แล้ว

      Pamoj Idi shaban

    • @habibadhikr9406
      @habibadhikr9406 4 ปีที่แล้ว

      Upo sahihi wilaya mbovu kabisa mi wa maramba uoza mtupu

    • @habibadhikr9406
      @habibadhikr9406 4 ปีที่แล้ว

      Mi huko ni umamani tu lushoto IPO juu kule mi ubabani ninge kuona ugekunywa soda mi nikalipa

  • @hemedybira4664
    @hemedybira4664 4 ปีที่แล้ว +1

    Kuna wilaya zingine zitateseka Sana kuhusu maji Kama Wilaya yakondoa kijj bereko SALANKA maji nitatizo bad kinamama wanaamka saa9 usiku kwenda kuteka maj

  • @thobiasshikome1480
    @thobiasshikome1480 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sana Mh Sana mungu akuongoze

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 4 ปีที่แล้ว +4

    Konk magu

  • @saulomichael5442
    @saulomichael5442 4 ปีที่แล้ว +1

    Mh yupo mkin na amejibu ukifanya kaz mpunga unakja wenyewe

  • @Mariamthomasthomas
    @Mariamthomasthomas 4 ปีที่แล้ว +7

    Naomba sikumoja ufike na balabala ya kutoka kahama kwenda chona uone watu wanavyopatashida maji hakuna balabala mbovu naumia sana kuskia maji yanapelekwa sehem nyingine kiinza nikalibu nakahama ila maji hayajafika 😂

    • @lilygracexx1975
      @lilygracexx1975 4 ปีที่แล้ว

      Hata mimi nimehisi maana anaonekana hata hapo alipo sio makazi yake

  • @modansahassan3816
    @modansahassan3816 4 ปีที่แล้ว +6

    😂😂😂😂jamaa anataka kumpiga mzinga rais?

    • @neemamayco3238
      @neemamayco3238 4 ปีที่แล้ว

      Sema amejiamin sana kusimama hapo cyo mchezo ww

  • @gerkombo6512
    @gerkombo6512 4 ปีที่แล้ว +2

    Zingatia hiyo point ya mwisho mzee rais, ACHIA FEDHA.

  • @kingwatabata4230
    @kingwatabata4230 4 ปีที่แล้ว

    Hapa kazi Tuuu💪 akuna jibu lingine

  • @omariliwikila1979
    @omariliwikila1979 4 ปีที่แล้ว +1

    Aaaachie fedha hapo ndio umempiga kibao cha usoni baba Jesca.

  • @evansmlalo4049
    @evansmlalo4049 4 ปีที่แล้ว

    Miradi yote ya maendeleo imeelekezwa Usukumani. Mikoa mingine watu wanalipa kodi lakini huduma hakuna. Alafu huyu Magufuli anatoa wapi pesa za kuwapa watu barabarani na hizi fedha zinaandikwa wapi?. Wapinzani lazima mumuulize huyu Magufuli wakati wa Kampeni. Mwisho mbona CCM hakuna wagombea wengine na naambiwa mnawatisha watu wakitaka kuchukua form mbona Zanzibar wagombea wako wengi lakini bara mnazuia watu kuchukua form. Vijana wa Vyama vya upinzani chukueni form kila mahali Tanzani mpate Ubunge Siasa inalipa. Sitaki kuwaona wafuatao wanarudi Bungeni; Ndugai, Lusinde, Msukuma, Mlinga na yule Mbunge wa Shinyanga anaongea Kisukuma Bungeni na yeye ni Mwarabu ha ha ha.

  • @musso238
    @musso238 4 ปีที่แล้ว +2

    Tawala milele kwagukasembe maliwa😃 komaa baba Janet

  • @suddytele3692
    @suddytele3692 4 ปีที่แล้ว +3

    mh rahisi usipende kutumia rugha hiyo ya ajabu kwa kuwa hii nchi sio ya ukabila wewe ni raisi wa watanzania na sio wawasukuma peke yao....suddy tele wa ifakara

    • @dintazdintaz7311
      @dintazdintaz7311 4 ปีที่แล้ว +1

      Hua anachanganya

    • @mariamfaicalhassan2890
      @mariamfaicalhassan2890 4 ปีที่แล้ว +2

      Anaongea kila kabila huyu mh Rais

    • @eliasbonda9802
      @eliasbonda9802 4 ปีที่แล้ว

      Akiongea kisukuma ndo kosa? Maana kila kabila huwa anaongea. Au hapo yupo kwa wapogoro?

    • @mgundawitness486
      @mgundawitness486 4 ปีที่แล้ว +2

      Suddy Tele kumbe we hujamuelewa ukabila uko WAP???? Anaongea lugha ya mahari alipo ili wamuelewe vzr

    • @magrethjohn8576
      @magrethjohn8576 4 ปีที่แล้ว

      Suddy Tele ,mbona anaongea lugha ya eneo husika watu wqnaelewa na ndo sababu wanamshangilia sana

  • @godwinkiumbe2548
    @godwinkiumbe2548 4 ปีที่แล้ว +10

    Boss wetu achia pesa 2naangaika na maisha

  • @countinguptoupthere5169
    @countinguptoupthere5169 4 ปีที่แล้ว +5

    Nimekuelewa mheshimiwa Rais wetu miaka 20 inakutosha

  • @linkomagembe3425
    @linkomagembe3425 4 ปีที่แล้ว

    Hatar

  • @habibadhikr9406
    @habibadhikr9406 4 ปีที่แล้ว

    Rais wetu wawa nyonge tembelea wilaya ya mkinga kata maramba ukaone hali ya mashamba ya watu binafsi halafu ni mapoli

  • @khalekichambo2143
    @khalekichambo2143 4 ปีที่แล้ว

    Watu wa tanga naona kila siku mnalalamika humu, poleni sana na yanayo wasibu

  • @wajinajecha5029
    @wajinajecha5029 4 ปีที่แล้ว +7

    Hizo ahadi toka uhuru tushazoea

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 4 ปีที่แล้ว

    Tunafanya kazi tena winter imeanza

  • @noelmgulusi6707
    @noelmgulusi6707 4 ปีที่แล้ว

    Mambo mazuri hayaitaji haraka, Mheshimiwa Rais ananda mazingira ya wawekezaji, umeme wa uhakika miundombiu ya usafirisha, vyombo vya usafirisha n,k vyote hivyo vitawaleta wawekezaji na uchumi utakuwa imara daima, na sio kwa njia nyingine za haraka haraka

  • @chubakabahindwa3309
    @chubakabahindwa3309 4 ปีที่แล้ว

    Unaitaji maji na maji unabeba bara bara zenu iyo maji nayo ndo atari

  • @josephinanikwelimdacki3330
    @josephinanikwelimdacki3330 4 ปีที่แล้ว +2

    ume ongea point

  • @abasialiy4647
    @abasialiy4647 4 ปีที่แล้ว +3

    hahahaaa mukatolwe

  • @sonko-c6h
    @sonko-c6h 4 ปีที่แล้ว +4

    Anafanana na chenge

    • @shillanashon3837
      @shillanashon3837 4 ปีที่แล้ว

      Tabora vipi malolo Mwinyi mitaa take hakuna mitaro

  • @jumahamis227
    @jumahamis227 4 ปีที่แล้ว +1

    Kuna watu majasiri wa hali ya juu 😂.

  • @mohamedishabani4167
    @mohamedishabani4167 4 ปีที่แล้ว +6

    Tupo na ww mpaka 2040 atumtaki mwengi ss.

  • @lumuliy5476
    @lumuliy5476 4 ปีที่แล้ว +1

    "Mbon sijaona jibu la swali kuhusu fedhaa...

    • @zuheorsalim7759
      @zuheorsalim7759 4 ปีที่แล้ว +1

      Na wala hutolisikia😄

    • @martindonald6828
      @martindonald6828 4 ปีที่แล้ว

      Lumu Liy Fanya kazi pesa itakuja kwa kufanya kazi na akuna serikali ninayo lisha mtu Bali serikali itajenga mashule,madaraja,madawa,mabarabara,na mengineyo ya aina hiyo .....kwaiyo Fanya kazi ndio jibu la mh rais

    • @michaelybennady8230
      @michaelybennady8230 4 ปีที่แล้ว

      Kashajibu.kasema vywabule vimekwisha navitaendeleya kuisha,ictoshe akaongeza kama hunapesa kaolewe.

    • @neemamayco3238
      @neemamayco3238 4 ปีที่แล้ว

      C ndio anamjb hapo cha bure hamna

  • @seburigidamsungu6252
    @seburigidamsungu6252 4 ปีที่แล้ว

    Mheshimiwa rais fika na huku maifola

  • @peterhano8706
    @peterhano8706 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli huyo jamaa kaonyesha uzalendo

  • @felixmoses9863
    @felixmoses9863 4 ปีที่แล้ว

    Wambie mana wamezoe kutofanya kazi, kazi kupiga soga na kujadil ya watu vijiweni

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 4 ปีที่แล้ว +2

    ziachiwe fedha uzipeleke wap?!

  • @mtakimjinja2328
    @mtakimjinja2328 4 ปีที่แล้ว +2

    Sikilizeni majibu!

    • @vicentmichael8465
      @vicentmichael8465 4 ปีที่แล้ว

      Kweli huyu jamaa sio mtu wa kawaida ukimfata mmmhhh

  • @andrewyunus390
    @andrewyunus390 4 ปีที่แล้ว

    Rais anakazi kubwa sana kuwezesha maendeleo

    • @erastomwankota7553
      @erastomwankota7553 4 ปีที่แล้ว

      Kazi tunafanya sana,ila hela ni shida,sasa hivi biashara hazitoki.

  • @suratfrank6282
    @suratfrank6282 4 ปีที่แล้ว +4

    JPM mwisho wa matatizo 🦂pamoja tutafika 🙏tawala Daima

  • @richardgerd316
    @richardgerd316 4 ปีที่แล้ว +5

    Pesa ikiachiwa sahau miradi anayo itekeleza Mheshimiwa Rais , Rais kabana fedha kuwa mikononi kwa raia ili miradi itekelezwe . Mimi nasema Rais endelea hivo hivo kwakua sasa naona hata kuna heshima huku mitaani kati ya tajiri, fundi , kibarua

  • @sein.208
    @sein.208 4 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana

  • @rashidhassan5310
    @rashidhassan5310 4 ปีที่แล้ว +1

    Mushimiwa rais ukipata ziara ya mkoa watanga fika mpaka wilaya ya lushoto kata ya vuga hakuna mundo mbinu kabisa baraba hazina rami lakini wapo.matapeli.wadanganyao wana nchi kila siku

  • @bugalirecords4862
    @bugalirecords4862 4 ปีที่แล้ว +1

    Waambieeeeeee!!

  • @emmanuelkasoga4997
    @emmanuelkasoga4997 4 ปีที่แล้ว +2

    Duuuh "mhutolwe" no nouma

  • @charlesjohn1107
    @charlesjohn1107 4 ปีที่แล้ว

    "

  • @abbyjustine7906
    @abbyjustine7906 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu akili ndogo, pesa unapewa mfukoni

  • @michaelmachiya3308
    @michaelmachiya3308 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaz kaz

    • @haipo8949
      @haipo8949 4 ปีที่แล้ว

      Kweli Mkuu shida ni kuwa wa tz si wapiga kazi navsi watu wa kusubutu.
      Lakini zile pesa ulizowapa wanyonge wakope ktk halmashauri haziwafikii walengwa wanawazungusha tuu wamnakopeshana wakubwa hebu fuatilia hilo.

  • @ibrahimhaji4279
    @ibrahimhaji4279 4 ปีที่แล้ว

    Pesa ziwachiwe....hahahaa

  • @emmanuelbonifase1114
    @emmanuelbonifase1114 4 ปีที่แล้ว +1

    Alafu reli standadi geji utajenga ww

  • @michaeldotto9145
    @michaeldotto9145 4 ปีที่แล้ว +2

    Namuunga mkono jamaa kuhusu hela zimebanwaaaaaaaaa ziachiweeeeeeeeee angusha like naww kama unamuunga mkono

    • @ndamorehab
      @ndamorehab 4 ปีที่แล้ว

      Fanyakazi uone kama hela hamna

  • @jimolabundala8790
    @jimolabundala8790 4 ปีที่แล้ว +2

    Duu hii Kali nimekulewa rais wawanyoge

  • @abdulseif4093
    @abdulseif4093 4 ปีที่แล้ว +2

    huwezi kuchukua pamba ya mtu usimlipe 🤣🤣🤣 ila unawezaja kuchukua korosho bila kulipa

  • @kudoja_fish_shop9592
    @kudoja_fish_shop9592 4 ปีที่แล้ว +9

    Ukichunguza utagundua jamaa ni usalama wa taifa the game was planned

    • @richardtungaraza7509
      @richardtungaraza7509 4 ปีที่แล้ว

      Mmh umemjuaje kiongozi???

    • @amoremio6985
      @amoremio6985 4 ปีที่แล้ว +4

      Acha kudanganya watu,muuza nafaka sokoni tuko nae Kila siku

    • @helenasenga4129
      @helenasenga4129 4 ปีที่แล้ว +1

      AMORE MIO Ila jamani kazi tunafanya biashara tunafanya lakini maisha magum hatarii madeni usiulize

    • @erickmsilu6308
      @erickmsilu6308 4 ปีที่แล้ว +1

      Fungua ofisi maana nahisi kazi ya utabiri unaiweza

    • @romeoromeo4125
      @romeoromeo4125 4 ปีที่แล้ว

      @@erickmsilu6308 Duh!!

  • @isacklissu847
    @isacklissu847 4 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂Achia helaaaa

  • @albinodestans7446
    @albinodestans7446 4 ปีที่แล้ว

    Magufuli ni zaidi ya kiongoz maan uongozi wake ni wakuzaliwa na siyo wa darasani huyu mungu kamleta kama zawadi ya kulikomboa taifa lililokuwa likididimia yeye kaliinua huyu ndiye rais

  • @beatusjosephat6594
    @beatusjosephat6594 4 ปีที่แล้ว +1

    Tumekusoma anko magu

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 4 ปีที่แล้ว +1

    Wambie baba waelewe

  • @allymadunda7931
    @allymadunda7931 4 ปีที่แล้ว

    Mwananchi yupo sirias rais analeta masihara

    • @herbertkamote2213
      @herbertkamote2213 4 ปีที่แล้ว

      😀😀😀😀

    • @ndamorehab
      @ndamorehab 4 ปีที่แล้ว

      Siku zote ukweri unauma wala sio masiala

  • @bugalirecords4862
    @bugalirecords4862 4 ปีที่แล้ว +1

    Waambieeeeeee!!