UST. MATHAYO AWACHOMA MCH. NDACHA NA MWL. CHIKAWE; hawafuati ya YESU na BIBLIA, wanafata ya PAULO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @TheAlman
    @TheAlman 2 หลายเดือนก่อน +7

    Mwamba huyu hapa ❤❤❤❤

  • @MohdJuma-w6l
    @MohdJuma-w6l 2 หลายเดือนก่อน +4

    Masha allaaaaaaah kaka nakupenda kwajl ya allah, allah akupe siha

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 2 หลายเดือนก่อน +2

    mashallah sheikh Matayo usicoki kuwafundisha haki ❤❤❤❤❤❤

  • @ShakurAKBAR
    @ShakurAKBAR 2 หลายเดือนก่อน +1

    MaashaAllah ustadh kwa kuendeleya kutoa Elimu kwa Ummah

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 2 หลายเดือนก่อน +1

    mashallah sheikh wangu Matayo usiaci kamwe kufundisha paka kiereweke ❤

  • @samxx411
    @samxx411 2 หลายเดือนก่อน +4

    Simulizi hapo unafundishwa kwa maandiko lkn walimu wa kikristo wanakupindisha mana paulo alikwenda akarudi akamuona mtu, mtu alikuwa mrefu mwisho akavaa sudi akaipenda akamuota yesu....hivi ndivyo wanavyofundisha.

  • @huseinshedrack6180
    @huseinshedrack6180 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsant Mungu kunitoa kwenye ukafir

  • @hassanbilali1697
    @hassanbilali1697 2 หลายเดือนก่อน +4

    Leo kuna kaziiii jamaa wanamistari kama Shabani robert😂😂

  • @AntonyManeno
    @AntonyManeno 2 หลายเดือนก่อน

    Sisi Mitume Wengine Hatu Watenge Mei Kwrnye Ukombozi Wa Ulimwengu So Wacha Kumtetea Mhamad Kwa Kumliganishia Na Mitume Wengene Amboa Sio Wakombozi Wa Ulimwengu🎉Hapa Ni Mhamad Na YESU💯✔️❤

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 2 หลายเดือนก่อน

    Maajabu ya rafiki zetu,ukiwaambia mambo ya kanzu ni vazi takatifu wanakataa wanamsingizia Mungu ati haangalii mavazi

    • @MarthaMasha
      @MarthaMasha 2 หลายเดือนก่อน

      Kanzi ni vazi tu lakawaida tu mtu yoyote anaweza kuvaa. Si hata ndacha huvaa kanzu, nawala sio muislamu

  • @mifunga3414
    @mifunga3414 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah,❤❤❤

    • @shaurikhamisi5689
      @shaurikhamisi5689 2 หลายเดือนก่อน

      Sio muhimu kwakuwa hakuzaliwa kwenye uwislam

    • @shaurikhamisi5689
      @shaurikhamisi5689 2 หลายเดือนก่อน

      Mungu amemuongozq njia ya haki takbir Allah akbar

    • @shaurikhamisi5689
      @shaurikhamisi5689 2 หลายเดือนก่อน

      Unamuonea wivu

    • @shaurikhamisi5689
      @shaurikhamisi5689 2 หลายเดือนก่อน

      Anasema yaliyo kwenye bibilia

  • @Rashidi-5m
    @Rashidi-5m 2 หลายเดือนก่อน

    mashallah

  • @nshimyumuremyieric8434
    @nshimyumuremyieric8434 2 หลายเดือนก่อน

    Wawongo sana waislam

  • @salisali3738
    @salisali3738 2 หลายเดือนก่อน

    Simulizi upo vizuri 😂njoo kwenye Camera tukuone😅

  • @masoudnzowa4608
    @masoudnzowa4608 2 หลายเดือนก่อน +2

    wakristo wabishi msome muelewe

  • @DAVIDMAGHANGA
    @DAVIDMAGHANGA หลายเดือนก่อน

    Watamkataa YESU mwisho wao ni mateso ,

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 2 หลายเดือนก่อน +3

    Tatizo la wakristo hawajui Mungu wala mtume wao wapo wapo tu

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu wao ni Yesu,mtume wao ni Paulo na akina Mwamposa ...

    • @richardkonzo5717
      @richardkonzo5717 2 หลายเดือนก่อน

      @@ZayyanaBamuni
      Pole ndugu
      Bado haujaijua Biblia
      We unasikiliza tu Na kumezeshwa, wote hao hakuna wanaoielewa Biblia. Nawasikiliza naona wanahitaji muda zaidi kuijua Biblia.

    • @impeccablerito7922
      @impeccablerito7922 2 หลายเดือนก่อน

      @@richardkonzo5717 WE SIO MZIMA JICHUNGUZE Biblia imeandikwa kwa kiswahili na ndio inayosomwa hapo halaf unasema akuna wanaoielewa biblia iyo biblia unayotumia wewe imeandikwa kwa lugha gani.

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@richardkonzo5717kwani Aya zilizosomwa hapo zinhitaji roho mtakatifu kuzielewa?

  • @Rashid-w2l
    @Rashid-w2l 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa elimu hii uislam wanafwata bibilia Kwa kila jambo

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 2 หลายเดือนก่อน

      Ahaa kwa hio unakubali kuwa wakristo hawafuati biblia?

  • @alexalute6712
    @alexalute6712 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli ukiwa mwislamu ni taabu kubwa, tuombe sana wapendwa hawa watu nuru iwazukie; huyu shekh hajui tofauti kati ya wakristo na dini ya wayahudi.

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa hua namwelewa sana

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 2 หลายเดือนก่อน

      Wengine bado wanaosubiri roho mtakatifu awatafsirie maandiko yaliyo wazi

  • @hamisimwinyi9387
    @hamisimwinyi9387 2 หลายเดือนก่อน

    Simulizi songea kwa camera pia wwe kaka

  • @SirikwaMollel-y3k
    @SirikwaMollel-y3k 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani waislamu ni wakirsto wasiojielewa yaani miguu huku nyingine injie

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 2 หลายเดือนก่อน

      Km waislamu ni wakristo wasiojielewa wakristo wao ni wapagani maana ata dini hawana

  • @basilejuma
    @basilejuma 2 หลายเดือนก่อน +2

    Simulizi Fanya ivi,weka kukurukakara baina ya ndacha na huyu, uone vile atapata kibano kutoka Kwa ndacha

    • @samxx411
      @samxx411 2 หลายเดือนก่อน

      Tatizo lako husomi unataka ushabiki, wewe fuatlia ujuwe ukweli, kweli itakuweka huru.

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 2 หลายเดือนก่อน

      😂wenzetu hawaridhiki mpaka wapigwe viraka na ndacha,wanaamini wachungaji kuliko maandiko​@@samxx411

    • @TheAlman
      @TheAlman 2 หลายเดือนก่อน

      Sasa ndacha ndani nani?

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 2 หลายเดือนก่อน

      Munamuamini zaidi Ndacha na Paulo,Yesu mnamtaja tu hamumuamini

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ndacha swali jibu hapo kwa hapo ndio hawezi kabisa anataka midahalo ya dakika 30 apotoshe

  • @shaurikhamisi5689
    @shaurikhamisi5689 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbuka Paulo katika clip Ile amehojiwa kwanini alitoka uwislam

  • @Num3er22
    @Num3er22 2 หลายเดือนก่อน

    Kuamini uislamu ni sawa na kuongozwa na mdogo wako aliezaliwa akakukuta. Ukamchambisha na kumfuta mikojo. Alafu ndo akuongoze njia. 😂😂😂😂

  • @pwezapwezafelix7222
    @pwezapwezafelix7222 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wabishi wanajitokeza kwenye koment hapo tunaenda namaandiko

  • @DAMUSAFI
    @DAMUSAFI 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe muona anasema eti suti na tena kavaa suti na Kama anataka kujua suti Kama ipo kwenye bibilia akasome kitabu cha Daniel pale meshake na shadurake walipo pelekwa kutupwa kwenye tanuri la moto walikua wana nini ??

  • @IMRANITV1
    @IMRANITV1 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mhhh sasa kwa hoja zipi za uyo ndacha za kugomea mafundisho ya vitabu au wewe msikilize shehe matayo anachosema alafu uone

  • @shaurikhamisi5689
    @shaurikhamisi5689 2 หลายเดือนก่อน

    Twajuwa yote kuhusu ndacha na kijana wake Paulo wanapindisha ulimi

  • @AntonyManeno
    @AntonyManeno 2 หลายเดือนก่อน

    Ume Sema Kuosha Ila Ume Ogopa Kusema Maiti Akifa Huwa Mwamkamua Mavi Ama Kinyeze Chote Mna Hakikisha Mme Kitoa😢tena Hata Kama Niwakike Ana Kamliwa Na Wana Ume Wa Tatu Kwn MNA TAKA😂😂😂 Hpo Vp.

    • @impeccablerito7922
      @impeccablerito7922 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani maana ya KUOSHA NI NINI..?? maana akili yako vinyu wewe ukienda kunya kwanini unaosha tobo lako la nyuma?? ukishajua kwanini unajiosha iyo ndio sababu ya kwanini Maiti anakamuliwa na kuoshwa wakat mwengine mtu anapokata roho maumivu anayoyapata inapelekea mpaka anatoa kinyesi ivyo awez kujisafisha maana ameshakufa kawaida kinyes akitoki chote kinaishia njian kwenye utumbo ndomana anakamuliwa tumbo ili kitokee chote mana anaweza kusafishwa baadae kinyes kikatoka tena ndomana waislamu wanafanya ivyo kumsitiri marehemu.. POLEE KWA KUKOSA DINI yenye hekima na maarifa mengi endelea kua katika TIMU ya Ukristo kwa sababu wewe ni shabiki wa ukristo

  • @richardkonzo5717
    @richardkonzo5717 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa mujibu wa shirika la umoja wa mataifa la idadi ya watu (UNFPA), wakristo ni wengi kuliko waislamu. Ni bora kuongea kwa references. Japo uislamu unatajwa kukua kwa kasi Na sababu ikiwa ni kuzaliana kwa wingi Na sio kwa sababu ya watu kuhubiriwa Na kuslim.

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 2 หลายเดือนก่อน

      Ha ha ha, nadhani hata you tube huangalii. Hujaona jinsi makanisa yanavyogeuzwa kuwa miskiti? Angalia kazi inayofanywa na kina Ramadhan kaguo, Salim ndenda, Yussuf Wambungu, Yussuf Estates, Yoshua Evans, Hussein Ye ni wachache miongoni mwa wasomi wa kikristo walioslimu

    • @richardkonzo5717
      @richardkonzo5717 2 หลายเดือนก่อน

      @@nassorsharifu9837 nilitegemea ungenijibu kwa kunipa source ya kuaminika, wewe unasema TH-cam, Sasa TH-cam ni Source?
      Na hayo majina uliyoyataja ndio kielelezo Cha kuniaminisha?
      Mbona unaniangusha Brother Nassors?

  • @SirikwaMollel-y3k
    @SirikwaMollel-y3k 2 หลายเดือนก่อน +1

    Utaki Paulo Maan yeye ndo Alie tumwa Na Mungu uko uarabuni Mohamad hakutumwa

    • @MuslimYouthman
      @MuslimYouthman 2 หลายเดือนก่อน

      PAULO NGURUWE YULE KAMA WEWE ETI KAMULIKWA NA MWANGA BAADA YA YESU KUONDOKA KWANINI ASIPEWE UTUME NA MUNGU WAKATI WA YESU TUKIWAAMBIA WAKRISTO AKILI MATAKONI MNASEMA TUNAWAONEA

    • @impeccablerito7922
      @impeccablerito7922 2 หลายเดือนก่อน

      Ayo maneno umeyatoa kwenye kitabu gani maana ata kwenye iyo BIBLIA unayotumia HAIPO

  • @gideonbarasa4534
    @gideonbarasa4534 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona haya mambo hayatoi kwa korani? anasema waislamu wanaosha maiti, lakini anatoa kwenye biblia.

  • @richardkonzo5717
    @richardkonzo5717 2 หลายเดือนก่อน

    Mkutanishe Na Ndacha tu umalize huo mjadala. Hapo ninachokiona ni yeye tu kuwa Na uwanja mpana wa kuongea bila kuwa challenged Na upande wa Pili, maana kama wewe unayemrecord haufahamu jambo kiundani, ukiulizwa unatoa jibu usilo Na hakika nalo.

  • @franciscomtambakuluca2830
    @franciscomtambakuluca2830 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe fanya dahola Na Ndacha

    • @impeccablerito7922
      @impeccablerito7922 2 หลายเดือนก่อน +1

      Dini siyo SPORTS kwa akili iyo uliyonayo ata ukifanyika Mdahalo unaotaka bado utatoka kaapa.. maana aupo tayar kujifunza kuhusu imani na kutafakari kuhusu dini za pande zote mbili. Wewe ni shabiki wa dini siyo mfuasi

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@impeccablerito7922huyo anataka ushindani wa kishabiki sio kujifunza

  • @Jumaa-b4z
    @Jumaa-b4z 2 หลายเดือนก่อน

    Uisilamu banana aaah mtamu

  • @MosesKubo
    @MosesKubo 2 หลายเดือนก่อน +1

    usisome bible kama gazeti na huendi mbinguni kwa kuvaa kanzu

    • @impeccablerito7922
      @impeccablerito7922 2 หลายเดือนก่อน

      Biblia inasomwa je mkuu ?? halafu ajasema ukivaa kanzu unaenda mbinguni hapo ni sawa umejiongelesha mwenyewe alaf unabishana mwenyewe kwa kifupi umebishana na mawazo yako mwenyewe..kasema kanzu ni vazi takatifu na ajasema yeye kutoka kwenye kichwaa chAke katoa maandiko kwenye biblia ambayo unayoamini wewe. AU WEWE UIAMINI BIBILIA NDUGU MKRISTO ?? maana BIBLIA yenyewe imesema Kanzu ni VAZI TAKATIFU sasa sijui unaipinga Biblia hapo.

  • @shaurikhamisi5689
    @shaurikhamisi5689 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe samora tabaga wewe ndio hujuwi chochote Chynna mdomo wako mr

  • @shaurikhamisi5689
    @shaurikhamisi5689 2 หลายเดือนก่อน

    Alitoka alihaidiwa pesa

  • @MwitwaJonathanmwitwa
    @MwitwaJonathanmwitwa 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe aujourd'hui maandiko kwelî wewe unarupukaka tu ktk kusoma Paulo anasema ya maneno aina mimi nasema ni MUNGU Yanis kunamaneno MUNGU alisema namengine ni mimi ubaya uko wapi aseme Nini sasa anasema maneno Yake n'a ya MUNGU apo vipi sasa

  • @SirikwaMollel-y3k
    @SirikwaMollel-y3k 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa nini hujatoa kwenye Quruani kanzu ni vazi takatfu

    • @amittambwe473
      @amittambwe473 2 หลายเดือนก่อน

      Kama unataka, njo usome quran utapata.

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 2 หลายเดือนก่อน

      Tunawatolea kwenye kitabu mnachiamini ili mjue hamfati kitabu chenu kwenye quran maandiko yapo ya kutosha

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 2 หลายเดือนก่อน

    Akilibila maarifa nitatizo huoniustaraabu elimu kamani.Mavazi binadamu.amepitambali ameanzakuvaa majani namagome nabaadae ngozi nabaadae nguo hayo yote wewe nihola huyo anayekuita muhadhiri wa watu waupeogani wauelewa? au nikama wewetu

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nisha sema kubishana nawaisilamu nikukosa kazi nyie mko.kiloho wengine kimwili wap nawapi

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr 2 หลายเดือนก่อน

    Ajabu hawa wakrito haya maandishi hawayaoni au ni ubishi

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 2 หลายเดือนก่อน

      Hao waaminishwa propaganda dhidi ya waislamu na uislamu kwa ujumla,waalimu wa kiislamu wanakazi ngumu ya kuwapiga msasa mpaka kufuta uongo walioaminishwa juu ya uislamu

    • @JumaOmar-ku6cr
      @JumaOmar-ku6cr 2 หลายเดือนก่อน

      @@ZayyanaBamuni hii kweli kuna mwanangu yuko chuo dar kuna mwanafunzi wa kikristo aliomba kulala mwanangu usiku alikuwa halali akamuuliza kwanini hulali akamwambia nimeambiwa na wazee wangu nyinyi wabaya anawrza kuniuwa kwa majini ila naona mbona ukovizuri kuliko sisi

    • @nassourrashaad4488
      @nassourrashaad4488 2 หลายเดือนก่อน

      @@JumaOmar-ku6cr😂😂😂😂

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@JumaOmar-ku6crDuh hata Mimi nilkutana na hilo akawa analala chumba chengine baada ya masiku kadhaa akagunduwa kuwa aliaminishwa uongo kwa kuwa alikuwa mdogo kuliko Mimi akawa kijana wangu mzuri na ikawa vijana wote wakaelewa propaganda wanazopewa

  • @davidedward6053
    @davidedward6053 2 หลายเดือนก่อน

    Kama uyo mathayo anajiamini si aite mwalimu yeyeto afanye naye mjadala,sio anaongea akiwa peke yake kuna ujinga mwingi yupo nao anatakiwa afunzwe aelewe

    • @erishaaboumpangaje8597
      @erishaaboumpangaje8597 2 หลายเดือนก่อน

      Unajitekenya

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 2 หลายเดือนก่อน

      Kwanza useme hayo maandiko sio ya kweli

    • @davidedward6053
      @davidedward6053 2 หลายเดือนก่อน

      @@nassorsharifu9837 yote anayoyaongea hajaelewa maandiko hata nikiwa nae Mimi nae Nampa SoMo hajui kitu kuhusu biblia

  • @SamoraTabaga
    @SamoraTabaga 2 หลายเดือนก่อน +5

    Ujinga wawaisilam bwana, huyupo hatarajii hajazaliwa mwisilam wakuchambua kazi za Kristo yesu, mpaka dunia inaisha ujinga wenu hautaisha unatofasili bibilia Kama mawzo yako yalivo. UJINGA SANA.

    • @davidedward6053
      @davidedward6053 2 หลายเดือนก่อน +3

      Kabisa aise hasa Kwa sisi tunaouchimba uislamu tunagundua mambo mengi ya ajabu sana,wapo kipropaganda zaidi

    • @kibaikiramadhani1475
      @kibaikiramadhani1475 2 หลายเดือนก่อน +4

      Ninyi ndio wapumbavu wakubwa hamna elimu ya dini biblia inasema neno hilo cristo ni jina la kupanga ww unafany dini😂😂😂

    • @mussamohammedy8014
      @mussamohammedy8014 2 หลายเดือนก่อน +1

      Elekezaneni ujinga

    • @Smart_jarm
      @Smart_jarm 2 หลายเดือนก่อน +2

      Unaamini hapo umejenga hoja?upumbavu ulionao ndio mzigo Bora huo ujinga ulioutukuza kwa wailamu

    • @Smart_jarm
      @Smart_jarm 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@davidedward6053wewe unachimba nini😂,hakuna mkristo anaeusoma uislamu akawa mpumbavu