UKWELI KUHUSU ZAKA NA DHABIHU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024
  • #sadaka#zaka#dhabihu#matoleo
    Zaka ni fungu la kumi la pato lako.
    Zaka ni fungu la kumi la pato toka mshahara wako ofisini, shambani au kwenye mifugo. Tena zaka hii ni ya Bwana na ni Takatifu. Mtu asipoitoa zaka hii anamwibia Mungu. Zaka si yako hustahili kukaa nayo wala kuitumia nje ya utaratibu wa Mungu.
    Naam, tukiujua wakati, kwamba saa ya kuamka katika usingizi imekwisha kuwadia; kwa maana sasa wokovu wetu uko karibu nasi kuliko tulipoanza kuamini
    "Warumi 13:11"
    Maarifa ya Ki-Mungu
    @SIRI ZA BIBLIA
    www.sirizabiblia.com
    +255 758 708 804
    linktr.ee/siri...
    Instagram Account
    / siri_za_biblia
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

ความคิดเห็น • 38

  • @مريمم-غ3س
    @مريمم-غ3س 2 ปีที่แล้ว +2

    Nafurahia sana mafundisho haya japo nafahamu hiyo nikweli kabisa Mungu azidi kukulinda utukufu wa Mungu ukawe juu yako ili izidi kutufundsa zaidi Amen Amen 🙏🙏

  • @jackiemaggy2484
    @jackiemaggy2484 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeeeeen

  • @kadunawewe7248
    @kadunawewe7248 2 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @truthsetsfree2753
    @truthsetsfree2753 3 ปีที่แล้ว +1

    Mama yangu!!! Asante mtu wa MUNGU aliyehai Innocent nimejua sasa mana mimi hutoa mshahara wangu baada ya kukatwa kodi na makato mengine kumbe ni malipo kabla ya makato!! Asante mtu wa MUNGU barikiwa sana nitaanza kutoa hivyo kuanzia leo!!!

    • @sirizabiblia5276
      @sirizabiblia5276  3 ปีที่แล้ว +1

      Ubarikiwe kwa kuyafahamu maarifa hayo.umesamehewa sababu hukujua.anza upya sasa

    • @truthsetsfree2753
      @truthsetsfree2753 3 ปีที่แล้ว

      @@sirizabiblia5276 amina mtu wa MUNGU🙏🏽

    • @meesfome1200
      @meesfome1200 2 ปีที่แล้ว

      Nitapata wap mafundisho yananibariki sana

  • @eraudnyamika295
    @eraudnyamika295 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina kaka nikweli kabisa kaka nime ona mengi Sana kupitia zaka

  • @jaquelinebandola8286
    @jaquelinebandola8286 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana

  • @shadrackjoel2393
    @shadrackjoel2393 2 ปีที่แล้ว +1

    Nashukulu sana mtumishi wangu ila nilikuwa na swali mkuu fungu la kumi uwa sielewangi naomba unifafanulie past

    • @sirizabiblia5276
      @sirizabiblia5276  2 ปีที่แล้ว

      0758 708804 wasiliana nami nijue unahitaji maelezo yapi zaidi ya hayo ndugu

  • @kelvinwashenyu1970
    @kelvinwashenyu1970 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe saana kwa Maneno hayo kuhusu zaka na dhabihu

  • @peacefulkariuki6630
    @peacefulkariuki6630 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa mafudisho ,,ya kutuelimusha

  • @daftonkizaro1320
    @daftonkizaro1320 3 ปีที่แล้ว

    Asante mtumishi naomba kama itawezekana somo hili liwe na muendelezo maana watu wengi zaka na fungus huwa hatulielewi

  • @alphoncemichael5798
    @alphoncemichael5798 2 ปีที่แล้ว +1

    Challenge,
    Agizo katika malaki 3:7-10, au Kitabu chote cha malaki, lilikuwa la Taifa la Israeli au kwajili ya kanisa? Na mistari yote katika kitabu cha Malaki, tunaizingatia kama tunavyoizingatia Malaki 3:7-10? Vipi kuhusu Malaki 4:4?
    Naomba majibu mtumishi wa Mungu.

    • @sirizabiblia5276
      @sirizabiblia5276  2 ปีที่แล้ว

      Ikumbukeni torati ya Musa, mtumishi wangu, niliyomwamuru huko Horebu kwa ajili ya Israeli wote, naam, amri na hukumu.
      Maandiko hatuyatafsiri hivyo tu, Yesu hakuja kuondoa torati ya Musa bali kuitimiliza. yaliyoandikwa kwenye biblia yanamuhusu kila anayemuamini Kristo na neno lake. na torati ya Musa ni amri kumi ambazo ndizo tunazitumia kwa sasa. Amini maandiko na soma kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu utaelewa hatua kwa hatua rafiki

  • @clarisatieno214
    @clarisatieno214 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa mafunzo, nina swali
    Nko nnje ya nchi yangu nitajuaje madhabahu sawa ya kutoa zaka na dhabihu zangu? Kwasababu nchi ninayo ishi hakuna makanisa ya kikristo, tafadhali nishauri

    • @sirizabiblia5276
      @sirizabiblia5276  2 ปีที่แล้ว

      Msaada mkubwa kwako ni Roho Mtakatifu ukimuomba atakupa maelekezo ya wapi pa kuachilia sadaka yako, huenda isiwe huko ulipo...unaweza kutuma hata kwa kanisa lako nyumbani...au mahali ambapo pana madhabahu inayokuhudumia na kukulisha kiroho...usiache kuingia katika maombi na umuulize Roho Mtakatifu,ni mwaminifu na atakupatia muongozo sahihi

  • @stiangabrirl
    @stiangabrirl 3 ปีที่แล้ว

    Nilikua nikisubiri sana hii, asante kaka mwendelezo tafadhali 🙏

  • @jameskambu9134
    @jameskambu9134 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukurani sufufu kwakunielimisha

  • @salminjumah4955
    @salminjumah4955 2 ปีที่แล้ว

    Kwann sasa umefunga video

  • @marthamanasseh4237
    @marthamanasseh4237 2 ปีที่แล้ว +1

    Baadhi ya mafundisho wanasema eti Kwenye Agano Jipya fungu LA kumi halitajwi, hivyo eti sisi wa Agano Jipya hatutakiwi kutoa. Naomba uwasaidie hao ambao elimu hiyo imewapitia au wanaamini hivyo.

  • @oscarlucars7651
    @oscarlucars7651 3 ปีที่แล้ว

    Somo zuri sana mtumishi wa MUNGU natamani kujua ni lazima kutoa zaka mahali ninapo salii au inawezekana kutoa kwa wahitaji na MUNGU akaikubali??

  • @TassiryShija
    @TassiryShija 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi mimi nafanya kazi kila mwezi. huwa ninawekeza mtaji ndo nipate kipato. Je? Wakati wa kutoa zaka nitatoa vipi Mfano nimeweka mtaji wa 25,000 nikapata commission ya 150,000 na hiyo 25,000 ipo humo natoa vip hapo? Ameni🎉

  • @alphoncemichael5798
    @alphoncemichael5798 2 ปีที่แล้ว +1

    Swali la pili, kwanini Yesu hakuwafundisha na kuwaagiza wanafunzi wake kutoa zaka? Na kwanini mitume wa Yesu katika mafundisho yao hawakuwafundisha wala kuwaagizo Wakristo wa mataifa kwa habari ya zaka?

    • @sirizabiblia5276
      @sirizabiblia5276  2 ปีที่แล้ว

      Marko 2: 18 Wakati mmoja wanafunzi wa Yohane na wanafunzi wa Mafarisayo walikuwa wanafunga. Basi, watu wakaja, wakamwuliza Yesu, “Kwa nini wanafunzi wa Yohane na wa Mafarisayo wanafunga, lakini wanafunzi wako hawafungi?” Yesu akajibu, “Je, walioalikwa harusini hutakiwa kufunga wakati bwana arusi yupo pamoja nao? Wakati wote wawapo pamoja na bwana arusi hawawezi kufunga. Lakini wakati utafika ambapo bwana arusi ataondolewa kati yao; wakati huo ndipo watakapofunga.

    • @adamchacha3088
      @adamchacha3088 ปีที่แล้ว

      @@sirizabiblia5276 romans 6;14 Kwa maana dhambi haitawatawala ninyi, kwa sababu hamwi chini ya sheria, bali chini ya neema.
      (Amp version) For sin will no longer be a master over you, since you are not under Law [as slaves], but under [unmerited] grace [as recipients of God’s favor and mercy , The tithe was the requirement of the law in which the israelties were required to give 10% , we live under the freedom of the GOD 'S GRACE and not the law so if you continue living under the requirement of the law sin will continue to be your master .

    • @adamchacha3088
      @adamchacha3088 ปีที่แล้ว

      you can give as your way of giving as ten percentage but not get compacted with the master of law as taking it as a law which gives (fear and guilt )

    • @adamchacha3088
      @adamchacha3088 ปีที่แล้ว

      @@sirizabiblia5276 2 CORINTHIANS 9;7

  • @RwelamiraPascal
    @RwelamiraPascal ปีที่แล้ว

    Wewe SI Myahudi. Sheria za TORATI walipwa Wayahudi. Hilo no Agano la kale kwa Wayahudi. Agano jipya linajitosheleza hakuna Fungu la kumi halipo. Wewe unajimiza wizi. Hatutoi kubarikiwa Bali tumeshabatikiwa. Wewe ni Mlawi?

    • @RwelamiraPascal
      @RwelamiraPascal ปีที่แล้ว

      Wachungaji matapeli hulazimisha 10%Ibrahimu hakutoa ktk mapato yake Bali alitoa kutokana na alichopora ktk vita. Hakuwahi kutoa kutoka mali zake. Unawaibia watu

    • @RwelamiraPascal
      @RwelamiraPascal ปีที่แล้ว

      ACHA uongo

  • @AtuKyando-b1v
    @AtuKyando-b1v ปีที่แล้ว

    AMINA