Spirit Gathering Ministry
Spirit Gathering Ministry
  • 10
  • 61 272
NILILALA NA MWANAMKE BAADA YA MFUNGO WA SIKU 7 BILA KULA WALA KUNYWA.
NILILALA NA MWANAMKE BAADA YA MFUNGO WA SIKU 7 BILA KULA WALA KUNYWA.
มุมมอง: 228

วีดีโอ

Chakuzingatia Unapopata Dada wa Kazi
มุมมอง 5542 ปีที่แล้ว
Chakuzingatia Unapopata Dada wa Kazi
Siri ya Ndoa - Part 2
มุมมอง 1.6K2 ปีที่แล้ว
Kusudi la Ndoa Ni Ili Mungu Atukuzwe kwa watu wawili Kuungana. Ndoa Inayo Umri Mkubwa Kuliko Kanisa... Ni Zoezi linalofanyika ROHONI. Kanisa liko Kuhakikisha hawa walioungana ROHONI wanakubaliana Mbele Ya Watu
Siri ya Ndoa - Part 1
มุมมอง 1.7K2 ปีที่แล้ว
Kusudi la Ndoa Ni Ili Mungu Atukuzwe kwa watu wawili Kuungana. Ndoa Inayo Umri Mkubwa Kuliko Kanisa... Ni Zoezi linalofanyika ROHONI. Kanisa liko Kuhakikisha hawa walioungana ROHONI wanakubaliana Mbele Ya Watu
Mkristo hatakiwi kutoa Fungu la Kumi - Sehemu ya Pili
มุมมอง 16K2 ปีที่แล้ว
Mkristo lazima Aelewe Kuwa Kutoa Kwako Mbele Za Mungu Hauzalishi IMANI bali IMANI ndiyo inayomzalisha Mtoaji. Utoaji Wetu Haupimwi Kwa Asilimia Bali kwa IMANI Fungu La Imani Ndio Maelekezo Ya Mungu... Na Lazima ujue Sadaka Hii mnayoita Fungu la Kumi Ni Ya Mungu Wala Sio Ya Mtumishi...
Mkristo Hatakiwi Kutoa Fungu La Kumi - Sehemu ya Kwanza
มุมมอง 21K2 ปีที่แล้ว
Mkristo lazima Aelewe Kuwa Kutoa Kwako Mbele Za Mungu Hauzalishi IMANI bali IMANI ndiyo inayomzalisha Mtoaji. Utoaji Wetu Haupimwi Kwa Asilimia Bali kwa IMANI Fungu La Imani Ndio Maelekezo Ya Mungu... Na Lazima ujue Sadaka Hii mnayoita Fungu la Kumi Ni Ya Mungu Wala Sio Ya Mtumishi...
Kinacho Wachelewesha waKristo
มุมมอง 1.2K2 ปีที่แล้ว
Kinacho Wachelewesha waKristo
Nguvu ya Kufunga na Kuomba
มุมมอง 8K2 ปีที่แล้ว
kuna mambo katika maisha ili yaweze kumuachia mtu haitoshi tu KUOMBA, bali, atahitaji KUFUNGA na KUOMBA ili hiyo hali imuachie. Na kuna mambo hayatatoka kwa kufunga na kuomba tu ila KUFUNGA na KUOMBA na KUTOA SADAKA.
Nguvu ya Neema
มุมมอง 5K2 ปีที่แล้ว
NEEMA YA KRISTO INAITAJIKA SANA KWA WALIOMPOKEA YESU KRISTO. SIO TU KWAAJILI YA KUTUPA UWEZO WA KUSAFISHA MAKOSA YETU ILA KATIKA KUTUSAIDIA KUPOKEA VITU KUTOKA KWENYE UFALME WA MUNGU. MWENYE HAKI ANAITAJI SANA NEEMA KULIKO ASIYE HAKI
NAMNA YA KUOMBA MUDA MREFU
มุมมอง 6K2 ปีที่แล้ว
Unaweza Kuchangia Huduma Hii Kwa MPESA 0755640454. TIGOPESA 071927409. AIRTELMONEY 0789186301 Jina ni GODLOVE CHARLES

ความคิดเห็น

  • @ZiadaGabriel
    @ZiadaGabriel 6 วันที่ผ่านมา

    Nakusikiliza mchingaji barikiwa sana

  • @JenniferMushi-m9z
    @JenniferMushi-m9z 10 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @LovenesNdusiro
    @LovenesNdusiro 24 วันที่ผ่านมา

    Jmn sikilizen kabul yakuhukum amun malaka hay mtaelewa usijione km nibol

  • @sophianyambura-ou9kg
    @sophianyambura-ou9kg 27 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli prayer first

  • @julianajeremiah4353
    @julianajeremiah4353 หลายเดือนก่อน

    We Sasa unatudanganya na watu atupendi kutoa shetani atakutumia kutuletea laana unatafsili maamdiko vibaya

  • @BenedictMwingira-t7j
    @BenedictMwingira-t7j หลายเดือนก่อน

    Stay blessed apostle, MUNG akufunulie maandiko mengi yakuwez kutupa mwangaza🙏... Ila natak kufahm apostle unapatikana kanisa gan ?

  • @ipyanamwaihojo8666
    @ipyanamwaihojo8666 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @EvansJefwa
    @EvansJefwa หลายเดือนก่อน

    Acha kupotosha watu wa Mungu wewe..

  • @BonfaceMbambila
    @BonfaceMbambila 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @MaikoNyondo
    @MaikoNyondo 2 หลายเดือนก่อน

    Ivi mi nauliza swali ivi ghalani ni kanisani au kwamchungaji tujiulize

  • @MaikoNyondo
    @MaikoNyondo 2 หลายเดือนก่อน

    Kwakweli penye zaka kama kuto totoZaka ni dhambi basi hakuna atakae salimika

  • @BENISiMBY
    @BENISiMBY 2 หลายเดือนก่อน

    Kutoa fungu la kumi kwa sasa hakufai kabisa kwa sababu Yesu na mitume hawakufundisha wala kutoa tena amesema ole kwa wanaolipa mathayo 23 na kwenye ole hakuna usalama

  • @WinnieSanga-t4p
    @WinnieSanga-t4p 2 หลายเดือนก่อน

    Ameen umenifungua sana Mungu aendelee kukuzidishia

  • @WinnieSanga-t4p
    @WinnieSanga-t4p 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa kama Mimi nipo tayali kuomba tatizo ni uyu mwenzagu akikukuta unaomba shida jamani

  • @chihemamhando9587
    @chihemamhando9587 2 หลายเดือนก่อน

    Nimekuja kutokea Instagram nimegundua hii page leo na nimebarikiwa sana sana God bless the good work you are doing Mtumishi wa Mungu na Mungu atubariki sote🙏

  • @WinnieSanga-t4p
    @WinnieSanga-t4p 2 หลายเดือนก่อน

    Amen nimejifunza Mungu aendelee kukubariki

  • @stevenmgendi5238
    @stevenmgendi5238 2 หลายเดือนก่อน

    Somo linaeleweka lkini!?? Hawa ITS wa kuwa nao makini tittle's wnazoandika kwenye hizi videos hawaandiki kilichosahihi! Ni ombi langu kinachosemwa kiendane na tittle Kama ni swali liwekewe kiulizo n.k❤

  • @liliankessy5541
    @liliankessy5541 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @barakamalipula9010
    @barakamalipula9010 2 หลายเดือนก่อน

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.. someni Biblia wenyewe muujue ukweli

  • @NdeshimuniSwai
    @NdeshimuniSwai 3 หลายเดือนก่อน

    Acheni kulichezea neno la Mungu, wengine wameshamfanya Mungu kama babu yao ndo maana wakilala wakiamka wanatafuta mbinu ya kupata pesa wakiyapotosha maandiko, ole wenu

  • @NdeshimuniSwai
    @NdeshimuniSwai 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe unayepotosha watu hukumu imakusubiri

  • @NdeshimuniSwai
    @NdeshimuniSwai 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu aache kupotosha watu, fungu la kumi ni la msingi sana ktk maisha ya mkristo , kwa kweli huyu atafute shamba alime

  • @mchungajiegidiuskategile5773
    @mchungajiegidiuskategile5773 3 หลายเดือนก่อน

    Hapo shida ni hamanyutics.somo la kutafsiri maandiko

  • @AminaMgode
    @AminaMgode 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @bonifacebochela4717
    @bonifacebochela4717 4 หลายเดือนก่อน

    Ngoja awapeleke jehanam, sijui mtajutia wapi

  • @benjaminchuma5468
    @benjaminchuma5468 4 หลายเดือนก่อน

    Luke 12:32 “Do not be afraid, little flock, for your Father has been pleased to give you the kingdom. 33 Sell your possessions and give to the poor. Provide purses for yourselves that will not wear out, a treasure in heaven that will not be exhausted, where no thief comes near and no moth destroys. 34 For where your treasure is, there your heart will be also.

  • @benjaminchuma5468
    @benjaminchuma5468 4 หลายเดือนก่อน

    Mathew 19:21 Jesus answered, “If you want to be perfect, go, sell your possessions and give to the poor, and you will have treasure in heaven. Then come, follow me.”

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 4 หลายเดือนก่อน

    NYIE VIJANA MNAHITAJI KUFUNDISHWA BIBLIA. MNANIA NJEMA MNABIDII LAKINI KUNAVITU MNAENDA KWENYE EXTREMISM. ZAKA NI YA MUNGU NA MUNGU AMEMPA KUHANI ALE KWA HIYO USISUMBUKE KUMTAFUTA MUNGU ALE ZAKA YAKO WAKATI MUNGUNALISHAMWAMBIA MCHUNGAJI WAKO ALE AMEKUPANDIA VITU VYA SPIRITUAL SIO VIBAYA AKILA VITU VYAKO VYA KIDUNIA AU VYA MWILINI PAMOJA NA YOTE UNAKITU CHA KIMUNGU MDOGO WANGU

  • @EmmanuelMbilinyi-g4f
    @EmmanuelMbilinyi-g4f 4 หลายเดือนก่อน

    Hakika hapo nimekuelewa

  • @mikealberth9921
    @mikealberth9921 5 หลายเดือนก่อน

    Ameeni, barikiwe sana.

  • @yohanamartin4897
    @yohanamartin4897 5 หลายเดือนก่อน

    Najifunza hii 2024 ...ni ajabu sana ..MUNGU anipe kuelewa ..MUNGU akubariki mtumishi

  • @SharonAron-t1j
    @SharonAron-t1j 5 หลายเดือนก่อน

    Kulingana na Waebrani 7 ni kweli kabisa zaka ni kwa sheria sio neema

  • @samwelmsigomba994
    @samwelmsigomba994 5 หลายเดือนก่อน

    Wewe kaongo kweli, hivi haya mafundisho mnapopolewaga wapi?

  • @mamakendrick7538
    @mamakendrick7538 5 หลายเดือนก่อน

    Mbona title ya hii mesej imekuwa twisted? What this man of God said is different from the tittle. The man is right! The tittle is wrong

  • @josephshiyo8356
    @josephshiyo8356 6 หลายเดือนก่อน

    mafundisho ya UONGO kabisa, upotoshaji wa makusudi kabisa

  • @florenceflorence1170
    @florenceflorence1170 6 หลายเดือนก่อน

    Malaki 3:10:11.iende kanisani 2corithians. 9::12 iende kwa watakatifu 2corithians 9:8:9 iende ended kwa maskini 1wafalme 17:10:14 kwa watumishi 1corithians 6:7:14 iende kwa wajane

  • @charlesmayellah7818
    @charlesmayellah7818 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu saidia kiumbe hicho hatari

  • @conyongo1922
    @conyongo1922 6 หลายเดือนก่อน

    Bwana atusaidie

  • @rehemafyumagwa8005
    @rehemafyumagwa8005 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu tupe nguvu maana kuna mengi siku za mwisho

  • @SusanaSimoni
    @SusanaSimoni 7 หลายเดือนก่อน

    Hajasoma kitabu cha waebrania 7:1-11,pia 1korinto.16:1-2

  • @SusanaSimoni
    @SusanaSimoni 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mpuuzi kama umeshindwa kufuata neno la mungu muumba omba ufe acha stori chafu wewe

  • @CECILIAMWANDEMELE
    @CECILIAMWANDEMELE 7 หลายเดือนก่อน

    Biblia ni kubwa sana kama unafikiri umefuzu utakuta kunamwingine anaibua kingine fanya unacho jua hakuna mkamilifu ktk Dunia hapa

    • @benjaminchuma5468
      @benjaminchuma5468 4 หลายเดือนก่อน

      Kumbuka maneno ya Musa katika Kumbukumbu la torati 18:15-19

  • @sophiajonas2090
    @sophiajonas2090 8 หลายเดือนก่อน

    Hatuachi ngoooo acha wewe ili upigwe vizuri tena ushindwe na mafundisho yako potofu.Hizi ni siku za mwisho mshindwe na uongo wenu wa kuzimu

  • @dantez8775
    @dantez8775 8 หลายเดือนก่อน

    Tamu sana yes, nakubaliana 100%

  • @MarcusKomba-m4y
    @MarcusKomba-m4y 8 หลายเดือนก่อน

    Amiina sana mtumishi tunabalikiwa kwa ujumbe mzuri nimeupata Yesu kristo wanazaleti Alie hai atukuzwe

  • @apostlejamesuploads6786
    @apostlejamesuploads6786 8 หลายเดือนก่อน

    Read more brother Genesis 28:22 and remember that Melchizedek wasn't a priest don't go against our fathers of faith

  • @EliyaMwangobe
    @EliyaMwangobe 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu amefunuliwa kweli yote ! Maana hata kwa agano la kale zaka hawakupatiwa makuhani peke Yao Bali yatima, wajane , wageni na maskini kumbu 14:29, kumbu 26:12-14

    • @sophiajonas2090
      @sophiajonas2090 8 หลายเดือนก่อน

      Mimi kazi yangu Ni kutoa imetumikaje hayanihusu

  • @beatricechebon7511
    @beatricechebon7511 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @hirdahaule-qe8ot
    @hirdahaule-qe8ot 9 หลายเดือนก่อน

    Wew acha uongo soma malak 3 :10 atuachi kutoka Dhaka

  • @asheryruboze4930
    @asheryruboze4930 10 หลายเดือนก่อน

    ❤kutoa fungu la Imani iko vizuri.je matumizi yake ktk Imani yakoje?