Mkristo hatakiwi kutoa Fungu la Kumi - Sehemu ya Pili

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ส.ค. 2024
  • Mkristo lazima Aelewe Kuwa Kutoa Kwako Mbele Za Mungu Hauzalishi IMANI bali IMANI ndiyo inayomzalisha Mtoaji.
    Utoaji Wetu Haupimwi Kwa Asilimia Bali kwa IMANI
    Fungu La Imani Ndio Maelekezo Ya Mungu...
    Na Lazima ujue Sadaka Hii mnayoita Fungu la Kumi Ni Ya Mungu Wala Sio Ya Mtumishi...

ความคิดเห็น • 125

  • @SpiritGatheringMinistry
    @SpiritGatheringMinistry  2 ปีที่แล้ว +3

    UNAWEZA TUMA SADAKA YAKO KUPITIA NAMBARI HIZI.: MPESA-0755640454/ TIGO PESA-0719275409/ AIRTELMONEY- 0789186301 Majina ni GODLOVE CHARLES.... Walioko Nchi Za NJE MPESA +255755640454 GODLOVE CHARLES

    • @charleskamundi9952
      @charleskamundi9952 3 หลายเดือนก่อน

      Sasa wewe umesema sio kila mtu anapokea sadaka kwanini umeweka namba za kupokea sadaka si usubiri miguu yetu iongozwe na Bwana
      Au basi acha tumpe Mungu mwenyewe maana sadaka ni ya Mungu

  • @yohanamartin4897
    @yohanamartin4897 หลายเดือนก่อน

    Najifunza hii 2024 ...ni ajabu sana ..MUNGU anipe kuelewa ..MUNGU akubariki mtumishi

  • @frankelias1116
    @frankelias1116 2 ปีที่แล้ว +4

    Daaah nahidaji mda sana kuelewa hili somo

  • @ushindimwasaka9426
    @ushindimwasaka9426 2 ปีที่แล้ว +6

    Nimeelewa sana nina swali naweza muacha mke wangu aliyechepuka nikaoa mwingine

    • @preciousmunuo142
      @preciousmunuo142 2 ปีที่แล้ว

      Mmmmh umemshuhudia akikutenda ubaya

    • @lawimoses2514
      @lawimoses2514 ปีที่แล้ว

      Unaweza kumsamehe, na ukampeleka Kwa mchungaji wako Kwa ushauri zaidi na pia kuwaombea, na kama amekusudia kwenda mbinguni na labda alichepuka Kwa bahati mbaya basi ukimsamehe ataacha hiyo tabia. Wanandoa pia tuombeane ili adui asivuruge ndoa zetu

    • @janesuma-is4wc
      @janesuma-is4wc หลายเดือนก่อน

      Kama umemkamata biblia inaruhusu kama ujamkamata ni hisia zako kanae chini msuluhishe msimame pamoja

  • @Mushidebb
    @Mushidebb ปีที่แล้ว +6

    Ni sadaka ya Mungu peleka kwa yatima jaman peleka kwa masikini ....

  • @benjaminchuma5468
    @benjaminchuma5468 14 วันที่ผ่านมา

    Luke 12:32 “Do not be afraid, little flock, for your Father has been pleased to give you the kingdom. 33 Sell your possessions and give to the poor. Provide purses for yourselves that will not wear out, a treasure in heaven that will not be exhausted, where no thief comes near and no moth destroys. 34 For where your treasure is, there your heart will be also.

  • @benjaminchuma5468
    @benjaminchuma5468 14 วันที่ผ่านมา

    Mathew 19:21 Jesus answered, “If you want to be perfect, go, sell your possessions and give to the poor, and you will have treasure in heaven. Then come, follow me.”

  • @pastormarkokabisatv6821
    @pastormarkokabisatv6821 ปีที่แล้ว +2

    Mungu anasema makuhani watakula sadaka zake kumbukumbu 18:1. Kwahiyo makuhani wana ruhusa ya kupokea zaka kwasababu sadaka za Bwana nipamoja na zaka acha kupotosha watu.

    • @wambuakasimu2431
      @wambuakasimu2431 ปีที่แล้ว +1

      Very true

    • @sirnunda3758
      @sirnunda3758 ปีที่แล้ว

      Agano jipya wote tumefanyika kuwa makuhani,pia wote tumejaliwa vipawa sawa fuatilia utabiri wa nabii Yoel matendo ya mitume 2:16-24

  • @mordekaikiwango3600
    @mordekaikiwango3600 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaah aiseee Hapa nimeelewa sana hadi moyo unaniumaaa

  • @arizonavocationalcollege4761
    @arizonavocationalcollege4761 2 ปีที่แล้ว +2

    God Bless you Man of God.🙌 Nimeelewa🙏

  • @Brendacherotich190
    @Brendacherotich190 ปีที่แล้ว +2

    May God bless you man of god 🙏🙏

  • @mordekaikiwango3600
    @mordekaikiwango3600 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameeni somo kubwaa sanaa hill Yani hapa nimee elewa sanaa

  • @mordekaikiwango3600
    @mordekaikiwango3600 2 ปีที่แล้ว +2

    Apostle kweli Mungu Nimwemaa niliwahi kufundisha kuwa sadaka ya fungu la kumi unapaswa upeleke mahali ambapo Mungu alipo pachagua watu wengi hawakunielewa ila Ukweli watu wanafungwa na sheria walizo zikuta kanisani

  • @samwelchilijila
    @samwelchilijila ปีที่แล้ว

    Uko sahihi mtumishi..nyongeza yangu Mungu alishatoa maelekezo wapi kwa kutoa au namna ya kutumia fungu la kumi,wala sio wadhaniao kuwa anakula mchungaji,wachungaji hawapaswi kudai fungu la kumi sababu sio haki yao..
    Maelekezo ya Mungu itatumika na familia mjane yatima mwenye shida na utamwalika mlawi..sio aivhukue..tirati sura ya 12 na 14 na 18.

  • @bonifacebochela4717
    @bonifacebochela4717 8 วันที่ผ่านมา

    Ngoja awapeleke jehanam, sijui mtajutia wapi

  • @paskarimwanjera55
    @paskarimwanjera55 ปีที่แล้ว +1

    Sijakuelewa elimu yako uazeupa elimu yako ikusaidie mwenyewe pole watowe ninisasa kaka mazambahu ya mungu

  • @gladnessjoseph9847
    @gladnessjoseph9847 ปีที่แล้ว +1

    Haleluyaaaa sijamalizaa lkn nabarikiwaaa mnoo

  • @anitababyderickwasike7872
    @anitababyderickwasike7872 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed man of living God

  • @emmanueljacob4303
    @emmanueljacob4303 ปีที่แล้ว

    Thanx God for teaching. Forgive us,we don't know what we was tithing .Give us the new beginning. God bless u Man of God.

  • @josephinechaildofgod5371
    @josephinechaildofgod5371 9 หลายเดือนก่อน

    Nimesikia upako.juu.ya haya maongeo

  • @oteche15
    @oteche15 ปีที่แล้ว

    Welcome to Kenya man of God... Hii ni ujumbe tunaotaka sasa

  • @johnsonbvincent810
    @johnsonbvincent810 2 ปีที่แล้ว +9

    MATHAYO 23:23. Ole wenu waandishi na mafarisayo wanafiki! Kwa kuwa MNALIPA ZAKA za mnanaa na bizari na jira lakini mmeacha mambo makuu ya sheria Yani, adili ,rehema na IMANI; hayo imewapasa kufanya Wala Yale mengine MSIYAACHE.
    -YESU Kristo aliongelea swala la ZAKA liendelee kutolewa anawambia mafarisayo mnatoa zaka lakini mmesahau kuwa na IMANI na adili kuweni wenye Imani na Wala msiache kutoa zaka "WALA YALE MENGINE MSIYAACHE" nukuu ya neno la mwisho kwenye Hilo andko
    IMANI isiwe sababu ya wewe kutotoa zaka Imani pasipo matendo imekufa toa zaka ukiwa mwenye Imani, mwenye adili na moyo wa rehema.

    • @rosecasmiry485
      @rosecasmiry485 ปีที่แล้ว +1

      Hii ni Kambi ya wezi wa zaka hapo anayefundisha na wanaoshabikia wote ni wezi tu

    • @wambuakasimu2431
      @wambuakasimu2431 ปีที่แล้ว

      @@rosecasmiry485 ww usitoe fuata Imani yko,bt I wonder Kama ww n mkristo unasoma Bible gani???

    • @felidaandison6711
      @felidaandison6711 ปีที่แล้ว +1

      Mtoa nada Yuko sahihi,Pia wewe uko sahihi.Ambapo hapaeleweki nihapa.Agano lakale na jipya ni tofauti,Sheria ya agano jipya kwakila kipengele yesu aliiboresha.mfano-Anasema mmesikia watu wake walivyosema usizini,lakini Mimi nawaambia....Pia kuusu kutoa tunatakiwa tuwazidi mafarisayo waliotoa fungu la kumi.Angalia yesu anavyosema Mt5:20

    • @reachglobal9939
      @reachglobal9939 ปีที่แล้ว

      Hapo ilikua Bado Kristo hajafa na kufufuka hvyo Sheria ilikua Ina operate,Agano jipya unatoa Kwa moyo2koritho9:Lakini nasema neno hili, Apandaye haba atavuna haba; apandaye kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu. Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima;

    • @yakobomkristo872
      @yakobomkristo872 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@wambuakasimu2431Bila Ya Shaka Hujamuelewa rosecasmiry. Rose Yupo Pamoja Na Wewe.

  • @user-gr9wc7bc2m
    @user-gr9wc7bc2m 9 หลายเดือนก่อน

    Haya mambo ya zaka anania na mkewe walifia madhabahuni mwangalie sana

  • @asheryruboze4930
    @asheryruboze4930 6 หลายเดือนก่อน

    ❤kutoa fungu la Imani iko vizuri.je matumizi yake ktk Imani yakoje?

  • @FestoEliasMhh
    @FestoEliasMhh ปีที่แล้ว

    We vp; ni nani aliye kuroga ili upotoshe watu; hata useme katika agano jipya hatupaswi kutoa zaka; mmetumwa na ibirisi ili kupotosha watu wa imani ya Mungu aliye juu sana, wasifanye mambo yawapasayo kufanya ambayo kwa hayo watajazwa baraka nyingi; kwa jina la Yesu nawamru mkawaingie nguruwe.

  • @mayrastephen2997
    @mayrastephen2997 2 ปีที่แล้ว +1

    God bless you apostle

  • @diananaswa4842
    @diananaswa4842 9 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤nmekupata vemaa

  • @claudetoyi2707
    @claudetoyi2707 ปีที่แล้ว

    Kabisa uko sahii sana kwa ili somo umefunguwa ili andiko kiasi kwamba andiko linabaki uchi aisee

  • @johntz8881
    @johntz8881 11 หลายเดือนก่อน

    Amen aposto🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @MaloleKatelezu-ws3ux
    @MaloleKatelezu-ws3ux ปีที่แล้ว

    Siyo kweli kwamba ibrahimu hakuzishika sheria za Mungu ibrahimu alizishika sheria za Mungu kikamilifu soma Mwanzo 26:5

  • @lawimoses2514
    @lawimoses2514 ปีที่แล้ว +2

    Na Zaka inapelekwa mahali ambapo ushirika wako upo(Kanisani unaposali) maana hapo ndipo unapata chakula cha kiroho. Huwezi kutoa popote unapotaka. Lazima upeleke Zaka yako Kanisani unapolelewa kiroho.

  • @SusanaSimoni
    @SusanaSimoni 3 หลายเดือนก่อน

    Hajasoma kitabu cha waebrania 7:1-11,pia 1korinto.16:1-2

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli,Mungu atakuongoza wapi upeleke.

  • @emmanuelathuman896
    @emmanuelathuman896 ปีที่แล้ว

    Fungu la kumi Ni kwajili ya msosi tu sio Mambo mengine

  • @nakshnakshnaksh680
    @nakshnakshnaksh680 ปีที่แล้ว

    Nimeelewa ss. God bless you

  • @johnmutitu4594
    @johnmutitu4594 ปีที่แล้ว

    Hujui kutofautisha fungu la kumi na sadaka,we unahekima ya kimapepo ya kupotosha nyumba yako.fungu la kumi ni la Mungu,na nitozo (we pay tithe and not give tithe),pia unashida na wachungaji,mahali mchungaji apelekako fungu la kumi ni yeye na Mungu,sehemu yako ni kutoa fungu la kumi ili ujiondolee lawama

  • @gtgmediaproduction764
    @gtgmediaproduction764 ปีที่แล้ว

    Wewe nimpotoshaji wa aandiko

  • @edgarpius9111
    @edgarpius9111 11 หลายเดือนก่อน +1

    Unaweza ukawa miongoni mwa wadanganyifu alafu bado kijana mdogo

  • @johakimmarko5751
    @johakimmarko5751 9 หลายเดือนก่อน

    Ahha zaka lazima apewe mtu aliye juu yako. Mafundisho ya byakati za mwisho ndio haya kwaiyo siyashangai

  • @mahershalalhashbazi2189
    @mahershalalhashbazi2189 ปีที่แล้ว

    Zaka ya Fungu la kumi sio Sadaka ni KODI ya Ufalme wa Mungu na imeamriwa iliwe/itumiwe na Kuhani anayeipokea.(Hesabu 18:21,24).
    Zaka inatolewa ktk kila kila kitu (Luke 18:12)
    Hata siku unayopewa kuiishi umepewa masaa 24,hayo masaa yako yakupasa uyatolee Zaka(soma vema Bible).

  • @pastordenischanneltanzania5324
    @pastordenischanneltanzania5324 ปีที่แล้ว +1

    haya ndiyo mafundisho ya nyakati za mwisho naza hatari.

  • @samwelmsigomba994
    @samwelmsigomba994 หลายเดือนก่อน

    Wewe kaongo kweli, hivi haya mafundisho mnapopolewaga wapi?

  • @jessicamorrison289
    @jessicamorrison289 ปีที่แล้ว +2

    Ukisoma story ya Ibrahim, zaka aliyotoa kwanza haikuwa mali yake, ni zile mali walizochukua baada ya kushinda vita.,haikuwa jasho lake wala.

  • @davidkizito6900
    @davidkizito6900 ปีที่แล้ว

    So powerful

  • @kuwait9033
    @kuwait9033 2 ปีที่แล้ว +1

    Shalom shalom nikonashida naweye nataka use babayangu wakiroho nimependa maubiri yako ulemustar ruka 6 .12 nimepapedasana

  • @epafrasgray5725
    @epafrasgray5725 ปีที่แล้ว

    Hao walikuwa wanaambiwa makuhani Walawi anzia Malaki 2 kabla ya 3. Hapa utawaangamiza wasio na maarifa. Zaka yangu nakula mwenyewe kwa kuwa wote walio na Kristo ni Makuhani. Wewe endelea kuzipata kwa wale ambao bado wananyonya maziwa.

  • @mahershalalhashbazi2189
    @mahershalalhashbazi2189 ปีที่แล้ว

    Mwayachunguza Maandiko,Kwa sababu mnadhani kwamba ninyi mna uzima wa milele ndani yake;na hayo ndiyo yanayonishuhudia(Yohana 5:39)
    Je! Kwanini watu walikula Zaka iliyosehemu Takatifu sana ya Mungu,waliyopewa makuhani tu?)
    YESU ASEMA;
    KWA KUWA MIMI BWANA SINA KIGEU GEU;.......(Malaki 3:6)
    Je!YESU KRISTO BWANA,Mungu aliyezuwia kunywa pombe ktk Sheria yake ni kigeugeu? hata aruhusu kunywa tena kwa fedha za ZAKA?
    (Lawi 10:9 Usinywe divai wala kileo chochote.........). V/S Kumbu 14:26......na zile fedha uzitumie kwa chochote itakachotamani roho yako,ng'ombe au kondoo,au DIVAI au KILEO......
    ANDIKO LINAUWA nakushauri soma vema BIBLIA ndipo ufundishe watu Neno la Mungu,usifundishe Maandiko unaua watu.

  • @kuwait9033
    @kuwait9033 2 ปีที่แล้ว +1

    baba nambatangu iyo natamani unit owe kwenyegiza

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 2 ปีที่แล้ว

    Darasa zuri

  • @josephshiyo8356
    @josephshiyo8356 2 หลายเดือนก่อน

    mafundisho ya UONGO kabisa, upotoshaji wa makusudi kabisa

  • @gideonmaganga1522
    @gideonmaganga1522 ปีที่แล้ว

    Aseee

  • @samwelchilijila
    @samwelchilijila ปีที่แล้ว

    Katika kristo hatuna fungu la kumi,someni WAEBRANI SURA YOTE YA 7

  • @josephinechaildofgod5371
    @josephinechaildofgod5371 9 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimekuelwa

  • @eustelachiwanga3470
    @eustelachiwanga3470 6 หลายเดือนก่อน

    Ikiwa fedha nimekopa kwa kusolve changamoto fulani na au nimepewa zawadi nayenyewe inatakiwa kutoa fungu la kumi?

  • @shelizaomary2536
    @shelizaomary2536 2 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @user-mw9ls6ic1q
    @user-mw9ls6ic1q 3 หลายเดือนก่อน

    Biblia ni kubwa sana kama unafikiri umefuzu utakuta kunamwingine anaibua kingine fanya unacho jua hakuna mkamilifu ktk Dunia hapa

    • @benjaminchuma5468
      @benjaminchuma5468 14 วันที่ผ่านมา

      Kumbuka maneno ya Musa katika Kumbukumbu la torati 18:15-19

  • @denisedward2983
    @denisedward2983 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @cuthbertsebastian2705
    @cuthbertsebastian2705 2 ปีที่แล้ว +4

    Ukuhani ulikuwa kipindi cha agano la kale mbona Yesu mwanzilishi wa agano jipya hakutoa?

    • @benjaminchuma5468
      @benjaminchuma5468 14 วันที่ผ่านมา

      Ujumbe wa Fungu la kumi unatumiwa vibaya na waalimu wa uongo. Kristo Yeshua alihubiri uzima wa milele bila fungu la kumi.

  • @pastorkari8802
    @pastorkari8802 ปีที่แล้ว

    Mtumishi, unanachanganya katika somo la fungu la kumi, kumbuka hata kama agano halisemi chochote juu ya zaka, Yesu hakuja kufuta torati bali kuikamilisha [Mathayo 5: 17-19], kwa hiyo kusema fungu la kumi haliwahusu wakristo ni kuwadanganya watu.

    • @hassanbukambu931
      @hassanbukambu931 หลายเดือนก่อน

      Aliitimilizaje Kwa upande wa zaka.

  • @sarahluvai6580
    @sarahluvai6580 2 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sanaaa Mtumishi 🙏🙏🙏🙏

  • @BenetsonKimbisa-zc9ni
    @BenetsonKimbisa-zc9ni ปีที่แล้ว

    Mdo 5:1_11.

  • @pastorkari8802
    @pastorkari8802 ปีที่แล้ว +1

    Unaposema fungu la kumi Ni la Mungu siyo mtumishi, hujui mdomo wa Mungu Ni mtumishi? , Akila mtumishi amekula Mungu, Uliwahi kuona mikono ya Mungu ikipokea sadaka za watu? Akipokea mtumishi amepokea Mungu, nakusaidia mtoto wangu, usijichanganye.

    • @farajafredrick108
      @farajafredrick108 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @safeniamwakajinga9048
      @safeniamwakajinga9048 ปีที่แล้ว

      Kazi Sana Shida yakanisa laleo wavivu kusoma wavivu kusikia huyu kijana anapotosha eneo hili nahuku akijua anajua

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 7 หลายเดือนก่อน

      Jamaa anapotosha

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 7 หลายเดือนก่อน

      Lakini Yesu alisema watatokea waalimu wa uongo manabii wa uongo wakipotosha matukufu
      Unatafsiri uongo kabisa mimi siyo mchungaji ni mshirika ila neno la Mungu nina lielewa

  • @user-sz4xs1np9b
    @user-sz4xs1np9b 8 หลายเดือนก่อน

    uko sahihi brother amli 10 zamungu fungu lakumi haimo 😂 sisi ni bone again so how come

  • @martinakyoo148
    @martinakyoo148 2 ปีที่แล้ว +1

    Vipi ni dhambi kwa anayetoa ?
    Nikitoa kwa hiari yangu kunashida yeyote?
    Akila Pastor au ikategemeza huduma ya ninapoabudu kuna dhambi?
    Nivizuri atoaye atoe akijua anamtolea nani na kwa nini;ikiwa si Mungu aliyekubarikia,si Mungu aliyekulinda ,kupa uzima then usitoe.
    Ahsanteni

  • @erasmobenardsangu-1854
    @erasmobenardsangu-1854 6 หลายเดือนก่อน

    iviwewe kijanauna takanini kwa mngu ahanimejuwa una bifunawa wachu ngaji waache ware mana niseemyao utako ndasanakijana sipcti mkowap

  • @judithfimbo3743
    @judithfimbo3743 2 ปีที่แล้ว

    Wapi part 3

  • @SusanaSimoni
    @SusanaSimoni 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mpuuzi kama umeshindwa kufuata neno la mungu muumba omba ufe acha stori chafu wewe

  • @deodatatilia-qz2qh
    @deodatatilia-qz2qh 11 หลายเดือนก่อน

    Kama mkristo haruusiwi kutoa fungu la kumi nani sasa atoe ?shetan kwahy kwa mfundisho yako haya unataka walete kwako?

  • @gretagonga2966
    @gretagonga2966 2 ปีที่แล้ว +3

    Kutokuelewa na kifungo aise! Ndio maana watu wanatoa hawaoni baraka ...kumbe ni wrong direction 😃😃😃
    And why wanasema inaliwa madhabahuni tu 😄

    • @wambuakasimu2431
      @wambuakasimu2431 ปีที่แล้ว +1

      Fungu la kumi inafaa kutolewa kanisani ili kusikosekane chakula,wacha kupotosha watu ww

  • @deodatatilia-qz2qh
    @deodatatilia-qz2qh 11 หลายเดือนก่อน

    We mwenyewe hapo ulipo unatafuta hilo fungu la kumi roho chafu kabisa kutoka kuzimu unohyo wewe hata shetan hujibadili na kuonekana kama malaika

  • @pastordenischanneltanzania5324
    @pastordenischanneltanzania5324 ปีที่แล้ว

    huyu jamaa anamanisha siyo mtoe zaka bali zaidi ya zaka,siyo seemu ya kumi bali zaidi uyu jamaa kama unasari kwake uspotoa zaidi ya zaka kama mjane wewe siyo agano jipya

  • @emmanuelkibona3177
    @emmanuelkibona3177 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi somo zuri saana but i have a question apart from dhaka, je kuna sehemu biblia inafafanua kwamba pesa ni sabuni ya roho kama ambavyo mitaani tumezoea kusikia je hata kama kuna mistari inayoelekea na tafsiri ya huo msemo tafadhari nisaidie kufahamu

    • @neleajohn5398
      @neleajohn5398 2 ปีที่แล้ว +1

      Hapana dear biblia inasema kwamba fedha ni jawabu la mambo yote. Muhubiri 10:19
      Huo msemo ni wa wanadamu tu

  • @user-gr9wc7bc2m
    @user-gr9wc7bc2m 9 หลายเดือนก่อน

    Wasilipa zaka makanisani wamefurahi saaana hapa ameongea juu ya ibrahimu na melkisedek hivi ibrahimu alikuwa na mchungaji anayemchunga iliampe zaka yake!! Hata yakobo mjukuu wa ibrahimu alimwahidi Mungu kulipa zaka je angempanani maana hakuwa na mchungaji aliyemchunga sehemu kadhaa ktk agano la kale Mungu amewaagiza wana wa harun kuchukua zaka na matoleo hanania na safira walikufa kwa kumdanganya mchungaji ushauri wangu huyu mtumishi aongee swahili pekee mbona anachanganya kuna wacongo wengi hawajui engl

  • @wambuakasimu2431
    @wambuakasimu2431 ปีที่แล้ว

    Ww,imeandikwa fungu la kumi lipelekwe nyumbani mwa bwana ili kiwemo chakula,wacheni kupotosha watu nyinyi

  • @deodatatilia-qz2qh
    @deodatatilia-qz2qh 11 หลายเดือนก่อน

    Acha kudanganya watu wewe mpotosha mkubwa wa neno la Mungu tena acha kabisa

  • @sawakashita4672
    @sawakashita4672 ปีที่แล้ว

    Duh Confusion akili za mbayuwayu ongeza na zako

  • @lawimoses2514
    @lawimoses2514 ปีที่แล้ว

    Agano jipya linatuelekeza kutoa Zaka, soma luka 11:42, na malaki inasema leteni Zaka kamili ghalani ili kiwemo chakula nyumbani mwangu malaki 3:10. Agano LA kale na jipya yote yanatuelekeza kutoa zaka

  • @benjaminsamwel5059
    @benjaminsamwel5059 2 ปีที่แล้ว

    Aisee am oves🤣🤣

  • @cuthbertsebastian2705
    @cuthbertsebastian2705 2 ปีที่แล้ว +2

    Lakini ktk ufunuo sisi wote tumekuwa makuhani, kwahiyo agano lipi unazungumzia mtumishi?

  • @juliusmollel8597
    @juliusmollel8597 ปีที่แล้ว

    Hujui unachokisema wewe

  • @drdd774
    @drdd774 2 ปีที่แล้ว +6

    Kwenye zaka babu umechemsha, siyo kwa uongo huo, haya ndiyo "mafundisho yadanganyayo"Wanaokupongeza baadhi, ndiyo wakwepaji wa kutoa zaka, hicho unachofundisha mmmmmmhhhh.

    • @fourtunatashio2597
      @fourtunatashio2597 ปีที่แล้ว

      Huu ni uongo mkubwaaaa. Zaka ni ya Mungu kweli. Lkn Mungu amewapa makuhani....daaà kweli huku Kuna waalimu wengi Ila hatuna wababa wengi. Mungu akusamehe.

    • @pastormarkokabisatv6821
      @pastormarkokabisatv6821 ปีที่แล้ว +1

      Nikweli Kabisa, Mungu alisema makuhani watakula sadaka zake kumbukumbu 18:1. kwa andiko hili kuhani anaweza kupokea zaka kwasababu sadaka za Bwana ni pamoja na zaka.

    • @IsraelMwakagire-hn8pn
      @IsraelMwakagire-hn8pn ปีที่แล้ว

      Ndugu yangu kwa mafundisho haya kazi ipo

  • @oteche15
    @oteche15 ปีที่แล้ว

    Na lazima utoe kila mwezi?

  • @neemamalakilevi2661
    @neemamalakilevi2661 ปีที่แล้ว

    Kwa hiyo fungu la kumi tusitoe tutafute makuhani kwanza mmh so mtumishi wewe ni kuhani au wewe ni mtume tu nataka kujua sehemu ya kutoa maana heading ya somo inamiss lead kwa ufungu fungu la kumi litolewe ila kwa kuhani kwa hiyo sisi wenye wachungaji makuhani tuendelee kutoa kwenye makanisa yetu

  • @mordekaikiwango3600
    @mordekaikiwango3600 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaah aiseee Hapa nimeelewa sana hadi moyo unaniumaaa

    • @nkoyiisack6808
      @nkoyiisack6808 2 ปีที่แล้ว

      😂😂

    • @nkoyiisack6808
      @nkoyiisack6808 2 ปีที่แล้ว

      Aiseee😂

    • @alexlugela2756
      @alexlugela2756 ปีที่แล้ว

      Ambae hajaelewa anamatatizo ya ubongo,somo limejitosheleza!Maandiko yamejitosheleza kabisa,wewe Kama hujaelewa endelea kuibiwa endelea kutoa mpaka ukome! Lakini mabadiliko hakuna ng'o

  • @prophetsammytukuza3699
    @prophetsammytukuza3699 2 ปีที่แล้ว

    Amen